Maajabu ya Nzi Chuma wanaofugwa Morogoro kwaajili ya CHAKULA, "Kilo ni Elfu 10 na Elfu 15"

  Рет қаралды 2,689

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

2 жыл бұрын

Nzi ni Miongoni mwa viumbe ambao mara nyingi wamekuwa wakileta kero kwa watu wengi Duniani, Lakini kwa chuo cha Mzumbe ni habari tofauti kabisa ambapo wao wameamua kuzalisha Nzi Chuma ambao wamekuwa wakitumika kuondoa uchafu lakini pia Wamekuwa wakifanya biashara ya kuuza nzi hao......Jionee zaidi kwenye Exclussive Interview na Wafugaji Hawa kujua pia namna ambavyo wanatumika pia kama Chakula[.

Пікірлер: 10
@wilfredkimario9823
@wilfredkimario9823 7 ай бұрын
Hao inzi wanapatikanaje
@user-jt4wi9uk9j
@user-jt4wi9uk9j 7 ай бұрын
naomba namba zenu
@alphonsinekabiswesalumu30
@alphonsinekabiswesalumu30 Жыл бұрын
Jambo ndugu ! Niko Congo tawezaje kupata lava ya BSF ju nianze na miye ufugaji?
@tangopenuel7275
@tangopenuel7275 Жыл бұрын
Naomba namba zenu wandugu
@agrivaluefarm3353
@agrivaluefarm3353 Жыл бұрын
Tango hupo wapi labda tunaweza kushirikiana tukafanya mradi huu
@tangopenuel7275
@tangopenuel7275 Жыл бұрын
Nipo mkoa wa arusha wilaya ya karatu
@tangopenuel7275
@tangopenuel7275 Жыл бұрын
Naomba namba ya whatsup
@agrivaluefarm3353
@agrivaluefarm3353 Жыл бұрын
@@tangopenuel7275 Mimi nipo Bunju, Dar-es-salaam, nipe namba yako ya whatsapp
@erickmachambire
@erickmachambire Жыл бұрын
Naomba namba yako nipo arusha
WADUDU WANA KIASI KIKUBWA CHA PROTINI KWA AJILI YA KUKU NA SAMAKI
8:51
Mwananchi Digital
Рет қаралды 14 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН
TAJIRIKA NA KILIMO CHA ALIZETI
12:51
Tanzania Kilimo digital Tv
Рет қаралды 1 М.
Hoja kuhusu jina yaibuka shauri kuhusu Kombo, Wakili Madeleka afunguka
7:24
Wakili mwingine aiburuta TLS kortini
5:48
Mwananchi Digital
Рет қаралды 893
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН