No video

MKE WA BIULIONEA MSUYA AIBUA MAPYA MAHAKAMANI, ATAJA ALIVYOGAWA PESA KWA FAMILIA

  Рет қаралды 20,828

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 10 ай бұрын
+MUNGU+ ni MWEMA MILELE hakika atatenda haki🙏🙌🙌
@salminasalim5630
@salminasalim5630 10 ай бұрын
Ee MMungu msaidie huyu mama kushinda hii kesi. Maana kuhusu mirathi mdugu wa marehemu huwa hawataki mjane asimamie mali ya mume wake ambavyo ni haki yake tena huyu mama anaroho nzuri aliweza kuwapa hata ndugu badala ya mama na baba tu ndio wahusika ndugu basi. Jamani mahakama msaidieni huyu mama atoke inaweza kuwa anasingiziwa sababu ya wivu jamani Allah ni shahidi yake. Na wanasheria Mungu awaguse jamani.wamwaachie Mungu tenda miujiza yako atoke huyu mama mjane.
@najmamussa
@najmamussa 10 ай бұрын
Uyo muuaji kama wauwaji wengine kamuuwa jwifi yake na yeye afe magu hakuwa mnafiki mpaka mwenye haki anapewa haki yake
@lilyrose7983
@lilyrose7983 10 ай бұрын
Eti ashinde kesi?Kwa lipi muuwaji huyu
@neema_mollel
@neema_mollel 10 ай бұрын
Uko serious ,achinje wifi yake kama kuku Tena mbele ya mtoto wa marehem .huyu afie tu huko jela
@simonzelote5998
@simonzelote5998 10 ай бұрын
Wewe kweli Ni Ni chizi yaani mtu auwe mbele ya mtoto halafu aachwe kweli
@neema_mollel
@neema_mollel 10 ай бұрын
@@simonzelote5998 hajui kisa Cha mauaji ya aneth ndo mana .
@user-zv2ng6ov2k
@user-zv2ng6ov2k 5 ай бұрын
polesana dada Mungu atakuyetea nakama awujausika utatoka, nakama nimawifi nawakwao wamumewako Mungu atawaumbuwa
@queenandchill91
@queenandchill91 10 ай бұрын
UTATOKA TU. Binadamu wabaya sana, tangu niwaone na kuwasikiliza hao NDUGU MALI wa Bilionea Msuya kwa Jerry Muro. Nakuombea kwa Mungu utoke utunze wanao. ONLY GOD CAN JUDGE YOU MAMA.
@princessjj8298
@princessjj8298 9 ай бұрын
Wamepewa mamilioni ya pesa na bado wanalalama, Mungu amtetee huyu mama kwakweli. Wanataka kuwadhulumu watoto mpaka nyumba wanayoishi?
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 10 ай бұрын
Nani ndio kakiri alimua dada wa bilionea msuya 😢😢😢😢😢😢 subhanallah watu wana roho mbaya mnoo
@goodlucktarimo6170
@goodlucktarimo6170 10 ай бұрын
Mungu atafanya njia dada yangu nyakati ngumu hazidumu
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 10 ай бұрын
Kibatala yupo ..!! Kesi imeisha ...
@ErickyKibuyu-rp6lx
@ErickyKibuyu-rp6lx 10 ай бұрын
Eee Mungu msaidie huy mama achiwe huru.
@lilyrose7983
@lilyrose7983 10 ай бұрын
Eti aachiwe huru?Wakati anamuuwa mwenzie alifikiri anachinja kuku?
@neema_mollel
@neema_mollel 10 ай бұрын
Asiwahi toka ikipendeza afike huko
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 9 ай бұрын
​@@lilyrose7983ulimuona au unaongelewa
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 9 ай бұрын
Acha masihara wewe,ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga, acha aendelee kunyea sero muuaji huyu
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 10 ай бұрын
Lord protect this woman and her children from evil people who wants to see her suffer.
@lilyrose7983
@lilyrose7983 10 ай бұрын
Unamuombea mtu aliemuuwa wifi yake na kukiri hadharani.Aisee Dunia Ina watu wa ajabu
@neema_mollel
@neema_mollel 10 ай бұрын
,😂😂😂stop joking
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 10 ай бұрын
Mimi huyu mama nikimuonaga ,MUNGU ANISAMEHE SANA,SIMPENDI KUTOKA MOYONO,SIMJUI,HANIJUI,NA SIMUOMBEI LOLOTE BAYA NA MUNGU AMTANGULIE KATIKA YOTE ANAYOPITIA,ILA SIMPENDI SANA TANGU AMCHINJE ANNET
