MFALME wa UTUKUFU | Sehemu 2 | KING of GLORY | Swahili

  Рет қаралды 54,218

KING of GLORY the Movie

KING of GLORY the Movie

8 жыл бұрын

Sehemu 1: • MFALME wa UTUKUFU | Se...
Sehemu 2: • MFALME wa UTUKUFU | Se...
Hii safari ya kupitia kwa Maandiko ya manabii inakualika ukutane na Mfalme wa ulimwengu na uelewe mpango wake wa kuwaokoa wana wake walioasi, ili watoke kwenye ufalme wa giza na awawezeshe waishi naye milele katika ufalme wake wa mwanga. Ikiwa na masimulisi ya kiundani mchanganyiko mzuri wa vibonzo na picha za video, filamu hii imelenga watu wote wa Ulimwengu na wa umri wote.
Urefu wa filamu hii ni dakika 222 na imeainishwa katika milango 70 na kupangiwa katika mfululizo wa matukio 15 katika sehemu mbili kuu:
Mgawo wa 1 Agano la Kale: Mfalme anaeleza mipango yake (Vipengee 1-8)
Mgawo wa 2. Agano Jipya: Mfalme anatimiza mpango wake (vipengee 9:15)
Mfalme wa Utukufu 1: Hadith katika vipengee 15.
Mgawo wa 1. Agano la Kale: Mfalme anatabiri mipango yake (Saa moja na dakika 47)
1. Utangulizi, (sehemu ya 1-3)
2. Mwumba na Uumbaji wake (sehemu ya 4-9)
3. Kuingia kwa uovu (sehemu ya 10-15)
4. Laana ya dhambi na Ahadi ya Mungu (sehemu 16-19)
5. Njia ya Kafara (sehemu ya 20-24)
6. Uasi wa Mwanadamu na Uaminifu wa Mungu (sehemu ya 25-27)
7. Mpango wa Mungu wasonga mbele (sehemu ya 28-32)
8. Sheria na Manabii (sehemu ya 33-36)
Mgawo wa 2. Agano Jipya: Mfalme Atimiza mpango wake (saa 1 dakika 55)
9. Kuingia kwa Mfalme (sehemu ya 37-42)
10. Asili ya Mfalme (sehemu ya 43-47)
11. Himaya ya Mfalme (sehemu ya 48-51)
12. Misheni ya Mfalme (sehemu 52-56)
13. Maneno ya mwisho ya Mfalme (sehemu 57-61)
14. Kafara ya Mfalme na Ushindi (sehemu 62-65)
15. Injili ya Mfalme na Utukufu (sehemu 66-70)
Jinsi Mungu wetu alivyo Mkuu (Ikiimbwa kwa Kiarabu)
© 2019 ROCK International www.king-of-glory.com
This journey into the Scriptures of the prophets invites you to meet the one true God and understand His plan to rescue His rebellious subjects from the kingdom of darkness and qualify them to live with Him forever in His kingdom of light. With its thought-provoking narrative and inspired mix of animation and live video, this film is for a worldwide audience of all ages.
The full film is 222 minutes, composed of 70 Scenes grouped in 15 episodes, and divided into two main parts:
Part 1. Old Testament: The King Foretells His Plan {Episodes 1-8}
Part 2. New Testament: The King Fulfills His Plan {Episodes 9-15}
KING of GLORY: 1 STORY in 15 EPISODES
Part 1: Old Testament: The King Foretells His Plan [1 hour 47 minutes]
1. Prologue (Scenes 1-3)
2. The Creator & His Creation (Scenes 4-9)
3. Evil’s Entrance (Scenes 10-15)
4. Sin’s Curse & God’s Promise (Scenes 16-19)
5. The Way of the Sacrifice (Scenes 20-24)
6. Man’s Rebellion & God’s Faithfulness (Scenes 25-27)
7. God’s Plan Advances (Scenes 28-32)
8. The Law & the Prophets (Scenes 33-36)
Part 2: New Testament: The King Fulfills His Plan [1 hour 55 minutes]
9. The King’s Entrance (Scenes 37-42)
10. The King’s Character (Scenes 43-47)
11. The King’s Dominion (Scenes 48-51)
12. The King’s Mission (Scenes 52-56)
13. The King’s Submission (Scenes 57-61)
14. The King’s Sacrifice & Triumph (Scenes 62-65)
15. The King’s Gospel & Glory (Scenes 66-70)
How Great is Our God (Sung in Arabic)
Credits
© 2019 ROCK International www.king-of-glory.com

Пікірлер: 52
@stephanokabiti4483
@stephanokabiti4483 3 жыл бұрын
Nimetenda dhambi nyingi sasa we YESU UNISAMEHE AMINA
@JamesMwabonje
@JamesMwabonje Жыл бұрын
Mungu uhimidiwe milele🙏🙏🙏💕❤️
@bonita329
@bonita329 3 жыл бұрын
Eh Yesu nakupenda ❤usiniache katika ufalme wako baba🙏🏼❤⚘
@wojciechambrose7684
@wojciechambrose7684 4 жыл бұрын
Aman ya Kristo na itawale
@gladysrael3396
@gladysrael3396 3 жыл бұрын
Eh yesu unikumbuka mwana wa mungu baba
@neemaemmanuel6850
@neemaemmanuel6850 5 жыл бұрын
Ee Yesu kristo unikumbuke katika ufalme wako. Amen
@queen_bellabella6833
@queen_bellabella6833 3 жыл бұрын
God he is our father
@johannesjoseph7496
@johannesjoseph7496 5 ай бұрын
Mbarikiwe kwa neno❤
@cmoshi7014
@cmoshi7014 5 жыл бұрын
MUNGU awabariki wote mliohusika katika utengenezaji wa ujumbe huu wa NENO la Mungu ambao uko kwenye biblia takatifu. Endeleni kuifanya kazi ya MUNGU kwa uaminifu. AMEEEN!!
@jovitykamugisha8234
@jovitykamugisha8234 5 жыл бұрын
Ujumbe wenye mafundisho mazuri,Mungu awabariki walioshiliki ameen
@TuliaMwakyusa-ce5lo
@TuliaMwakyusa-ce5lo Жыл бұрын
Mungu awabarikii sana sana
@paulsinkonde7571
@paulsinkonde7571 4 жыл бұрын
Asante mungu kwakuwa u mwaminf was milele. Ameen
@marcymurangga1675
@marcymurangga1675 4 жыл бұрын
Mungu ni Mungu siku zote na atabaki kuitwa Mungu milele.yeye yule jana leo na hata milele amina.
@lwessopacifical9580
@lwessopacifical9580 2 жыл бұрын
mennesker der elsker jesus krisuts🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝🤲👨‍🎓👨‍🎓
@mbokamtafya535
@mbokamtafya535 4 жыл бұрын
Mungu atupe kuimarika ktk imani zetu, ili siku moja tukamlaki mawinguni.
@vilancelumala7049
@vilancelumala7049 3 жыл бұрын
Ulweli
@cyprianchale7460
@cyprianchale7460 5 жыл бұрын
Mungu wetu ni Mungu wa mipango
@gleemelvin5672
@gleemelvin5672 5 жыл бұрын
Mungu atuongoze amina
@luciekituza4267
@luciekituza4267 4 жыл бұрын
Amen. Tunashukuru sana kwa mafundisho haya ya kutunufaisja. Mungu awabariki sana
@lwessopacifical9580
@lwessopacifical9580 2 жыл бұрын
mennesker der elsker jesus krisuts🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝
@rachelgodblessyouamen9027
@rachelgodblessyouamen9027 6 жыл бұрын
mwenyezi Mungu wabarikie
@salimmawiya6473
@salimmawiya6473 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu ni mmoja hakuzaaa wala hakuzaliwa wala hakuna alofanana nae hata mmoja
@yahyaar7739
@yahyaar7739 2 жыл бұрын
ww tu umeubwa kwa mfano wa Mungu
@nassibchatta651
@nassibchatta651 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ulie tengeneza hii makala
@babekalomokecharles1280
@babekalomokecharles1280 5 жыл бұрын
amen nampenda yesu sana.
@marcymurangga1675
@marcymurangga1675 4 жыл бұрын
Yesu kristo ndiye mwokozi wa ulimwengu wote..
@lwessopacifical9580
@lwessopacifical9580 2 жыл бұрын
mennesker der elsker jesus krisuts🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝💅💅
@saleheniyogushima8695
@saleheniyogushima8695 5 жыл бұрын
Mubalikiwe sana wapendwa wamungu musonge mbele namungu amina
@rachelgodblessyouamen9027
@rachelgodblessyouamen9027 6 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki
@emmanuelsambala5266
@emmanuelsambala5266 6 жыл бұрын
Nabalikiwa sana
@bonita329
