No video

MEZA YA UJENZI | 01 | Kabla hujajenga ni muhimu ujue gharama za ujenzi wako

  Рет қаралды 12,739

The Builders Home Tz

The Builders Home Tz

Күн бұрын

Utakubaliana na mimi kwamba ukiwaza kujenga jambo la kwanza linalokuja kwenye akili yako ni gharama, yaani hela kiasi gani utatumia mpaka kukamilisha ujenzi.
Ukimsikiliza mtaalamu wetu utagundua kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha gharama tofauti tofauti katika ujenzi, lengo langu hapa nikikukufungua macho ili siku ukitaka kuanza ujenzi basi upange vizuri budget yako na ndoyo yako isiishie njiani.
kuangalia baadhi ya designs na budget zake
tembelea ; lcosthousing.com/
Kwa mawasiliano zaidi uaweza tuandikia;
thebuildershometz@gmail.com

Пікірлер: 29
@bigdreamer8857
@bigdreamer8857 Жыл бұрын
Swali halijajibiwa na mtaalaam.... haya tawanyiiiiiiiiiiikaaaaaaaaa
@shiffasadik8777
@shiffasadik8777 4 жыл бұрын
It would be amazing to get a straight answer in this video just as the host gave the straight question. Hope to see more videos .. Ningependa kuelimishwa pia kuhusu msingi wa nyumba ya gorofa moja. I will appreciate 🙏
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
Shiffa Sadik Asante kwa kuangalia, hatutaishia hapa... Tutaendelea kuleta vipindi vingi zaidi nakuhakikisha nakusogeza karibu zaidi na Ujenzi ...
@saidathumani5747
@saidathumani5747 4 жыл бұрын
Audience tunataka vitu ambavyo vipo straight...haya ni maelekezo general Sana, Ili kutofautisha kipindi chenu,hizi siasa mngeziachia vipindi vingine vingi... Kama hapa nilitegemea,mtachukua ramani ya nyumba with dimensions wether 2 or 3 bedroom ambayo then mkacalculate cost mkiconsider assumption kama flat land,tofali ya kawaida n.k...after ndo muongeze difference za ikiwa kwenye muinuko mkali, materias n.k Hope mtarudia,hii title hamjaitendea haki #keep up good idea for this type of channel
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
Asante sana kwa ushauri wako, Tuna ahidi kulifanyia kazi hili... Hiki nikipindi cha kwanza muendelezo wake unakuja natutazama zaidi katika hili swala laghrama za ujenzi. Asante endelea kuwa nasi mdau.
@bigdreamer8857
@bigdreamer8857 Жыл бұрын
Basi mwana vingereza ndo viiiingi.. we Bwana ongea kiswahioi sisi tuelewe vingereza ulijibia mtihani vinatosha. Wabongo bana ili ujue kasoma ndo ataongea vingereza viingi.. and it's not like l have failed to understand what he is try to figure out but the man ( QS ) he have to try to be real sio too much kujimwambafai vingereza huyu vepe!.
@ravanellivictor9676
@ravanellivictor9676 4 жыл бұрын
Good work guys
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
Ravanelli Victor thank you
@dahdentist
@dahdentist 4 жыл бұрын
I believe this episode was handled well being the first one. I hope you can go a little in-depth in the next.
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
sure thing
@mariyammariym748
@mariyammariym748 2 жыл бұрын
Mlio maliza darasa la saba na pesa mnazo kazi kwetu
@mercypedha5519
@mercypedha5519 4 жыл бұрын
Hongereni saana
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
asante sana
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 4 ай бұрын
Nani akupe Hela tapeli nenda kwa hao wanaoongea kingereza
@fatmaali4794
@fatmaali4794 3 жыл бұрын
Ningeomba sana mubezi kwenye kiswahili ili nasisi tuelewe
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 3 жыл бұрын
Tunashukuru kwa ushauri kipindi kijacho, tutaboresha zaidi.
@mr.samfacts5975
@mr.samfacts5975 3 жыл бұрын
Nice work can't wait to work with u bro
@melesianageorge2012
@melesianageorge2012 3 жыл бұрын
Lugha ngumu jaman,ongeen swahili tuelewa na sis,sio wote wanajuw english
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 жыл бұрын
Tunaomba mlete nyumba ya vumba 3 kwa sisi wa hali ya chini gharama milioni kumi jamani
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 жыл бұрын
Kiswahili kiswahili jamani wengine kuzungu ndio ivo tena
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 3 жыл бұрын
Samahani sana... katika.kipindi kijacho tutajitaidi ili tuwe pamoja.
@pixelcity8249
@pixelcity8249 3 жыл бұрын
Mbona hatoi majibu anazunguuuuuuka👎👎👎
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 3 жыл бұрын
Tutafanyia kazi maoni yako...
@sethstiven3393
@sethstiven3393 3 жыл бұрын
Hana ujuzi huyu adi million kumi punguza million kumi kutokana na mazingira ili makadilio tupate
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 3 жыл бұрын
Tutaboresha zaidi kwenye kipindi kijacho...
@samsonmwakikuti5318
@samsonmwakikuti5318 3 жыл бұрын
Huyu hana majibu kabisa anaacha vitu hewani. Alipaswa kutoa mifano halisi,
@farhafarhan4393
@farhafarhan4393 4 жыл бұрын
Nipe namb ya huyo fund
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
0716573079 karibu tuwasiliane
@ahmadarashid1533
@ahmadarashid1533 3 жыл бұрын
@@TheBuildersHomeTz naomba comm zenu
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 16 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3,1 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 10 МЛН
House Design | Modern House 2 Storey  | 12m x 15m with 5 Bedrooms
13:30
Tiny House Design
Рет қаралды 4,3 МЛН
HII NDIO NYUMBA YA GHARAMA NAFUU TOFARI 1200 TU #ujenzinafuu
4:30
Sanuka Media
Рет қаралды 32 М.
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 16 МЛН