No video

MIMI MARS AFUNGUKA SABABU ZA KUONDOLEWA KWENYE TAMTHILIA YA JUA KALI NA LULU KUCHUKUA NAFASI YAKE

  Рет қаралды 128,998

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 148
@user-fm8cx2rl1p
@user-fm8cx2rl1p 4 ай бұрын
I can't wait series itakayofuataa tukuone tena Mimi mars lov you Soo much❤
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 4 ай бұрын
Mimi mars KISU bana nakapenda long time❤ Ila hata lulu wangu NAMPENDA ❤
@user-oj3zs9gu3h
@user-oj3zs9gu3h 4 ай бұрын
Wewe unaehusisha jua kali na mada za kanumba usiongee ukajisahauu Msisababishe lulu aka kosa ujasili Sio powa bwana
@zainabzain3434
@zainabzain3434 4 ай бұрын
Ni kipi ambacho hakipiti embu mwacheni awe na amani na kz zake
@bahatimngwale7902
@bahatimngwale7902 4 ай бұрын
Kiukwel sema tu ndyo hivyo matatizo kaumbiwa mwanadam,,,hakuna jinsi,ila tatzo la kubadilika kwa wahusika waliozoeleka mwanzo hupoteza uondo kwa sisi wafuatiliaj,na kwenye nafas ya muhusika kuna ving upungua,,,tumeona kwa bili haijakaa sawa saiz maria,,,ila tunashukuru jahaz linasonga,,,hili nalo litapita na tutazoea kama la Neyla wa unty zai🙏🙏🙏🙏
@user-iv7ey6sq6i
@user-iv7ey6sq6i 4 ай бұрын
Iulu muigizaji mzuri sana lakini kwakufiti nafasi ya maria sidhan
@EsterAidanmadati
@EsterAidanmadati 4 ай бұрын
Sawa ni muigizaji mzuri lakini kwenye nafasi ya maria ni maria mwwnyewe nd alikuwa anIweza
@neemaMichael-jh4vb
@neemaMichael-jh4vb 4 ай бұрын
😂😂😂 JamaniA cheniunonko jamni kilamtu nakipajichake haviwezikufanana hantasikumoja
@EdwardMasalu-fx8dh
@EdwardMasalu-fx8dh 3 ай бұрын
Mm naona lulu yupo saw kabsa make ana play vzur kama Mimi mars
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 4 ай бұрын
Hata amuige vipi lulu hawezi fanana na mimi mars ana haiba na tabasam la peke yake
@MariamOfficial-ve1yt
@MariamOfficial-ve1yt 3 ай бұрын
We ungewez au unaongea2
@jemakapologwe9044
@jemakapologwe9044 3 ай бұрын
pole kipenzi Mungu akufanyie uponyaji zaidi
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 4 ай бұрын
Pole sana jamn mtoto mzuri,MUNGU ni mwema siku zote atakuponya
@MukeshimanaAbiba
@MukeshimanaAbiba 4 ай бұрын
Pole sanaaa Maria wetu Ila kiukwel ulikuwa vizuri basi wakuweke sehemu nyingine hata mara moja moja
@wacundirangu1661
@wacundirangu1661 4 ай бұрын
Both are a great talent mmoja who ni sana mwigizaji mwingine mwimbaji kwa asilimia kubwa.
@NEEMATHADEO
@NEEMATHADEO 4 ай бұрын
Mbona uyu dada anaigiza tuu vzr sana?
@zulfandonyi1434
@zulfandonyi1434 3 ай бұрын
Yupo tu sawa. Wengine ni wivu tu
@happyfania9384
@happyfania9384 4 ай бұрын
Binadamu midomo mali yenu ila kumsema vibaya dad watu mumezidi tena sana acheni izoo siyo vizurii
@marikwilliam9886
@marikwilliam9886 4 ай бұрын
Nawapenda wote wanajua sanaaa❤
@aishaomar9621
@aishaomar9621 4 ай бұрын
Pole Sana da Mimi mars Mungu akujalie afuen ya haraka😢twakupnda pia❤
@bestinamafipa608
@bestinamafipa608 4 ай бұрын
Pole jamani. Inawezekana . mkono uliumia pia eti eee!?!? Pole kweli.
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 4 ай бұрын
Shes so beautiful ❤
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 4 ай бұрын
Mimi mars ni mzuri sana❤❤❤
@MariamOfficial-ve1yt
@MariamOfficial-ve1yt 3 ай бұрын
Kwan Malia mmbaya?
