MCHUNGAJI MWAMPOSA KWENYE SKENDO YA KUMUOA MARTHA MWAIPAJA AMA BINTI WA MIAKA 21 ARUSHA? UPI UKWELI?

  Рет қаралды 88,763

wambui Media

wambui Media

7 ай бұрын

Пікірлер: 194
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 6 ай бұрын
Kwani mwamposa si ni mwanaume jamani? Mwamposa we love you❤❤❤❤❤
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 6 ай бұрын
Haya mambo yenu ya uongo yatawapeleka kuzimu,kazi yenu kuwazimisha watumishi wa Mungu ili wasiifanye kszi ya Bwana.
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 7 ай бұрын
Amuoe ndo safi 🔥🔥🔥🔥🔥
@NataliaKenny-vb6os
@NataliaKenny-vb6os 6 ай бұрын
Kabisa my love ssta rose umeongea ukweli kwan wakiwa watumish wa mungu ndo wasiowane? Ndo ni baraka❤
@Madammgeyekwaofficial
@Madammgeyekwaofficial 6 ай бұрын
Ndioo boss Rose MHANDO
@stellamuyenjwamboyi7559
@stellamuyenjwamboyi7559 6 ай бұрын
Neema iwe juu yao❤❤
@Madammgeyekwaofficial
@Madammgeyekwaofficial 6 ай бұрын
@@stellamuyenjwamboyi7559 kweli eeh
@brightonjonas69
@brightonjonas69 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 7 ай бұрын
Hata akimwoa Martha mwampaja sawa tuu tena safi sana.
@mashipeter4819
@mashipeter4819 6 ай бұрын
Sasa kabla hujatia hizi habari ungeenda kwa wahusika wakakupa jibu then ndo ukatoa. Jiangalie na
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 6 ай бұрын
Glory be to God hallelujah
@user-hw9lu6fx3x
@user-hw9lu6fx3x 6 ай бұрын
Jamani Martha mama ninakupenda sana! Ushauli wangu usiolewe na mwamposa
@mashipeter4819
@mashipeter4819 6 ай бұрын
Majibu wanayo wenyewe. Nenda kwa Mwamposa ndiko utakakopata majibu
@lightnessgamasa6039
@lightnessgamasa6039 6 ай бұрын
Hayawahusu acheni ujinga nyie,mwamposa nimtumishi wamungu,kwani akimuoa mth Kuna shidaa?? Hata hivyo mwamposa amejiheshimu Sana 🙌🙌👏👏👏👏👍
@molenicharles9107
@molenicharles9107 7 ай бұрын
Nyinyi mlitaka aowe kikongwe????...mbwa nyinyi
@user-zl5vu6sy2z
@user-zl5vu6sy2z 6 ай бұрын
Mungu tu afanye mazuri Kwa maisha ya mum Martha waipaja
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 6 ай бұрын
Nawaonyeni acheni kuchafua watumishi wa Mungu...shauri zenu
@stevenrichard189
@stevenrichard189 5 ай бұрын
Imani tumeilinda na tutasimama Imara..Hatupo kwasababu ya maisha ya mtu, Mwamposa ni wakala wa Mbingu ametumwa MUNGU aliye Hai.
@kingswebe3251
@kingswebe3251 6 ай бұрын
Habari za kipumbavu hizi
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 6 ай бұрын
Kuona ni kupenda na kupendwa na kutimiza AMRI za Mungu watu waongezeke, watoto hata na mali na kumtumikia Mungu licha ya kuwasaidia wengine wasionacho pia. Madhabahuni pake wanawake ni wengi na yy ana chaguo kuwa na familia su na kuishi kama Mtume Pauli kajizuilia atende tu kaz ya injili kuwaokoa watu, arusi na ndoa tuviombee asiwe mpweke na watendakazi tu, mwisho mtamsema ovyo kama mitandao imekuwa ikituboost na vijimamipisho. Haifai
@bravinsengabravin2700
@bravinsengabravin2700 6 ай бұрын
Safi
@EsterLahel-ks4yu
@EsterLahel-ks4yu 6 ай бұрын
Ningefurahi balaaaa❤
@octavinaalphonce6898
@octavinaalphonce6898 6 ай бұрын
Safiiiiii
@user-ys7od7xb6f
@user-ys7od7xb6f 6 ай бұрын
Cha ajabu ni kipi acheni kumtangulia Mungu hata akimuoa Martha hakuna kizuizi ni mahangaiko yenu TU.
@hopealoyce3678
@hopealoyce3678 6 ай бұрын
Shida iko wapi
@mourineburton4427
@mourineburton4427 6 ай бұрын
Bwana Yesu tumuache baba wa watu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Maisha kitu cha ajabu waacheni Mwamposya na Martha hao ni watu wanahubiri sana neno la mungu
@MerryMatihas
@MerryMatihas Ай бұрын
Ohoooooo
@adammalale7194
@adammalale7194 5 ай бұрын
Kabla ya kuwaza kumchafua mwamposa waza uwezo wako wa kushinda. Note hatakama umuone mtumishi yeyote kakosea machoni mwako amini halitaweza kuondoa kipawa chake. Ili ushinde jua agano lake na MUNGU tatizo watu wengi hawapokei kwa kuangalia mwenendo wa maisha ya Mtu au kuhani wa madhabahu
@ainessmbise1009
@ainessmbise1009 6 ай бұрын
Kwani kuna ubaya gani akioa ?acheni majungu,
@mourineburton4427
@mourineburton4427 6 ай бұрын
Duh
@dainessmnenwaa4758
@dainessmnenwaa4758 6 ай бұрын
Mtaongeaa sanaaaaa kuhusu mwamposa kwanii shida Nini jamanii acha waowaneeee mchungaji wetu
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 6 ай бұрын
Sawa
@user-jt4rx1hj8k
@user-jt4rx1hj8k 5 ай бұрын
Mungu afanye yake
@user-pe7ui9hm2c
@user-pe7ui9hm2c 7 ай бұрын
Acheni majungu
@isaacmollel345
@isaacmollel345 6 ай бұрын
Ajitokeze Mwenyewe Azibitishe😊🎉🎉😢
@BeatriceJoas-vs4ld
@BeatriceJoas-vs4ld 6 ай бұрын
Achen upumbafu, huyu ni binadam kama wew, mtumishi hapo safi sana, tulete mama yetu, atakae tulea mie naona unachelewa beba japu usiagalie Wanasema nin, fanya hima baba mtumishi,
@PachaAlex-mk4cw
@PachaAlex-mk4cw 6 ай бұрын
Du!inaonekana wewe kwa mwamposa upo kama mwenye shida ya maombezi,ila hujaonkoka dogo.na wala si muumini,maana bado umejaa vifungo vya hasira na maroho ya matusi baraaaaa!!!Tafuta wachungaji kwa ushauri,ukaokoke,na ufanyiwe maombi ya ufungulivu mdogo wangu.
@peterkandonga1585
@peterkandonga1585 7 ай бұрын
Acha kuchafua watumishi wa mungu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 ай бұрын
Umbea sana.Hivi huyo baba hana mke au vipi😢
@PendoMatovelo
@PendoMatovelo 6 ай бұрын
Jadilini ya mwamposa yakwenu yanachelewa, mnahangaika wenzenu tunapata faida kutoka Kwa mtume mwamposa hatamkisema uchafu wa aina gani juu yake hatuachi kwenda Kwa ibada kawe. Kaza Buti mtume wanyooshe.
@user-xb7ze3qj8z
@user-xb7ze3qj8z 7 ай бұрын
Unatafuta laana wewe mwamposa ni mtumishi wa mungu
@chumamasaka
@chumamasaka 5 ай бұрын
Ni izuri
@AdolphinaAlinda
@AdolphinaAlinda 17 күн бұрын
Waoane jaman
@user-ut4vt1kn7w
@user-ut4vt1kn7w 5 ай бұрын
Sass Mtumishi Ana a cha Mke Mungu Atamheshimu Kama MNA lose ma nikweli Ha po I mani Ngumu
@user-yj5es1jw8c
@user-yj5es1jw8c 6 ай бұрын
Waongo nyie mbona
@user-ew5kf9xl2k
@user-ew5kf9xl2k 6 ай бұрын
Inapendeza
@user-kd4qr9wm2k
@user-kd4qr9wm2k 6 ай бұрын
Unamchafua mtume Mungu atakujibu
@kaayaester9739
@kaayaester9739 Ай бұрын
Matha binti yangu nakujua tulia mombe mungu akuonyeshe mchumba usikimbilie tuu mtu hapana usiwe na haraka wee acha hiyo ulivyo mzuri nakushauri nonono
@mariakalama3014
@mariakalama3014 2 ай бұрын
Wachani majungu na watumishi wa mungu
@bibielroybibielroy8710
@bibielroybibielroy8710 6 ай бұрын
Kama umekosa habari nyamaza acheni kumchafua mtumishi wa mungu habari zenyewe hazina mashiko!!
@RehemaKasanga-vu5nj
@RehemaKasanga-vu5nj 27 күн бұрын
Waache waoane Kwen kunishida gan Mwaposa akioa
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 7 ай бұрын
Kwani mke wake wa kwanza kaenda wapi?
@sabrinaandrew4245
@sabrinaandrew4245 6 ай бұрын
Hivi kwanini mtumishi wa mwenyezi mungu mnakaa na kumjadili.Usimuombe mwenyezi mungu akusaidie ufanikishe hitaji la moyo wako wewe mjadini mwamposa tuu upoteze muda wako
@AlbanoAndrelajaAndrelaja
@AlbanoAndrelajaAndrelaja 3 күн бұрын
Acheni u wivo😊😊
@shabanikitula645
@shabanikitula645 7 ай бұрын
Jinsi nyie ni wambeya mpaka mnaweweseka
@BukinduBukindu
@BukinduBukindu Ай бұрын
Mnateseka mkiwa pade zipi.
@pendomarco8928
@pendomarco8928 6 ай бұрын
sawa tu kwani kuna ubaya
@user-tx4zc9mz6w
@user-tx4zc9mz6w 6 ай бұрын
Kwani shida yenu Nini ..si wa kiume au!!! Mnatakaje kwani.maamuzi anayo yeye. Semeni msemavyo .huyo ni Musa wetu kwa kizazi hiki.bado hamjasema , mtasema
@Mariam-dx7lr
@Mariam-dx7lr 6 ай бұрын
Hayo ni maisha yake binafsi hayatuhusu ingekuwa yanatuhusu angetutangazia jali maisha yako dada haijalishi ,,hata kama kaowa mtt wa miezi 6 si wamekubaliana? Shida ni nn?? Au ulitaka kuolewa wewe? Acha wivu
@julyanashedrack2725
@julyanashedrack2725 6 ай бұрын
Hee hii Dunia kizunguzung
@atumigwepanja2499
@atumigwepanja2499 6 ай бұрын
Jamani, hivi Biology haijatusaidia, yaani mwanamke wa age 21 bado anabaki kuwa mtoto? Nadhani skendo hapa ingekuwa Mwanaume wa age 21 kuoa mwanamke wa 47.
@dainessmyovela2115
@dainessmyovela2115 6 ай бұрын
😂😂😂 Sipati Picha,🙈
@LucasMwijage-oc5nx
@LucasMwijage-oc5nx 6 ай бұрын
MUNGU ameisha toa taarifa kwamba mission ya adui nikuchafua watumishi wa Mungu. Ila Mungu hajalala! Atafunga kila ubaya.
@williamalfred-hz6zp
@williamalfred-hz6zp 6 ай бұрын
Wew umejuaje?
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 6 ай бұрын
Christina shusho ni mke wa mtu jamani. Na hawa wote ni waimbaji wanatoa huduma.
@isaacmollel345
@isaacmollel345 6 ай бұрын
Lisemwalo ilpo.km halipo laja.kusema waaache watu.waseme walasiyo dhambi.Mkombozi wetu Yesu kirsto alisemwa.sana ajabu haowaliomsema walikuja kumsujudia.wakaamini kuwaAmetumwa.na.Mungu.mwamposa siyo Yesu walasiyo Mungu swali lakujiuliza.ni je Ameoa na anaishi na make????tuachane.na.hao watafuta pesa.siyo.waimbaji walawahubiri Yesu aliwahikusema wacheni ngano na magugu yaote pamoja mwenyekutenganisha.ni.Mungu mwenyewe Ameni
@nhguyrff7350
@nhguyrff7350 6 ай бұрын
Nyie mnatoa habari abazo hamna uhakika nazo kila neno unaro litamka utakuja kulitolea hesabu msichafue watumishi wa mungu nje nyinyi ni wakamilifu acheni kila mtu atasimama pekee take kwenye kitu Cha hukum
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 6 ай бұрын
Akimuoa itakuwa shida?
