Thank you for watching don't forget to subscribe to this KZfaq channel
Пікірлер: 350
@jalangotv14477 ай бұрын
Do you have a story and you want to share with us, kindly reach out to us through 0714372438 0111204044
@robertkiplangat29687 ай бұрын
Do we pay asking
@stanleykathurima80627 ай бұрын
Naomba hivi kilingana na ufahamu wangu tangu niwe katika wokovu kufikia hapa ni kweli wanao huburi kristo wengi wao sio wote narudia tena sio wote. Wengi wamependa pesa kama vile maandiko yamesema basi tuwe macho.
@rajabmugo38827 ай бұрын
Mama Rose Muhando, Mungu akupe neema zaidi ya kusimama...Asante mama kwa kumsamehe huyo kaka, Tunakupenda sana ❤ Neema ya Mungu ikutoshe Rose...
@user-jk1ve1iv5l7 ай бұрын
Rose Muhando we really LOVE you,we pray for you and im so sorry of what has happened. Zidi kuomba. Barikiwa mpaka ushangae. Unanibariki sana na wimbo Yesu wee nakupenda. Wakenya tunakupenda sana. Much LOVE from abroad. Wewe ni mamá.
@johnsimba7 ай бұрын
Rozy nakupenda sana kwa huduma yako we piga kazi popote pale ukiitwa nenda Mungu anakulenda sana karibu Mwanza
@user-vq3zu8ne9b7 ай бұрын
Niliumia Sana nilipomsikiliza ali lkn baada ya kusikilza hii interview Niko na furah xana be blessed rose ❤
@judithjuma61026 ай бұрын
I love you, queen of Gospel Music❤
@sobrejazz39197 ай бұрын
The is what we call talking in wisdom, not like that Ali aliyepayuka hadharani....keep on going Rose kwa kweli unajuwa unaye mtumikia...hakuna mwanadamu atakaye kudunisha🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪 twakupenda bure.
@marystephen19947 ай бұрын
siku zote mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, Mom wewe ni Roll model wang mom. Najifunza sana kutoka kwako Be Blessed
@gladysmapenzi20897 ай бұрын
Mama Rose Muhando!! Mungu akubariki na azidi kukuinua katika huduma yako. Asante sana kwa kumsamehe Ali, tunakupenda sana hapa kenya mamaa karibu sana.
@jeddidahdecember44187 ай бұрын
This woman is full of wisdom
@irenelyamuya54667 ай бұрын
☺️☺️☺️Mama yetu ☺️Mbingu zinakupenda sana 🙌🙌🙌you are so wise mom 🥰May the lord God Bless you ,you have wisdom then 🥰🥰🙌🙌
@sheidahkerry38067 ай бұрын
Niko kwa side ya rose muhando😢😢😢😢 she is innocent na si mtapeli😢😢😢😢
@sirjore92027 ай бұрын
Rose ni mtapeli.... Ali hakisema alipewa 200k ila deposit ya 50k from the 200
@jacksonjamesndyabawe4717 ай бұрын
Mimi niko side ya rose. She's enocent.. How can a really man stand and ashame a woman on media..a real man think before they act. Especially for protecting women's... How many are we supporting Rose.. 🙏🙏 🙏 🙏 🙏
@johnsonmichael9457 ай бұрын
Asante ndungu yangu Rose mhando MUNGU azidi kukutia nguvu naakupe maisha marefu na yenye aman na furaha
@benardchinua67467 ай бұрын
ROSE ROSE ROSE Mimi nakupenda sana sana 🎉🎉🎉❤❤❤. Endelea na injili tafadhali. Safari ya YESU iendelee ❤❤❤
@jaredhasea69217 ай бұрын
I Love Rose she is a good servant and has passed through alot .May God uplift her
@nathangakere35927 ай бұрын
I love the wisdom in you Rose....
@evemaina77187 ай бұрын
Ali was very very wrong...Please Ali Mukhwana...we as Christians need not solve our problems in public....this is very ungodly.....Rose still remains malkia wa Gospel....the legend...Ali Mukhwana...needs to respect Rose....Ali ...peleka mama....polepole ni mkubwa wako....
@ladykateli46077 ай бұрын
❤❤❤❤
@Kiilu_Onesmus7 ай бұрын
It's Rose who needs to respect herself..she can't refund the money after the conference had started..she should have done it before for them to have some time to get another artist on time
@evemaina77187 ай бұрын
@@Kiilu_Onesmus it's an unfortunate....case
@simionmomposhi17287 ай бұрын
huyu anajiita Ali ni mkora elfu mia mbili ulitoa wapi mukhwana wacha uwongo na uwajane na Rose mtoto wa mungu inaonekana Ali ajui mungu pongezi Rose umeomba msamaha mungu akuinue na kukubariki
@user-ft8vp3kp2u7 ай бұрын
What a garbage talk
@artistwilson72477 ай бұрын
Rose is a legend and we should treat her with a decoram
@osbert25177 ай бұрын
Just because she is a legend the truth should be heard from both side!
@damariskanza69147 ай бұрын
To me hakuna mtumishi wa mungu anastahili kulipwa hili amtumikie mungu
@vinorahayiera98756 ай бұрын
Kabisa
@vinorahayiera98756 ай бұрын
@@damariskanza6914 huduma itafanyikaje bila hela
@kininga7 ай бұрын
Wow the wisdom of this woman
@hadijatambwe91947 ай бұрын
She is beautiful and humble
@reginaaminga59447 ай бұрын
Mum Rose we love you,your wisdom os on another level
@mteulehumblej68207 ай бұрын
Mungu ongoza Rose 🌹🌹 Muhando atokapo na arudipo maana adui wa Injili ni wengi wenye roho mbaya. Si kila mahali mtu hukaribishwa na kuenda
@gracekasambala47127 ай бұрын
Waw hallelujah Mungu akuinue zaidi na kukuzidisha Sana Rose
@bonniebaraka7 ай бұрын
BIG UP to Pst Ali Mukwana for having the guts to expose this tapeli. huku tz alitoka nduki huyu bibi amekuja kwenu kenya poleni. hajawai kuokoka. Ali ana testimony iko straight actually she is a very good actor angalia video anavyochza na emotions ha ha hhaaaa kazi kwenu natafuta no yapst ali mukwana
@itsjuliam7 ай бұрын
Yaani hata DRC anajulikana kwa utapeli.
@samuelmtito47997 ай бұрын
Forgiveness must be done between two people who have crossed each other in a wrong way, without exposing each other outside Chris Jesus.
@obedjillo39487 ай бұрын
sin is a sin it has to be exposed..to ashame the devil
@jacksonjamesndyabawe4717 ай бұрын
Huyo pastor, mungu amsahidihe
@josephmusembi50127 ай бұрын
Have u listened to her statement
@obedjillo39487 ай бұрын
Yap Ali didnt use wisdom at 1st, but he did not say rose was paid 200k he said it was 200k bt asked for a deposit of 50k and it was sent for her..the vlogas are saying the same thing that she was paid 200k..,please watu wa media stop creating story out of nothing mkosanishe watumishi kwa sababu ya kiki..jamaa be real manze.Mnamfanya rose aonekane mtapeli sababu ya mamneno yenu na mnamfanya Ali aonekane mbaya sababu yakuongeza chumvi kwa vitu haziko. finally,there is an agenda that is hiden and nobody will let you know..mtahangaika mkijaza maneno kwa midomo ya watu.. STOP THIS S.M PEOPLE.@@josephmusembi5012
@user-vx6lb5ig7d7 ай бұрын
Repentance is not humiliation Poleni wachungaji
@cm66817 ай бұрын
We love you mama Rose and we keep praying for you🙏
@user-ko3tz1yi8l7 ай бұрын
Amen
@AnnSudi-bw7ue7 ай бұрын
Mama rose mungu akubariki neema yake mungu ikutoshe barikiwa na iyo roho mungu yupo na wewe mama wetu Mimi sioni makosa
@neemamajana30787 ай бұрын
Nakupenda ❤❤❤sana sanaaaaaaaaaaa my dear kipenzi, Mungu AKUTUNZE.
@jenniferchannelmathekachan9317 ай бұрын
Rose God bless you God will fight your battles
@michelmusore31957 ай бұрын
Rose muhando tunakupenda❤❤❤ sana dada mungu akubaliki
@hafsalucky10887 ай бұрын
Tunakupenda sn Rose, Mungu na Azidi kukubariki ❤❤❤
@mildredtsisika7 ай бұрын
Ali Mungu ako na wewe. Proverbs says '' afichaye dhambi zake hatapona bali aziungamaye na kuziacha atapona '
@tabithamulwa36297 ай бұрын
Pole my siz may God give you grace this man wanted to tarnish you name ,God is Just, may God intervene with this is situation.🙏
@user-vi6db1gy3x7 ай бұрын
Asante mum kwa msamaha kawaida ya watu kukosana
@deborahkendra847 ай бұрын
I believe you Rose. Mungu akuzidishie neema.
@janetkithi7757 ай бұрын
Asante sana mama kwa hayo yote. Na kwa moyo wa msamaha. Endelea kuwaombea
@stellananyama57247 ай бұрын
Wow! Karibu nyumbani Kitale mama❤❤❤
@kofianyeupe42277 ай бұрын
This is the queen of gospel. Chokaa tulikua na yeye na bishop Maina. Ali, omba Mungu akupe wisdom of how solve issues in agodly way kwa upendo. We are all humans na hatujakamilika.
@JOSEPHINEKAZUNGU-od1to7 ай бұрын
Rose Muhando pole sana sisi kama Wakenya tunakupenda sana hata wewe wajua hivyo. Ali Mkwana aombe Mungu ampe hekima.
@evekiswii37807 ай бұрын
Woooow. People should borrow tht reaction, humility from Rose. A good example from her.
@tigejuma98657 ай бұрын
Roz is a clean heart woman... nmeishi nkimsikia song zake kwa masikio yngu.....ata Mpka xai cjawai sikia scandals zake za aina yyte ile....hii ya kuambiwa n tapeli CIO kwel....she is a mother with his family which fear God....ishi miaka mingi mama Roz.
@esthermwaibasa47787 ай бұрын
Kwa kweli nilipomsikiliza Ali ,niliumia mno ,nikasema kweli Rose kafanya hivyo?na akaenda mbalisana akatusema wantanzania kama mnavyowajua daa hakutumia hekima kabisa,Nashukuru sana Rose kuja hadharani kulieleza hiki kinagaubaga,Shetani bado ana wivu na wewe dada yangu songa mbele Mungu yuko upande wako na hajawahi kuku acha
@evarotogospelmusician5227 ай бұрын
Ali na vile napenda songs zako, sasa umeyakanyaga Wacha mungu......mum 🌹 I love you inuka saidi.
@faithkoikoi73067 ай бұрын
Mimi naamini Aki,huwezi amka tu uongee kitu hakuna bana,,ali is right
@michaelthobias99677 ай бұрын
Hujui duniani wapo wazushi na wanafki unacho kataa ni Nini huyo hapo aliye sema kamtapeli naye kakataa hajatapeli
@faithkoikoi73067 ай бұрын
@@michaelthobias9967 Ni mungu tu ndo anajua
@hdhdhdh22987 ай бұрын
Mkunduo 😏😏 rudia kuskiza tena
@dorinemalagho93357 ай бұрын
Woow nakupenda ... Rose ❤
@Christopher-gd4em7 ай бұрын
Mama rose hekima unayo may God bless you
@AlbertYangson7 ай бұрын
Yesu akutetee mtanzania mwenzetu tunakuombea
@gosbertmuta54217 ай бұрын
Rose muhando ubarikiwe sana ase
@raymondbahati76267 ай бұрын
Namupendaga hanaga maringo nakupenda from Congo
@jackmuhura17976 ай бұрын
I don't understand the language but love her music
@elizabethmbole93187 ай бұрын
Mama Rose... Ur blesed
@mamavena-jd4mc7 ай бұрын
Hata Mimi mama roze nakupenda toka dodoma Tanzania I love you mamaa rose
@kahindicharo32147 ай бұрын
Infact we love you mama ingore thanks kwa kutokea nice one forgive him❤❤❤❤❤❤
@furahamwikombo46707 ай бұрын
Love Jesus,,,,I love you Rose.....
@samsonhamery38097 ай бұрын
Sikia hekima za Rose Mhando.Hakika ameiva kihuduma na kiutumishi. Mungu amzidishie afya njema
@EverlyneNekesa-uj2zz2 ай бұрын
Let God speak for you usijitetee wacha mungu akutetee
@mwikalijosephine51787 ай бұрын
I cover no man let God judge.
@lilymwashumbe48907 ай бұрын
Dada Rose Muhando damu ya Yesu inakutosha pole kwa hayo ni mapito tuu
@gladysngulu45417 ай бұрын
Kupigwa vita ni kawaida, Mungu akupiganie dada rose
@thomaskitemi32837 ай бұрын
Dada rozy UWE na kiasi kenya wameanza kukuzoea tunza mipaka
@WamakaNgambi-os3pw7 ай бұрын
God bless you lozi mhando
@LazarusNzoka-rv3ov7 ай бұрын
Polee mungu akupinganie umekomboa wengi kwa nyimbo zako
@user-qt3zi5rv8h7 ай бұрын
There was abig reason why you Rose didn't reached bungoma ,for the service meant so thank God
@marygorettichepseba33267 ай бұрын
The devil is a liar...be strong my heroine
@davidkibeu65237 ай бұрын
Huyu mama amekomaa sana,na Hekima ya juu,mungu akutende mema mama Rose 🙏🙏🙏🙏
@wilisonmikate16527 ай бұрын
Jaman ros ameokoka tuache utan
@wilisonmikate16527 ай бұрын
Jamn watumish tusiamue mambo kwa mhemko yatakuja yatuharibie ushuhuda mimi binafis niko side kwa ros
@EstherMark-pd9tj7 ай бұрын
We want that confirmation message yenye Ali alituma kwake pesa.hatutaki yenye yeye ametumia ali
@fredmwanzu91057 ай бұрын
😢search you will find the interview on Citizen TV digital
@sylviahslyelvo79427 ай бұрын
Kenya twampenda rose muhando ata wakimuaribia jina,,, kupendwa sio kila mtu anaeza kupenda
@ngowibeatrice17017 ай бұрын
True sio kila moja atakupenda
@catherineyinda7 ай бұрын
Tnakupenda rosie
@user-mo2gb2bc6q7 ай бұрын
❤❤❤ you mama rose muhando
@user-gw5fc2nw7b7 ай бұрын
am sorry mum may God be with you okay i pray for you mum am louise mumba zambia
@mzeeelkanahtv7 ай бұрын
I like the way she gave evidence. I watched the video on Citizen TV. Ali has exposed himself as a liar and a big mouth. Sorry mama Rose.
@graceindoshi68077 ай бұрын
He said deposit not 200 go listen
@mzeeelkanahtv7 ай бұрын
@@graceindoshi6807 I know. Ali said 50k but he made Muhando look like a liar. He said Muhando alikula fare, ni tapeli and all that. He should have come the way he did but say Muhando, let the public know whether you coming or not but not shouting tapeli etc.
@user-kn9kf2dn6o7 ай бұрын
Wewe Ali,nakupenda lakini,umenikasirisha sana.kuwekelea Rose mihamdo si vyema tupu
@bonniebaraka7 ай бұрын
wa kenya nani amewaloga mnajua huyo bibi rose muhando nyie ? unajua kwa nini hayuko huku tz amekuja uko alianza haya mambo ya mtatatizo ya hela decades ago kabla hata ya KZfaq kuweko a bado mtakoma ubishi. nasoma comments hapa nshangaa eti rose mtumishi wa Mungu
Ali Mkwana amekosa hekima ya Mungu. Wana wa Mungu hutumia hekima ya Mungu wanapokosewa lakini sikuchafua mwenzako hadharani. Huko ni kufaidisha tu shetani Wala sikumuinua Mungu . Wakristo tuache hizo haimpendezi Mungu
@abbykambua7 ай бұрын
Ni kweli wakenya tunakupenda mama
@ancytarimo11037 ай бұрын
Rose ni muungwana sana jameni. Huyu Dada alipitia changamoto sana ktk huduma hii. Saa hii Mungu amemuinua tena ila mtu anamvuta shati . Hakika ameifanya kazi ya Mungu kwa weledi sasa Mungu anafanya kazi zake. Jamani rose Mungu ataendelea kukutumia. Hakika tumuache huyu dada ili asije akalia sirini na Mungu usidhurike baba. Mwacha huyu mtumishi rose.
