MCHUZI WA SAMAKI WA NAZI

  Рет қаралды 82,090

Aroma Of Zanzibar & Beyond

Aroma Of Zanzibar & Beyond

5 жыл бұрын

Mahitaji:
Samaki wanguru au aina yoyote kiasi kilo 1
1 Mafuta ya kupika - kjk 1 kikubwa
Bizari ya manjano ¼ kijiko kidogo
Chumvi kiasi
Pilipili ya unga kijiko 1 kidogo
Ndimu/limao
Kitunguu cha kiasi 1 (kilokatwa vipande vidogo)
Kitunguu thom na tangawizi mbichi kilosagwa - kjk 1 kikubwa
Nyanya za kiasi 3 (kata vipande vidogo au saga)
Pilipili mbichi 1-2 kamam utapenda
Bizari ya mchuzi utakyopenda
Kijiko 1 kikubwa nyanya nzito ya kibati
Fish sauce kjk 1 kidogo kama utapenda
Chumvi kiasi
Tui la nazi la kiasi (ongeza maji kama utahitaji)
Mapishi ya mboga za kukaanga kutoka Jikoni Magic • Cabbage Stir Fry Recip...
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas kzfaq.info?searc...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
faroukambok...
Music courtesy / contemplative-middle-e...
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Пікірлер: 106
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH PLEASE FOLLOW THIS LINK kzfaq.info/get/bejne/n5xkmJqbndSRn58.html
@salmamohamed909
@salmamohamed909 4 жыл бұрын
Huyu samani anaitwa Nani kwa kigereza
@mubinajamaly7171
@mubinajamaly7171 3 жыл бұрын
xzxxx@@salmamohamed909 qààda
@khadijanassor7698
@khadijanassor7698 5 жыл бұрын
MashaAllah yummy mchuzi Mchuzi mzuri Sana. Nimeupenda Kwa mkate wa naan. luv from Mombasa Kenya. 😘😘😘😘
@jarsjam8894
@jarsjam8894 4 жыл бұрын
MaashaAllah nishautamani. Jazaka Llah kheir
@omanmobile3767
@omanmobile3767 5 жыл бұрын
Wow maaasha allah Shukran ukhty
@husseinshariff9799
@husseinshariff9799 5 жыл бұрын
Masha Allah hodari kueleza kila mtu anakufahami
@firdosamuktarmuhammad9966
@firdosamuktarmuhammad9966 3 жыл бұрын
MashaAllah jazakilllah kher my sister
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Mashallah mzuri sana nampenda sana samaki
@zulfahhussein505
@zulfahhussein505 5 жыл бұрын
MashaAllaah Wanikumbusha nyumbani
@nassorhamad5872
@nassorhamad5872 5 жыл бұрын
maashaallah nzuri sana
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 жыл бұрын
Masha Allah mchuzi mtamu
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 5 жыл бұрын
Yamy yamy mchuzi wa kwetu Nazi znz nimeumisi so much
@verachikulupi8063
@verachikulupi8063 5 жыл бұрын
safi mno hongera
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 5 жыл бұрын
Mashaallah mate tulia ucndondoke shukran jazzak Allah khery
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ajmilee4204
@ajmilee4204 4 жыл бұрын
Naipenda zanzibar yangu😚😘😙😙😙
@alikhamis4055
@alikhamis4055 5 жыл бұрын
Mashallah very nice 😘
@jaytee2021
@jaytee2021 4 ай бұрын
Huwa napenda sana recipe zako
@haarithomar755
@haarithomar755 2 жыл бұрын
Mashallah thanks
@imanmohamed7632
@imanmohamed7632 3 жыл бұрын
Mpishi hodari
@umikhamis4507
@umikhamis4507 5 жыл бұрын
Naskia harufu mpaka huku maasha الله
@khadijasaid4303
@khadijasaid4303 5 жыл бұрын
Masha allah mchuzi unavutia. Jazaka allah kheir.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Alhmdulilah amin
@muhammadkasiwa635
@muhammadkasiwa635 9 ай бұрын
Mashaa Allah
@imanmohamed7632
@imanmohamed7632 3 жыл бұрын
MashaAllah TabarakkahAllah
@nuraydasworld4431
@nuraydasworld4431 5 жыл бұрын
Mashallah
@safiaothman1098
@safiaothman1098 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@vumiliyamwinyi1457
@vumiliyamwinyi1457 5 жыл бұрын
MashaaAllah nimependa samaki mzur na mtam Allah akubariki akupe uzima na afya inshaaAllah
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Amin kwetu sote
@mgenihamed3475
@mgenihamed3475 5 жыл бұрын
MaashaAllah unaonekana mchuzi mtamu sana.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Mtamu hasa
@maithamahfouth6581
@maithamahfouth6581 4 жыл бұрын
Dear I’m really grateful for u because of u I learned how to cook a lot of dishes thank you 🙏