@bonita329 4 жыл бұрын
eh yesu utukumbuke🙏🏽😢
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 7 жыл бұрын
Nnabarikiwa sana na mafundisho haya Mungu awajalie sana mloandaa
@abisairobert5894
@abisairobert5894 7 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki
@jaqlinemsaki7263
@jaqlinemsaki7263 5 жыл бұрын
Amen🙏
@TuliaMwakyusa-ce5lo
@TuliaMwakyusa-ce5lo Жыл бұрын
Hakika nimeelewa
@rachelgodblessyouamen9027
@rachelgodblessyouamen9027 6 жыл бұрын
eee Mungu wangu asante
@moseshebron6332
@moseshebron6332 6 жыл бұрын
MUNGU wa milele asifiwe sana
@merympamba3126
@merympamba3126 4 жыл бұрын
Ubalikiwe sana
@dangotebrowntz1071
@dangotebrowntz1071 5 жыл бұрын
Amin
@festotmwacha9855
@festotmwacha9855 5 жыл бұрын
siachi kuitazama aisee
@lwessopacifical9580
@lwessopacifical9580 2 жыл бұрын
mennesker der elsker jesus krisuts🙏🙏🙏🙏🙏👍🙏🙏👨‍🎓👨‍🎓🚖🚖✈🎁🏆🎖🎖🎖🏆🏆🏆passi kaka congo 🎓🎓🎓🎓👑👑💍💍💍💵💵💵💶💶💶💶💶💵💵💵💵💵💵💵💵💵💵💶💶💶💶💷💷💷💷💷💸💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💵💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💶💵💵💵💵 passi kaka 💳💳💳💰💵💵💵💶💶💶💶💶💷💷💷💷💷💶💶💶
@jameskomba3806
@jameskomba3806 5 жыл бұрын
amen
@lwessopacifical9580
@lwessopacifical9580 2 жыл бұрын
mennesker der elsker jesus krisuts🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👨‍🎓👨‍🎓👨‍🎓passi
@bambaebamba3556
@bambaebamba3556 4 жыл бұрын
Amen🇨🇩🙏
@queen_bellabella6833
@queen_bellabella6833 3 жыл бұрын
Amazing story of Jesus
@lwessopacifical9580
@lwessopacifical9580 2 жыл бұрын
mennesker der elsker jesus krisuts🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝👨‍🎓
@annakashindi9420
@annakashindi9420 5 жыл бұрын
Anastahili kupewa sifa MUNGU WANGU
@titojhonkwangunomasan4976
@titojhonkwangunomasan4976 4 жыл бұрын
Yesu. Mwanawa. Daudi.unilehemu
@queen_bellabella6833
@queen_bellabella6833 3 жыл бұрын
But I can't understand the storry
@ROCKResourcesKINGofGLORY
@ROCKResourcesKINGofGLORY 3 жыл бұрын
What don't you understand? The Swahili language? Or the meaning of the story being told? For 40 other languages, click here: www.king-of-glory.com
@Fazeofbros
@Fazeofbros 3 жыл бұрын
Amen 🙏
@lwessopacifical9580
@lwessopacifical9580 2 жыл бұрын
mennesker der elsker jesus krisuts🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 passi kaka🙏🙏🙏
KING of GLORY | Full Movie | English | His kingdom was seized. But He's taking it back.
3:42:25
4 Hours Worship Piano With Scriptures On God's Faithfulness
3:43:20
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,3 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 27 МЛН
Injili ya Yohane
2:18:03
Membo Zamoka
Рет қаралды 24 М.
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Shane Tv
Рет қаралды 15 М.
The Life of Jesus | English | Official Full HD Movie
3:03:10
Jesus.net
Рет қаралды 74 МЛН
Neno la Mungu | "Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu" (Sehemu ya Kwanz)
49:04
Kanisa la Mwenyezi Mungu
Рет қаралды 32 М.
В аэропорту с мамой
0:48
Штукенция
Рет қаралды 574 М.
#рекомендации #батёк #смешныевидео #смех
1:00
funny video-batek
Рет қаралды 3,8 МЛН
路飞还是太年轻了#海贼王 #路飞
0:19
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 2,3 МЛН
Спас пса от гибели🥲
0:52
Следы времени
Рет қаралды 1,8 МЛН