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 10 ай бұрын
Hivi huyu gerezani atakuwa analala kwenye changanyikeni kweni.? Amenenepa sana
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 10 ай бұрын
@@lilyrose7983 were you there? God is going to shame you.
@jamilaabdallah732
@jamilaabdallah732 10 ай бұрын
,Hivi ni Biulionea au Bilionea 😂😂 Mimi sijui kiswahili bhana
@najmamussa
@najmamussa 10 ай бұрын
Bilionea alikuwa mihera mingi napia akinunua kitu kama Kuna chenj imebaki anakuachia tuu
@wisperfect5320
@wisperfect5320 10 ай бұрын
Jiongeze
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 9 ай бұрын
Huyu mama hakuuwa jamani kila nikiunganisha matukio naona kabisa ndg wa mume wanamkandamiza mno
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui 9 ай бұрын
alishakiri mwenyew
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 9 ай бұрын
@@IMANWILLIAM-bl2ui sasa c alisema walimpiga sana police na kumlazimisha aseme ndy maana kec inazungushwa ingekuwa kakili mahakamani ingekuwa imeisha ila police huwaga kuna vipigo vikali mpaka unasema kitu ambacho hakipo.
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 9 ай бұрын
Hakuna huyu mama ni muuaji tuu,mali imemponza yeye mwenyewe, na alichokiri ni kweli ,hana uinocent wowote hapo,na muuaji huwezi kumjua kirahisi na huwa wanabadilibadili maneno kama huyu mama, lkn ukiangalia sura yake unaona kabisa kuna ukatili ndani yake,wanaojua kusoma watu wanaweza kuona upande wake wa pili na siyo huo muonekano wake wa nje
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 9 ай бұрын
@@waukweelinikkon6555 mpendwa usihukumu ucje ukahukumiwa
@user-zv2ng6ov2k
@user-zv2ng6ov2k 5 ай бұрын
@@IMANWILLIAM-bl2uiumekuwepo
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 10 ай бұрын
Yote haya ni mateso ya pesa.
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 10 ай бұрын
Mungu wewe ndio mtoa haki
@salcle9702
@salcle9702 9 ай бұрын
Hapo alipo mungu anakusudi nae ndiyo maana amempitisha hapo pengine huko uraiani asinge kuwa hai mpaka leo.
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 10 ай бұрын
Na Kila uchao Bado ana nawiri huyu mama,au ndiyo ukiwa na pesa jela siyo ya mateso
@princessjj8298
@princessjj8298 7 ай бұрын
Wengine wakiwa na stress wananenepa
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 9 ай бұрын
Nyama za mjane gani wakati muuwaji amemuua mme wake na wifi yake na kama hakufungwa angewamaliza wote majambazi siwatoa ushahidi mahakamani wakasema akimuua wifi yake atapewa milioni 20 sasa vipi aachiwe hakuna damu itamla kuumu anita
@mwitaagness455
@mwitaagness455 10 ай бұрын
Kwan huyu dada yupo magereza, keleuwiiiiii....
@mgayan1222
@mgayan1222 10 ай бұрын
God will judge you all. DAMU YA ANETH ITAENDELEA KUWAULIZA
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 9 ай бұрын
Unfortunately your blame might be going to the wrong person. Were you there? If she's enocent until proven guilty by the courts of law.
@user-ml3zf7mw1y
@user-ml3zf7mw1y 9 ай бұрын
Je ANETH alichinjwa au alijichinja? Maana nasoma maoni ya ajabu, amekufa nathani yake ipotee? MWENYEZI MUNGU WW NDIO HAKIMU MZURI
@NancyRonaldmasaweeNancyr-fm3nn
@NancyRonaldmasaweeNancyr-fm3nn 10 ай бұрын
Yote hayo sababu ya malii
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 18 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 25 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН