leo mwanangu aliy kamwe umeniangusha nn hicho ulicho mvalisha huyo sijui ni mchumba kabakisha nn aonekane yuko uchi hakuna ndini inaruhusu mwanamke kuvaa hivyo hivyo km umeona toka utokako ungemubadilisha hiyo nguo kwani uzuri ya kujisitiri bei ngani
@seifmsabah4384Ай бұрын
Kachemka
@seifmsabah4384Ай бұрын
Kachemka
@sharlynshabani6815Ай бұрын
Mpuuz huy
@user-cx3kd3dg6iАй бұрын
Yaani nguo ni mbaya sio ya adabu mbele za watu mmh hamna kitu amebugi
@HassnaNana-yi5lwАй бұрын
Duhhhh😮
@upendokweka8381Ай бұрын
Hata hapo bado kamwe haujapata mke, azidi kuomba mungu
@emmykassim4132Ай бұрын
Mtoto WA kiislam Ally KAMWE una sauti wew mwanamme unaeuhusuje avaae hivyo
@HappyHiker-nz9vgАй бұрын
Bi harusi 🎉❤ mashallah hongera Sana dada vizi liko❤❤❤❤🎉🎉🎉
@user-fx7ig1uy6tАй бұрын
Wala hajapendeza ,vazi haliendani na hyo harusi ya kiislamu,katoka mfupa waroho km kaona malakul mawt
@elizabethgeorge2197Ай бұрын
Ila mmeendana jamani ❤❤❤❤
@umikifupa-mi3reАй бұрын
So cute❤
@kisinzajohn1805Ай бұрын
Huyo binti ndio wa kuoa
@fatmaabdallah7709Ай бұрын
Zaylisa wa pili tumempata😂😂😂
@bennamush461627 күн бұрын
Waooh Ericka mtoto wa urasa mic u ❤❤
@salomemongi1246Ай бұрын
Hongera mchagga
@georgesamwelchacha7680Ай бұрын
Mnao ongelea Kuvaa kwani nyie hua mnavaaje 😂😂😂
@jamilahjamilah4157Ай бұрын
Kwani pele aliko pasu paunganishwa asinge pendeza au na ww ndio walewale waenda uchi hata km malaya jistiri mtu akiambiwa yule anajiuza akatae akutete wee unatetea kuvaa vile kipaja chanye km cha ndege kaa
@despinadamian8693Ай бұрын
Si kwa sababu hawaonekani na hawajulikani 😂😂
@user-hu2sf3so9cАй бұрын
Mwanangu Ally Kamwe hilo vazi la mwali wetu limetuangusha sisi mama zako siku nyingine rekebisha
@AdamAdam-xf3ghАй бұрын
Hilo paja au mkono tu
@roudhamahmoud763Ай бұрын
Umaarufu na pesa kweli mtihani dada umekubali kuvishwa utupu ili kupata maokoto na umaarufu subhana llah
@fatmaabdallah7709Ай бұрын
Kavishwa ama kavaa mwenyewe?!
@imanibakili8028Ай бұрын
Amevaa yeye mwenyewe
@adammkisema1524Ай бұрын
HUYU MWANAMKE KAMDHALILISHA MSEMAJI WETU..........anashindwa kuuliza ama kujua dress code ya harusi ya kiislam....kama amepania kuonesha ....
@despinadamian8693Ай бұрын
Ye hajaona kama amedharirishwa jamani
@jamilahjamilah4157Ай бұрын
Maa shaa llaa biharusi kajua kujisitiri sio aliy kamwe sijui kaalika kitu ngani kile paja lote liko wazi kabakisha sehem dg tuu chupi ionekana wallaah ss wanawake hatuna aibu
@BintOmary-gs9hwАй бұрын
Han akili anaon kapendez kumbe anajizaraulisha tu
@ashurahatibu5069Ай бұрын
sio dem wake
@ericbrunokalonndwa8590Ай бұрын
All good. Mavazi inategemea na event sioni issue amependeza mdada lazima watu wajue dresses na events na sherehe haijafanyika msikitini au kanisani
@user-ct4jp1ux1zАй бұрын
Kusema kweli hiyo nguo aliyovaa haifai kbsa. Haina maadili
@NajmaMustafa-hq3vmАй бұрын
Demu mwenyewe mshamba
@ismahafidhi1756Ай бұрын
twenty four seven au nimesikia vibaya
@gloryngunda9664Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@OmanOman-dn6djАй бұрын
Acheni Uswahili...kutoelewa mahusiano ndio matokeo ya maswali ya mwandishi😊
@user-vj8pi2wc3zАй бұрын
Sasa mbona anacheza cheza!! Au ndio "shek well before you use"
@annambele789Ай бұрын
Nguo aliovaa binti katuaibisha sana asirudie kuongozana na wewe hivyo.
@HappyAmaniАй бұрын
jaman mnaosema ni mchumba wa ali kamwe muwe mnaangalia hata vidio msikie maelezo kabla ya kumjaji kamwe kama mnatak kujaji mjajidini huyu Dada lakn pia me sio cha ajabu kwan mbna watu wanavaa vbya zaid ya huyu Dada acheni roho za kwann mnaboaaaaa
@samhayamawe66995 күн бұрын
Innalillah wainnaillah rrajuun,hilo vazi na kuitwa mke au mchumba wa Ally Kamwe wala haviendani jman,jistiri bint hilo paja unamwonyesha nan? Ally kamwe umekwama wapi mwanangu? Mpka unaingia nae ukumbin ina maana hujamuona alivyovaa?
