NDUGU WALIONUNIANA WARUDI KWAO NA MSHIKO WA RC ALLY HAPI

  Рет қаралды 147,112

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 208
@ashamganga6636
@ashamganga6636 5 жыл бұрын
Kama kuna mtu anaangalia huku akisoma komenti aungane na mm 😂😂😂😂
@lucaschuma9500
@lucaschuma9500 5 жыл бұрын
Tupo pamoja dada
@aishaomari1881
@aishaomari1881 5 жыл бұрын
Muungane ili iwaje
@saidiselemani7786
@saidiselemani7786 4 жыл бұрын
Tupo wengiii
@juliaslengai3323
@juliaslengai3323 4 жыл бұрын
Kama vile unaniona
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 3 жыл бұрын
Tupo sana
@mustaphatibaijuka6995
@mustaphatibaijuka6995 5 жыл бұрын
Mh.RC mungu akulinde jamani unafanya vizuri katika uongozi wako
@rahjah5882
@rahjah5882 5 жыл бұрын
That’s why Tanzania is in my heart
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 5 жыл бұрын
Boss wangu mkuu wa mkoa ,A Happy Mungu akupe hekima zaidi
@dionisemyigezo9137
@dionisemyigezo9137 5 жыл бұрын
The work is being done, At least my eyes shows me that. I feel deeply like believing all that RC Hapi is doing! Heko sana kiongozi!
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 5 жыл бұрын
Asante mkuu wamkoa nimetokwa namachozi ya furaha
@EK-kp2np
@EK-kp2np 5 жыл бұрын
Kaka Hapi unatenda kama mfalme Suleiman, be blessed🙏🏼
@zaidishabani5745
@zaidishabani5745 5 жыл бұрын
Hakika
@titusrobert5890
@titusrobert5890 5 жыл бұрын
Hapi wewe ni kiongozi kero za watu ndogondogo kama hizo unazotatua nimefuatilia sana ziara zako baada ya watu kuridhikka na kuamini uongozi lazima maendeleo yasonge mbele. Hicho ndo kilikuwa kimekosanika huko nyuma. Ongera utawala wa uncle magu tunawaombea kwa mungu afya njema. Tutafika
@SSs-tb9yo
@SSs-tb9yo 5 жыл бұрын
E K Aamin
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 4 жыл бұрын
Kwakweli busara imeokoa undugu .Mungu ambariki sana
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 4 жыл бұрын
Mh. Hapi hapa umetisha! Umetumia busara tupu.
@abdallahally2014
@abdallahally2014 4 жыл бұрын
Ally may ALLAH bless you.always watching your videos here in kigali Rwanda
@albertchubwa2546
@albertchubwa2546 5 жыл бұрын
Ally Hapi unafanya kazi nzuri nakupongeza
@wardadanda6322
@wardadanda6322 5 жыл бұрын
mungu anajionyesha kupitia kwako mkuu wa mkoa
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 5 жыл бұрын
Happy Mungu akulinde na maadui sijawahi ona mapungufu yako kwa macho kibinaadamu good job
@saidiselemani7786
@saidiselemani7786 4 жыл бұрын
Sanaaaaaa
@partohmsee5992
@partohmsee5992 5 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kazi nzuri unayoifanya nmeipenda kabisa
@dicksonhassan7206
@dicksonhassan7206 5 жыл бұрын
Daah mh ally hapi mjanja sasa alopogundua ttzo haraka sana akatumia method inayosema "penye fitina weka rupia"basi kamaliza ttzo very simple
@abdulmelele7322
@abdulmelele7322 4 жыл бұрын
Tatizo lilipoanzia ku repear nyumba ya marehem baba🤣🤣🤣🤣
@troubleboy2590
@troubleboy2590 5 жыл бұрын
I’m crying like man 😖
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Mungu awabariki na awazidishie mlikotoa , nimekua na furaha hadi nimelia machoz yamenioka kwa furaha wallah 😭👏👏👏
@elianestory5159
@elianestory5159 4 жыл бұрын
Bibi anaonekana ana miaka 60 halafu alibebwa kwenye Bodaboda kwa Mara ya kwanza kuona Bodaboda ilikuwa mwaka gani
@aminakazogolo9914
@aminakazogolo9914 5 жыл бұрын
Hongera Mh.Ally Hapi
@japharykikoti3391
@japharykikoti3391 5 жыл бұрын
Kwa kweli Mh Ally Hapi Una Enjoy Kusikiliza Kero za Wananchi Wako..
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 5 жыл бұрын
Ali happy for sure unafanyakazi nzr sanaa
@momepeter9161
@momepeter9161 4 жыл бұрын
Nimemonea huruma yule bibi asiye na wazazi😥😥
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 4 жыл бұрын
Hahahahahaha kama. Umeckia ety. Anae kataa ccm. Mchawi gonga like twende saw ☹☹😥
@behonest9964
@behonest9964 5 жыл бұрын
Mashaa ALLAAH tabaraka ALLAAH CCM juuuuuuuu👍👍👍👏👏👏
@eliarichard9218
@eliarichard9218 5 жыл бұрын
uyo ni mfalme Suleiman happy mungu akutie nguvu
@user-we2qz1kb8h
@user-we2qz1kb8h 8 ай бұрын
Jamani mhexhiwa nimefurahi sana mungu akubarki sana
@julianavenance6356
@julianavenance6356 5 жыл бұрын
Aisee mh hapi uko vizuri sana kwanza hata hautumii nguvu kutatua hiyo migogoro ila naona unatumia akili na busala, kila mkoa ingekua hivo poa sana Mh piga kazi na huo ndo ubinadam, mungu awe nawe
@yustochitema1131
@yustochitema1131 5 жыл бұрын
Hongera Mkuu wa mkoa kwa hekima yako
@hylinemaraga9615
@hylinemaraga9615 5 жыл бұрын
Mungu akupaliki Bwana Hapi wairingo kwa ukweli hunaofaya upalikiwe Sana amen .
@msuyapili1973
@msuyapili1973 5 жыл бұрын
Mungu kakupa hekima na busara hakuzidishie Kila raheli.
@yjonytbt4683
@yjonytbt4683 4 жыл бұрын
Congratulations tz mumejaliwa kua naviongozi shupavu I wish Kenya ingekua hivyo ingekua mbali sana
@faidaimmaculee28
@faidaimmaculee28 5 жыл бұрын
Mungu akuzidishiye maisha marefu
@robertwamaya2984
@robertwamaya2984 5 жыл бұрын
God increase the wisdom of RC Hapi... This has reminded me the wisdom of Solomon.
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 жыл бұрын
Mungu akulipe R c
@johndieme6402
@johndieme6402 4 жыл бұрын
Uyumubabaminamupedaka mungu amujariye
@wahabmkazi7902
@wahabmkazi7902 5 жыл бұрын
Ally Hapi, mfano wa kuigwa na viongozi wengine. Anajua fika nini anapashwa kufanya. Pamoja namambo mengi lkn anawasikiliza na kuwasaidia wanyonge. Ktk style ya kipekee sana. Mheshimiwa Hapi shikilia hapo hapo tutafika. Unaowaongoza wakiwa na amani kazi yako inakuwa rahisi. Mungu na ukutunze
@norafrowin1748
@norafrowin1748 4 жыл бұрын
Yaani Namuona Rais wa miaka ijayo.Hivi unajua kweli kuwa Kuna watu wanakupenda mh Ally Hapi? Yaani maono yangu kwako ni makubwa saaana na Mungu naomba aniweke niyaone yakitimia.Nakupenda mh Hadi Basi nipo dar ila nakufatilia kila hatua yako barikiwaaa
@msuyapili1973
@msuyapili1973 5 жыл бұрын
Mungu akuzidishie mh kuu wetu
@sadamasare3458
@sadamasare3458 5 жыл бұрын
Haha duh cjawahi kucoment hii ya leo nomaa aisee
@user-bq4tk6yq2q
@user-bq4tk6yq2q 9 ай бұрын
HAPI ANAFAA SANA KUWA RC
@tindokamuti8142
@tindokamuti8142 4 жыл бұрын
huwa siwakubali wana siasa lkn huyu RC namkubali sana fuul off Pierce
@tumsifujasson4716
@tumsifujasson4716 5 жыл бұрын
Mungu nimwema brother
@mswadikubushumbilo7170
@mswadikubushumbilo7170 5 жыл бұрын
Big up mkuu wa mkoa
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 5 жыл бұрын
Huyu mama mwembamba anachekesha jaman🤣🤣🤣
@isayakahemela4881
@isayakahemela4881 5 жыл бұрын
Politics. Enzi za kuzaliwa Mama huyu kweli boda zilikuwepo?
@alyrafael4405
@alyrafael4405 5 жыл бұрын
Yani huyu mama na mshangaa bodaboda hazikuepo kk
@madjidhamza1587
@madjidhamza1587 5 жыл бұрын
Honda ndo boda za zaman kwahyo anashindwa kutofautisha
@colethacharles548
@colethacharles548 5 жыл бұрын
Hapo kwenye boda boda nimecheka huku najamba
@colethacharles548
@colethacharles548 5 жыл бұрын
Mama kajua kutuongopea huyu alibebwa kwenye boda boda khaaaa
@saidiselemani7786
@saidiselemani7786 4 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa mungu akupe maisha hivi wengine hawaoniiiii
@tatuta6529
@tatuta6529 5 жыл бұрын
Muelewane mama zangu sawa jamani
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 5 жыл бұрын
Gud job broza ally bt Mic controller mkudaa kichiziii😂😂😂
@selemanimkonga8150
@selemanimkonga8150 5 жыл бұрын
Wachawi wenzangu tulike hapa😂😂😂
@musayahaya2514
@musayahaya2514 4 жыл бұрын
Mungu akupe maisha mema
@pinielpamojasanaelias7621
@pinielpamojasanaelias7621 4 жыл бұрын
Daaa huyo mkuu wa mkoa yuko safi sana
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Haya matoto yakulelewa hayanaga hisani. Yani unawatunza hadi wakubwa kisha anakuja kukusumbulia wanao.
@maikofrae560
@maikofrae560 4 жыл бұрын
Mkuu wa mkowa iringa napenda sana kazi yako
@gracemwanjabala8073
@gracemwanjabala8073 5 жыл бұрын
asanteeee jamniii huyooo mama yatima katiahuruma
@levismhogoro5622
@levismhogoro5622 5 жыл бұрын
Hekima nikitukizurisana yanihuyu ni Suleiman
@dariadeus8979
@dariadeus8979 5 жыл бұрын
nimeipenda bur
@leliyonkamolleh9372
@leliyonkamolleh9372 5 жыл бұрын
I appreciate u RC HAPI
@pascaljohn2148
@pascaljohn2148 4 жыл бұрын
Mungu kaumba Tanzania mpya,vio ngozi wa Tanzania ya leo mbarikiwe sana.
@naomikakingo7070
@naomikakingo7070 5 жыл бұрын
Mali za urithi kwangu hapana ngoja nikazane kutafuta zangu
@corethamsemwa5052
@corethamsemwa5052 5 жыл бұрын
Naomi kakingo kwakweli
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 5 жыл бұрын
Kweli kabisa my vyautith vyweza kukutoa roho
@eliazarinyakiema1969
@eliazarinyakiema1969 5 жыл бұрын
Hawa kina mama wameniacha hoi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 5 жыл бұрын
Unafaa kuwa kiongozi Mhe. RC
@jasiminhamisi8316
@jasiminhamisi8316 5 жыл бұрын
Hahaha subili kwanza niwanbie nyinyi
@dhoulkefyljr8637
@dhoulkefyljr8637 5 жыл бұрын
i bet ccm wataendelea kutawala kwa mda mrefu coz wanafaham namna ya kuwashawshi wananch kuw upande wao 2020 si mbali panapo uhai watu wanasahau conflict zilzopo ktk vyama vyao badala yake watasema wameibiwa kura na hali wagomban huku wenzao wachukua point muhim vijijini sasa nin utawambia watu hawa apart from ccm #ngoja tuone 2020
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 5 жыл бұрын
Kabisa yaan
@chamam5031
@chamam5031 5 жыл бұрын
Hadi machozi yamenitoka mama anatembea kwa magoti
@rowlandmabwa9076
@rowlandmabwa9076 4 жыл бұрын
This guy Hapi is reeeal Man. We need to porch him to Kenya for some wisdom.
