Baho baho wayangu mweee kunogile ukae wazaramo oyoooo najivunia kuwa kabila langu mzaramo wapi masanganya bwawani kwa baba lao wapi chang'ombe mfuru kwa mama lao marikia wa nguvu mungu awalaze mahala pema peponi wazazi wangu wote waliotangulia mbele ya haki amiiiina