@ChristinaYona-dm7sr
@ChristinaYona-dm7sr 4 ай бұрын
Pole sana maria wetu ulikua unatuflahisha lakin kikubwa nikumbuomba Mungu tuuu hatimae utakua sawa 🙏🙏🙏
@user-sn9ip6qr3l
@user-sn9ip6qr3l 4 ай бұрын
Nadhan mmemuelewa maria mwenyew alivosema mnaotunga maneno achen faten nn maria kasema
@ChristinaYona-dm7sr
@ChristinaYona-dm7sr 4 ай бұрын
Pole sana maria wetu ulikua unatuflahisha lakin kikubwa nikumbuomba Mungu tuuu hati❤😅mae utakua sawa 🙏🙏🙏
@lusajokafuko3450
@lusajokafuko3450 4 ай бұрын
Lulu ni muigizaji mzuri na anafanya vizur katika nafas ya Maria....!!
@user-ye5jw3kj2j
@user-ye5jw3kj2j 3 ай бұрын
Mim mars nakubali sana nakuombea upone awazi kufiti nafasi yako
@Da20nn05y
@Da20nn05y 3 ай бұрын
Da Lulu unajua kuigiza vizuri Sana endelea hivyo hivyo.
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 4 ай бұрын
Sasa kuigiza na mziki ipi kazi unatumia nguvu kubwa?😂😂
@ChristinaYona-dm7sr
@ChristinaYona-dm7sr 4 ай бұрын
Jamn pole Sana maria wetu ulikua unatuflahisha lakin kikubwa nikumbuomba Mungu tuuu hatimae utakua sawa🙏🙏🙏🙏🙏
@agirlofthegirls2791
@agirlofthegirls2791 4 ай бұрын
wote wanaweza kucheza vizuri, meaning wanavaa uhusika vizuri
@user-ny4kh4qs4b
@user-ny4kh4qs4b 4 ай бұрын
Nakamiss huyu Mimi mars from kenya
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 4 ай бұрын
Lulu ni muigizaji mzuri saaaana, tena saaaana , na ana uzoefu Mkubwa saaaana
@user-sf3hq3tl8j
@user-sf3hq3tl8j 4 ай бұрын
Nikweli kabisa watu Wana ropoka TU lulu nimuigizagi pia anajua anacho kifanya tumsapot nasiyo kuleta mambo yasiyo usika na kazi anayo fanya
@WazaTimothy-kh9ip
@WazaTimothy-kh9ip 4 ай бұрын
Lulu hawezi kuigiza uhusika wa Mimi mars jmn
@MariamOfficial-ve1yt
@MariamOfficial-ve1yt 3 ай бұрын
We unaweza
@ECAFEZA
@ECAFEZA 4 ай бұрын
Jamani wote wako vizuri Ata lulu ageaza Kisha Maria akakaa nafasi ya lulu Tena mungesema ooò jamani tuna mtaka lulu mturudishie lulu wetu wanadamu bwana
@GodilivaSanya
@GodilivaSanya 4 ай бұрын
Bila maria na kaka freck hakuna jua kali
@user-zx7yi7fs8b
@user-zx7yi7fs8b 4 ай бұрын
kwel
@clementineselemani6699
@clementineselemani6699 4 ай бұрын
Ndo lulu avae na nguo kama ile ile 😂😂
@elizabethdamas-zp9xl
@elizabethdamas-zp9xl 4 ай бұрын
ndo sare za kazi yake pale kwny ile ofisi
@clementineselemani6699
@clementineselemani6699 4 ай бұрын
Kwaiyo anatumika peke yake na iyo sare? maana ata nyumbn mimi Marc anakuwaga naiyo vaz
@nyamisanachiwanyi7823
@nyamisanachiwanyi7823 4 ай бұрын
Hpn wala si ile ya maria ilikuwa na zipu nyeusi hii ni nyeupe...kuweni na machoo
@Official83640
@Official83640 4 ай бұрын
Mkono na mguu haupo sawa huyu msione kapendeza tu lkn hivyo vitu havifanyi kz vizuri. Ila kaka Fule kajua kumuobyesha dharau Lulu kwa kicheko alichomcheka kisa Pizza Maria ww alikuwa anakuheshim😂
@EMMANUELKIBONA-pu4yw
@EMMANUELKIBONA-pu4yw 4 ай бұрын
Nakupenda Xana dadaang❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
@Da20nn05y
@Da20nn05y 3 ай бұрын
Nawapenda San wote but Mimi mars kuimba tu na kuigiza unujua.i can't wait to see you again❤❤❤❤
@VeronicaGeni
@VeronicaGeni 2 ай бұрын
Ludi bs tunakupenda
@VeronicaGeni
@VeronicaGeni 2 ай бұрын
Pole
@dorcusnsajigwa7499
@dorcusnsajigwa7499 4 ай бұрын
Jamn tuachen uongo bila maria Anna fule madevu akuna tena jua Kali tunaomba ulud kwanza wew Ile nafasi yako uliitendea kaz unasuka minyosho no kujilemba no nn sasa lulu anavaa mawig anapaka makap apana jamn
@CatherineKweka
@CatherineKweka 4 ай бұрын
Poleee
@pamellaokito9104
@pamellaokito9104 4 ай бұрын
Yani mariya kwasasa ana kili nzuri🙄🙄🙄🙄amekuwa kichaa sasa 🙄🙄
@user-gk7cu2ie7f
@user-gk7cu2ie7f 4 ай бұрын
We ni mpuuzi 😮
@LevinaLetuc
@LevinaLetuc 4 ай бұрын
❤❤❤
@irenecherotich4975
@irenecherotich4975 4 ай бұрын
Mimi mas was the best imissher❤
@AngelAntony-wo6pd
@AngelAntony-wo6pd 2 ай бұрын
Hat mim na mpenda san malia
@leahmwenisongole-yp7id
@leahmwenisongole-yp7id 4 ай бұрын
Mimi nimezaa jamani siwezi mnyoshea lulu kidole kesho siijui
@user-sf3hq3tl8j
@user-sf3hq3tl8j 4 ай бұрын
Kabisa mambo yamepita watu Wana ibua
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 3 ай бұрын
Pole sana
@JoycJacksoni
@JoycJacksoni 4 ай бұрын
Hapna. Lulu sio muuwaji ww unaexma lulu muuwaji ulikuwepe wakat Alivyo kuwa anamuuwa acha hizo ww hujuwi ulixmaro
@happyfania9384
@happyfania9384 4 ай бұрын
Kabisa yaani loho mbaya tuu
@olicej7837
@olicej7837 4 ай бұрын
Ni kweli watu wanakuwa na roho mbaya sjui kwanini
@khadijajumahamisi1721
@khadijajumahamisi1721 4 ай бұрын
😂😂😂muuaji amekuulia naini wako
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@happyfania9384loho ? 🤣🤣🤣🤣🤣 Loho 😂😂😂😂😂,sema roho😅😅😅😅😅😅😅
@ZenaisiIsmail-cy3hi
@ZenaisiIsmail-cy3hi 4 ай бұрын
Pole sana kipenzii
@jr.moviesseries3675
@jr.moviesseries3675 4 ай бұрын
Lamata hana subra anapenda kukurupuka
@user-xk2pi8nc8s
@user-xk2pi8nc8s 2 ай бұрын
Pole
@BahatiMeshack-jb4cu
@BahatiMeshack-jb4cu 4 ай бұрын
Hiyo nimipango ya mungu tu,kikk
@CharlineNguru
@CharlineNguru 14 күн бұрын
Muturudishie mariya wazamani tu
@upendomoshi1928
@upendomoshi1928 2 ай бұрын
Mimi mpaka Leo siangaliagi Tena jua Kali nilikua naangalia jua Kali sababu ya maria mlokole
@chiriccmabobo8746
@chiriccmabobo8746 4 ай бұрын
😂😂😂😂sasa kuigiza na uemc na kutumbuiza jukwaani ipi inatumia nguvu
@user-up7qx5vy1q
@user-up7qx5vy1q 3 ай бұрын
😊
@JacklineSweetbert
@JacklineSweetbert 4 ай бұрын
Mimi na jua Kali basi tena
@RahmaIdris-wq3eo
@RahmaIdris-wq3eo 4 ай бұрын
Atutakusahau maria
@MariamOfficial-ve1yt
@MariamOfficial-ve1yt 3 ай бұрын
Kwanz nyie mnaongea2 nyie mnge pew hiyonafas mngewez jibu ni msingewezaaaa! bas punguzen midomo
@agripinamallya7433
@agripinamallya7433 4 ай бұрын
Mars mm nakupenda wewe
@jallenboy-w8w
@jallenboy-w8w Ай бұрын
da nilitamani aenderee
@eshterjulius3408
@eshterjulius3408 4 ай бұрын
Tumekuelewa
@user-wf9jg3cm5c
@user-wf9jg3cm5c 4 ай бұрын
Mbona bado umevaa Pete ya jua kali
@user-me3so4pi4b
@user-me3so4pi4b 4 ай бұрын
Rudi jua kari bn jua kali imepoaa mi nalia et mrs j
@user-uf8hq3ei6e
@user-uf8hq3ei6e 4 ай бұрын
Kwahy Sasa lulu na Anita mkubwa nani
@sharifamohd3857
@sharifamohd3857 4 ай бұрын
hahahah nalo neno
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@sharifamohd3857😅😅😅😅😅😅😅
@YasintaAbely-ov2mb
@YasintaAbely-ov2mb 4 ай бұрын
Ukipona tu uludi Malia wetu
@LeilaGube-qn1rn
@LeilaGube-qn1rn 4 ай бұрын
Ila lulu kwa kuigia anakipaji kikubwa kuliko mimi mars oya ee tukumbuke kaole sanaa group ilituetea vipaji akiwemo lulu enziizo ana futa mafua kwa mkono 😂😂😂lulu ninomma sana kipaji kimelala pale
@fj8317
@fj8317 4 ай бұрын
Unaongelea zilipendwa poor you
@user-kd6fl7lp4t
@user-kd6fl7lp4t 4 ай бұрын
Nyie mnataka maria kwa vile mmemzoea ila kwenye uigizaji luku nimkali kuliko maria Kwanza maria mchanga lulu mkongwe kumbuken helo alfu mpka uongozi umefanya hayo umeona lulu afaa kuwen wa pole kama vipi msiangalie tuone kama mmechukia kweli
@user-ky2ch5rl7i
@user-ky2ch5rl7i 4 ай бұрын
Jman na akili pia imeruka ama😢😢
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 4 ай бұрын
😂
@ManofValor73
@ManofValor73 4 ай бұрын
Daaah!!
@rehemadaudi550
@rehemadaudi550 4 ай бұрын
Alisema kichwa kiliumia
@user-md7sb2vf9q
@user-md7sb2vf9q 4 ай бұрын
Jua kali bila Mimi mars hamuna jua kali
@BekaBoss-jl9my
@BekaBoss-jl9my Ай бұрын
😅😅😅😅😅
@user-ds5tf9xx1d
@user-ds5tf9xx1d 4 ай бұрын
Tutakumiss mno Maria wetu
@neemacharles9848
@neemacharles9848 4 ай бұрын
Pole sana maria nakupenda
@chizashungu8364
@chizashungu8364 4 ай бұрын
What was said on social media about you,tainted the image of film industry.My advice to you,Just wake up.
@user-kh2lg7qw1w
@user-kh2lg7qw1w 4 ай бұрын
kama ni lulu apo sawaa❤❤
@jmondmsafi5558
@jmondmsafi5558 4 ай бұрын
Daktar atuachie maria wetu
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 ай бұрын
Upone mpenzi wetu Urudi..huyo aliyepatikana Hatufai
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 4 ай бұрын
Hakufai wewe wengine tunampenda lulu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 ай бұрын
Endelea kumsubiri anaekufaa ss twasonga mbele
@EsterAidanmadati
@EsterAidanmadati 4 ай бұрын
Hafai kabisa
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 4 ай бұрын
Yani kumkataa lulu huo wote ni wivuu kwani sio binadamu kakosea Nini lulu khaaaaaaaaaa Acha aigize mimimarz akipona atarudi nafasi yake Kwa Sasa acha lulu afanye kazi.
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 4 ай бұрын
Pole dear tunakuombea upone na urudi kazini
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 ай бұрын
Jamani mie wameniudhi sana kutuletea muuwaji wa kanumba..asije kutuulia madevu..lulu muuwaji wa kanumba wala hatufai jua kali na Ufupi wake
@barackawithokiswaga2686
@barackawithokiswaga2686 4 ай бұрын
Una uhakika gani kua aliua?
@Fausta-di8qu
@Fausta-di8qu 4 ай бұрын
Acha kuropoka unahakika gana aliua
@dannymoses1882
@dannymoses1882 4 ай бұрын
Acha ushamba uo ulikuwepo anavyo ua
@aliceudoba3672
@aliceudoba3672 4 ай бұрын
Kuua mchezo mtafute amiel katekela utajua kama aliua au freemason walimchukua kupitia kifo
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 4 ай бұрын
Wewe uliesema lulu muuaji mkundu wako mara 1000000 wakati anaua ulikuwepo wewe nyokoo
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 17 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 141 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 13 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 11 МЛН
tazama namna ambavyo walivyo ingia utapenda
2:06
MC MBONABUCHA SENIOR
Рет қаралды 28 М.
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 17 МЛН