Mgisa Mtebe - MSAMAHA NA FAIDA ZA KUTII NENO LA MUNGU.

  Рет қаралды 33,227

Mgisa Mtebe

Mgisa Mtebe

5 жыл бұрын

Mgisa Wilson Mtebe ni Mwalimu wa Neno la Mungu ; ni
mtotowa pili wa Dr. Wilson Mtebe na Mama Usuli Mtebe
wa Morogoro mjini. Kitaaluma, Mgisa ana shahada ya
kwanza katika Uchumi na Mipango (BSc. In Planing)
Chuo kikuu cha mjini Morogoro. Pia Mgisa ni mwalimu mwenye Diploma kutoka
Chuo cha Ualimu cha Kanisa la kilutheri cha jijini Mbeya.
Mgisa amekuwa akifundisha neno la Mungu kwa ufasaha, katika
Makanisa , Makongamono Vyuo nashule mbalimbali, ndani na nje ya
Tanzania . Huduma hii ya Ualimu aliyopewa na Mungu imekuwa
Baraka nyingi kwa watu wengi.
Mobile : +255 753 497 655
Website: www.mgisamtebe.or.tz/
facebook : / mgisa-mtebe
Instagram : www.instagram.com

Пікірлер: 24
@donaldmassawe620
@donaldmassawe620 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa
@henryokiya8417
@henryokiya8417 Жыл бұрын
Very true
@edwardgodfrey8656
@edwardgodfrey8656 5 жыл бұрын
Daaah... Mungu Nisaidie.
@emanuelmushi6878
@emanuelmushi6878 5 жыл бұрын
Niliposamehe baadhi ya mambo yalonitia uchungu mkubwa ndipo nilipata furaha'kushikilia vitu moyoni hakusaidii chochote nikujipa magonjwa2'wala haibadilishi chochote'msamaha unaharakisha mabadiliko kwa mkosaji'
@meshackjacobmwakalasya543
@meshackjacobmwakalasya543 3 жыл бұрын
Amen Mungu alibariki neno lake hakika nimepata kitu kizuri
@asiimweanthony9057
@asiimweanthony9057 5 жыл бұрын
Mungu nisaidie maana peke yangu siwezi kabisa
@stellahsanga8214
@stellahsanga8214 5 жыл бұрын
Mmh!! huo ushuhuda wa huyo mama umenibariki... MUNGU atabaki kuwa MUNGU ...ubarikiwe Mtumishi
@floraabdalah6938
@floraabdalah6938 4 жыл бұрын
Majaribu mengine nimagumu sana mungu atusaidie japokuwa jaribu ni mtaji mbele kuna faida barikiwa mtumishi wamungu
@faustinejohnson8391
@faustinejohnson8391 Жыл бұрын
Napend mafundisho ya uzima namna hii
@togetherchristiansmedia3437
@togetherchristiansmedia3437 5 жыл бұрын
Amen
@johnprince5093
@johnprince5093 5 жыл бұрын
I love your teachings....
@RealGiftLydia
@RealGiftLydia 5 жыл бұрын
Kweli kabisa kufikia ngazi iyo yaani kuna ufunguo wa jambo ndipo na baraka zake zinakujilia kama nini Eeee Mungu nijalie huo msuli wa Imani niweze kushinda kila aina ya jaribu ilimradi nikupate wewe tu Bwana wangu🙏❤
@maryoswald6192
@maryoswald6192 5 жыл бұрын
Mungu atusaidie sio jambo dogo
@frankjuma2192
@frankjuma2192 5 жыл бұрын
Amen, Mtumishi. Somo nimelielewa vizuri Sana
@ivanmatalu4028
@ivanmatalu4028 5 жыл бұрын
Ahsante kwa neno mtumishi
@magdalenafelician3870
@magdalenafelician3870 5 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana, si kazi ndogo kuishinda nafsi. Asante mtumishi kwa somo zuri la kutuinua viwango vya kiroho.
@jastinjoram6864
@jastinjoram6864 5 жыл бұрын
Amen nakuelewa sana
@meshackandulile3162
@meshackandulile3162 5 жыл бұрын
First comment
@stellamkama5841
@stellamkama5841 5 жыл бұрын
meshack andulile 2
@lilliancharlesigogo4078
@lilliancharlesigogo4078 5 жыл бұрын
Powerful
@wanjirubetty5466
@wanjirubetty5466 5 жыл бұрын
Amen Amen
@josephinemuhonja743
@josephinemuhonja743 5 жыл бұрын
Kimeeleweka
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 4 жыл бұрын
Hapo pa kuchemshia kahaba maji jamani tusemezane tu ukweli jamani.. maanake dah..mtihani huo😆😆
@stephaniempawenimana6587
@stephaniempawenimana6587 3 жыл бұрын
Amen
MUNGU HUWAPINGA WENYE KIBURI - Mwl: Mgisa Mtebe
22:46
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 34 М.
Mgisa Mtebe - HILA ZA SHETANI
13:29
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 32 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 76 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 11 МЛН
NGUVU YA UTII - Pastor Myamba
27:13
Pastor Myamba
Рет қаралды 1,2 М.
NENO LA MUNGU
15:41
Paradise choir Ruanda Moravian
Рет қаралды 37 М.
Mch.DKT   WILLIAM KOPWE - SEMINA YA NENO LA MUNGU-IBADA YA ASUBUHI DAY 1.
42:21
Mgisa Mtebe - PASSION - KUTAMBUA MZIGO AU WITO WAKO
15:12
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 25 М.
Vitu 4 Kwa Anaeomba Msamaha - Joel Nanauka
5:06
Joel Nanauka
Рет қаралды 11 М.
MITIMINGI # 554 VITA YA MAWAZO
30:20
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 97 М.
Unafahamu kwamba MSAMAHA huanza kabla ya UPENDO?
38:29
PROPHET NICOLAUS SUGUYE
Рет қаралды 14 М.
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
50:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 1 МЛН
Mwl. Mgisa Mtebe: Mbinu za Vita Vya Kiroho - Day 2
31:20
Logos 724
Рет қаралды 2,6 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 76 МЛН