@alexalexsebahire5695
@alexalexsebahire5695 5 жыл бұрын
Jamani huyu muheshimiwa nimemupenda sana anisaindie number haki mungu ako
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 5 жыл бұрын
Mungu Akulinde mkuu
@scollorpatrick7214
@scollorpatrick7214 5 жыл бұрын
Safi sana mkuu wawilaya
@benadetamwashala62
@benadetamwashala62 5 жыл бұрын
Mungu aendlee kkpa hekima zaid mweshmiwa kma sleman
@zaidishabani5745
@zaidishabani5745 5 жыл бұрын
Nimekubar mkuu wa mkoa kwel vijana tunaweza
@missmalindikenya6204
@missmalindikenya6204 5 жыл бұрын
ZAIDI SHABANI hahahaaa
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 5 ай бұрын
Ally hapi uko wapi baba😭😭😭😭😭😭😭
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 5 жыл бұрын
Hawa ni viongozi na hazina ya viongozi nchiyetu inawahitaji na mimi namuombea kwa Allah amjalie asijebadirika na insha'Allah atakujakuwa kiongozi mkubwa ktika Tanzania
@bintysayd1763
@bintysayd1763 5 жыл бұрын
Uyu madam ataka mtia makofi mkuu wa mkoa 😆😆😆 ooowi nimecheka
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 5 жыл бұрын
Yaani Nimecheka miyee,KAMWENEEEE
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 5 жыл бұрын
Natamani ungekuwa mkuu wa mbeya😂😂😂
@rehemakulaba923
@rehemakulaba923 5 жыл бұрын
Yaani serikari hii safiiiii
@relaxchinese4103
@relaxchinese4103 5 жыл бұрын
Subiri sasa nikuambie kamwene jamani
@gracemwanjabala8073
@gracemwanjabala8073 5 жыл бұрын
Aysha Oman tuko pamoja
@hassanramadhan8978
@hassanramadhan8978 4 жыл бұрын
Tanzania ndio nchi bwana
@deborahjm8890
@deborahjm8890 5 жыл бұрын
Dhuu 🙆‍♀️🙆‍♀️
@happykipeya8516
@happykipeya8516 5 жыл бұрын
Kamwene 😃😃😃😃
@godfreyjames8582
@godfreyjames8582 3 жыл бұрын
Safi sana mh hapi
@margarethsaramaki1100
@margarethsaramaki1100 5 жыл бұрын
Huyu ana roho mbaya huyo dada mwenye nyeupe
@predigangaruwaichi3490
@predigangaruwaichi3490 4 жыл бұрын
Mmmm shamoo mweshimiwa
@ngingobruno6287
@ngingobruno6287 5 жыл бұрын
Big up RC
@halimajamaniamekuwamndeme9617
@halimajamaniamekuwamndeme9617 4 жыл бұрын
Hapi baba unakaziiiiiii,
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 4 ай бұрын
Walikosea sanaaa kumtoa huyu iringaaaaa
@narxtz
@narxtz 5 жыл бұрын
Watu ni balaa kisa tu sio tumbo moja
@ramanhoibrahim3383
@ramanhoibrahim3383 5 жыл бұрын
Daah mpk machozi yamenitoka aisee..
@rayaqme6935
@rayaqme6935 5 жыл бұрын
Jaman huyu mama kanifurahisha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@markrichardfreemasonry2602
@markrichardfreemasonry2602 5 жыл бұрын
2020 inakaribia
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 5 жыл бұрын
Hili ni zaidi ya goli la Giroud lililoshinda Ballon'Dor
@flowjowi8721
@flowjowi8721 5 жыл бұрын
We Kenyan say magufuli prezo tena
@mbeyauwsa5848
@mbeyauwsa5848 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa njoo Mbeya usikilize kero za wananchi maana huku Mmmmh sijaona kabisa Mikutano Kama hii. Kama nawe unaunga mkono gonga like twende sawa
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoz vyema mkuu wetu wa iringa
@eliakamwela8398
@eliakamwela8398 5 жыл бұрын
Nataman sana wakuu wote wa mikoa wawe kama huyo wa iringa, nataman wengne waige Rc hapi, na naamin ndo lengo LA rais
@dismaskipingu4409
@dismaskipingu4409 5 жыл бұрын
Huyu Bibi anachekesha sana. Yaani amekataa kumuachia ndugu yao eneo aweze kumpunguzia mkuu wa mkoa maisha?
@dismaskipingu4409
@dismaskipingu4409 5 жыл бұрын
Hera!? Mbona Bibi hujasema anaeikataa Ccm nimchawi kabla ya kupewa HELA??
@mcisunga3822
@mcisunga3822 5 жыл бұрын
😂😂😂😂na mahari alikula baba jamni mali hizi mungu tusaidie
@silyadamian5708
@silyadamian5708 5 жыл бұрын
Hakika Tz inawatu wa kuigwa
@elizabethdismas7660
@elizabethdismas7660 4 жыл бұрын
Duuh ama kweli,
@gamechanger9646
@gamechanger9646 5 жыл бұрын
😂😂mama amenimaliza
@dottomsham9884
@dottomsham9884 5 жыл бұрын
utendaji wako uliotukuka kama makonda vile saf sana hapi
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 40 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 8 МЛН