MISIMAMO YA MASHEIKH DHIDI YA USHIA KUNAKO MANENO YA SHEIKH MZIWANDA

  Рет қаралды 22,721

IBUN JUMUA TV

IBUN JUMUA TV

Жыл бұрын

Пікірлер: 133
@saidramadhan4516
@saidramadhan4516 3 ай бұрын
ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH WNG KWA KUTUTAHADHARISHA NA HAWA MASHIA KHATARI KWA CC WAISLAAM
@MatongoPontien
@MatongoPontien 3 ай бұрын
Allah akulinde uzidi kupiganiya ukweli wa dini.
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Oooh allah wewe ndie mjuzi na shindana anae taka kushindana nawe mola wangu
@RashidAbdalla-pg3dv
@RashidAbdalla-pg3dv 3 ай бұрын
Mashia laanatu Allah
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 2 ай бұрын
SHEKH IZUDIN NAOMBA ANIJIBU SWALI LANGU MOJA ANIONYESHE KABURI LA BI FATMA LILIPO KAMA ANAONA HUU ULIKUWA UZUSHI NA VISA VYA UONGO
@RashidAbdalla-pg3dv
@RashidAbdalla-pg3dv 3 ай бұрын
Alie wema hawez kumpinga Mtume
@kondolukali9187
@kondolukali9187 19 күн бұрын
Wewe nimnafiki unazungumza vitu usivyovijua
@shabanmohamed7071
@shabanmohamed7071 Жыл бұрын
Mashia siwapendi Kutoka moyoni
@hemedsaidi9388
@hemedsaidi9388 12 күн бұрын
Na vipi aliyeemuua swahaba wa Mtume s.w, Imam Hussain????
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me Ай бұрын
Nakushkuru al akhy ila usiogope sema ukweli mashia ni makafiri wa haki
@walidally2211
@walidally2211 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@ShamilaMchimile
@ShamilaMchimile 10 ай бұрын
Izzudyn namuelewa sana Wallahi
@AdamBasanza
@AdamBasanza 2 ай бұрын
Utaingia nae motoni inshalha
@hemedsaidi9388
@hemedsaidi9388 12 күн бұрын
Na lau si mashia baada ya mtume hali ingelikuwa mbaya zaidi mashia wapo ktk hami
@AkhyAnwar
@AkhyAnwar 3 ай бұрын
Ambao hawajui kifo cha Ali na hassan kazi kwao
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 3 ай бұрын
Na wallahi masheikh wa bakwata wapo kimasilahi
@AdamBasanza
@AdamBasanza 2 ай бұрын
Bwakwata nao tunamashaka naopia namjadala wao hvi punde tutauanzisha ili tujue usahihi wao
@kondolukali9187
@kondolukali9187 19 күн бұрын
Unaelimu yakuongea nashia
@jailaniramadhan1788
@jailaniramadhan1788 4 ай бұрын
na aliyemuuwa swahaba wa mtume je
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf Жыл бұрын
Wanaoshirikianao katika maulid na mashia ni masheikh wa kisufi
@shazyahya4121
@shazyahya4121 8 ай бұрын
Yeah ndio wazamini wa maulidi
@AhmadWande
@AhmadWande Ай бұрын
Mnaujua ushia ni nini????
@hemedsaidi9388
@hemedsaidi9388 12 күн бұрын
Huna ujualo kaa kimya
@kondolukali9187
@kondolukali9187 19 күн бұрын
Kama ujasoma unaweza ukashangaa hila ukisoma uwezi ukasikiliza polojo zamlamilungi
@alwyalbaity9328
@alwyalbaity9328 Ай бұрын
Anao kumtukana bi Aisha ni kuwawa
@Filamumaridhawa
@Filamumaridhawa 8 ай бұрын
Mashia kelbuuuuu
@RayaRashid-dc2hn
@RayaRashid-dc2hn 3 ай бұрын
Maluuun kila aliyem2kana swahaba,shia wote Allah atawazalilish
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 3 ай бұрын
Nyie mlilushwa ujinga na mashehe wenu, mmenunua ugonvi msioujua
@kondolukali9187
@kondolukali9187 19 күн бұрын
Kama ujasoma utadanganywa hila mashia waposahii sana kuliko nyinyi
@ibunjumuatv9502
@ibunjumuatv9502 18 күн бұрын
@@kondolukali9187 haya endelea kukaa na huo ufahamu lakini anaewajua MASHIA vizur atakushangaaa na maneno yako Allah akuongoze ndugu yangu
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Жыл бұрын
Mashia ni mashivo😁
@bakarihote
@bakarihote 3 ай бұрын
Mashia ni makafiri bila hoja 10:34
@user-pl8qx6xx1y
@user-pl8qx6xx1y 21 күн бұрын
Mashiya ni makafiri ni makafiri
@AhmedAslam-ip8mu
@AhmedAslam-ip8mu 14 күн бұрын
cio mashia wanaotukana elewa point wapo mashia wasiotukana na mashia wapo sahihi kweny ali ndo alitakiwa kua khalifa1
@badilamu
@badilamu 10 ай бұрын
Mashia walikuwa kabla ya Iran . Vitabu vyao kama alkafi ni za zamani . Na kimejaa uchafu na vituku vya kiiblisi
@AHALSUNNIYMWIMBE
@AHALSUNNIYMWIMBE 2 ай бұрын
Kwani shekhe lusaganya kawalain mtume ndio amewalani hebu sikia hadithi aliyo isoma
@abeidbakili5830
@abeidbakili5830 3 ай бұрын
bakwata pia wote makafili
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 29 күн бұрын
Muislam peke yako baba😂😂😂😂😂
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 2 ай бұрын
Je anayemlaani au kuchinja ndugu, mtoto au mjukuu wa Mtume?
@user-mf4km2gi9l
@user-mf4km2gi9l 21 күн бұрын
Mashia ndio waliomua saidina Aly na watoto wake
@AdamBasanza
@AdamBasanza 2 ай бұрын
Kwataarifa yako kinacho pingwa hapa sio dhehebu ila ni misimamo ya wanamadhehebu iliyotok aktk uislam moja kwamoja
@AkhyAnwar
@AkhyAnwar 3 ай бұрын
Elimu ndogo najsi
@hemedsaidi9388
@hemedsaidi9388 12 күн бұрын
Je , muawiya haja mlaani imam Ali a.s?? Sasa hapa unahukumu vipi????
@MatongoPontien
@MatongoPontien 3 ай бұрын
Mashia hawastahi kuka duniani
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 29 күн бұрын
😂😂😂😂wahabisim
@khamisihamadi629
@khamisihamadi629 2 ай бұрын
نحن لا نتكلم إلا بالادلة يا أهل السنة والجماعة والوهابية
@AhmadWande
@AhmadWande Ай бұрын
Kwani aysha akosei sheikh
@salehthesword
@salehthesword Ай бұрын
Mimi nikimtuhumu Mama yako Malaya maana yake hakosei?
@AhmadWande
@AhmadWande Ай бұрын
Siwez kupinga kama una ushahid,ila jua kujitambua na tafuta elimu ,pia hakuna mshia anae muambia swahaba ni Malaya,nafikiri ni mitazamo ya kihuni unayoleta ww
@salehthesword
@salehthesword Ай бұрын
@@AhmadWande . Wewe unaposema aysha hakosei? Una maana ya kusema hawezi kufanya zinaa au kwa maana nyingine hawezi kuwa Malaya? Ndio maana yake. Kwasababu hapo anachosingiziwa Bi Aisha unajua ni kuzini...hakuna mtu aliyesema hakosei. Sasa nani muhuni kati ya mimi na wewe? Halafu ulivyokuwa huna adabu unamuita kabisa aysha kila rahisi.
@AhmadWande
@AhmadWande Ай бұрын
Ha ha ha ha mawahab mnashida sana ,bi aysha sio maasuma so kukosea anakosea ,pia nikuambie jambo zuri sana tafuta elimu usiwe muislam mshabiki ,unaongea mambo kwasabb huna elimu nayo
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 29 күн бұрын
​@@AhmadWandehajui kitu wahabi huyo brother 😂😂😂😂
@SalehSonda-bz3hl
@SalehSonda-bz3hl Ай бұрын
Ni kundi kubwa LA kibidaa
@BilaliBaruani
@BilaliBaruani 18 күн бұрын
Tuache kuwa vipofu ,maneno yako wazi , tusiweke siasa mbele ,tufungue nyoyo zetu kuukubali ukweli na kuifuata haki
@mohamedyngagala-5590
@mohamedyngagala-5590 10 ай бұрын
Tunapambana mashia nchi inakuwa na watawala umasikini umetawala zaidi kuwasaport watawala tu hatari kwa wasomi