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
Most welcome dear, thank you for your support
@Halimaalawsy
@Halimaalawsy 5 жыл бұрын
Makes me feel mombasa and Zanzibar should be having same ancestors...mashAllah ancient recipe
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
absolutely ! shukran dear
@taniahsasha7826
@taniahsasha7826 4 жыл бұрын
viungo umepita haraka
@fatmaomar5783
@fatmaomar5783 5 жыл бұрын
Mashalla. Tamu kwa gali
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Hasa ugali utapita uzuri hapo
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
mashallah bakupenda sana my dear Allah akupe pumzi yenye afya
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
amin , shukran
@a.856
@a.856 5 жыл бұрын
Thx yummy😋I like this fish as well
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Thanks for your support dear
@abdulrahmanalharthi3129
@abdulrahmanalharthi3129 5 жыл бұрын
Looks great, coriander (daniya) would make that even more tasty..
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Yes indeed , we were too hungry so I forgot all that
@ummyabdi918
@ummyabdi918 5 жыл бұрын
I have to try this! 🔥💗 #YummyAromaofZanzibar rocks 💖👌
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
❤❤
@salmahassan617
@salmahassan617 5 жыл бұрын
Mashallah.
@nimomahmoud5530
@nimomahmoud5530 5 жыл бұрын
Maas haallah
@omaromar-eb6og
@omaromar-eb6og 3 жыл бұрын
Asante mmy
@narsisjema3340
@narsisjema3340 2 жыл бұрын
The best cooking channel💞👌
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 2 жыл бұрын
Thank you for your support 😘
@salmachonga
@salmachonga 2 жыл бұрын
Safii
@user-zv2px7jd1l
@user-zv2px7jd1l Жыл бұрын
Nimeipendaa hiyooo
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Shukran
@user-hx9wd5qi6c
@user-hx9wd5qi6c 11 ай бұрын
Waoh
@rahmamaalim3673
@rahmamaalim3673 5 жыл бұрын
MashaAllah chuzi linavutiaa
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Chuzi hasa!
@rukiahhdbdn4798
@rukiahhdbdn4798 5 жыл бұрын
Maa shaa Allah ukhty nnaipenda huo mchuzi yaani wacha tuu Allah akupe Afya Aamiiyn nikiwa mombasa kenya
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Shukran, amin kwetu sote
@jacklinemushi3246
@jacklinemushi3246 4 жыл бұрын
Yummy
@dillykhushal4570
@dillykhushal4570 5 жыл бұрын
Salaam, I couldn’t find the recipe for special ground spice mixture you put in after sautéing the onions. Under what name is it on your home page? Your recipes remind me of our long-gone days. Thank you for bringing back tasteful Coastal food.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
You can use any brand of spice for curries. I just my own spice which is available for sale online only in USA
@JesusChristLovesUs4ever
@JesusChristLovesUs4ever 5 жыл бұрын
Hmmm 😋
@sitihassan9439
@sitihassan9439 5 жыл бұрын
MashaAllah mummy mis u
@MohamedAbdalla-nx2lb
@MohamedAbdalla-nx2lb 5 жыл бұрын
Maelezo yako yanafanya mapishi ya samaki wa nazi kuonekana rahisi sana. Asante sana
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Ni rahisi sana kama nilivyoeleza na kuonyesha
@MohamedAbdalla-nx2lb
@MohamedAbdalla-nx2lb 5 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar thanks so much
@arasa904
@arasa904 5 жыл бұрын
Shukran, utufundishe kupika na mseto
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Mseto nimeshaweka mwaka juzi, tafuta humu utaona
@arasa904
@arasa904 5 жыл бұрын
Sawa Inshaa Allah
@kiatukichafu
@kiatukichafu 2 жыл бұрын
Asanta
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 2 жыл бұрын
Salam alekum
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 2 жыл бұрын
Aleikum musalaam
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 жыл бұрын
😋😋😋
@KitchenTablet-zt6xq
@KitchenTablet-zt6xq Жыл бұрын
Mkate wa kujaza
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Ni vizuri kama utandika full sentence hivi sijui umekusdia nini
@fakinghamadyussuf8477
@fakinghamadyussuf8477 2 жыл бұрын
Mimi napenda kujua spices zako zinapatikana wapi!
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 2 жыл бұрын
Nilikuwa nauza online Marekani
@makaaya_3449
@makaaya_3449 3 жыл бұрын
nitapika week hii
@abduljabarsaid8341
@abduljabarsaid8341 3 жыл бұрын
Pilipipili Ya Unga ni gani
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 3 жыл бұрын
Ya aina yoyote utakayopata
@shamsashaibu8838
@shamsashaibu8838 4 жыл бұрын
Kwa nini nikiweka ndim samaki wanaganda?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
Kwa kweli ni vigumu sijui unampika vipi na chuma gani
@myme9447
@myme9447 4 жыл бұрын
Mbona nasikia ndimu ukiweka baada ya nazi tuwi linakatika lakini ww umeomgezea gapo?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
Nazi imeshaiva
@gama5375
@gama5375 5 жыл бұрын
Umefanyaje mpaka nazi ya mkebe haijakatika? Mie hutumia nazi ya Azam, lakini nimeona mara nyingi nikiiacha itokote, inakatika
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Mie natumia nazi ya mkebe ya Thailand haitaji kufanywa chochote
@nahrienkhan2827
@nahrienkhan2827 4 жыл бұрын
Fillet fish curry please
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
You can use the same recipe for fish fillets as well
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 5 жыл бұрын
Auntie hapo umenifanya nimwambie wifi yako kesho anipikie dikodiko ilo hapo kwa mseto weeee
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Kumueka busy au vipi
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 5 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar ndo ivo lazma awe busy atiii lkn wallah nmependa huo mtudhi
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 4 жыл бұрын
Mpz naomba unijuze ukiweka limau baada ya nazi mchuzi haukatiki?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
Ukipika mchuzi ukaiva haukatika kama nilivyo onehsa hapo
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 4 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar Asante my
@teddynkwabi4502
@teddynkwabi4502 5 жыл бұрын
Asante kwa mapishi,,,looks yummy! Correct me if I'm wrong, nilishawahi kuambiwa kuwa ukiwaunapika ukaweka tui la nazi, hauruhusiwi kufunikia, sababu ukifunikia tui linakatika! Na pia kuna masharti tofauti ya kufanya tui lisikatike kama kukoroga in one direction(kama ni clockwise tu au anticlockwise) n.k Kuna ukweli juu ya hayo?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Most welcome, I know about kufunika tui I guess its just myth coz when it comes to food and science it seems to work fine just like how I showed on my video , mimi always nafunika to retain that moisture and haikatiki although you have to make sure kama unatumia tomatoes, ginger, lemon zote ziko well cooked before adding the coconut milk a little bit of acid will get it to separate and also in my experience if the coconut milk is cold pia inakatika when you add it to hot mixure. Now about kukoroga in clockwise and anti clockwise never heard of that lol ;)
@teddynkwabi4502
@teddynkwabi4502 5 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar haha, yani kuna mambo ya ajabu kweli nshasikia kuhusu tui kukatika ukiwa unapika, naona ni myths tu. Hiyo ya kuhusu tui kuwa labaridi, sikuwa nimewahi kuisikia...lol! Anyways, thanks for the video! All your recipes are exquisite kwakweli, nimejifunza mengi tu! God bless you and your family🙏
@imanmohamed7632
@imanmohamed7632 2 жыл бұрын
MashaAllah TabarakkahAllah
@nihifadhiabdul5211
@nihifadhiabdul5211 4 жыл бұрын
Mashallah
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 4 жыл бұрын
Yummy
@zeddysale217
@zeddysale217 3 жыл бұрын
Mashallah
@Mrsrose-bl2ks
@Mrsrose-bl2ks 2 жыл бұрын
Mashallah