DC UBUNGO AIBUKA SINZA KUKAMATA MADADA POA GESTI NA BAR AKUTA MADUDU, AZIFUNGIA "KAMATA WOTE"

  Рет қаралды 141,087

Millard Ayo

Millard Ayo

21 күн бұрын

Пікірлер: 1 300
@NyamtigaIbrahim
@NyamtigaIbrahim 19 күн бұрын
Unapokataza Kuuza Bangi Anza Na Mkulima Watu Wanakula Hela Za Uma Mabilioni Lakini Mnawapigia Na Salute Jamani Hiiii Nchi Ngumu Sanaaaah
@mussarashid2216
@mussarashid2216 19 күн бұрын
Punguza Sauti maana WATASIKIA
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 19 күн бұрын
Ni kweli kabisa mafisadi mnawaacha wanaopora nchi lakini mnadili na watu wa chini kwa kutafuta majina ya kazi zenu
@albertmichael4014
@albertmichael4014 19 күн бұрын
Et amekosa Mambo ya kufanya et anaenda kukamata makahaba, asilimia 90 ya nchi zote wanachangamoto hyo sembuse tz hajafanya hata research akiamka tu anaenda kukamata makahaba
@user-ui1qs9yl1n
@user-ui1qs9yl1n 19 күн бұрын
@@marandoruzali1946 wanatafuta kiki za kipumbavu
@user-ej5ir5pu7r
@user-ej5ir5pu7r 19 күн бұрын
Kwahiyo ulitaka wale mawe
@omarimpogo6895
@omarimpogo6895 19 күн бұрын
Sas kosa Lao ni nini..!? Munaacha kukamata wala rushwa mnaenda kukamata watu waliojipumzikia zao kwny Nyumba za wageni!!!! Hii si saw
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z 19 күн бұрын
Kwaio unataka kusema zinaa iruhusiwe tena na unajina la omari kabisa hivi kama ndugu yako anafanya hivo utakubali au unasema kwasababu huna ndugu hapo
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 19 күн бұрын
Kosa lao wanazingua wanajiuza ni kinyume na sheria za Nchi yetu
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 19 күн бұрын
du si mchezo yani mpaka sasa bado haujafahamu kosa Lao!
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 19 күн бұрын
Punguza ushabki kwenye Mambo ya msingi
@danielmbugi1733
@danielmbugi1733 19 күн бұрын
Ulisha wai fiki ilo eneo ukaona walivyo.uchiii
@clintonarnold6291
@clintonarnold6291 19 күн бұрын
Mi nafikili ni sawa kukamata wale ambao Unawakuta kabsa balabalani wanajiuza lakn sio saw kwenda Gest kushka watu...Mawazo yangu🌄
@nicodemaskapinga-em9pt
@nicodemaskapinga-em9pt 19 күн бұрын
Upo sahihi sana
@josephmbuya9860
@josephmbuya9860 19 күн бұрын
Upo sahihi
@Alexismadimo
@Alexismadimo 19 күн бұрын
Ni kweli lakini ni sabbu vibali havifwati Wangekuwa wanafata wangeepuka yote haya
@FrankChalula-hz6dn
@FrankChalula-hz6dn 18 күн бұрын
Hapo shida ni ya mwenye guest na sio aliyelala ndani
@user-tk8de2pl4j
@user-tk8de2pl4j 18 күн бұрын
Nimeumia sana sijapenda
@user-uk3gu2fp2w
@user-uk3gu2fp2w 19 күн бұрын
Wewe naye umekosa kazi unashidwa kero zawanaichi unafanya kazi ambayo siyo sahihi
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 19 күн бұрын
hiyo pia nikero,kazi sahihi ni ipi kama hiyo siyo sahihi?
@VictorLyimo-so9xr
@VictorLyimo-so9xr 19 күн бұрын
Mfano gani unatuonesha tuonyeshe maendeleo
@Mumewangu
@Mumewangu 19 күн бұрын
Unapenda uzinifu wewe?
@mussarashid2216
@mussarashid2216 19 күн бұрын
​@@MuhammadHassan-xp6dcSasa kero kuingilia UHURU wa MTU
@iddiali8057
@iddiali8057 18 күн бұрын
Mkuu huna KOSA. Huna makosa, chapa kazi
@beratsanoo5778
@beratsanoo5778 14 күн бұрын
Kama wewe mwanaume Kweli na unajifanya unachukia sana dhambi nenda kapambane na wanaume wenzako unaowapigia salute kila siku na ni wezi wa pesa za umma,Unakuja kuvimba kwa hawa dagaa,Unautani sana wewe jamaa.
@TABAKICOMEDY8972
@TABAKICOMEDY8972 18 күн бұрын
Mkuu unafanya kazi nzuri sana hongera sema kuna mambo mengi na muhimu zaidi kuliko hili mfano barabara ya ubungo mpk buguruni tunateseka tunakaa kwenye foleni kwanzia saa 6 jion mpk saa mbili tupo kwenye foleni kwa ajili ya maroli kuwa mengi sana ebu anagalia vitu vya msingi zaidi hongera kwa kazi nzuri
@lawrenceleonard2007
@lawrenceleonard2007 16 күн бұрын
Subiri tu barabara zitakuja tu taraatibu tu tunaanza
@user-tq9bn4my7v
@user-tq9bn4my7v 16 күн бұрын
​@@lawrenceleonard2007 Kinondoni nayo ifanye hii operation hebu njoo eneo la Boko Basihaya ni shida kwa kelele na changu doa.
@EstherAndrea-ho3xe
@EstherAndrea-ho3xe 12 күн бұрын
Ata luwaha wapo wengi xan
@modricseif1018
@modricseif1018 18 күн бұрын
DC well done, kazi nzur but hao wote uliowakamata warikodi majina yao kisha hakikisha unawapa mtaji wa kueleweka au kazi za kueleweka kuepukana na umaskini, utakua umetisha ssana💪 👏
@user-xc5tv9dl5k
@user-xc5tv9dl5k 19 күн бұрын
Huyu Dc hafai kuwa kiongozi ipo siku atakuja kufukuswa kazi ww endelea.anashindwa kufanya kazi za maana unakuja kuhangaika na watu wazima.pili unasema wakafanye kazi hiyo kazi umewatafutia.ww Dc hata mshahara hunauwezo wa kuwalipa
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 19 күн бұрын
DC inawezekana hana kazi ya kufanya
@wilbertkemeli8869
@wilbertkemeli8869 19 күн бұрын
Yuko sahihi watoto wadogo wanoishi mazingira hayo wanajifunza nn! Isitoshe hata watu wazima wanaoishi maeneo yale inakua kelo kwao maana mazingira yao yanayowazunguka yanakua sio ya maadili
@andrewmuya7212
@andrewmuya7212 19 күн бұрын
Kwa nini asipambane na vibaka wanazuri watu usiku
@leokamil6284
@leokamil6284 19 күн бұрын
Masifa tu huyo jamaa fala sana, akawape mishahara yake ili iwe mtaji .Ati anawaambia wenye bar wawadhibiti wadada nje ya bar kwani huo ni wajibu wao kukagua wateja huyo ni mjinga kweli. Afunge hizo biashara alafu kodi alipe yeye
@user-yb1ut1yo8u
@user-yb1ut1yo8u 19 күн бұрын
Kweli shida ana taka kuonekana ana fanya kazi 😅😅😅😅
@user-xh9cf9rn5q
@user-xh9cf9rn5q 19 күн бұрын
Mkuu acha waendelee na maisha yao hakuna jipya hapo.
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 18 күн бұрын
KWA KWELI HIYO KAZI IMEANZA HAJAZALIWA NA YEYE BALEE ALIPONEA HUMO HUMO
@Allybinamour
@Allybinamour 19 күн бұрын
well done DC allah akutie nguvu katika zaid katika majukumu yako.
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 18 күн бұрын
Kwel mungu amlinde kwalipi nawakati tunachaniwa nyavu zetu na vibaka ana hangaika na malaya
@Malkia-jv4ct
@Malkia-jv4ct 17 күн бұрын
​@@EmmanuelChrispin-bo5xhsindo hapo sasa
@Sudibo
@Sudibo 18 күн бұрын
Unakuta huyo jamaa aliliwa hela na madada wa hivyo ndoo maana 😂😂
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 19 күн бұрын
sio safi
@Mumewangu
@Mumewangu 19 күн бұрын
Safi mungu anapenda
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 18 күн бұрын
Kamateni wenzi wauma wanao ibiserikari
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 19 күн бұрын
Kuna wakat serikali yetu inakuwa kama ina unafki, tunaona kuna wapigaji serikalini mpaka bungeni wanatajwa kwa wizi, wanaachwa eti leo wanajidai wanakatmata dada poa daah! Mungu inusuru nchi yetu.
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 19 күн бұрын
wanaznguwa
@moshifrank9622
@moshifrank9622 12 күн бұрын
Hii nguvu ingetumika pia kwa mafisadi
@EliaElibariki-pu9lu
@EliaElibariki-pu9lu 19 күн бұрын
Uyu DC anatafuta kiki
@albertmichael4014
@albertmichael4014 19 күн бұрын
Adi nashangaa hv huyu elimu alipata wapi, napata waswas
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 19 күн бұрын
Yani makonda ndio kiongoz watu wananyanyasika uko yee yuko bize au anamtafuta hawara wake ndio mana anapita kilakona
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 19 күн бұрын
Kwa nyie mnaojiuza ndio mnaona anatafuta kiki
@lilianobed
@lilianobed 19 күн бұрын
Ye mwenywe demu wake ni malaya hakuna sehem duniani inakosa makahaba alishindwa makonda utaweza we muone machonyalivyo mtoka km katoka kupuliza kutoka kwenye ukahaba ni neema ya mungu nilikua huko kwa miaka7 mungu ndo kaniokoa Sasa siwalaumu makahaba wanajuwa wenywe changamoto zao za maisha we muone akiuza hujui yalo mkuta
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 19 күн бұрын
W​@@rumdeesonsoa1811wanunuz hao
@ankoharunacomputers9709
@ankoharunacomputers9709 18 күн бұрын
Iwe Sheria ya Nchi mzima. Bravo❤❤❤🎉
@josephmakonga3201
@josephmakonga3201 17 күн бұрын
Viongozi wa siku izi wanapenda sana camera kuliko kufanya kazi za maendeleo tengeneza miundombinu ya ajira ndio utatokomeza iyo biashara.
@lilianpuka218
@lilianpuka218 19 күн бұрын
Wape ajira ss acha kelele🙋
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 17 күн бұрын
ajira ni wewe serikali aiwezi kukufata
@ZedMngulwi-gw6nb
@ZedMngulwi-gw6nb 17 күн бұрын
Jiajiri wewe
@AbrahBuraheze
@AbrahBuraheze 15 күн бұрын
😂ko hao tu ndio wapewe hajira kwan tanzania wangapa hawana kazi na hawajiuzi😂😂😂
@mdl6463
@mdl6463 19 күн бұрын
Walikiwepo tangia enzi Dunia inaumbwa 😂😂😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 19 күн бұрын
Namshangaa sana kazaliwa juzi huyo ndio anajiona anajua sana. Serekali yenyewe iliwashindwa waanzilishi miaka ya zamani na walikua na mitaa yao ndio yeye ataweza mjinga huyo
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b 19 күн бұрын
Mbo​@@leokamil6284mbona mtetea nawewe umo
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z 19 күн бұрын
@@leokamil6284usiombe kwenye familia yenu awepo japo moja ndo utajua hii aibu ipoje
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 19 күн бұрын
Mpumbavu na mjinga wewe mpenda zinaa mwanaharamu kabisa, kwa hiyo sababu wapo walishindwa hivyo kwa kipindi chake aache sio? Kuchekelea ukahaba ni nisawa na wewe unaetetea pia kahaba au wewe ni mmoja wao unanunuliwa au unanunua? Hawa washenzi wanatuharibia mitaa kwa tabia zao chafu kama sijambo la aibu kwanini wasiuzie watu wa kwao majirani ama mitaa karibu na kwao wakihojiwa hao wote wanatokea mikoani au nje ya mji, ukahaba ni tabia mbovu ya kukemea na sio kukubali kushindwa​@@leokamil6284
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n 19 күн бұрын
​@@leokamil6284😂😂
@paulmutailuka2417
@paulmutailuka2417 19 күн бұрын
Safi sana mhe. DC Hassan Bomboko, unafanya kazi nzuri classmate wangu. Mungu akubariki sana, Ni kweli kwa sasa maisha yamekuwa magumu sana ila dada zangu ambao mmeamua kufanya biashara hii ni wasihi tu muachane nayo kuna shughuli nyingi sana za kufanya. Unaweza kuanzisha hata biashara yyt ndogo na ukafanikiwa. Mungu awatie nguvu kwakweli.
@romualdmadeniromuald525
@romualdmadeniromuald525 19 күн бұрын
Biashara bila mitaji
@paulmutailuka2417
@paulmutailuka2417 19 күн бұрын
@@romualdmadeniromuald525 Kaka inahitaji ubunifu wa hali ya juu ili uweze ku survive ktk maisha haya. Nakubaliana na wewe bila mtaji huwezi kufanya jambo ila naweza nikakupa mfano kdg. Kuna kamsemo kanasema anzia unapo weza mtu anaweza akafanya kujiajili mwenyewe kwa kuanza kufulia nguo watu mwisho wa siku akapata mataji na maisha yakaenda vzr, pia anaweza akaanza kuchoma maandazi na akauza mpka akapata mtaji. Sema siku hizi vjn wengi wamekuwa watumwa wa kufikiri sana. Anasubili mpka apate ajira na siku hizi ajira hamna.
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 19 күн бұрын
awape ajira sasa
@hamissomary6869
@hamissomary6869 19 күн бұрын
Safi sanaaaaa kiongozi mkuu wa wilaya"All akupe wepesi"wanazalisha snaaa family
@beddaathanas3150
@beddaathanas3150 19 күн бұрын
Hongera sana comred, kazi nzuri sana
@frankmahenge5943
@frankmahenge5943 19 күн бұрын
Angekamata mashoga ingekuwa safii lkn hapo hamna cha ajabu
@mandelasamson8401
@mandelasamson8401 18 күн бұрын
Uzuri wa kazi hiyo ni ipi, watu wanakero kibao hazishughulikii anahangaika na malaya,malaya hawajawahi kuwa kero popote
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 19 күн бұрын
Vitu kama hivi ndio vinafanya serikali igombane na wananchi😂😂
@Mumewangu
@Mumewangu 19 күн бұрын
Wee mshenzi tu kwa iyo waachiwe kwa sababu nawe unajiuza
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 19 күн бұрын
@@Mumewangu unajua mke wangu, ulaya walishindwa wakaamua iwe biashala halali. Vp wana uhakika wa kuwapatia maisha? Maana pale ndo kula kulala yao🤣🤣🤣
@InocentPius
@InocentPius 19 күн бұрын
Kweli
@Mumewangu
@Mumewangu 18 күн бұрын
@@OscarAsukenie wewe sijui upo katika Dini gani! Manake ukristo uzinifu unapinga na uislam vile vile unapinga halafu wewe unawaunga mkono mungu mwenyewe anapinga alafu wewe unaunga mkono omba msamaha kwa mola wako utaangamia ukipata ukimwi utajuwa .
@al-bleproshooteur1922
@al-bleproshooteur1922 11 күн бұрын
❤❤❤❤❤ kazi nzuri njo congo
@kemmymartine4884
@kemmymartine4884 10 күн бұрын
Amen God bless uu hakika mh
@user-uf7oh5eu4v
@user-uf7oh5eu4v 17 күн бұрын
Sema siku unaweza ukawa na hata na mke wako guest au mpenzi wako mmeenda kupumzika .alafu operation inakukuta hii ya dc unaweza ukachanganywa na madada poa.kwa mtazamo wangu nipende kuishauri serikali wakamate madada poa wanaowakuta mabarabarani sio ambao wapo kwenye vyumba vya guest
@malakisilas6523
@malakisilas6523 19 күн бұрын
Kazi nzuri sana Mkuu wa Wilaya.
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 13 күн бұрын
Nendeni kwa Mwambukusi na Lisu ili wawatetee sababu Chadema ni chama chenu mashoga na makahaba mtatetewa tuu.
@AbdulkarimAisha-ex5kp
@AbdulkarimAisha-ex5kp 14 күн бұрын
Kazi nzuri sana kiongozi dada zetu waache uzinifu watafute kazi zingine uchumi wa nchi ukue
@user-vk4mv8vs7c
@user-vk4mv8vs7c 19 күн бұрын
Hana kazi DC Hana uwezo wa uongozi Tengeneza ajira DC Haya mambo yalikuwepo tangia enzi ya bwana Yesu Ammulize Mzee Makamba
@ziggertv3185
@ziggertv3185 19 күн бұрын
Akuletee ajira nyumbani wakalime
@ziggertv3185
@ziggertv3185 19 күн бұрын
Uvivutu
@SabrinaMikidadi-oc5xg
@SabrinaMikidadi-oc5xg 19 күн бұрын
Huko ndo wameonaga pa kupatia kiki wakafunge club za masaki huko au kitambaa cheupe kwanini wanafunga vichochoroni tu
@SabrinaMikidadi-oc5xg
@SabrinaMikidadi-oc5xg 19 күн бұрын
Mbona tip top bado wapo?
@esmailesmail4319
@esmailesmail4319 19 күн бұрын
Nenda dodoma, kamata wa bunge pia
@chrismkama4889
@chrismkama4889 19 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-pw8ml6ts8r
@user-pw8ml6ts8r 9 күн бұрын
Safi sana👏👏👏👏👏
@user-sz9sg1ez4b
@user-sz9sg1ez4b 10 күн бұрын
Alhamdulillah huenda. Tanzania ikapata neema kamata wote hao manyang'au
@RobertNjoroge-dt6yc
@RobertNjoroge-dt6yc 18 күн бұрын
Umefanya vizuri sana ndio watu waolewe na kuoa jamani tunapoeleke sio nafanya kazi nzuri sana hongera
@joycefrances4516
@joycefrances4516 19 күн бұрын
safiiiiiiiii,wanatuletea laaana Mungu anachukia Bali inakuwa ngumu,on do a LA a na muheshimiwa,Hui ndio ma a na ya muheshimiwa,Jes him a ichukue mkondo wake
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 19 күн бұрын
Nafikiri ulikuwa na point nzuri sema ndio ivo mwandiko umekusaliti
@liverobby8988
@liverobby8988 19 күн бұрын
Me nataka nikununue wewe
@RaiderTube
@RaiderTube 18 күн бұрын
Wewe mwenyewe malaya tu, unakuta unatombwa hapo bikra huna na haujaolewa, au umeolewa unatombwa na michepuko halafu unasema wanaleta laana, biashara hiyo ilikuwepo hata kipindi cha yesu, malaya wewe
@MaikoSiria
@MaikoSiria 18 күн бұрын
uko vizuri sana yani nchi ikiendelea hiv tutafika mbali
@daudkindy8062
@daudkindy8062 18 күн бұрын
MASHAALLAH KAZI NZUR MKUU
@christiancalvin2183
@christiancalvin2183 19 күн бұрын
Vina mda basii.. Mda si mrefu watarudi na maisha yataendelea kama kawaida
@njuka3515
@njuka3515 19 күн бұрын
Na wateja Ni wenyewe
@abdallahiddy6333
@abdallahiddy6333 19 күн бұрын
hahah
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 19 күн бұрын
Weeeeeh huyu DC hataki mchezo eti,kazi kazi🙏🙏🙏🙏
@TwahaRashid
@TwahaRashid 19 күн бұрын
Safi sana mheshimiwa Yani umenifurahisha sana , na huku kwetu tunakerwa na aibu hii,
@JumaYusuphu-ek1dn
@JumaYusuphu-ek1dn 11 күн бұрын
Nimeipendasana iyo hongera ds isiishie kata yaubungotu maana nimbaya sanaiyo
@dorcasdavid2247
@dorcasdavid2247 19 күн бұрын
M/Mungu Akusimamie Sn Mkuu,,Umejua kunifurahisha sn.maana ni Aibu sn kwa Jamiii
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 18 күн бұрын
Aibu ya nn sasa
@babazizu1255
@babazizu1255 17 күн бұрын
Haswa ndgu yangu hasa mfano eti unamkuta mtt wa kiume nayeye anachukuliwa kinyume na maumbile subbuhanna llah
@babazizu1255
@babazizu1255 17 күн бұрын
Kassimally naww ndyo wale wale nn mtt wa kiume unauliza aibu gani pumbavu weeeee
@AnnaSamson-ym7tu
@AnnaSamson-ym7tu 18 күн бұрын
Umekosea DC iyo siyo sawa
@Veronicaenos
@Veronicaenos 17 күн бұрын
Siyo Sawa nn vp Yan mtu anaweka maadil ww unapinga
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 18 күн бұрын
Mungu Atujibu tumelia sana Mbarikiwe viongozi
@jamesonjames4291
@jamesonjames4291 13 күн бұрын
Huu ni upuuzi na kutaka sifa tu Kwaiyo watu wasiende gest au bar au watupe vitambulisho basi sasa kama mtu upo bar wazingua hivyo ndo nini kama sio sifa nchi hii adi viongozi wanataka kiki yani kama wanajua sana wakakamate wanaokula hela za miradi ya nchi
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 19 күн бұрын
Mbna hamdili na mashoga wakati yapo kibao huko dar
@DativaMbowe
@DativaMbowe 19 күн бұрын
Ndio nashangaa 🤮🤮
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 19 күн бұрын
Mbona kashasema wanawakamata
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 19 күн бұрын
Hujasikia hapo alichoongea?
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 19 күн бұрын
Tuwaone sio tunaona ma dada poa tuyaone mashoga na tuonyeshwe sura zao ili tuwatenge
@DativaMbowe
@DativaMbowe 19 күн бұрын
@@daudymlauletv8489 kabisaaa
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 19 күн бұрын
Huyu DC anawalipia kodi hao wamiliki wa lodge? Yaani sasa hv mnaingia mpaka kwenye magesti ,je kama mtu kaenda na mpenzi wake?
@leokamil6284
@leokamil6284 19 күн бұрын
Kwa sheria gani?.kuna shida chungu nzima za kutatua wamebaki kudhalilisha watu .Je hao wenye gesti wazifunge? .Ningeomba uwape hizo shughuli zingine na mitaji sio ukurupuke tu.Uonevu mtupu acha sifa wewe
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 19 күн бұрын
Wanashindwa kukamata wanaotuibia zahabu na haridhi zetu na wanaoiba pesa serekarin wanaenda kukamata watu wanaishi na maisha Yao iyo serekari haijawai kutoa kaz wara pesa hakina misada pesa wanakula wenyewe tu mnakuja kuzaririsha watu na family zao
@josephernest155
@josephernest155 17 күн бұрын
Unaweza lala zako guest huna hili wala lile DCanakuja paaap unajikuta Centro na kwenye video clip mitandaoni unaitwa Kaka Poa😊
@leokamil6284
@leokamil6284 17 күн бұрын
@@josephernest155 Huyo jamaa kakurupuka tu kutafuta umaarufu
@selelimaganga6710
@selelimaganga6710 16 күн бұрын
Mbaya zaidi sasa ukute alieemda anafamilia yake mnamkamata hawaona wanaweza kuongeza migogoro ktk familia?
@rehemashetuli8620
@rehemashetuli8620 18 күн бұрын
Daaaa mungu tulindie vizazi vyetu
@yussufally8668
@yussufally8668 19 күн бұрын
Hongera sana muheshimiwa
@shyneafya2468
@shyneafya2468 19 күн бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MKUU wa Wilaya fanya kwa zamu yako Mungu akusimamie
@TahilaRamadhan-hz3pd
@TahilaRamadhan-hz3pd 18 күн бұрын
Ubarikiwe sana mkuu🎉🎉
@user-bb6nq7qs3d
@user-bb6nq7qs3d 16 күн бұрын
Mheshimiwa unajaribu kunishangaza unatumia power kubwa kukamata wanawake ,samahani kaka hebu tumia nguvu kubwa kukamata mashoga ,kwani crip gan inayonesha umekamata mashoga ,unafeli bro,niachie inchi hata Kwa dakika 240 uone shughul zangu ,Sasa mheshimiwa u nakamata ambao wanazaa duu kweli nimeamin mashoga wananguvu,boss mtangulize mungu
@jimysanga5777
@jimysanga5777 14 күн бұрын
DC BIG-UP SANA. TAIFA LINALORUHUSA HAYO LAZIMA LITAVUTA LANA.WALA USKATISHWE TAMAA NA MTU YEYOTE.
@kisinza6077
@kisinza6077 19 күн бұрын
Naunga mkono but siungi mkono udharirishaji, msiwaoneshe camera kwa lazima. Ni kinyume na Maadili ya utu. Tumieni vizuri vyeo.
@akidajulius1581
@akidajulius1581 19 күн бұрын
Kuonyeshwa kwenye kamala na wanavyo jiweka uchi kipi , kinazalilisha hapo😮
@christophernzige3913
@christophernzige3913 19 күн бұрын
Mbona hawakamati mashoga?
@kisinza6077
@kisinza6077 19 күн бұрын
@@akidajulius1581 nadhani wewe inamaana Yako, Sasa nilichokisudia na unavyotaka ni tofauti, kwahiyo sikulaumu.
@MBANGA_NAME
@MBANGA_NAME 18 күн бұрын
Tengenezeni mazingira ya ajira, waoneeni huruma wanategemewa, sidhan kama mtu anezakua na uhakika wa maisha na akaamua kuuza nwili, Kwa kulinda utu ni sawa, ila ki uhalisia sio sawa, Tengenezeni mifumo ya uhakika wa ajira.
@Segeja-fm3ye
@Segeja-fm3ye 19 күн бұрын
Tanzania ndio nchi pekee ambyo dc anahusika kukamata makaba
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 13 күн бұрын
Askari wa like ana wivu na madada poa anajua humzibia ridhiki
@icesue6613
@icesue6613 19 күн бұрын
Ajira hakuna, Hilo zoezi hutoliweza.
@shaban6644
@shaban6644 19 күн бұрын
Kwa hiyo ndo Ajira Mpuuzi wewe.
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 19 күн бұрын
Tatua tatizo la wafanya biashara,hao wadada wanapunguza ubakaji
@israelifissoo2141
@israelifissoo2141 19 күн бұрын
madhara yake kwa jamii ujajua tu watoto wanaoishi kwenye hiyo mitaa lazima wajifunze hayo mambo ya hovyo
@ubunifulifestyle3492
@ubunifulifestyle3492 19 күн бұрын
​@@israelifissoo2141wanawake wa siku hizi ndoa na mapenzi kwao biashara, mi naona bora hao wamejitambulisha kuliko wanaojificha chini ya mwanvuli wa ndoa na mahusiano
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 19 күн бұрын
Mshenz mbwa mweus wewe
@official_nansty1896
@official_nansty1896 19 күн бұрын
Mifumo ya maisha kwa watoto inaanza kwa wazazi
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 19 күн бұрын
​@@official_nansty1896Kama wazazi wenyewe ndio hao wanaojiuza je?
@saidmwangasama
@saidmwangasama 12 күн бұрын
Kosa kubwa sana Hilo gest munaingia achen hizo
@al-bleproshooteur1922
@al-bleproshooteur1922 11 күн бұрын
Daah hao wa dada poa Wata kudayi uwape mutahe
@user-gg4xj1yt3r
@user-gg4xj1yt3r 19 күн бұрын
Msirudi nyuma Mungu awabariki iwe kweli wakarime
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 19 күн бұрын
Siyo wakarime ni wakalime
@janethulotu450
@janethulotu450 19 күн бұрын
@@vincentdaud9954 .
@ruthmuja7792
@ruthmuja7792 19 күн бұрын
Hongera sana mh . Dc
@josephsimbeye5305
@josephsimbeye5305 13 күн бұрын
Mh amefanya jambo nzuri sana
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 19 күн бұрын
Daa uo mshangazi huna nyama za kwenda daa
@MigomgoMigali-ky1jl
@MigomgoMigali-ky1jl 19 күн бұрын
Daaha mwanangu nimeutamani kinyama
@Jumamussa.-gm1eo
@Jumamussa.-gm1eo 18 күн бұрын
​@@MigomgoMigali-ky1jl kweli babu toto jeupe nyama za kutosha lazima nikalitafute hapo sinza
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 19 күн бұрын
Ungejuwa wewe mteja kaja kunywa kwako una m uliza wewe ni kahaba au una mfungulia bia
@bwanasheby9353
@bwanasheby9353 14 күн бұрын
DC NENDA LAMADA KUNA MASHOGA KULE NA MASAKI SAMAKI SAMAKI
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 19 күн бұрын
Mkamate hata ma kakapoa😂😂😂
@strikerforce4949
@strikerforce4949 19 күн бұрын
Huyu dogo mkuu wa wilaya hatoboi. Hiyo vita haitakiwi kwenda kwa kukurupuka hivyo. Angeanza kwa kutoa elimu
@YaeliJoseph
@YaeliJoseph 19 күн бұрын
Mungu atamlinda maana anafanya kazi njema
@gracerichard8145
@gracerichard8145 19 күн бұрын
Ww unaona sio njema lkn mtaan maisha ni magumu mno watu wamesoma lkn kaz no wanaolewa ndoa nazo changamoto biashara mtu hawez, kweli hii vita ni kubwa ngoja tuone​@@YaeliJoseph
@melchiadepaschal3097
@melchiadepaschal3097 19 күн бұрын
Hii sio powa kabisa, nikuwazalilisha tuu, maisha ni magumi, serekali tengeneza ajira kwa vijana, hakuna anaependa kujiuza
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 19 күн бұрын
Basi hata wezi, matapeli na majambazi waruhusiwe maana hata wao ni maisha magumu
@nshaijatedy5512
@nshaijatedy5512 19 күн бұрын
Umo na singashai na watoto wa chuo wakawemo umo😂
@elishapeterbalele3879
@elishapeterbalele3879 19 күн бұрын
HONGERA Sana MUHESHIMIWA Kwa KAZI Nzuri sana...NI mfano WA kufugwa
@SaidiMiraji-lk3vm
@SaidiMiraji-lk3vm 19 күн бұрын
Mko sawa kabisa lakin nashaluli kamela zisitumike kuwacholesha sura zao ina kua sio vizurii kivilee maana naona maisha bado yataendelea na mmeisha wazalilisha
@leokamil6284
@leokamil6284 19 күн бұрын
Hii ni sifa za udhalilishaji mtupu. Fungeni kisha Serekali ikose kodi. Hii inakusaidia nini wewe mkuu
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 19 күн бұрын
Mkaifunge lamada
@official_nansty1896
@official_nansty1896 19 күн бұрын
Kweli ramada ikafungwe
@sophsoph4740
@sophsoph4740 19 күн бұрын
Yn pale
@barakalameck2082
@barakalameck2082 19 күн бұрын
Ramada mkaifunge mbona iko wazi
@emmanuelmodest7457
@emmanuelmodest7457 19 күн бұрын
MMEKOSA KAZI ZA KUFANYA KAMA SERIKALI. KIFUNGU GANI KITAWAHUKUMU HAO KWA KAZI YAKO, NAAMINI WOTE WATATOLEWA NA MAHAKAMA BURE. MAJIMBONI SHIDA KIBAO HUJAMALIZA UNAHANGAIKA NA UTELEZI. WAKUU WA WILAYA WAONGEZEWE KAZI .
@Mumewangu
@Mumewangu 19 күн бұрын
Unapenda uzinifu na ukimwi uzidi kutapakaa
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 19 күн бұрын
Safiiiiiiiiiii, njoo Riverside
@nth3512
@nth3512 19 күн бұрын
Uko alishapita, cjui wamerudi
@AlyMohd-yp1xe
@AlyMohd-yp1xe 19 күн бұрын
Tufuta ela ww wacha ushamba
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 19 күн бұрын
Hatutaki uharibifu wa maadili
@ZaiNdogondogo-wf7mw
@ZaiNdogondogo-wf7mw 19 күн бұрын
Mnapowakataza wasifanye hiyo biashara basi inabidi muwepe na mitaji kwa ajili ya kujikumu wengine sio kama wanapenda ila ni shida tu zinawapeka huko mungu awasaidie watoke kwenye hiyo laaana
@user-yb1ut1yo8u
@user-yb1ut1yo8u 19 күн бұрын
Uko sawa kabisa wawape mitaji
@marympango9247
@marympango9247 19 күн бұрын
Kwan kazi ni kuuz k...tu....mbona kuna kazi nyingii ..maandaz....nk...kwli kujiuza jmn..hapana...mnisamehe..tu....
@user-vz4xj2ci2w
@user-vz4xj2ci2w 19 күн бұрын
@@marympango9247 INAWAHUSU NN KAZI HAKN
@Majuu-fp3nd
@Majuu-fp3nd 19 күн бұрын
Acha utaira ambao awadangi walipewa mitaji​@@user-yb1ut1yo8u
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 19 күн бұрын
Kama ni hivyo basi hata wezi, matapeli na majambazi waachwe huru maana hawafanyi hivyo kwa kupenda bali kwa sababu ya ugumu wa maisha. Pumbavu zako kabisa
@dismasmsemwa8948
@dismasmsemwa8948 19 күн бұрын
Hongera sana mkuu wa wilaya, wakuu wengine wa wilaya Dsm waige mfano huu ili wapate combination nzuri
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 19 күн бұрын
Safi sanaaa Muheshimiwa
@dayana5513story
@dayana5513story 19 күн бұрын
Ubakaji utaongezeka
@idrisamngagi284
@idrisamngagi284 19 күн бұрын
Bora . Ili wajue umuhimu wa chumvi kwenye chakula
@azizasaleh6624
@azizasaleh6624 19 күн бұрын
Kwaiyo we unaona aki kufanya uchafu safisana
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 19 күн бұрын
Mbona wanaobaka huwa ni watu wenye wake zao? Tofautisha nyege na ushirikina
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 18 күн бұрын
Mbona hamkati wabakaji
@user-ui5xc6sb5m
@user-ui5xc6sb5m 19 күн бұрын
Hilo limshangazi veep limenona kinoma
@user-cv4jb1bm6i
@user-cv4jb1bm6i 19 күн бұрын
Umeliona na wewe mwanangu😂
@MigomgoMigali-ky1jl
@MigomgoMigali-ky1jl 19 күн бұрын
Oya mwanangu nimelitamani kinoma😅
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 19 күн бұрын
😂😂😂 jaman
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 19 күн бұрын
Mzigo wa kuvunja chaga
@user-ui5xc6sb5m
@user-ui5xc6sb5m 19 күн бұрын
Uyu mkuu wawilaya Hana mahana kabisa
@muhasatv9245
@muhasatv9245 15 күн бұрын
Mtuachie Dada zetu bhana
@user-pu4mo2rg6w
@user-pu4mo2rg6w 15 күн бұрын
Kwani kunaulazima kutuonyesha simuwakamate kimya kimya atutaki kiki maisha yana tuvuluga tutangazieni ajila sio makahaba
@annabanene6567
@annabanene6567 19 күн бұрын
😂jamn sasa watu tusiende gest tutaambiwa tunajiuza 😅
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f 18 күн бұрын
Yaaani inabidi muende vichakani
@annabanene6567
@annabanene6567 12 күн бұрын
😂😂nyoka watuume
@karyori69
@karyori69 19 күн бұрын
serikali hamna cha kufanya?
@mkandesadiki4648
@mkandesadiki4648 18 күн бұрын
Sema mnatualibia sana tukakojoe wapi sasa
@ayoubdallu4476
@ayoubdallu4476 14 күн бұрын
Dc unafaa kuwa askofu 🎉
@allymtapera5370
@allymtapera5370 19 күн бұрын
Mungu awatangulie ila kuna wapumbavu watakuja kuwakatisha juhudi hizi
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 19 күн бұрын
Kweli kk kuna baadhi ya watu hawana akili alafu wanalalamika kuwa viongozi hawafuatilii
@frankmahenge5943
@frankmahenge5943 19 күн бұрын
Mbona msako wa mashoga hatusikii
@chrismkama4889
@chrismkama4889 19 күн бұрын
Iyo kazi ni kazi ya kitabia.kukomesha tabia ya mtu aliyeshikwa na mapepo si kazi nguvu za kimwili ni kazi ya neno la Mungu liumbe upya Roho na mhusika akubali kumpokea Mungu.Shida kubwa Wanawake ni wengi Duniani kuliko Wanaume, ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira ni chanzo cha hayo.tatu wakuu ndo wanaongoza kununua maana masikini anawaza mlo wa siku apateje. MAHAKAMA ITATAFASIRI SHERIA KWA USHAHIDI.SWALI WATAKALOULIZWA UPANDE WA SERIKALI NI KWAMBA WAMEWAFUMANIA WAKIFANYA IYO BIASHARA? KUNA MASWALI MENGI HAPO.NAFIKIRI MNGEWAPELEKA KWA VIONGOZI WA DINI NGUVU YA NENO LA MUNGU INGEWABADILISHA MAISHA YAO.KUNA MAHALI PAMEANDIKWA MAKAHABA WATAWATANGULIA KUONA UFALME WA MUNGU.
@vibetz9991
@vibetz9991 19 күн бұрын
Tutaishije wahuni?
@KhadijaKiwambu-qx8qh
@KhadijaKiwambu-qx8qh 19 күн бұрын
Utaishije wao Kama Nani nandomana amuowi munapenda nva bure
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 19 күн бұрын
Wakifukuzwa huko sasa ndio watakuja muwaoe. Unakuta mdada anasema sitaki kuolewa najiweza kipesa kumbe anajiuza
@vibetz9991
@vibetz9991 19 күн бұрын
@@KhadijaKiwambu-qx8qh havina stress
@ChristianMzoro
@ChristianMzoro 14 күн бұрын
Hacheni kusumbua watu UONGOZI hauko hivo jamani wapeni HAJIRA hao ni watoto wa TANZANIA 😢😢
@nth3512
@nth3512 19 күн бұрын
Mungu akujalie mke mwingine DC ucje ukadanganywa na tamaa
@elieneapalangyo6938
@elieneapalangyo6938 19 күн бұрын
Hao wanapunguza ubagaji
@OstakiaCornely
@OstakiaCornely 19 күн бұрын
😂😂😂😂
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 19 күн бұрын
haki za binadamu nafaragha mbona hamlioni hili uyu msenge aende RAMADA HOTEL
@MarthaMoris-zg2bj
@MarthaMoris-zg2bj 14 күн бұрын
Sifa mbaya sana
@RaulentJulius-bg4ov
@RaulentJulius-bg4ov 18 күн бұрын
Daaaaaah hapo ndo,wanapatia chakula mkuuuu
@neemareuben311
@neemareuben311 19 күн бұрын
Nimefurahi sanaaa jamani hongeraaaaaa sanaaaaaaaaa
@user-xh9cf9rn5q
@user-xh9cf9rn5q 19 күн бұрын
Jamani shughulikieni mambo ya miundo mbinu wala hiyo cyo ishu ht kama mkiwakamata haitasaidia kitu.
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 19 күн бұрын
Msenge wewe kajiuzie poroni huko nguruwe mweusi wewe
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z 19 күн бұрын
Kuna dada yako anajiuza au mbona unatetea
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 19 күн бұрын
Kumbe ww n mmoja wao
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 19 күн бұрын
Kwann unatetea utovu wa maadili?
@twinzfashion4534
@twinzfashion4534 13 күн бұрын
wao ndo wanunuz ni vigum kuzuia jambo hilo
@user-uo6zj2jm3e
@user-uo6zj2jm3e 15 күн бұрын
Bora hata jamani maana watu hawataki kufanya kazi nikutaka vitu vya chipu asante sana mkuu
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 19 күн бұрын
Njo arusha shivaz
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 19 күн бұрын
Hahaha balaa hapo nlienda kuna balaa zito
@chuchufplatnumz4888
@chuchufplatnumz4888 19 күн бұрын
Shivangaaaaaa. Ofisiniiiii
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 19 күн бұрын
Hata shivas wanatakiwa wachukuliwe hatua
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 19 күн бұрын
@@rumdeesonsoa1811 kabisa wako wazi sana mpk utadhan hakuna serekali
@humphreyfungo7669
@humphreyfungo7669 19 күн бұрын
Makonda komesha hii biashara Arusha shivaz na kote
@mandelasamson8401
@mandelasamson8401 19 күн бұрын
Muone huyo dada polisi anvyomlazimisha huyo mdada poa auze sure,,,nyambaf,
@alexchungu6263
@alexchungu6263 18 күн бұрын
Yule nae malaya, sema Malaya alie changamka
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 36 МЛН
OMG😳 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:58
Potapova_blog
Рет қаралды 4,2 МЛН
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Eliud Samwel
Рет қаралды 77 М.
NLIKUA NAMTAFUTIA SABABU | WAKUTANISHWA
15:01
KIREDIO
Рет қаралды 158 М.
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 36 МЛН