MFAHAMU MCHINJAJI MKUU wa SERIKALI ya SAUDI ARABIA ANAYECHINJA WATU WALIOHUKUMIWA KIFO...

  Рет қаралды 322,812

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

MFAHAMU MCHINJAJI MKUU wa SERIKALI ya SAUDI ARABIA ANAYECHINJA WATU WALIOHUKUMIWA KIFO...
Jina lake halisi anaitwa Muhammad Saad Al Beshi au maarufu kama Al Beshi. Ni mwanaume mweusi, mrefu mwenye mwili mkubwa, aliyezaliwa nchini Saudi Arabia mwaka 1961.
Kama ilivyoelezwa, huyu ndiye mtekelezaji mkuu wa hukumu ya kifo katika Serikali ya Saudi Arabia! Ukihukumiwa kifo nchini humo, basi huyu ndiye anayetekeleza hukumu hiyo kwa kukukata kichwa na jambia lenye makali mithili ya wembe, pigo moja tu lazima kichwa na kiwiliwili vitengane!
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 1 300
@yahayamjenga1996
@yahayamjenga1996 2 жыл бұрын
Sasa mnaosema na yeye atahukumiwa mnakusudia nn......Saudi Arabia ni nchi ya Kiislamu na kwenye Uislamu hukumu ya kifo ipo. Mwenye kosa la hukumu akitakiwa kuuliwa anatakiwa kuuliwa hilo si kosa la Al Beshi. Hiyo ni sheria ya Allah, yeye ni mtekelezaji tuu. Ni sawa na ukute kuambiwa hukmu ya mzinifu aliyeoa au kuolewa ni kupigwa mawe mpk kufa.....alafu ulaumu waliopiga mawe, nyuma ya pazia hapo unapinga sheria yenyewe si mtekelezaji........mungu ndo anajua zaidi.
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 жыл бұрын
Huo huo uislam unakwambia ww unaye uwa una hakika hujakosa huna dhambi dini ya kislam msiifafanue kirahisi hivyo ..Soma dini uelewe neno
@yahayamjenga1996
@yahayamjenga1996 2 жыл бұрын
@@yasminoluoch169 lete ushahidi wa hayo maneno umetoa wapi kwenye uislamu......usiongee kwa hisia zako ongea kwa fact.
@mwanashazingas6684
@mwanashazingas6684 2 жыл бұрын
Ushasema mwenzangu sioni makosa maana nisheria ipo ishawekwa ila Saudi huwa haina bahati kwenye haya mambo
@missmrs829
@missmrs829 2 жыл бұрын
Najuta kwa nini nimezaliwa kwenye uislaam...Dini ya kikatili..Dini isiyo kuwa na Hofu ya Mungu duh hatar sana
@fetehomar27
@fetehomar27 2 жыл бұрын
@@missmrs829 Dini ya kislam haipo ktk kumdhulumu mtu hii ni Dini ya kweli haina unafiki ndaini yake hukumu lazima isimame
@philimonmuttag9118
@philimonmuttag9118 2 жыл бұрын
Yesu akawaambia ambaye hana dhambi awe wa kwanza kumrushia huyu mwanamke mzinifu mawe ila wote walikimbia hakubakia mtu wote tumetenda dhambi hakuna mkamilifu mbele za Mungu
@jemk6098
@jemk6098 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@Ibrah287
@Ibrah287 2 жыл бұрын
Mimi naunga mkono hoja.
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
Neyo yesu amesema hakuja kuziondoa sheria za Musa bali alikuja kuzitimiza na moja wapo ni anaye uwa kwa kusudia naye anafaa kuuwawa
@everlineeva594
@everlineeva594 2 жыл бұрын
That's true hukumu achia mungu so painful 😢 😫
@tumbually3293
@tumbually3293 2 жыл бұрын
@@everlineeva594 so una shauri kuanzia sasa mahakama zote tufanye mabanda ya kufugia bloira ili kila kosa tuliache km lilivyo na hukum itatoka kwa mungu.
@jaggerjack30
@jaggerjack30 7 ай бұрын
Tukisema Islam ni ufisadi, watu watakerwa.. tulikuwa kwa hii kiza na mwema la yesu kilitutoa huko. Tunashukuru mungu kwa sababu inchi yetu sio kama hizi za kislam.
@queenesther8505
@queenesther8505 9 ай бұрын
Ukijikuta ukiwa umeolewa na mtu kama huyu,afadhali niwe single forever😢😢😢😢
@Muslim-gs6rn
@Muslim-gs6rn 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@FaudhiaKassim
@FaudhiaKassim 9 ай бұрын
😅😅😅😅
@Bekita-nz7bq
@Bekita-nz7bq 8 ай бұрын
Absolutely 💯
@irenecherotich4975
@irenecherotich4975 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@khalud9982
@khalud9982 Жыл бұрын
Muhukumu wa kweli ni mwenyezi mungu na sio binadamu,,,,,sijawai ona kitabu kinacho sema mtu ahukumiwe duniani na binadamu,,,oooh God have mercy on us,,
@eliachalamila2259
@eliachalamila2259 9 ай бұрын
Thank you jesus for being with me
@christinahzi8202
@christinahzi8202 9 ай бұрын
Halleluya Halleluya
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 8 ай бұрын
🙏Amen
@Bekita-nz7bq
@Bekita-nz7bq 8 ай бұрын
Amen 🙏
@recodxb3589
@recodxb3589 2 жыл бұрын
He and his family needs deliverece so that they can be free from the spirit of killing.
