Kama wewe ni team magu gonga like hapa kwa majaliwa! Tunaweza kumuona uncle magu ndani yako
@hamisimuhunzi791626 күн бұрын
hakuna kitu hapo ni changa la macho tu..PM atakagua madirisha mangapi nchi nzima!!
@salimalaquimane307726 күн бұрын
Alikua zaman Amna kitu hapo
@johnmalembo646428 күн бұрын
Yaani ukaguzi wa ubora wa majengo na vifaa Hadi waziri Mkuu..... Watz tunajiaibisha kiasi Gani.....hiii ingefaa iwe kazi ya mtendaji wa Kijiji....Mahalia tu kama tungejua tulitendalo
@nsajigwamwakalonge570228 күн бұрын
Mpaka mtakapobadilisha mfumo
@allanuslwena858528 күн бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Mungu akuepushe na mabaya yote.
@MbasaSanga28 күн бұрын
Tumebaki na viongozi wachache sana wa aina hii.hongera sana waziri mkuu
@costandunguru760328 күн бұрын
Hii Nchi kuna shida Sana, Hadi aje MP, wakati hapo wilayani kuna DC, Takukuru na watu wengi kabisa. Sijui tutatoka lini kny huu ujinga
@piusmdoe320028 күн бұрын
Wote ulipwataja wspigaji
@abdallahdataguy27 күн бұрын
changamoto sana
@ramadhanishamtandulo151027 күн бұрын
Dah..alafu vitu ambavyo vipo obvious haviitaji kuwa professional
@benshark321227 күн бұрын
MP au PM?
@mochemba27 күн бұрын
Hata mm hiki kitu huwa kinanikera Sana Sasa hawa viongozi watakuwa wanafika kila kona jmn kwa nn mali ni zetu jengo ni la watoto wetu, mradi wowote ule ni wa ndugu zetu kwa nn tunakuwa tunafanya ujanja ujanja kila sehemu, piga hela Lkni fanya kitu kionekane basi hata mtu akija anaona kweli kazi imefanyika. Watanzania tunajichelewesha wenyewe baadae tunalaumu oh Rais Rais kafanya nn, kumbe shida iko kwetu
@rkcomercialenterprises320928 күн бұрын
Ni jambo la kusikitisha waziri mkuu kusimamia fundi😢 Kuna haja ya kutafuta kiboko kitakachowafanya watanzania kuwajibika na kuwa waaminifu.
@allymoshi205327 күн бұрын
Hiyo bado sio suluhu watu wanaopewa kazi hawana uwezo wa kudeliver kk kazi haziangalii uwezo wa mtu kinachoangaliwa unajuana na nani ndio tatizo sana la nchi yetu
@fabianalfredy555727 күн бұрын
Kweli waziri mkuu. Ndiyo anafanya kazi hiyo kweli? Delegation siyo nzuri.
@upendoeliya932926 күн бұрын
Ukileta kiboko yao wanamuua
@JosseJone28 күн бұрын
Majaliwa Kama yupo bado iringa afike na stendikuu yamabas iringa 😂😂😂😂
@user-jm9og2wh5o28 күн бұрын
Hongera sana waziri awo wakipishwa tu wanaona serekari yao wanyoshe mkuuu
@suleymanimixkatafighter266924 күн бұрын
Mh majaliwa hongera kwa kazi nzuri hapo mkandarasi na afisa elimu wote wapigani ni wezi tu kazi yao ina mashaka sana
@maharagendondo28 күн бұрын
MAJALIWA, UTAFANYA KAZI NGAPI BABA WAKUU WA MIKOA WAKURUGENZI WAPO WAKUU WA WILAYA WAPO LAKINI MPAKA UFIKE WW DU, WATAKUCHOSHA BABA
@songombingo10827 күн бұрын
Siasa baba... Siasa😂😂😂
@fabianalfredy555727 күн бұрын
Kweli!! Wanafanya kazi Gani?
