Samahn doctor je kama masikio yanawasha tatizo hilo la tokana nn??
@dorothyannan81844 жыл бұрын
Aksante sana, mambo ya muhimu sana
@fatimamohammed23324 жыл бұрын
dokta asante ila naomba no zako kwa maswal zaid
@omaar56932 жыл бұрын
19:42 asante dah Nagairi azimio la kwenda kumkatisha binti yangu
@user-nd7jx6zo9e11 ай бұрын
Hallo daktari mimi nilikatwa jana lakini naona km kuna nyama kidogo bado inaninginia kumaanisha zikukatwa chote.nifanyeje.
@jacklinenyari638 Жыл бұрын
Mm kinanisumbua sana na kama kukata sio vizuri tutumie dawa gani doctor mana sina raha kabsa
@lastqueendouglos97984 жыл бұрын
Daktari kimeo hajikatwa lakini kinakua kirefu hadi kinagota kwenye ulimi
@tinarogat57824 жыл бұрын
Namba haipatikan nnashida
@lastqueendouglos97984 жыл бұрын
Daktari inakuaje kimeo kinakua mpaka kinagota kwenye ulimi kinamsumbua sana ndugu yangu hadi inafikia hatua kilipogota kinachubua ulimi
@omaar56932 жыл бұрын
Ni mwaka saaa, imekuwaje tena amekata ama?
@rashidbangeka68432 жыл бұрын
Dokta mim nasumbuliwa na misuli ya koo na koo kubana nimeenda hosptar nimeandikiwa dawa lakn hali bado nahs ndo inazid yaan nahs kama ninakitu kama mwiba umekaa kwenye koo nahtaj ushaur wako