@jeanjoan
@jeanjoan Жыл бұрын
Ooh God remember our Kenyans 💔🙇🙇walienda Kwa Sabu ya maisha magumu God remember them
@omarshariffali1780
@omarshariffali1780 Жыл бұрын
walienda kwa maisha magumu na wanajua sheria za huko,kama vile sisi tuko na sheria zetu.FUATA SHERIA HAKUNA MTU ATAKUDHURU.SAUDIA TEMBEA HATA SAA NANE ZA USIKU HAKUNA PICK POCKET WALA JAMBAZI ATAKUVAMIA.I AM ALSO KENYAN MORE THAN 20 YEARS IN SAUDIA AND I AM OK AS LONG AS I FOLLOW THE LAW
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 9 ай бұрын
Waombee waache kutaka kutawala nyumba za watu
@janenguthu8739
@janenguthu8739 9 ай бұрын
Nashangaa sasa wale wadada wameua wenzao huku saudi watakatwa vichwa hivi????😢😢😢😢
@RehemaKalani
@RehemaKalani 9 ай бұрын
Asante MUNGU kwa kumtoa mwana wa pekee YESU KRISTO kwa ajili ya Mimi na dhambi yangu Aliimaliza msalabani🙏🙏🙏
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
Mpuuzi
@lucyakinyi5128
@lucyakinyi5128 2 жыл бұрын
Cursed, I would never even want to be his neighbor🤮🤮🤮🤮🤮
@sarungimatinde7063
@sarungimatinde7063 2 жыл бұрын
You bp
@christinahzi8202
@christinahzi8202 9 ай бұрын
Asante Yesu christo kwa maana ulinifilia pale msalabani i love you Jesus christ hukumu tumuachieni mungu peke yake ndie wakulipisha kisasi
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
Amekufilia😂😂
@user-uw3vn5ce3d
@user-uw3vn5ce3d Жыл бұрын
Mungu tuonekanie wenye tumekuja kutafutia familia zetu😢😢😢tusipitie changa hili😊
@ramlaleila374
@ramlaleila374 9 ай бұрын
Aamin 🤲 haki najikuta naishiwa nguvu
@woaw2wwowwqw298
@woaw2wwowwqw298 2 жыл бұрын
I AM VERY HAPPY TO BE A BORN AGAIN CHRISTIAN. OUR LORD JESUS CHRIST DEMONSTRATES HIS LOVE TOWARDS US ON THE CROSS FOR DYING ON OUR BEHALF. AND HE FORGIVE US OUR SINS. IN CHRISTIAN FAITH, WE BELIEVE IN FORGIVENESS FOR NO ONE IS HOLY / PERFECT ONLY ALMIGHTY GOD, JEHOVAH ELOHIM THE MOST HIGH GOD.
@meddy4
@meddy4 2 жыл бұрын
Hujui dini tu ndo maana
@shafiisaidi1354
@shafiisaidi1354 2 жыл бұрын
J
@shamimibrahim1089
@shamimibrahim1089 2 жыл бұрын
Uje upotoke eti yesu alikukufia pole daa unajipa faraja ya bure tenda mema Moto ni mkali
@gracejohn903
@gracejohn903 2 жыл бұрын
You're right my dear, through the death of Jesus we are free
@user-gm1wd1uy5e
@user-gm1wd1uy5e 9 ай бұрын
Mpumbav kweli we
@dikodikson559
@dikodikson559 2 жыл бұрын
Hakuna mwanadamu yeyote anayeweza kutoa hukumu sahihi, hukumu sahihi ataitoa Mungu siku ya mwisho
@kassimali9413
@kassimali9413 2 жыл бұрын
Soma kwanza ujue kwanini anawaua
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 2 жыл бұрын
@@kassimali9413 hakunasababu ya kumchinja mtu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
@@kassimali9413 wapo wanao uwawa wasio na hatia
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Yesu alitabiri ajae atakuja kuhukumu na kufanya vita
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 2 жыл бұрын
@@wangonamuhange8218 ukiua unauwawa ,ulawiti na kubaka watoto uuwawe tu
@nancymwihaki8901
@nancymwihaki8901 2 жыл бұрын
Ooohhh myyyy christ be the judge ... 😭😭😭😭 huyu ile hukumu atapata kwa mungu ... ghai
@danielmuthunga7064
@danielmuthunga7064 2 жыл бұрын
Hatopata hukumu zaidi ya mwizi wa peremende
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 2 жыл бұрын
Mungu pekee ndie anafaa kuhumu binadamu... Kwa kuwa hakuna yeyote aliyemkamilifu.... 😭😭 Mungu awahurumie kwa maana hawajui wanalolitenda.
@tumbually3293
@tumbually3293 2 жыл бұрын
Kwahyo hizi mahakama zilizopo tukazifanue kama mabanda ya mbuzi eti kusiwe na coz za sheria na tuwafitie reseni hawa mahakimu woote mana hawana sifa za kuhukum.
@sabinakhan2216
@sabinakhan2216 2 жыл бұрын
Kitabu cha Mungu ndio imetoa hio hukmu.