@EstherJerald-tc6ct
@EstherJerald-tc6ct 11 күн бұрын
Sioni ajabu ,maana ni binadamu ,wakioana kuna ubaya gani ? Mungu atende tu waoaneeee
@celinepius8303
@celinepius8303 Ай бұрын
Haitapendeza akiolewa nae mm sipendi
@BarakaKamara
@BarakaKamara 6 ай бұрын
Acheni kuwachafua wapakwa mafuta wa Mungu. Mtaalaniwa nawaambia.
@victoriasamaga8429
@victoriasamaga8429 5 ай бұрын
Kwani shida iko wapi!
@BettyMsongole
@BettyMsongole 6 ай бұрын
Acha kuchafuwa watumishi
@sumaiyahabibu1718
@sumaiyahabibu1718 5 ай бұрын
Mwacheni jamani mtumishi wetu hongeeni mpaka basi atuachi kwenda kawe
@rosehaule6765
@rosehaule6765 7 ай бұрын
Mwampisa si yupo na mke jamanii mmh au pesa imemuachanisha na mke 😢 haya kwa Mungu akuna siri
@annasolomon9855
@annasolomon9855 7 ай бұрын
Make ndo alimwachaga mwamposa kabla hajawa na pesa Wala kuanzia kuhubiri injili Tena alimwacha kisa umasikini
@user-mf9tu4yu3p
@user-mf9tu4yu3p 5 ай бұрын
Kuchafuana sasa😢😢 kwani mwampoaa si binadamu Kama wengine hastahili kuoa na kuacha? acha unafiki wewe.
@charleskabaka3015
@charleskabaka3015 6 ай бұрын
Haina shida mbona kolabo lao litakuw Bomba sn
@jesterfredrick9497
@jesterfredrick9497 6 ай бұрын
Muacheni baba yetu jaman mweh!!!!
@hassanyohna6121
@hassanyohna6121 6 ай бұрын
Ulitaka akuoe wewe ....... Mtumishi wa Mungu hajadiliwi .......tumia akili Malaya wewe ........Unavuliwa na wangapi mbona hawakusemi Kazi kuchafua watumishhi ...Mbwa Mmoja wewe ..........Tena atamuoa Anae mtaka sio wanae mtaka kwenye ukoo wenu.
@tonnyford5782
@tonnyford5782 6 ай бұрын
Yy mwanaume na Iman yake haimkataz kuoa ww ulitaka akuoe ww?😂😂
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 6 ай бұрын
Kama yure mnaijeria ariyekuwa anaaminika Dunia nzima Siri imefichuka arikuwa mchafu kama dampo,itakuweje kwa away waigzaji wakimataifa,Awana tofauti na Babu wa roriondo
@frimasonidunia86
@frimasonidunia86 6 ай бұрын
Saf
@salomekibe6657
@salomekibe6657 6 ай бұрын
Mbona wamuhaibia mtume jina kweli musihukumu mtu ila machining mingi afanye kazi take Na mwaipaja mke WA mwenyewe jamani dunia inaenda wapiiiiii 😢😢😢
@demicratia4071
@demicratia4071 6 ай бұрын
Mwamposa kamuoa binti wa MIAKA 21 kumyakimya Arushaaass habari NDIYO hiyooo
@mourineburton4427
@mourineburton4427 6 ай бұрын
Jaman mwacheni mtumishi wa MUNGU
@asteriashios1852
@asteriashios1852 3 ай бұрын
Yaani hainihusu maana hakuna hata ninaemuamini hapo ndo tabia za akina Cristina shushu yaleyale
@hirdahaule-qe8ot
@hirdahaule-qe8ot 5 ай бұрын
Mwamposa muoe matha Mungu itampendeza ila usimuumiz akumbuke alikotoka msahauliahe yote matha anahofu ya Mungu
@annamadavid4152
@annamadavid4152 7 ай бұрын
Kalalee
@user-uy4uq4iv5h
@user-uy4uq4iv5h 6 ай бұрын
Inahusu nn mwenyewe
@richardgeorge5377
@richardgeorge5377 6 ай бұрын
Yaani umekosa ya kuongea? Mungu anawaona mnachafua kiinywa cha Mungu
@ainessfoya4463
@ainessfoya4463 6 ай бұрын
Arise and shine itaendelea tuuu..itainuka tu..tutabarikiwa tuu..mwaposa chaguo la mungu..kipenzi chetu..majungu tupa kuleeee
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 6 ай бұрын
Mwamposa Ni Mwanaume..anaruhusu kuoa wake 60.sema sisi wakristo ndio tunajidandanya mke mmoja.ni lijali mwacheniiii. ..a.k.a kusiki nikwaee
@saidissa8273
@saidissa8273 6 ай бұрын
kwani haawa wana dini?
@magretomondi8312
@magretomondi8312 6 ай бұрын
Duuh! Si Martha Mwaipaja walifunga pingu ya maisha na Mumeo kanisani? Imekuaje leo Mwaiposa kaoa Mwaipaja? wajitokeze wenyewe ijulikane rasmi basi
@MakanyaHome-th2xn
@MakanyaHome-th2xn 4 ай бұрын
Hebu acheni kumjadili mwamposa kwa habari yandoa yake tumuombe tu ndoa yake iwe ya baraka hajalishi ametoa mtoto tunamuombea amani na upendo
@mbwawafillingstation
@mbwawafillingstation 6 ай бұрын
Acheni uongo mtoto wa huyo mama hajaolewa na mwanmposa mwacheni mwamposa na bint wawatu anasoma zake chuo
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 5 ай бұрын
Kumbe hana mke mwamposa mbona ni dingi mtu mzima
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 6 ай бұрын
Nyie ni mamuma yesu alikuwa na matajili japo alikuwa mtakatifu wa mungu Hera ndio kila kitu
@user-xs7bc6ur6p
@user-xs7bc6ur6p 5 ай бұрын
Jamani acheni kuzusha mambo
@nchimbilusda7259
@nchimbilusda7259 6 ай бұрын
Kwani hiyo inaweza ikawa ni skendo ? Na kwani ana marufuku kuoa? Sasa alitakiwa aoe au aolewe nani? Jaaamani..!Mbona ni vizuri tuu...
@MerryKashaija-jk9xh
@MerryKashaija-jk9xh 5 ай бұрын
Acheni kumchafua mtumishi wa MUNGU alie hai ,atamuoaje Matha wakati ana mke wake wa ndoa nawana mtoto binti mkubwa tu
@anithaonesmo2959
@anithaonesmo2959 4 ай бұрын
Sasa kwani akimuoa Martha kunaubaya ebu muacheni
@jacksonbayyo2937
@jacksonbayyo2937 6 ай бұрын
Kwani cha ajabu nini
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 5 ай бұрын
mimi sioni tatizo mradi asi shuke chini ya miaka 18 kwasababu mtu akiwa na mika 18 anaitwa mtu mzima maana yake ana yaweza ya utu uzima
@PachaAlex-mk4cw
@PachaAlex-mk4cw 6 ай бұрын
Anamuoa matha,mbona wengi wanalijua hilo siku nyingi tu!!na ameshaanza kufanya hatua za kumwingiza kwenye chama kibaya alichomo.na kama hamuamini,angalia now Matha ameanza kubadilika,mpaka anapost picha amevaa masuluali.uimbaji wa nyimbo zenye mguso umekata.anaimba nyimbo za kawaida saizi,tofauti na za nyuma.tulieni mtarndelea kuyaona hayo yote kwa ukamilifu saaaaanaaaaa!!!
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 7 ай бұрын
Uyu 😂😂😂😂
Mtume Boniface Mwamposa aelezea story yake ya lockup .
15:56
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 59 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /23/ #love
28:53
BabaJoan
Рет қаралды 193 М.
Martha azungumzia kukataa shule na kuwa 'house girl'
3:22
EastAfricaTV
Рет қаралды 11 М.
MTOTO WA MARTHA MWAIPAJA ANAVYOSUMBUA MITANDAONI NI BALAA
3:07
ATOLEWA JINI NA KUINULIWA KIUCHUMI .
14:31
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 33 М.
MARTHA MWAIPAJA @ VOICE OF KINGS CATHEDRAL
16:31
Pastor.Nathan Maina
Рет қаралды 31 М.