@MTAVASSYTv12 күн бұрын
Hao unaowataja duuh
@jumakapilima729528 күн бұрын
Sasa viongozi wa mikoa wako wapi? Mpaka aje waziri mkuu ndio ayaone hayo!!
@philemonmagesa554827 күн бұрын
Hapo ndo uone uozo wa nchi yetu hao wakuu wa mikoa sijui huwa wanafanya kazi Gani mpaka aje waZiri kugundua matatzo
@CyprianKasilo-d8h28 күн бұрын
Hongera majaliwa mungu akubariki thawabu ipo mbinguni
@user-yt4si2th5k28 күн бұрын
Hao ndo watanzania eti wanataka maendeleo wakati ata uzalendo hawana tena kwa watoto wao
@HamisMghuna-fj3vz28 күн бұрын
Mashaaalah waziri mkuu,asilete janjajanja
@nsajigwamwakalonge570228 күн бұрын
WATANZANIA MNA SAFARI NDEFU KAMA WAZIRI MKUU ANAENDA IRINGA KUKAGUA MILANGO NA FREMU!
@fettiemaganza148427 күн бұрын
@@nsajigwamwakalonge5702ifupishe tu hakuna tatizo
@carlosditram206917 күн бұрын
Wzr mkuu wa sasa sio sawa na yule wa kipindi cha RAIS DOCTAR JPM kama unakubaliana na mimi gonga like hapo chini
@josephfelicianlugakingira83228 күн бұрын
Safi Sana PM
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo27 күн бұрын
Big up big up waziri mkuu mungu akulinde wanakuangalia na jicho mbaya wasifanikiwe
@CalvinShuma28 күн бұрын
Asante sana mweshimiwa waziri mkuu
@daudimashimbi853028 күн бұрын
Hongera sana mheshimiwa majaaliwa
@kadokemarco996628 күн бұрын
Ila vyeo vingine bhana mkuu wa mkoa anakazi gani sasa! Ikiwa mpaka waziri mkuu ndiyo aje kuhojiana na mafundi/contractor kweli🤔🤔🤔?. Hayo alitakiwa ahoji mkuu wa mkoa ni aibu sana.
Mkuu wa mkoa ni mbali alitakiwa ahoji mtendaji wa kijiji tunajidharirisha sana watendaji tunaopewa mamlaka na serikali
@KilingohJuma27 күн бұрын
Wanachezea sana pesa za serkal ,Yaan dawat lmepasuka hata haljatumika , hivi Elmu yetu ni shda au ipoje ? Kwann mtu ni kiongoz hajtambui majukum yake , had waje viongoz wa juu wakosoe mirad namna hii jaman, Pole PM Kwa kaz nyng na hongera Kwa kubain uzembe wa viongoz ngaz mikoa na wilaya.
@ezekielmadindula267927 күн бұрын
Lema anavituko Sana Eti Majaliwa anapaka Pico 😂😂😂😂
@lucymtui868028 күн бұрын
Engineer wa ovyooo sanaa
@YOSHUAMWAMPETA28 күн бұрын
KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
@mamodelmam28 күн бұрын
Yani ongea yake tu unajua ni mwizi mtu ata sauti haitoki anakazi ya kumung'unya maneno
@KasianiTitus-un5rk27 күн бұрын
Kwa Hali hii waafrika kuendelea itakuwa ngumu mtu Hadi usimamiwe na kiongozi
@mgoboibrahim28 күн бұрын
Hongera sana sana mheshimiwa Waziri Mkuu mana bila uzalendo wa dhati hatuwezi kuendelea
@NgunoSangano11 күн бұрын
hakika unastahili mungu akulinde kiongozi wetu
@FrancisMtema-s9t27 күн бұрын
Mungu akulinde pm.kwa kilolo Kuna mradi wa maji kata ya uhambingeto wa bilioni 2.25.tuma watu wako waukague kimyakimya.matenki ya zamani yanapakwa rangi kuonekana mapya.karibu Sana Baba kwetu.
@AmiriAmiri-x2z27 күн бұрын
jpm namba 2.hongera sana.ndoo ujue wapigaji wapo kila kona kila mahali.tunajua sisi wanainch mkuu wa mkoa ni mmoja Paul makonda.lakin mafisad wanampiga vita kweli.na fikili kwa arusha huna tabu napo.maana yupo kiongoz mzalendo.
@RojamilaSamson28 күн бұрын
Mkuu Wa mkoa hawana kazi funuza anpokea pèsa za Bure hakanguwi miladi
@DitrickKihava15 күн бұрын
Hatari sana viongozi mnadhalilisha serikli
@KwayayaUinjilistiHimo23 күн бұрын
Hii nchi bhana. Ina maana hakuna wakaguz, hakuna, Mkurugenzi, msimamiz wa mrad, Dc, Rc. Hadi waziri mkuu
@YakoboChambo23 күн бұрын
Kaka mkuu wanchi nakukubali sana yani ikiwezekana gombea URAIS naamini utapata
@johanesjofrey210512 күн бұрын
Huyu Mzee ndiye anafaa awe Rais wa hii nchi awamu ijayo.Mama tuache tafadhali
@RAJABWADIGOGO27 күн бұрын
hongera mheshimiwa kwa ukaguzi makin
@emmanueldavid950628 күн бұрын
Piga chini hao ni bora mgetuajiri sisi mafundi local tunafanya kazi nzuri kuliko hao mnaowalipa hela nyingi
@tztanzania226228 күн бұрын
Shda hatuna mitaji tu maana malipo ya serikali mpaka ukabidh kwanza Sasa kwa mitaji yetu 😢😢
@danieljoseph670227 күн бұрын
Unaweza fikiri una wawakishi kumbe mizigo.Dawati kama yaliletwa na kichaa.Hatari sana.
@lenniefei671024 күн бұрын
WaTZ bado wapo kwenye usingizi wa pono, wakati waaKenya tunawabana wanasiasa wao wanakubali kuchezea vibao kata tu na wanasiasa😂😂😂😂😂😂
@leobalige706927 күн бұрын
Waziri mkuu. Inafaa utembelee miradi nchi nzima. Miradi ni mibovu sana.
@DeogratiusAndrew-zi7zv28 күн бұрын
Ninachokiona watu hofu ya Mungu hawana hata kidogo Mwenye kumuhofu.wenyezi Mungu hawaezi fanya ubaya huo hatakama pesa sio yake
@lukasmgaya65227 күн бұрын
ofu ya Mungu ya nn aisee Acha ujinga kwa sababu hofu ya Mungu hiusiki na chochote Miht.19 2.Tena siyo vizuri roho ya mtu ikose #maarifa
@DeogratiusAndrew-zi7zv27 күн бұрын
Unajua nimekuona wewe ni mjpumbavu sana , na ujinga unao wewe kwani hata maana ya andiko umeweka hujui , kuwa na adabu ,
@firo0ozdawah37828 күн бұрын
Watanzania shkamooooo🙌🙌🙌
@YOSHUAMWAMPETA28 күн бұрын
MARAHABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
@upendoeliya932926 күн бұрын
Marahaba mwanangu hamjambo!!!!😅😅😅 Haya ni matokeo ya ajira za kujuana na kutoa kitu kidogo 😂😂😂😂.
@Mapenzi263528 күн бұрын
Pole sana Mh. Waziri Mkuu. Unateswa na falsafa ya umasoko inayoendesha Serikali. Tukobadilisha falsafa utaondokewa na ubadhirifu, wizi, na uadilifu utaongezeka.
@danielelikana261527 күн бұрын
Watendaji wanaiangusha sana hii serikali!..Hizi kazi zinatakiwa zisimamiwe vizuri na wakuu wa idara bila hata kusubiri Waziri Mkuu kuja kuibua madudu!! Inasikitisha sana watu wanalipwa mishahara halafu hawawajibiki kwenye nafasi zao!!
