Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Пікірлер: 31
@AdamEvaristАй бұрын
Free and confident, Royal family. Mzee huna bayaaaaa
@maulidimchambwa580421 күн бұрын
Nyerere makongoro
@masikapazi223125 күн бұрын
Daaaaa namkubali sana uyu mwamba kwa Hotuba zake na vichekesho vyake hongera sana mkuu
@damianikimario5695Ай бұрын
Kazi nzuri bwana makongoro umeunogesha mkutano tabasamm oyeeeii.. kazi iedelee...👊
@user-ms1xg1fp4vАй бұрын
Huyu wizara ya michezo inamfaa sana.
@viatuvikali4938Ай бұрын
KAMA BABA KAMA MTOTO r.i.p. BABA WA TAIFA
@edwardasumwisye3010Ай бұрын
SAFI SANA
@MichaelKingazi-wm7xjАй бұрын
Local speech.
@hamisidale2704Ай бұрын
Zero Diplomacy
@ephremmtuya3094Ай бұрын
To much jokes
@geofreybahema5118Ай бұрын
Jokes amabzo ni legally so shut up yur mouth and kkama hujui ilo ndo dhumuni lao coz they him
@Kombs-cr2mj21 күн бұрын
This is politics
@mariamalongo880325 күн бұрын
❤❤
@user-ct2mn8lt1zАй бұрын
Huyu baba namkibaro
@copsauctionmartcourtbroker4709Ай бұрын
Safi
@WilliamAregoАй бұрын
Makongoro oyeeeeeeee
@yohanalukindo3737Ай бұрын
Zawad kwa raisi unatoa maji mtoni unapeleka baharini ngoja nikalie choon kwanza
@davidmalisa8043Ай бұрын
Kikohoz Sasa
@LeylatVlogsАй бұрын
Spiritual leaders ni kama amewasahau but ni watu muhimu saana hapo,ama ni vile mikutano haifunguliwi na maombi na kufungwa na maombi
@edmundrutahiwaАй бұрын
Swala sio kuongea point ni kuwachekesha watu…mzeee jitahid sana mzee watu wasikuzoeee hvyo..hata media naona kilaa sku znasema kuwavunjaa mbavu
@loishiyesamwel1374Ай бұрын
Kwani hawa Wanaume wao hawajaoa? Sehemu kubwa imekuwa comedy 😂😂😅😅
@PhilipoMwita-b2xАй бұрын
Vunjana tu mbavu wakati watu wanalia njaa Kali Kodi kali
@user-gv8yn9lg1iАй бұрын
Huyu nae amezidi mzaha mzaha, wakati mwingine mzaha weka pembeni... piga kazi, maana zamana uliyopewa ni kutumikia wananchi na siyo mzaha mzaha kila wakati.
@Kombs-cr2mj21 күн бұрын
Kwenu kukiwa na hali ngumu hamcheki? U must be sick
@brunomtweve8073Ай бұрын
Hahahahahahaha
@user-vh7ll3vp7wАй бұрын
Hehehehe,,
@athanasvahaye7725Ай бұрын
Anajua kutawala jukwaa
@sixdaud2513Ай бұрын
Mh majembe kwerkwer
@mataypanga5262Ай бұрын
Una akili nyingi sana Makongoro😂
@AleiHadji-js3edАй бұрын
Ameolewa ni Neno Kubwaaaa 😮 ???? Kuna nini Vijana munatongoza Wakuu wetu ???😂😂😂
@margarethsolomon9823Ай бұрын
Ofisi za mawaziri na ma naibu zote zimebaki na makarani tu, sijajua hii huwa imekaaje. Wote hawa ni lazima walipwe posho za safari.