MALORI ZAIDI YA 200 YAKWAMA NJOMBE KISA MFUMO WA VIBALI, RC MTAKA ATOA MAAGIZO MAZITO

  Рет қаралды 23,415

Millard Ayo

Millard Ayo

10 ай бұрын

Пікірлер: 41
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 10 ай бұрын
👏👏👏Safi sana mkuu wa mkoa, mko wa Njombe Check point zimezidi kuwa nyingi hadi kero
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 10 ай бұрын
Mkuu wa mkoa nakuelewa sana.hongera Sana ..hii nchi wapigaji kila kono.suala la mbao mgambo wamo polisi wamo nk...umetoa mwongozo mzr sana
@johmyinga691
@johmyinga691 10 ай бұрын
Hongera mkuu kwa utendaji kazi Mzuri ,njombe yetu
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh 10 ай бұрын
Hongera no 1 lkn malalamiko meng
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 10 ай бұрын
Utendaji wa kukurupuka, mpaka wazinduliwe,, Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
@laurenciakamata
@laurenciakamata 10 ай бұрын
Mungu awasaidie
@user-pb4oh1rw2w
@user-pb4oh1rw2w 10 ай бұрын
Safi mkuu umeongea kilicho sahihi usumbufu wote huu ni mazingira ya rushwa
@user-fw9vk3lo1s
@user-fw9vk3lo1s 10 ай бұрын
Yanimageti utafikili sister majambazi ivihayo mamaliasili ungeyawekandani yakome
@user-fy9lo9bw7p
@user-fy9lo9bw7p 10 ай бұрын
Hivi hapo suala so hela kwa nn wasichukue hela tu nchii hii one side ikigoma hawana plan b
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 10 ай бұрын
Hiyo ni Njombe Hapa mafinga ndo balaa
@husseinmahenge3176
@husseinmahenge3176 10 ай бұрын
😂 bongo ni hatari Kwa kweli
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 10 ай бұрын
Kkuu wa mkoa aliona hili hata JPM aliwahi liongelea kila mtu Mkubwa hata mgambo anasumbuka si AJABU anakupiga risasi
@victorjames3730
@victorjames3730 10 ай бұрын
Huu ni uhovyo na kukwamishana kibiashara
@shabansumaiya4770
@shabansumaiya4770 10 ай бұрын
Kwani mtu siakate reseni yauhalali
@ObligeeNdoni-pb4vs
@ObligeeNdoni-pb4vs 10 ай бұрын
Bi mkubwa nchi ishamushinda!
@vincosmeticsmarvin
@vincosmeticsmarvin 10 ай бұрын
Tanzania nchi yangu😂 kila kitu magumash 😂😂
@onesmombele2571
@onesmombele2571 10 ай бұрын
Mkuu wa mkoa njombe wewe unastahili kuwa waziri wa maliasili, Maana ulivyochambua utendaji wa haya majeshi yetu. Tunaona kula siku muingiliano ni mkubwa,
@user-zg4yz7je8d
@user-zg4yz7je8d 10 ай бұрын
Tangu uyu mama ameingia madarakani yangu nchi ina matatizo makubwa mno kila sehemu, tani wanachelewesha mfumo ni rushwa tu
@user-ye8bl4tz6w
@user-ye8bl4tz6w 10 ай бұрын
Safisana muheahimiwa akili nyingisana mkuu nakuelewa sana mkuu
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 10 ай бұрын
Serikali yetu ina watumishi wa ajabu mno
@francisgituti2494
@francisgituti2494 10 ай бұрын
Huyo unakuwa ni unyambilisi a. K mfumo duni. Weld one mkuu mtaka Elimu hiyo imewangia vema
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 10 ай бұрын
Yaani nchi yetu jamani
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 10 ай бұрын
Njombe imepata kiongozi chini sasa
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 10 ай бұрын
Rushwa hizo nyie 🤣🤣🤣
@johnchungwa-ei7xj
@johnchungwa-ei7xj 10 ай бұрын
Inchi niyetu mageti yotehayo yanini moja tu linatosha mkulima wamiti anakufa kabisa
@user-xx8jx6tb7d
@user-xx8jx6tb7d 10 ай бұрын
Hayo ndio maneno baba sio kufanya kaz ilimrad tu
@user-or8ow5vr7m
@user-or8ow5vr7m 10 ай бұрын
Kama kuna maroli yanaenda Zambia tunaomba serikari yetu nayo iwakwamishe kama wanavotusumbua sisi uku kwao
@user-fw9vk3lo1s
@user-fw9vk3lo1s 10 ай бұрын
Ninakushukulu mkuuwetu wamkoa nimependa majibu hayo yameonyesha kuawewe nimzalendo watnzania yet mngu ukupe uzima
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 10 ай бұрын
Hapo wanavuruga mifumo wanataka kutoka kwenye mfumo warudi manual ili wapige.
@RoanCorporation
@RoanCorporation 10 ай бұрын
Maliasili ny kama Lantra , awako rafiki kwa wafanyabishara
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 10 ай бұрын
Iringa ukitoka geti la kihesa mpaka migori walau hapa kidogo panaumbali.Njombe yetu mageti utitiri .Kibena ,Lulanzi,Ilunda, Lyamkena,Mizani makambako.Yaani njombe makambako mageti 6 halafu wengine wanazima taa maksudi kwenye vibanda vyao ili ukipita tu wanapiga simu mbele kisha wanakwambia faini milion
@SAHILSHAABAN
@SAHILSHAABAN 10 ай бұрын
Hamna lolo te ni wizi mtupu hapo
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 10 ай бұрын
Mkuu wa mkoa umeongea jambo la maana yaani unagongesha mihuri mpaka kero.Kila baada ya kilo mita tano kumi geti.
@nth3512
@nth3512 10 ай бұрын
Mfumo kusumbua sio sababu ya kushindwa kufanya kazi, TZ bado nchi changa upande wa technology ndo maana mifumbo inasumbua. Lengo la vibari ni kukusanya mapato km serikali, pokeeni pesa kwa utaratibu wa kawaida hata cash af baadae mtaweka taarifa hizo kwenye mfumo. Yani viongoz wenyewe hawana ufaham na technologia, vitu vidogo vya kufanya maamuzi kwa akili za kawaida ila mnakuza mambo tu. Yani sababu ni nyingi, kila kitu hadi muambiwe.
@timetravellor5367
@timetravellor5367 10 ай бұрын
Muwalipe faini uwo ni ujinga wenu
@ibrahimhodabaksh3939
@ibrahimhodabaksh3939 10 ай бұрын
MAGETI YANINI MTUKALI JAMANI UPIGAJI TU
@ayubusanga4997
@ayubusanga4997 10 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@ibrahimhodabaksh3939
@ibrahimhodabaksh3939 10 ай бұрын
MAGU MAGU BABA UPIGAJI TU
@jameskivelege8630
@jameskivelege8630 10 ай бұрын
Huyu ndiye mkuu wa mkoa wa kisasa, congratulations Mr Mtaka. Saidia wafanyabiashara ili kuongeza tija.
@epafraditopajenga4650
@epafraditopajenga4650 10 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/odWjpLemz728pGw.htmlsi=BmAIXyBV2W2Tw_Df Hii Ni Shida Kutokana Na ?
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 468 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
ALIYEKUWA RC NJOMBE AAGA RASMI
7:12
Wasafi Media
Рет қаралды 8 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 468 М.