@sayeedmsct425528 күн бұрын
❤❤❤❤ waziri
@MTAVASSYTv12 күн бұрын
Zamani ukaguzi ilikuwa ni kupita nje ya jengo kiatu ila siku hizi angalau wanauliza na mulimopigwa kwakweli ni mchezo mbaya wa pesa za wananchi
@user-xx1je7sy4h28 күн бұрын
Tatizo ni mfumo wa serikali yetu kuleana kwingi majitu yanaiba sana sababu yanajuwana yote majizi mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo hata hayaogopi kuiba
@chingaboy114927 күн бұрын
😂😂😂😂😂mmi langu jicho tu hii inchi ukijifanya mjuaji yanakukuta yahasani
@jamalnaheka113125 күн бұрын
aisee tuna kaz ss waafrik,..njaa tunaendekez sana.
@volcaremigius688126 күн бұрын
Huyo jamaa anaeulizwa akili hana anakwambia meza zilikua nzima ety😂😂
@francisgituti249427 күн бұрын
Hivi Hawa watu hata kudanganya hawajui duh!kitu kinaonekana bado wanadanganya wape za uso hao
@hellenmollel667927 күн бұрын
Ni huzuni Kwa kweli, tumeshindwa kuwa wazalendo kiasi hichi? Mungu atusaidie sana, piga kazi Baba umsaidie Mh Rais
@chingaboy114927 күн бұрын
Ney wa mitego alisema 😂😂😂 uzalendo uzalendo gani nchi inaendeshwa kimagendo
@mwanaafrika_tz27 күн бұрын
Sa mkurugenzi kazi yake nini😂😂
@Kinyerezi122 күн бұрын
Huyu kibonge wa CCM ndiye alikuwa anatrend akibwabwaja ubaguzi wa vyama..
@saudmohammed339027 күн бұрын
Ziara ya kushtukiza ni nzuri saaaana
@user-og9jt3mg4c27 күн бұрын
Tanzania yetu jamani kilakitu wanachakachua, wizi mtupu!! Mungu aturudishie roho ya utu!
@webrand230527 күн бұрын
Hii nchi ngumu sana, hivi kweli kwa mambo haya tutuaendelea kweli???
@johnkalibonamchungaji308226 күн бұрын
Hiv kweri waziri mkuu ndo akakague hali hii wasaidizi wachini wako wapi? baba Mungu akutunze
@stn487327 күн бұрын
Ujue kuwa watu wanachekesha kweli😂😂😂😂😂
@muksinimbaruku123327 күн бұрын
Majaliwa Rais, Jafari jafo Waziri mkuu alafu Paul makonda tunamuweka waziri wa Miundominu naiona Tz inakuwa Hong kon after 5 years later.
@RAMZANJumma-hr3ff28 күн бұрын
Wamefanya kazi mzuri
@user-yv7xg4em4s28 күн бұрын
Mtakoma mmezoea kuiba
@ilynpayne749127 күн бұрын
Daah viti vipya vimesha pasuka😂
@cassimoa921728 күн бұрын
Mkuu wa mkoa una kazi gani mpk aje waziri mkuu. Tumbua wote hapo kuanzia mkuu wa mkoa, tawala, mkurugenzi, mkuu wa wilaya wote
@minatto1226 күн бұрын
Dah Tanzania n balaa
@festohaule971627 күн бұрын
Kama Mkoa tunaviongozi wengi inakuwaje mpaka madawati aje akague Waziri Mkuu... Afrika kitovu changu pole sana!!!!! Kazi ya uchawa tu kufanya kazi njema ahaaaa!!!!!
@MenelusCzar27 күн бұрын
YAANI WATU WANATIA AIBU SANA ET WIRE NI DIFFERENT CONTRACT🙌🏻
@user-zs4qz4wm2n28 күн бұрын
Majariwa anaonekana siku moja atakua rais mi namuelewa sana( amenuna kazini)
@Optionxll_Playz127 күн бұрын
Uwa nasshindwa kuelewa hivi mkuu wa Mkoa na WA watawa WA wilaya uwa wanafanya Kazi gani Ni Kwa nini wasifungwe ? Watoe lipoti ya kila mwezi ndio itajulikana ,na pia sio mpka Waziri mkuu afike kukagua.
@danielsostenes164027 күн бұрын
Wawajibishe mkuu nakukubal sana wazir mkuu wang chapa kazi
@peterchesam573727 күн бұрын
Duuu hao waongo Dirisha lipi la Aluminium litawekwa bila Wavu haalfu useme utaweka tena???
@Mckiatu27 күн бұрын
Mheshimiwa naomba hii tenda ya furnitures pleas
@timamulituto28 күн бұрын
😂 watu wanapiga ase😂
@roudhamahmoud76327 күн бұрын
Kweli punda haendi mpaka kwa magongo jamani😢😢😢.ivi inakuwaje watu mnakula tu hela kila kukicha watu hawahanyi wajibu wao lazima washikiwe magongo jamani 😢😢😢😢😢 inauma mno
@mcback438422 күн бұрын
Hivi kwani kwenye hii miradi ya serikali si huwa na BOQ kwamba constructor anatakiwa kufata aligned specifications and qualifications? Kwanini ya natokea haya yote na kuna consultant wa serikali anaecontrol yote hayo?
@elisantemrita949027 күн бұрын
Yani tunaitaji wasimamizi kutoka Dubai waje wawe wakuu wa wilaya na mikoa na mawaziri
@salamaalladini27 күн бұрын
Mm ktk moyo Wang nnaiman utakuj kuwa rais wa nchi hii
@MasaluMartine-xe1kb27 күн бұрын
Hiii inaonesha wazi kwamba. Hamna haja ya kuwa na wakuu wa wilaya , na wa mikoa ,kama waziri anatoka huko kote anagundua mapungufu , wao wako wapi, kwakweli kazi ni ngumu sana
@bir445026 күн бұрын
Hapo kuweka wavu kipengele maana inaonesha jamaa hakuweka hesabu ya wavu.unawaza kama ingekua nyumban kwake angefanya hivo
@nassibuduma716220 күн бұрын
Bado kuna tabu ya usimamizi wa utekelezaji wa miradi ya selikari
@jerumayamwasomola106528 күн бұрын
Kah 😂eti wire ni separate contract
@elisantemrita949027 күн бұрын
Majaliwa kwann sikuizi huwatii viboko Tembea na kiboko sasaivi mkuu
@paterinishayo-ef4sx27 күн бұрын
Watanzania wengi hatujui tulitendalo jambo dogo hata mjinga analiona lakin mpka aje kiongoz wa juu hivi tunakumnwa na nn ni rushwa au tuwajinga hatudhamin mali zetu tulizojengewa na serikali daah
@stevemsola43727 күн бұрын
Mpaka waziri mkuu hamna viongozi wengine jmn
@godsonrwegasira441428 күн бұрын
Tatizo hao waalim wanabanaga sana mm mwenyew fundi wa vioo lakin dirisha anakwambia linabdi likamilike kwa sh. laki mbili wakat we umempa gharama ya lak 280, fundi mwenye njaa anapokea kaz afu analeta baadh ya vitu hakuna hapo mh angekagua na size ya kioo unaeza kumbana na mm. 4
@mathewungani972424 күн бұрын
Ni Aibu sana
@majaliwaharuna406427 күн бұрын
Fanya kazi mh waziri mkuu,huku kwenye halmashauri Kuna madudu mengi sana yanafanywa na wakurugenzi kwa makusudi wakijuwa hakuna wa kuwashughulikia .wewe ndio tumaini letu PM