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 2 жыл бұрын
@@sabinakhan2216 Kitabu kipi cha Mungu Bibilia ndio kitabu cha mungu. Quran ni maneno ya mohamady na sio Mungu. Dini ya kiislamu ni yake. soma Quran 6:14
@mudighurayra
@mudighurayra 2 жыл бұрын
Unasema kwa kujua au kwa kuropoka
@nellyk2560
@nellyk2560 2 жыл бұрын
@@mudighurayra Allah is not God is a god thats why Quran says to kill fo for Allah 😪😪😪
@neisher.777
@neisher.777 Жыл бұрын
Ameua hadi anakaa shetani ibilis mkuu, Lord Jesus have mercy on us😢
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Subhannallah nayeye atakufatu ndio maana surayake mbayaa kamanini
@henryosoro7696
@henryosoro7696 2 жыл бұрын
He who kills by a sword die by a sword.
@muhydinaden552
@muhydinaden552 Жыл бұрын
Break Saudi laws punishable by death & meet with justice .....it has happened for centuries ...follow the laws & no problems .....
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 2 жыл бұрын
Walivyo kuwa Wajanja Warabu, Wamemuweka mtu mweusi ndio Achinje binadamu wenzake, ili wao wasionekane wabaya.
@alhaithamiy_
@alhaithamiy_ 2 жыл бұрын
Huyo ni mweusi tu lkn ni muarabuuu halisi... Na WAARABU Wengi WEUSI
@ghanimaali4507
@ghanimaali4507 2 жыл бұрын
umeona laana yote za wtu zinampata
@rukiaali7098
@rukiaali7098 2 жыл бұрын
Kama vile mzungu kumueka Obama akubali ushoga ndio in history ijulikane in MTU mweusi
@hudaaalhussein3841
@hudaaalhussein3841 2 жыл бұрын
Mtu mweupe na mweusi wamezaliwa pmj na adam na hawa ndio kl mahali wako pmj,aliukua mweupe na mweusi yko
@kidotitv5527
@kidotitv5527 2 жыл бұрын
Subhanallah
@mesajuma4843
@mesajuma4843 2 жыл бұрын
Subhuana Allah 😭😭😭
@catherinendilima6893
@catherinendilima6893 2 жыл бұрын
I thank Almighty God .BECAUSE THE lord jesus Christ IS THE WAY THE TRUTH AND LIFE AMEN.
@shamaglory8934
@shamaglory8934 2 жыл бұрын
Amen, it's well with us in christ Jesus 🙏
@sabinakhan2216
@sabinakhan2216 2 жыл бұрын
if people knew thats the price one would pay .would anyone commit a felony no unless very few thick heads n im sure the community will be better off such individuals.. and Thats the whole point . An example u steal ur left wrist gets chopped off now would anyone steal the answer is no. So we r left free from thieves. Thats the logic behind this.
@chirchirenock2854
@chirchirenock2854 2 жыл бұрын
Amen
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 Жыл бұрын
Hakika siku yao nao wataona
@JaamacIbrahim-ew1vb
@JaamacIbrahim-ew1vb 9 ай бұрын
Only God is the way
@kendimutunga
@kendimutunga 2 жыл бұрын
Saudi is not a country this hell I swear may God bless all this people
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 2 жыл бұрын
Mungu wa imani hii sio mungu wa imani ile samaki mmoja akioza kwenye tenga nadhani wataoza wote eee MUNGUU 😭😭😭
@sabihaibrahim3393
@sabihaibrahim3393 2 жыл бұрын
Hapana.hujui
@missmrs829
@missmrs829 2 жыл бұрын
Kweli kabisa yaani inauma sana
@newman1906
@newman1906 2 жыл бұрын
@@missmrs829 unajua anayehukumiwa kuuawa ni kwa kosa gan? Kosa kubwa ni wauwaji...muuaji auawe...
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Allah Akibarr. Inalillah wainailahi rajuun
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 2 жыл бұрын
I thank King Jesus for salvation and forgiveness in Christ there is no such His Grace speaks Patience,mercy love and a second chance Amem
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
Yesu hakuja kupinga sheria za Musa bali alikuja kuzitimiza, so jesus wako ni yupi? Anaye uwa wenzake kwa kukusudia pia naye hukumu yake ni kuuwawa
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 2 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 Wewe Yusuf hata uweleweki Yesu alimaliza Sheria za Musa eg ule mama aliepatikana akizini watu wale walitaka kumpiga nawe lakini walipo mleta kwa Yesu aliwampia asie na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe wote walienda siku za Musa huyo mama angeuwawa kwa kupigwa mawe wacha kuongea hata bibilia hauijui kamwe tunaishi wakati wa neema siku za Musa zilikuwa wakati wa Sheria utaiweza?
@princematumbo
@princematumbo 2 жыл бұрын
@@mercykariithi7919 wewe ndiye usie ielewa Bibi liar vizuri.kuna sababu ya yesu kusema hivyo na huyo mwanamke hakuuliwa.sababu yenyewe ni yesu alijuwa hakuna mwenye ushahidi hapo,ni vitimbi tu wanamfanyia.kwa hivyo pale yesu kasema uongo?!! Kuwa hakuja kutenguwa torati ya musa? So Huyu yesu mara Asema hivi mara vile?!😆😆😆
@judytabby2777
@judytabby2777 2 жыл бұрын
@@mercykariithi7919 ata usishindane na hawa wana karama ya ushindani wa kimapepo awajui mwanagaza
@JBB875
@JBB875 2 жыл бұрын
AMEN asante YESU kwa wokovu 🙏🙏🙏
@Ngomeniebenezer9
@Ngomeniebenezer9 2 жыл бұрын
I thank God am Christian ✝️
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 2 жыл бұрын
hahahaha sasa marekani hakuna adhabu ya kifo!!?, marekani wanaua sana
@aishaomari944
@aishaomari944 2 жыл бұрын
Cristian ee ngoja mwanao aje abakwe ndio utajua hii sheria n8 halali
@sergeant8355
@sergeant8355 2 жыл бұрын
@@aishaomari944 mnaabudu mashetani nyinyi..magaidi wa kafara za damu!
@aishaomari944
@aishaomari944 2 жыл бұрын
@@sergeant8355 huna akili kama unavoabudu mtt wamungu ungekuwa nazo ungekaa chini ukaabudu hata nabii musa
@sergeant8355
@sergeant8355 2 жыл бұрын
@@aishaomari944 kafara za damu zitawapeleka motoni..Alshabab magaidi!!!!..
@upendoluv7197
@upendoluv7197 2 жыл бұрын
Oooh Asante Yesu kristoo Mana ndio njia ya ukweli na Uzimaa
@ibucom12tv56
@ibucom12tv56 2 жыл бұрын
Hapo lazima uishi kwa adabu ujiepushe na Mambo ya watu ukifanya mchezo unakufa haikubaliki wewe utende kosa usamehewe kwa lipi. Leo tz watu wanafanya watakavyo ndio maana hakuna utii
@abdularuffin9308
@abdularuffin9308 2 жыл бұрын
Mungu ndiyo mwenye mamlaka ya kutoa roho mungu anaona hao magaidi
@sheilavienna9417
@sheilavienna9417 2 жыл бұрын
But its an islamic law,,ama???
@richbird.123
@richbird.123 2 жыл бұрын
Hukumu ya muuaji ni kifo
@ombeniyohaneaustin8415
@ombeniyohaneaustin8415 2 жыл бұрын
Emwenyezi mungu nipe mwisho mwema nitakapo kufa
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 2 жыл бұрын
Ameen
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Kukomesha dhambi si kuchinja mtu. Ingelikuwa hivyo kwa kuchinja mtu mmoja tu wengine wote wangeliogopa kutenda dhambi Tena... .. Achinjae Hana kibali Cha Mwenyezi Mungu na atendae dhambi pia... Wote nawatolea wito wa Toba... Yuko Mwenyezi Mungu hakimu wa haki na mwingi wa rehema... Tutubu kwake tutasamehewa... Hukumu za kidunia nyingine hazina haki Ni kuonekana tu visasi na kukamiana.. éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@sultaking8719
@sultaking8719 2 жыл бұрын
Hukumu ya kifo ipo kwa uislam so fatilia vizuri
@alingare3916
@alingare3916 2 жыл бұрын
Hata mataifa mengine hukmu ya kifo ipo Merikani hukmu ya kifo kwa mitindo tofauti kama kuwekwa kwenye kiti cha umeme, kunyongwa, kuchinjwa, risasi, ama sindano ya sumu
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 2 жыл бұрын
SubhanAllah, SubhanAllah, Kazi ni kazi ila Kazi Nyingine Jamani.Zataka Ujasiri Wa Hali Ya Juu.
@mwanamisakulembwa1147
@mwanamisakulembwa1147 2 жыл бұрын
Allahu Akbar..mungu tujalie mwisho mwema .hio sehemu nikipita minywele uni simama.. subhallah.
@omanphone3455
@omanphone3455 2 жыл бұрын
Nikisema najivunia Kua mtanzania namaaanisha 😭😭😭😭😭
@manenokawawa5708
@manenokawawa5708 2 жыл бұрын
Subuhna allah 😢 😭😭😭
@jacobboyakil3196
@jacobboyakil3196 9 ай бұрын
Itampasa hukumu mbele za Mungu ikiwemo serikari yake Yesu awafungue macho ya kiroho wapate kuona hatia walizo nazo ambazo hazionekani kwa macho ya kibinadam amina
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 2 жыл бұрын
Usitegemee kupata baraka kwenye hii kazi.Laana itakuandama na kizaz chako milele.Yesu pekee ndiyo njia ya kweli na uzima.
@khalfansoud8383
@khalfansoud8383 9 ай бұрын
muuwaje huuliwa hakuna jinsi nyengine
@noorsalim4612
@noorsalim4612 2 жыл бұрын
Ana roho yake subhanallah lakini siku yake itafika hatoishi milele
@mwinyiabdallah1817
@mwinyiabdallah1817 2 жыл бұрын
Akifa yeye anakuja mwengine kazi iendelee inshaallah
@zkiduku4068
@zkiduku4068 2 жыл бұрын
@@mwinyiabdallah1817 😂😂😂😂😂😂
@cideboy4676
@cideboy4676 2 жыл бұрын
Anafanya Kaz ya Halali kabisa mashaallah
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 2 жыл бұрын
@@mwinyiabdallah1817 🤣🤣🤣🤣😆😆🙌
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 2 жыл бұрын
Kasome quraan vizuri.
@user-ij2bf8of8h
@user-ij2bf8of8h 2 жыл бұрын
Subhaana Allah
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma 2 жыл бұрын
Mara nyingi watu wanaoacha ndevu za puani na kunyoa za chini huwa wanaroho ngumu sana chunguza
@sabihaibrahim3393
@sabihaibrahim3393 2 жыл бұрын
Hahahaaa wanafuata sheria za kidini
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 2 жыл бұрын
😆😆😆
@alidau2193
@alidau2193 2 жыл бұрын
Piga pesa maripo kwa mungu
@sabihaibrahim3393
@sabihaibrahim3393 2 жыл бұрын
@@alidau2193 hahahaaaa mbona watu kama hawa walikuwepo tokea kwa mitume maalumu kwa kazi hii
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Kama Hitler
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Serikali ya Tz ingemuazima hata wiki tu maana hali ikiendelea hivi 2050 Mashoga na wasagaji watakuwa na chama, Mwenyezi atunusuru, yaani nikipewa mimi hiyo kazi ningekubali lakini kwa Masharti ya kuwatandika wabakaji,mashoga na majambazi tu yaani hao hata leo nipewe hiyo kazi
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 2 жыл бұрын
😁😁😅Naiomba serikali isome text hii
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 2 жыл бұрын
Mungu akujaalie upewe hii kazi inakufaa Mana umejitolea nafsiyako kuiomba
@richbird.123
@richbird.123 2 жыл бұрын
Umesema point
@petermatabwa5085
@petermatabwa5085 2 жыл бұрын
Hata ndugu yako unaua tu
@tumbually3293
@tumbually3293 2 жыл бұрын
@@petermatabwa5085 ili mradi awe miongoni mwa hawa walio orodheshwa
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
Inauma sana lakini ipo siku atajuta kwa haya anayo yafanya😭😭😭
@binothman9284
@binothman9284 2 жыл бұрын
Hatojuta kwahili kwsbb hiyo ni amri Allah
@user-fv2sn7js7g
@user-fv2sn7js7g 2 жыл бұрын
@@binothman9284 ubwa rofa allah kwamwambia awuwe
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 2 жыл бұрын
@@binothman9284 we ni mwehu aisee...muuaji acha afungwe maisha na kufanya kazi nzito ajutie mpaka anakufa
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
@@binothman9284 amri ya nchi siyo ya Mungu kazi ya kuuwa si ya mwanadamu
@saniakisinga3645
@saniakisinga3645 2 жыл бұрын
Imani potofu
@evanceodongo3758
@evanceodongo3758 2 жыл бұрын
Pole sana hadi watoto wake anawafundisha ooh Mungu urundii upesi
@JBB875
@JBB875 2 жыл бұрын
BWANA YESU asante kwa wokovu 🙏🙏🙏
@shashajux
@shashajux Жыл бұрын
Amen aki and GOD HELP US NOT TO JUDGE SO WE DON'T END UP IN HELL WITH THE SINNER
@AsiaMkusa
@AsiaMkusa 2 жыл бұрын
Kazi n kazi kweli ila hii mnisamehe
@mwajabually2407
@mwajabually2407 2 жыл бұрын
Hahahaaa
@missindependent1893
@missindependent1893 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🙆‍♀️🙆‍♀️🙄🙄
@saidsalum6729
@saidsalum6729 2 жыл бұрын
Huu ni msiba mkubwa,huyo mtu naye asubiri adhabu kali kutoka kwa Mwenyezi Mungu,maana siku atakapokutana na malaika mtoa roho. Mungu atamwamlisha mtoa roho,anyofoe kwa ukali na ukatili mkubwa. Jambo la muda tu,atajuta siku itakapomfika.
@omollookoth5848
@omollookoth5848 2 жыл бұрын
Kenya needs this practice juu utapeli na uizi uchochezi umezidi huyu ndio inaitwa Verdugo
@philliswanjiru5562
@philliswanjiru5562 Жыл бұрын
Ata kama ni kazi Mungu usiwai kumbali hii mikono yangu imwage damu ya binadamu kama Mimi ama pia nimwagwe damu na binadamu kama mmi ukimwaga damu ya mtu mwingine ata wewe yako itamwagwa vile vile tuu heri mgewafungia jera adi tyme yenye watakao kufa woiii Mungu wahurumie wanafanya Kando na neno lako Na Mungu tuokoe sisi tuko humu nchini ya Saudi Arabia Mungu tusaidie twakuomba
@moshirashidi3044
@moshirashidi3044 2 жыл бұрын
Mungu wangu ni kwanini anafanya hivyo wakati mungu ndo mtoa hukum
@sabihaibrahim3393
@sabihaibrahim3393 2 жыл бұрын
Hizo ndo hukumu za munguuu yeye.anateketeza saudia wanafata sheria za dini
@mirja1687
@mirja1687 2 жыл бұрын
Thank You Jesus, i don't live there Amen !
@amanmalima940
@amanmalima940 9 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@user-gu3tz2ex9s
@user-gu3tz2ex9s 9 ай бұрын
Yaaa الله wahifadhi ndugu zetu waliopo saudia 😭😭😭
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 2 жыл бұрын
So, nadhan labda ni kwasababu hukumu zimetofautiana tu, wao ni kuvhinjwa, wengine kunyongwa, wengine kupigwa Shaba, wengine shot ya Umeme, hivyo yote ni sawa maana ni hukumu ya Kifo kwa njia tofauti za adhab hiyo kulingana na sheria za nchi fulan
@didatoadan1505
@didatoadan1505 2 жыл бұрын
👊🔥
@aishamussa7246
@aishamussa7246 2 жыл бұрын
Mung kaweka sheria Ila pia katufundisha kusamehe, hukum yakuua sio nzur😭😭Allah atunusuru
@neymarsalah2240
@neymarsalah2240 2 жыл бұрын
Ukikuulia ndugu yako mtu afanywe nn?
@aishamussa7246
@aishamussa7246 2 жыл бұрын
Unamsamehe2 ata Kama utaumia kias gani maana hata kma asipo uawa nam2 atakufa2 kwa uwezo wa Allah maana hakuna kifo kisicho na sabab
@KasminaCreation
@KasminaCreation 2 жыл бұрын
Kazi mbaya kweliii😭😭
@raiswabuza3042
@raiswabuza3042 2 жыл бұрын
Kumsababishia mtu maumivu makali kwa makusudi inakufanya nafsi yako ya kiroho ififie ije nafsi ya ushetani, nafsi ya kiroho ndio nafsi tulio ubwa nayo ili tuweze kuifurahia dunia, wengi wetu tuliweza kuishi nayo kipindi cha utoto na kadri tunavyo kuwa na kukutana na watu wanao tubadilisha nafsi zetu za kiroho zinafifia taratibu. Hata kama umechinja mtu kwasababu amefanya makosa lazima ikubadili nafsi hata kama uki fake, uta fake kwa nje ila ndani yako una ushetani na kamwe hauto kuwa na furaha
@zayanabakari7948
@zayanabakari7948 2 жыл бұрын
Unaaminije unachoambiwa yeye alikuwepo kipind hicho au anatudanganya tu mtandaoni mi siwaamin 😡
@fredysigy4771
@fredysigy4771 9 ай бұрын
​@@zayanabakari7948usilolijua ni kama usiku wa giza
@filismpangala2146
@filismpangala2146 2 жыл бұрын
Amelaaniwa
@rehemaseif1785
@rehemaseif1785 2 жыл бұрын
Kazi ngum sana hiyo😢😢😢
@israelthomas8621
@israelthomas8621 4 ай бұрын
Hii roho chafu ya shetani ikae mbali na Familia yangu na Ukoo wangu wotee kwa jina la Yesu kristo uuh😢
@erastusnjue9534
@erastusnjue9534 2 жыл бұрын
ALHAMDULILLAHI....SHERIA ZA QURAN ZITEKELEZWE VILIVYO
@marynjeri1979
@marynjeri1979 2 жыл бұрын
Yani quran inakubali watu kuchijwa badala ya kusamehewa?na ndiyo mnasema ndiyo kitabu takatifu pekee ya mungu.
@AMI-ip1lx
@AMI-ip1lx 2 жыл бұрын
Sibora Wampe Tu Sumu afe Mwenyewe Au Apigwe Risasi Badala Ya Kukatwa kiungo chake jamani 😰😰😰😰😭😭😭😭😭😭Hapo Misiwezi Kuenda hata kutazama anavyo uwa Mmmmmh
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Ila hizi sharia kwakweli mungu tusamehe🙏😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@seifjuma4743
@seifjuma4743 2 жыл бұрын
Hahahaha huku pia ukooo oky sheria hiii ni tmu san si jera kula uchumiii wa nchiii
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
@@seifjuma4743 🤣🤣
@allenmethod6788
@allenmethod6788 2 жыл бұрын
Yan so mchzo kabisa maan unatakiwa uwe na roho ngumu kwlkwl.
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
Sheria tamu sna
@user-ge4wp4iq1e
@user-ge4wp4iq1e 8 ай бұрын
ALLAH hapendi hvyo aliyepewa kazi yakua n izrael ALLAH atuhifadhi tusiwe miongoni mwao wenye kuhukumu watu bila ujra wa ALLAH
@saidmuhsin2446
@saidmuhsin2446 2 жыл бұрын
Katika suala la sheria ya kuuwawa katika uislamu ipo ila hawa jamaa wanaubaguzi bila nashaka! Na kwaushahidi kabisa...wanasema ukihukumiwa kifo unauwawa ila ikitokea umeuwa na ndugu wa uliyowauwa kukusamehe huuwawi unabadilishiwa adhabu!!! Je kwa mantiki hapa uadilifu uko wapi 🤐??? Hamna kitu hamna haki hapo!!!
@khalfansoud8383
@khalfansoud8383 9 ай бұрын
kwenye qur an ipo ikiwa waliouliwa jamaa yao wamesamehe basi huuliwi isipowa kusoma dini yetu muhimu
@aishasaidaishasaidaishasai2319
@aishasaidaishasaidaishasai2319 2 жыл бұрын
Mungu ndio hukumu maana yy anavyouwa ajuwe kesho kwa Allah atahukumiwa n yy ...