@LilianiMeenaАй бұрын
Hahahahaaaa eti msomi 😅😅😅wasomi anawajua msomi sio mshamba kiasi hicho
@MonaMbalikeАй бұрын
Kigodolo kimekaa upande au wenzangu hamuon kama mm
@rehemakanyere4188Ай бұрын
Hahah
@user-uq9nw7jd5iАй бұрын
hahaha
@PillyAlly-ku1hjАй бұрын
Huyoo mwanamke ni mshezi wa tabia Malaya huyo
@despinadamian8693Ай бұрын
Wewe umejuaje kama sio huwa mnafanya wote watu wenginr bhanaaa
@hamishassan6784Ай бұрын
Mbona hapa umeonekana kama kijana wa hovyo jamani. aaaaa kijana hapo umetuangusha sana
@SaidhassanSuleimanАй бұрын
Twenty four seven duuuu
@magidalenarauya4286Ай бұрын
Hafai!!!
@user-mt3xf4pc7pАй бұрын
Jamani semaji letu mungu akusaidie upate mchumba mwenye maadili mema ajistili Kama dini unavyokuruhusu
@despinadamian8693Ай бұрын
Hicho unachokiona sio tabia mbaya na kama angekuwa na tabia mbaya nadhani huyo ally kamwe asingekuwa nae
@user-gk5ms2bk9kАй бұрын
Jamani vaz la uyo mdada wa msemaji wetu kamuaibishaaa
Ali kamwe. Kuwa makini huyo mchumba kama kweli ñi mchumba sijakwelewa nini hicho paja nje? Kweny umati wa watu namna hii
@stellasheba842Ай бұрын
Cyo mchumba wake.
@gamarmahsan8254Ай бұрын
Duniya imeisha wa muanika mke hivo
@subiralemaАй бұрын
Afai kuwa mke uyo ana aibu anaonyesha kibaka
@joycehaule9717Ай бұрын
Mmmmmmh angekosa aibu mngemsema
@nuruosward8161Ай бұрын
She is not comfortable😂
@KhadijaKiwambu-qx8qhАй бұрын
Uyu atakuwa Ana wazazi Mana mama ake asinge kubari anvae iri nvazi nando Mana hii dunia tunashushiwa miteani kibao wanawake tumezidi jamani kutembea wazi sijuwi mavazi Aya yataisha rini hee mungu nijarie katika maisha yangu nisije ata siku moja nikanvaa ivi wara watoto wangu nitakao wazaa wasije wakaiga huu ujinga wa Hawa mashetani ivi kweri sijuwi wanadamu tunaerekea wapi Hee mungu tupe mwisho mwema Mana mtiani kwa kweri
@mariaferick7813Ай бұрын
Mamaake alifarik
@ashurahatibu5069Ай бұрын
sio mdem wa alli huyo maezo tu yanajieza
@sophyodago5062Ай бұрын
Mchumba mwenyewe anajionea aibu na gauni lake la uchi
@raishahatibu7095Ай бұрын
Atakua sio mchumba kamukota tu barabarani ajenae harusini si kwa nguo hiyo kujicholesha
@MmingeMminge-kr8njАй бұрын
Semaji apo umeboa Sana. Ndiyo Nini icho alicho vaa uyo dem, ndiyo mchumba uyo?
@EmmanuelAllan-kz7rmАй бұрын
Hahahhhah hizi comment zinachekesha
@user-wk2bg8zf3lАй бұрын
uyo mwanamke atakua malaya tu
@despinadamian8693Ай бұрын
We ni nani kutoa hiyo kauli
@user-uq3dq7sr3lАй бұрын
Huyu mwanamke sio wakuoa ni wakutomba na kuacha
@atupakisyemwakikali6777Ай бұрын
Yuko uchi sjui anajiuza
@braggadachu1723Ай бұрын
Hamna demu hapo
@EricEmmanuel-oy5ltАй бұрын
🤣🤣🤣 bongo nyoso sana
@emmanuelndahan981525 күн бұрын
Msomi
@kolosii4351Ай бұрын
24 seven ndio nini???
@nicholousmtemi3902Ай бұрын
Masaa 24 ndani ya siku saba
@HeniryahazАй бұрын
Ali unatuaibisha huku tunakuheshimu
@PinkyLeonardАй бұрын
Mna wivu sana wajinga nyie ovyooo dada wa watu kapendeza ❤
@ommyjuniorjumbe3328Ай бұрын
Ally kamwe umeudhalilisha uislam kwa mavazi ya huyo mwanamke..yupo uchi kabisaaaa..shame on u Ally..watch out
@paschaliapesambiliАй бұрын
Ivi ni ally kawa wa kwanza kufatana na wavaa uchi au ni wengi,,,,,alafu ni islamic wangap wanavaa uchi zaid ya huyu dada?
@anoldjefsta177Ай бұрын
Kila mtu anaongelea nguo Na akat demu pia ni mbovu
@latifauzia6424Ай бұрын
Manangu ally kamwe umeniangusha kwa vazi hilo mmmmm
@user-so6md6rm2wАй бұрын
🤣🤣🤣 twenty four seven we dada khaaa afu bado unajisifu msomi
@joycehaule9717Ай бұрын
Mbona kaongea vzr kua masaa 24 na 7 yaan yote analindwa
@zaitunirashidi553221 күн бұрын
Sasa kakosea nn we mbwa😂😂😂wew ndo ukasome
@annambele789Ай бұрын
Nguo aliovaa binti katuaibisha sana asirudie kuongozana na wewe hivyo.
@user-lq1fm4dj2nАй бұрын
Ali kamwe apo umefeli dogo iyo nguo aliyovaa na wewe amuendani kabisa