@kalebphilip342627 күн бұрын
Uliza dawati moja bei yake utakimbia yaan hii nchi ni mm tu sio mwz
@janethferous27 күн бұрын
Naomba ufike na kitowo wananchi wanaushi Kama wakimbizi mtendaj anawapiga viboko wananchi Kama watoto wanawalipisha fedha kwa makosa madog madogo rushwa
@The1979bornagain23 күн бұрын
Hivi unawezaje kumsimamisha kazi Mkurugenzi, Mhandisi na Afisa manunuzi halafu ukawaacha DC na RC kwa wizi na ubadhirifu uliotokea ktk miradi iliyo ktk eneo lao la utawala? Na haya matatizo ya kula fedha za miradi na miradi kuachwa hivyo hivyo bila kukamilika yako kila wilaya na kila mkoa. Na ulaji huu unawahusisha hadi ma-DCs na ma - RCs. Hawa ma-DC na ma- RCs ndiyo wenyeviti wa kamati za ulinzi za wilaya na mikoa respectively. Maana yake ni kuwa vyombo hivi PCCP na POLISI ambavyo ndivyo vinavyoshughulika kuchunguza na kuchukua hatua za wizi na ubadhirifu viko chini ya hawa. Tunategemea watafanya nini kama hawa mabosi wao yaani DCs au RCs ni washiriki wa wizi au ubadhirifu huo? Waziri mkuu naye hata halioni hili. Eti anampa jukumu DC au RC mshiriki wa wizi na ubadhirifu kusimamia uchunguzi. Si ataandaa ripoti feki kwa kujilinda yeye mwenyewe? Tukubali kuwa kuna tatizo ktk mfumo wetu wa utawala. Na hiki ndicho chanzo cha mkwamo wa maendeleo yetu. Kwa hiyo hapa Waziri Mkuu anatwanga maji kwenye kinu tu. Ataondoka na mambo yatabaki vilevile tu. Tutengeneze mfumo mpya wa utawala unaoleta uwajibikaji wenye tija!!
@festohaule971627 күн бұрын
Kazi ni uchawa tu.. kazi ahaaaa..Pesa zipo kwanini Hatuwezi kujenga Nchi yetu pasipo dosari!!!!
@SalumMsafiri2026 күн бұрын
Watanzania tunapenda kujiibia wenyewe,afisa elimu anapokea vifaa ambavyo havina ubora. Na anaacha viendelee kuwepo sehemu husika. Me nazani,wanajeshi wapewe hizi kazi za jamii.
@YOSHUAMWAMPETA28 күн бұрын
NINGEKUWA mimi nawatimua KAZI HAWAPATI HATA KIINUA MGONGO INAKUWA AMRI NA SHERIA
@husseinkarim766326 күн бұрын
Desk hilo sh 65000? Ni wizi halifiki sh 25000 kama mbao mzuri
@ilynpayne749127 күн бұрын
Wizi kila mahali daah ina sikitisha 😢
@japhetygodfrey92127 күн бұрын
Mheshimiwa wabane kabisa hao wsmezoea kupita njia zamkato mungu akupe wepesi kusimamia majikumu yako
@charlesmwambinga435528 күн бұрын
Ifike Mahara Tumsaidie Mheshimiwa Raisi kwa kua wazalendo..zamani tulikua tunalalamika pesa haifiki saivi zinafika watu Mnachota Chota sio sawaaaa..kabisa
@HanifaOman-oo4pl28 күн бұрын
Kwenye ujenzi wakuu wanapigwa sana pesa zetu
@ChristinaOberto28 күн бұрын
Daah! Serikali imeanza kuchezewa sasa
@ilynpayne749127 күн бұрын
Kazi ya RC na DC ni nini had anakuja waziri mkuu 😢
@sautiyawanyonge251127 күн бұрын
Ametonywa😂
@josephjulio611227 күн бұрын
Nimepeni kazi niwasaidie
@paulokateme761527 күн бұрын
Itapendeza ufanyike ukaguzi wa shule zote na madudu utakayoyagundua yatakushangaza ni watu wasio na utu.