MILIONI 400 KUKOMESHA MAFURIKO IFAKARA.

  Рет қаралды 191

NDC Online Media

NDC Online Media

26 күн бұрын

Serikali imetoa zaidi ya shilingi Milioni 400 kujenga tuta kubwa kuimarisha kingo za Mto Lumemo uliokatiza kwenye Mji wa Ifakara, kuepusha madhara yanayo jitokeza zinaponyesha mvua kubwa, msimu wa mwaka huu pekee kuna zaidi ya watu 10 waliopoteza maisha kwa kusombwa na Maji
Mradi huo mkubwa unalenga kurejesha maji yaliyokuwa yakipotea kipindi cha Mvua, kwa kutapakaa baada ya Mto kupoteza uelekeo, tayari ujenzi wa tuta kubwa umekwisha anza kuna zaidi ya asilimia 45 zilizofikiwa, takribani kilomita 4 kati ya 12 zilizopangwa kama inavyo elezwa na Msimamizi wa Mradi afisa Maji Bonde la Rufiji Kidakio cha Kilombero.
Mto Lumemo ni kati ya Mito mikubwa unaochangia asilimia 35 ya Maji yaliyo kwenye Mto Kilombero ambao ndio unaojaza Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa zaidi ya silimia 65, mradi huo pamoja na kulenga kutafutia suluhu mafuriko kwenye mji wa Ifakara utasaidia pia uendelevu kwenye wa Maji kwenye bwawa la Nyerere.

Пікірлер
MAFURIKO IFAKARA, MMOJA ASOMBWA NA MAJI, WAATHIRIKA WAOMBA MSAADA
2:44
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 738 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 7 МЛН
Biden Drops Out: What Happens Now?
9:57
TLDR News Global
Рет қаралды 571 М.
VIDEO: Mafuriko yaondoa uhai wa Mtu mmoja Ifakara
6:44
tuos TV
Рет қаралды 4,2 М.
🅻🅸🆅🅴  JOHN HECHE ANAZUNGUMZA NA WAKAZI WA IFAKARA
44:24
DAS Atibua HALI ya HEWA IFAKARA, Wananchi WASHINDWA Kuvumilia...
15:10
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН