MIMBA YA MIEZI 12 ({ Ep 04 })

  Рет қаралды 25,336

DOKO

DOKO

4 күн бұрын

Instagram iam_doko
Tiktok Doko
You tube DOKO

Пікірлер: 132
@patrockiljohn
@patrockiljohn 2 күн бұрын
dakika ya tatu tu mimi nikawahi namim like zang hata 5 zinatosha from kigali🙈
@sergesntunzwenimana
@sergesntunzwenimana 2 күн бұрын
Wakwanza jameni naomba like kama unapenda mimba ya miezi 12
@adidjahassan6046
@adidjahassan6046 2 күн бұрын
Nipeni like zangu jamani kama unaipenda mimba ya miezi 12
@Tv-bl3mk
@Tv-bl3mk 2 күн бұрын
Watching live from vihiga wapi likes zangu
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga 2 күн бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia likes zangu apo
@dontimothy6014
@dontimothy6014 2 күн бұрын
Mfinanga the best actor. Ila muda TUTAFIKA jamii na watanzania kwa ujumla wataliona hilo. Ila doco hili jina la makuma zani unhelitoa tu maana halileti tafsiri nzuri
@ShukuruSemwenda
@ShukuruSemwenda Күн бұрын
Ni kweli ata mimi nafikili ivo
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 2 күн бұрын
Jaman mnatucheleweshea inabid kila baada ya siku mbili mtuleteee ❤❤❤❤❤
@DamarisDammie
@DamarisDammie 2 күн бұрын
Niliisubiri xn hii movie watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Skeymasta
@Skeymasta 2 күн бұрын
Wangapi wanapenda kikogwe seson tew like apa ❤❤❤
@viktoriabohimanda7271
@viktoriabohimanda7271 Күн бұрын
Nawe tunataka bosi mchawi mwenderezo❤😅😅
@kamote9
@kamote9 2 күн бұрын
KAZI ni tamu sana SHABIKI YENU FROM DUBAI
@EmmanuelMbise-bg3jx
@EmmanuelMbise-bg3jx 2 күн бұрын
Sekunde ya 17 like kwa doko
@hodamzungu4107
@hodamzungu4107 2 күн бұрын
haya leo nimewahi kazi nzuri doko
@user-bk7jp7qx2c
@user-bk7jp7qx2c 2 күн бұрын
Kazi nzuri watu wangu, nikiwa kenya nawafwatilia sana
@FrolianFlorence-fb4rt
@FrolianFlorence-fb4rt 2 күн бұрын
Ninzuri sana sema mnatumia mda mrefu kuleta mwendelezo
@ButoyiThierryve
@ButoyiThierryve Күн бұрын
Nawapenda sana ❤ nato ka Burundi 🇧🇮🇧🇮 nipeni lik lov wa tz
@user-et5xc1zi5v
@user-et5xc1zi5v 2 күн бұрын
Hey hii nayo Kali sana........kazi mzuri
@Sarivelame-ci9zv
@Sarivelame-ci9zv 2 күн бұрын
Movie kali guys tufike 100k subscribe doko
@user-lz4by7vm6m
@user-lz4by7vm6m Күн бұрын
Huo Makoto anaharibu movie
@brotherbenety
@brotherbenety 2 күн бұрын
Kazi kubwa
@user-mp9zu7vc8b
@user-mp9zu7vc8b 2 күн бұрын
Kazi nzuri
@MoTalentTz
@MoTalentTz Күн бұрын
Kazi kazi mjomba 🙏🙏💪🏻💪🏻
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 2 күн бұрын
❤❤❤
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 2 күн бұрын
Wa 40 Mambo mengi mda mchache Big up sana Doko kazi mzuri tusalimiane team furus team WiFi team kupambana nawapenda mno 🥰❤️🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@SydeyzBengala
@SydeyzBengala 19 сағат бұрын
Nawakubali sana braza Doko na Mfinanga never dissapoint
@hutahuta1170
@hutahuta1170 Күн бұрын
Kazi nzr sana❤❤
@SumaiyaIbrahim-wy6ec
@SumaiyaIbrahim-wy6ec 2 күн бұрын
Jina la Wimbo tafathari
@eliezerkam8875
@eliezerkam8875 2 күн бұрын
From Burundi bujumbura nazidi kufurahia kzi yenu nzuri kwa kweli
@user-yi6ub2uq2i
@user-yi6ub2uq2i Күн бұрын
Kazi nzuri xna nawapenda xna watu wangu🎉🎉🎉🎉
@aganzeroger
@aganzeroger 2 күн бұрын
Uyu dogo nimukali🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@pogo946
@pogo946 Күн бұрын
#Mfinanga nipo hapa naombeni support zenu nifikie malengo yangu bila nyinyi sio mimi mungu awabariki nyinyi na C.E.O #doko🙏 🎉🎉🎉
@rehemaausy6015
@rehemaausy6015 2 күн бұрын
Safi sana move nzur
@sumailsumail9789
@sumailsumail9789 2 күн бұрын
Miongoni mwa series ninazo zikubali hii movie ipo ndani ya list nakubali sana sana brother doko mimi ni mtu wa🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@SydeyzBengala
@SydeyzBengala 19 сағат бұрын
Napenda sana soundtracks zenye huwa mnatumia kwa tamthilia zenu tatizo nikizisearch sizipati kindly mnisaidie jina la msanii maana zimetulia.Much love from Kenya
@AlexandreNdayambaje-ck9bv
@AlexandreNdayambaje-ck9bv 2 күн бұрын
Kazi nzuli sana alakini munachelea sana kbsa
@RAMSABOYTZ
@RAMSABOYTZ 2 күн бұрын
Namkubali sana doko kaka big up hii nikali Zaid ya kikongwe
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 2 күн бұрын
Hum ndani mna wa chindi kabissa we nye kujuwa kucheza kama yaote na wakubali
@user-nu2jz8wx2k
@user-nu2jz8wx2k 10 сағат бұрын
Pole sana kk mfinanga 🎉🎉
@Roze-so4he
@Roze-so4he 2 күн бұрын
Kazi nzuri ajabu
@dastanfuraha2244
@dastanfuraha2244 2 күн бұрын
Kazi nzuri kijana
@user-ky8tm1jm6i
@user-ky8tm1jm6i 2 күн бұрын
Masai kimeumana
@MarionAnzazi
@MarionAnzazi 2 күн бұрын
Nawakubali watu wangu mko vizuri nyote❤
@mwinyihajjsalim4405
@mwinyihajjsalim4405 2 күн бұрын
😂😂😂DAH NOMA SANA ILA BIG UP SANA KAZI NZURI SANA DOKO MNYAMA LETE MAWE MZEE WATCH FROM QATAR 🇧🇭
@MazikuAbuu-rg3pl
@MazikuAbuu-rg3pl 2 күн бұрын
Kazi nzuri kaka👍👍👍
@AdyTokyo
@AdyTokyo 2 күн бұрын
Amezing wow nc film❤❤❤❤
@user-lz4by7vm6m
@user-lz4by7vm6m Күн бұрын
Sipendi uchepe mwingi
@user-xu5rh6ub5j
@user-xu5rh6ub5j 2 күн бұрын
Mnakaisha sana jamani ila mko sawa
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 2 күн бұрын
Hii move nmeipenda jamani ❤❤❤
@user-lz4by7vm6m
@user-lz4by7vm6m Күн бұрын
Anakera hyo
@ShukuMboya
@ShukuMboya 2 күн бұрын
Imekubalika kinoma noma
@EmmanuelMbise-bg3jx
@EmmanuelMbise-bg3jx 2 күн бұрын
Amkeni jani doko na mfinanga washatia ngoma humu
@emaneman7899
@emaneman7899 2 күн бұрын
Doko uko vizurii
@byamnobebayoma7049
@byamnobebayoma7049 2 күн бұрын
Mnatisha sana❤, ila mnakawa sana kutowa
@user-qq1kt3hg1l
@user-qq1kt3hg1l 2 күн бұрын
Kichwa ududu doko
@user-zp4zc2ln2n
@user-zp4zc2ln2n 2 күн бұрын
Nzur Sana 🎉🎉🎉
@mamaaanmar1261
@mamaaanmar1261 2 күн бұрын
Kikongwe. Kazi uchawi tuu. Kuoga. Ahhhhh 😂😂😂😂😂
@hutahuta1170
@hutahuta1170 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂kapakwa mafuta uwiiii fanyakazi usipakwe mafuta
@SophiaUhuru
@SophiaUhuru 2 күн бұрын
Kazi nzur ❤
@user-by6bg2fq6b
@user-by6bg2fq6b Күн бұрын
next pleaz
@FettyFetty-up5ux
@FettyFetty-up5ux 2 күн бұрын
Allah bless sanaaaaaaa❤🙏
@Bestudio-2
@Bestudio-2 2 күн бұрын
Bikikongwe wewe bikikongwe wewee Nampenda Sana nhuyu bibi
@DEKAL-OFFICIEL
@DEKAL-OFFICIEL Күн бұрын
🎉🎉🎉
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 2 күн бұрын
Nnamtukuza sana mchawi,atakuulia familia yako
@estermpare4078
@estermpare4078 2 күн бұрын
Mnachelewa sanaa
@user-bi9pl4eu2o
@user-bi9pl4eu2o 2 күн бұрын
Good job doko
@user-hf9jj9hj9u
@user-hf9jj9hj9u Күн бұрын
Tumefika right on time 😂😂❤❤❤❤
@LylahMrombo
@LylahMrombo 22 сағат бұрын
❤❤waiting for 5
@omarimhd7716
@omarimhd7716 20 сағат бұрын
Jaman kaz nzur but mmetuchelewesh sanduku
@OnesmoMasawe-tx4ri
@OnesmoMasawe-tx4ri 2 күн бұрын
Ivi dogo unaweza kumpiga chado master 😂😂 maana ote wababe nataka niweke hela
@user-sv3wi7pp8t
@user-sv3wi7pp8t Күн бұрын
Jamani hii song naitaji
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 2 күн бұрын
Bibi unasema mambo ime chemka😮
@mahoyapembe3887
@mahoyapembe3887 2 күн бұрын
Nakupendeni sana familia
@user-gg5bx8bc4j
@user-gg5bx8bc4j 2 күн бұрын
❤❤❤ 😂😂 top star
@_Wayiva_mukuta_jean
@_Wayiva_mukuta_jean Күн бұрын
Kamote wewe ni jambazi kabisa 😂😂🇨🇩🇨🇩
@user-ej1rz1cv5e
@user-ej1rz1cv5e 2 күн бұрын
Kazi nzurii
@DEKAL-OFFICIEL
@DEKAL-OFFICIEL Күн бұрын
🎉
@TitusKurui
@TitusKurui 2 күн бұрын
Mimi wakwanza hapa
@gabrielmnangala7822
@gabrielmnangala7822 2 күн бұрын
Ka dogo kapo serious
@user-qn1yy5mc7c
@user-qn1yy5mc7c 2 күн бұрын
Mr Rama ❤❤❤
@bayasalim7836
@bayasalim7836 2 күн бұрын
Wa tano 🙋‍♂️
@OmbatemboMarie
@OmbatemboMarie 2 күн бұрын
From congo🎉❤😅
@DocileKanyandoto
@DocileKanyandoto 2 күн бұрын
Alafu muraisishe kazi mfinanga
@Cynthia-br5ef
@Cynthia-br5ef Күн бұрын
🎉🎉🎉
@ClaudeprsSonga
@ClaudeprsSonga 2 күн бұрын
Doko doko
@bensemweofficiall
@bensemweofficiall 2 күн бұрын
Kaz❤
@chadrackrunogeza3302
@chadrackrunogeza3302 2 күн бұрын
Toka drc kalemie wa kwanza naombeni likes 😂❤❤❤❤
@ImaniGervase
@ImaniGervase 21 сағат бұрын
Hivi mnao ombaga like hua mnazifanyiaga kazi Gani naomba kujua Ili namm niwe naomba 😂😂😂
@user-iq3pe4sf2h
@user-iq3pe4sf2h 2 күн бұрын
Paka😂😂😂👉👉👉🇲🇿
@nanjysara
@nanjysara Күн бұрын
How can a mother really be this wicked😢😢😢
@BarakaAloice
@BarakaAloice 2 күн бұрын
huo jam apunguze sauti hajuwi kuigiza sauti nyingi
@victormkello9575
@victormkello9575 2 күн бұрын
#DOKO
@mahmoudnajad217
@mahmoudnajad217 Күн бұрын
TEAM DOKO MNAPIGA KAZI...YAANI MNAANDIKA ILE MBAYA ALAFU MNAUMIZA KICHWA ATA HATUJUWI MBELENI ITAKUAJE🤔😇😩
@GaudenciaMadirisha
@GaudenciaMadirisha 12 сағат бұрын
Doco
@OmbatemboMarie
@OmbatemboMarie 2 күн бұрын
From❤😂🎉
@Kibawajoseph
@Kibawajoseph 2 күн бұрын
Safi sans kaka
@user-gx4hv9jw3f
@user-gx4hv9jw3f 2 күн бұрын
Good
@HappyTimotheo
@HappyTimotheo 2 күн бұрын
Bibi🎉
@user-cp4ym1gh3k
@user-cp4ym1gh3k 2 күн бұрын
Inayofuata toeni mwakani wasenge nyie
@merinazyd0532
@merinazyd0532 2 күн бұрын
Hizo like mnapeleka wapi wajing nyie
@saluboy1178
@saluboy1178 Күн бұрын
💪
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@user-ky8tm1jm6i
@user-ky8tm1jm6i 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 2 күн бұрын
❤❤❤❤
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 139 М.
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 368 М.
MKOBA WA MAMA Episode [  6  ]
24:35
TANU PLUS+
Рет қаралды 28 М.
cheka na kali za side kama side
6:14
Side og
Рет қаралды 6 М.
PENZI LA SHEMEJI 01 || SIRI
18:21
BUSATI TV
Рет қаралды 41 М.
Mzimu Gigi money & kitundu
7:57
Paulovetoon
Рет қаралды 19 М.
jua Kali kiporo cha Jumapili June 30, 2024
21:07
black walkers crew Media
Рет қаралды 2 М.
PLAN B _ Episode 2
26:28
kp wa Aquino
Рет қаралды 91 М.
Этот мальчик настоящий герой
1:00
ViralMoments
Рет қаралды 4,2 МЛН
Выгнал училку 😂 #shorts
0:59
Julia Fun
Рет қаралды 2,9 МЛН