@AbigaelTende7 ай бұрын
Wow my pastor
@mamamwajei87897 ай бұрын
em mtumikieni MUNGU katika Roho na kweli
@balancedviewpoint74187 ай бұрын
Rose Muhando you are not the type of woman who can defraud anyone not at this stage. Umetoka mbali. This young boy is cheap and misguided. His intention has backfired on him instead. A gospel artist claiming to be a man of God cannot stoop so low to attempt to demean a global icon to the periphery of doom but unfortunately it has hit back. Rose Muhando's star and social status cannot be likened to your point of life. It shall take you over 70yrs to reach her kijana. Vile ulitukana babako wakati ulishinda lile gari Mombasa kwa mitandao haikukua vyema. Kumbuka ile wimbo ya Mwangila.....usidhani umefika, ukaanza kuringa kwa sababu ya kagari tu!! Gari ni bure, heshima muhimu. Usitukane mama yeyote vile ulihjaribu kutusi muhando kwa kunena matamshi ya kitoto na yasiyo na hekima ya mtu amekomaa kiumri, kiinjili wanakineema. Heshimu wanawake na kamwe usituputu kutumia lugha ya kitoto hivyo. Tupu dhambi kijana. Rose amekuombea hata mimi pia nimekuombea mungu akusamehe na uokoke kwa hiali yako tu zio kwa lazima
@harrietcheredi97687 ай бұрын
Tunakupenda mumy hapa kenya tumeona ukiimba na waimbaji wa kenya wengi.mama mnyenyekevu mama mwenye hekika una behave kama wamama kumi walioshikanishwa pamoja
@ramseyngwejela4997 ай бұрын
Rose uwe makini sana sana na maombi mengi popote ulipo na uendapo ktk huduma. Najua ninachokisema. Ukiwa maarufu kuwa mwangalifu sana.
@simonmdune90667 ай бұрын
I support you bro
@rispercharo8107 ай бұрын
Ulirudisha Hela Yao....period...hamna haja ya kujieleza zaidi.....yanaitwa malimwengu...worry not mamaa ...endelea kupiga injili
@The1979bornagain7 ай бұрын
If you listen to Ally Mukwana's allegations and the way Rose responded, you will clearly understand that Rose is speaking the truth and she had no any bad intention as Ally Mukwana is trying to make people understand her. And it's clear now that Ally and his companion pastors at Bungoma had evil intentions towards this Gospel singers. This is absolutely unacceptable and it's very ungodly. Ooh, pole sana Dada Rose. Na wewe Ally Mukwana rekebisha hiyo attitude yako kama unataka kumwona Mungu ktk huduma yako. Na haina shaka yoyote kuwa una Kila dalili aidha za wivu kwa dada Rose na unataka kuhakikisha unamchafua Rose na huduma yake ya uimbaji kwa gharama yoyote na ukidhani kuwa wewe utainuka kwa njia hiyo. Hapana Ally Mukwana, mambo hayaendi hivyo. Kataa kutumiwa na shetani kuharibu kazi ya Mungu. Kilichotoka kwa Mungu kamwe hakiwezi kuharibiwa na mwanadamu. Huduma ya Rose imetoka kwa Mungu mwenyewe. Muheshimu na mpende tu. Kama Kuna tofauti kidogo na yeye, tumia hekima na busara ya kimungu kurekebishana. Hiyo njia unayotumia Ally Mukwana sio ya ki - Mungu 100%
@samuelnthiwa56947 ай бұрын
Always top wewe ni jiwe utingisiki
@RosERoDondo7 ай бұрын
Pastor wa bungoma alimseti ali mukwana cz he didnt tell him the truth
@maryatieno68376 ай бұрын
Napenda Rose saana
@sammyopingoofficial68957 ай бұрын
We just need to humble ourselves and submit to the leading of the Holy spirit Let's repent apologize if need be all for the glory of God You did this some years ago to IVC Matthew 5:37 Simply let your 'Yes' be 'Yes,' and your 'No,' 'No.' Anything ...beyond this is of evil
@MirriumNdinda-iw5kb7 ай бұрын
Mungu anajua
@estermachea33737 ай бұрын
Mama super woman wameanza Tena maneno Yao achana nao mama love you
@UpendoMgala6 ай бұрын
Pole Santa dada rozi shetani anakutafuta Santa Ili tu kuchafua huduma Yako ila mungu naye ni mtetezi wako siku zotee
@frankkivuyo23267 ай бұрын
Pole
@wefutv12917 ай бұрын
In conflict resolution we don't take sides but we listen to both parties, point out each one's mistake and give a solution. In ministry we are mandated by God to warn, rebuke and guide. Read Ezekiel 3:16-21
@monicakagehi13637 ай бұрын
We shall know them by their fruits
@andrewmoneni63627 ай бұрын
Hata kama Rose alikua mgonjwa ama vyote vile, ndugu yetu Ali Mukhwana alikosea kumsema Rose vibaya mbele ya kusanyiko..hekima ya kiungu ilikosekana hapo.. seems our brother has big mouth, mbaya sana
@Hotmixy29707 ай бұрын
Ali kasema mikutano mitatu lengendi hapa asema mitano😮😮
@WilirkMushy-ng1un7 ай бұрын
A very good lesson to kenyans. Forgive and stop undermining tanzanian.u see tanzania heart towards kenyan😂❤🎉