@sadyminja1648
@sadyminja1648 8 ай бұрын
Hukumu ya kifo katika dini tukufu yetu ipo wacha kuongea mambo bila elimu
@lillyxuying4954
@lillyxuying4954 2 жыл бұрын
Sina nguvu ata ya kutembea sasa,,, I can't even bear see my blood
@user-zk1vy6tt4v
@user-zk1vy6tt4v 9 ай бұрын
Hasbuna llah waneng'emall wakill
@JohariNgailo-ry3mn
@JohariNgailo-ry3mn 8 ай бұрын
Mungu atusaidie hayo siyo maisha
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Mihao mapenzi ya jinsia moja Sinaga huruma nao
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 2 жыл бұрын
Uko Sawa kabsa I support your comment fully
@mahamoudmkunga2798
@mahamoudmkunga2798 2 жыл бұрын
Kwanini awe mtu mweusi 😭😭😭😭😭🥵
@monicahovda4524
@monicahovda4524 2 жыл бұрын
Hata Mimi nimejiuliza kwanini ni Mweusi, Ila familia yangu ishaishi sana Saudia Arabia kikazi, Kuna kaka yangu Mmja aliniambia huyu mtu ni anaeshimika na kuogopewa na wanawaona watu weusi ni Makatili sanaa
@hudaaalhussein3841
@hudaaalhussein3841 2 жыл бұрын
Si ukatili ni ushujaa
@user-zk1vy6tt4v
@user-zk1vy6tt4v 9 ай бұрын
Mungu awape subra wote walionyongwa insha allah awape Pepo ya Firdausi nawengieo ameena ameena yaarab
@CaritusSabuni
@CaritusSabuni 9 ай бұрын
Siku ya mwisho we utakuwa motoni Hadi milele we sio Mungu hata na we utakuwa utakufa hawana akili wakatili ipo siku unanuka damu za watu
@khalfansoud8383
@khalfansoud8383 9 ай бұрын
amiiin
@haronkombe4283
@haronkombe4283 2 жыл бұрын
umejilaani we mwenyewe hakuna ruhusa ya kumtoa mtu uhai.sheria gani ya mungu hiyo .utalipia siku Moja .kwa nini upokee hela ya damu?
@georgeswaiswai4581
@georgeswaiswai4581 2 жыл бұрын
Tanzania wanawake waislam wangechinjwa Sana,,,niwavunjaji wa sheria ya kiislam
@monicahovda4524
@monicahovda4524 2 жыл бұрын
Pangekuwa hapatoshi ni kushikana Mashati, Ila Tanzania haiko kwenye sheria hizo, au Karibia Africa yote, kwa kuwa sisi wafrica tuko kiutamaduni wetu zaidi, pamoja na hata kama tumepokea Mafundisho ya Muumba. Nadhani zingekuwapo hizi sheria kusingekuwa na vibaka
@saliminasalim3751
@saliminasalim3751 2 жыл бұрын
We George unasemaje wanawake wa kiislam wangenyongwa sana , je ungewanyonga wewe mbona unaongea utumbo jitanbue ACHA kuropoka jitanbue sana hakuna mtu ambae husifiwa kwa kuropoka
@lucykariuki4520
@lucykariuki4520 2 жыл бұрын
Mungu aliyeleta binadamu nduniani ndiye anafaa kumtoa huku.The bible says don't kill.
@khalfansoud8383
@khalfansoud8383 9 ай бұрын
hiyo hukmu ndiyo inatokana na mungu ili iwe fundisho ili wengine wasiendelee kudhuru wenzao watu waishi kwa amani duniani hata ingelikuwa wewe usingekubali kirahisi namna hiyo ila kusameheana ni utukufu zaidi samehe na wewe uje usamehewe
@misungwikids563
@misungwikids563 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ndie aliyetoa mamlaka kwa binadam kuitawala dunia na vi2 vyote vilivyomo....ila kwa hili la kuchinja wa2 mmmh haya ni maaandiko ya waliona roho mbaya ila siyo ya Allah...Mimi ni muislam lakn hil swala la kuchinja wa2 ninalikemea sana
@saidyssaley1509
@saidyssaley1509 2 жыл бұрын
Kaka na wamagharibi
@tumbually3293
@tumbually3293 2 жыл бұрын
Je umeongelea kwa mtazamo ama uelewa wako ama umeyazngmza haya kwa mujibu wa muongozo wa dini unavyosema Mana unaweza ukayaongea haya kwa mtazamo wako na sio dini inavyosema
@user-hw7ce8gf6v
@user-hw7ce8gf6v 9 ай бұрын
Huu jamaa sio mtu kawaida tena WARUMI 12 17 Msimlipe mtu ovu kwa ovu, angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote. 19 Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa, kisasi ni juu yangu mimi, mimi nitalipa, anena Bwana. Amen !!!
@semkiwamganga4405
@semkiwamganga4405 2 жыл бұрын
Hizi ni hukumu dhulumati,only applicable to foreigners/wenyeji hawakosi....un_ISLAMIc
@jamil1547
@jamil1547 2 жыл бұрын
Na wanawake bado wanakubali kuolewa na chinjachinja siwezi kulala na muuwaji
@mosesmaiga7408
@mosesmaiga7408 2 жыл бұрын
Haaaa et chinja chinja
@shhdndhdjsjs-em4kd
@shhdndhdjsjs-em4kd 8 ай бұрын
Huyu mtu lisura lake latisha jamani alafu ujikute wewe ni mke wake au mtoto heri niishi bila nume au baba 😢😢😢😢
@ZayyunSaleh
@ZayyunSaleh Жыл бұрын
Inna lillah wainna ilayhi raajioun 😢😢kwakwel hii ni hukmu nzito mno yaa rabbiy tuongoze katika khery na utuepushe na madhambi mazito mazito mpk kufikia kuhukumiwa kifo😢😢naona bora ingekuw inatumika sindano ya sumu niafadhal lkn unajiona kabsa unachinjwa yaa Allah tusameh na uturehem
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 2 жыл бұрын
Kawaida wa black Saudi Allah anisamehe niwatu hawanaga huruma ukikutwa na kosa kuliko kukutana napolisi mweusi afadhali ukutane napolisi mweupe
@MaryamMaryam-gi9zw
@MaryamMaryam-gi9zw 2 жыл бұрын
Ndoo umeenda kufanya kazi saudia kwa alibeshi utatoka salama kweli
@mwajumasaidi2041
@mwajumasaidi2041 2 жыл бұрын
😄😄😄Unaogopa
@nyekingobwire3671
@nyekingobwire3671 9 ай бұрын
Utatoka salama ukiwa muerewa
@maryammohd5994
@maryammohd5994 2 жыл бұрын
Sheria za mungu na si sheria za saud Arabia...
@sadyminja1648
@sadyminja1648 8 ай бұрын
Masha Allah
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 9 ай бұрын
Mercy upon ur people lord .
@rayanaabdallah6580
@rayanaabdallah6580 2 жыл бұрын
Mungu atusamehe madhambi yetu ya siri na ya Dhahiri
@taturajabu5977
@taturajabu5977 2 жыл бұрын
Inshaalha
@husnazahorohusna3905
@husnazahorohusna3905 9 ай бұрын
In shaallah
@jamilamohammed2771
@jamilamohammed2771 2 жыл бұрын
Astaghfirullah
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 2 жыл бұрын
Kwa lipi
@user-fv2sn7js7g
@user-fv2sn7js7g 2 жыл бұрын
Ina umaaaa mungu atusa Idia sis wenye hatuko nyumbani yalabiii 😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@hasanulbaswari6804
@hasanulbaswari6804 9 ай бұрын
إنا لله و انا اليه راجعون😭😭
@murigukabugi
@murigukabugi 2 жыл бұрын
Hiyo sauti iko na chumvi nyingi, haitoshi... Ya Edgar ndiyo mambo yote, imetulia
@mwajumasaidi2041
@mwajumasaidi2041 2 жыл бұрын
, 😄😄
@reginawaridivlog
@reginawaridivlog 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@tanialucas4579
@tanialucas4579 2 жыл бұрын
Mungu saidia watu wawe na hofu yangu
@VabraJerome-fy6nf
@VabraJerome-fy6nf 9 ай бұрын
Damu zinamlilia kila uchao ila mungu ndo mueza wa yote ila ajiulizi kama ikiwa mwanae amefanya kosa la kuua kwa bahati mbaya atachinja kama anavyofanya😢
@jethanleodger1786
@jethanleodger1786 2 жыл бұрын
Hakuna anayepaswa kuhukumu zaidi ya mungu, na kila anayehukumu atahukumiwa tuu.
@joleenmasha
@joleenmasha 2 жыл бұрын
Kabisa
@surujajwie4768
@surujajwie4768 2 жыл бұрын
subuhana Allah nikwli nilishudia video yake wallah iyosiku sikullallah
@tumbually3293
@tumbually3293 2 жыл бұрын
Fanya kunitumia bas na mm
@allymapinda8804
@allymapinda8804 2 жыл бұрын
Hilo jina la chop chop Square... Yani upo mahakamani ukasikia hukumu yako ni chop chop Square ujue ndio basi tena 🗡
@aminaomary5567
@aminaomary5567 9 ай бұрын
Naye asubiri kwenda kuona cha moto kwa mungu.Ongera Tanzania yetu.
@andreageorge6407
@andreageorge6407 8 ай бұрын
Kwenye Amri za Mungu tumeambiwa USIUE
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
MUNGU mwana au MUNGU mtoto
@sashasharif8673
@sashasharif8673 2 жыл бұрын
Sasa vipi ile amri ya usiuwe,tunaikwepaje?Mungu wangu😭😭😭
@alimohd5123
@alimohd5123 2 жыл бұрын
Unatakiwa usome dini yako ili ujue Sheria na hukumu. Venginevyo utaburuzwa
@eleasemugo5371
@eleasemugo5371 2 жыл бұрын
Usiuwe ila aliye...... Endelea shariff wajua......
@khadijakhamis381
@khadijakhamis381 2 жыл бұрын
Subhana llah
@hassanihatibu187
@hassanihatibu187 2 жыл бұрын
Mashaalla
@hamzambasha8577
@hamzambasha8577 2 жыл бұрын
Alafu hapo akimaliza anaenda kuswali kuna watu motoni kuna sehemu yao maalumu
@joleenmasha
@joleenmasha 2 жыл бұрын
Imagine
@iddykisome3126
@iddykisome3126 2 жыл бұрын
Mahakimu awaendi makanisani jpili
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4,6 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 37 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 23 МЛН
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Global TV Online
Рет қаралды 816 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 384 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4,6 МЛН