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
Ushauri wako nn ss.
@omaryramadhani6664
@omaryramadhani6664 3 ай бұрын
Usitutoe kwenye njia kwa janja janja zenu za kitaqiya,Allah awalaani mashia
@kondolukali9187
@kondolukali9187 19 күн бұрын
Usiongope soma vitabu utajua hiyo niitakadi yanani
@24Dailylife-Channel
@24Dailylife-Channel 6 күн бұрын
Hivi kiswahili unakielewa kweli? Allah anasema atakaye watukuna maswahaba kuyo ni kafiri
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 4 ай бұрын
Ni makonfyusheni tu aliyekwambia usunni ndio dini nani? Wewe mwenyewe umesetiwa na mayahudi kuwa msunni, hoja zenu hazina nguvu. Tunaomba mjadala wa wazi mashia na masunni tupate faida.
@faridfrefre35
@faridfrefre35 4 ай бұрын
Mashia ni makafiri
@Hanifajuma-nq5zh
@Hanifajuma-nq5zh 3 ай бұрын
Ni nann kakupa cheo cha ushekh we m bw
@ibunjumuatv9502
@ibunjumuatv9502 3 ай бұрын
inakuuma eeee pole Dozi yaingia pole
@AdamBasanza
@AdamBasanza 2 ай бұрын
Mbwa mwenyewe usie nauislamu wahaq
@saidramadhan4516
@saidramadhan4516 9 ай бұрын
SS SHEIKH WNG HAWA MASHIA NDIO WAANZILISHI WA MAULID HAPO IMEKAA VP UHALALI WA MAULID???????????
@faridfrefre35
@faridfrefre35 4 ай бұрын
Mashia ni makafiri
@athmanm.swabir6649
@athmanm.swabir6649 Жыл бұрын
Sasa mbona hauja mkataa, Ibn slathir, Ibn Qutaiba, Huja mtaja Bukhari na Muslim, maana ushahidi upo kwenu.
@issakasigwa4806
@issakasigwa4806 Жыл бұрын
Saasa mzee wewe mbone ni kama file hujuwi corani, Mungu mwenyewe na mtume wake wanajuwa Kuwa katika maswahaba palikuwemo wanafiki , Mungu anasema Mtume akifa na ongonjwa ama kifo chochote mutarudi katika ukafiri wenu ,namkirudi hamutampunguza Mwenyezi Mungu chochote
@issakasigwa4806
@issakasigwa4806 Жыл бұрын
Kwanini wasiongelewe yale walifanyiya familiya mtume bada na ya mtume kufa
@issakasigwa4806
@issakasigwa4806 Жыл бұрын
Na wewe haujuwi tunaomboleza vifo vyayo wote
@omaryramadhani6664
@omaryramadhani6664 3 ай бұрын
Punda katoka mafichoni,so mnakiri hadharani kwamba mnawalaani maswahaba? Yes Allaah awalani
@RamadhaniHamadi-qi3jf
@RamadhaniHamadi-qi3jf 4 ай бұрын
Nawashangaa sana nyie Mashekh mnaoropoka tu kwa mihemko ya kuokota bila kufikiria yaliyopo vitabuni kwenu,yote mashia wanayosema ni upumbavu wenu katika vitabu vyenu.Kwani mawahabi hawawaibii masuni na masufi wamepotea bali ni washirikina. Hao masahaba mnaowaona ndio dini huo ni upumbavu bc wao matendo yao na madai yenu ya kuwatukuza yanapingana. Muwe na akili tu mtatoka mlipo maana hamjielewi mmerithishwa mori za kimasai tu.
@omaryramadhani6664
@omaryramadhani6664 3 ай бұрын
Huwezi kutugonganisha hapa eti mawahabi na masuni,mbona mnajulikana sasa hivi janja yenu! Allah awalaani
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 4 ай бұрын
mtume mwenyewe katukanwa na hajawalaani waliokuwa wakimtukana we umepata wapi kuwalaani mashia
@faridfrefre35
@faridfrefre35 4 ай бұрын
Mashia ni makafiri
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 4 ай бұрын
@@faridfrefre35 Mimi sio shia na kamwe siwezi kuwa shia lakini eti sijui nikafiri SI Bora hata hao mashia Leo hii ndio wanaunusuru uislam duniani hao wanajiita masuni sijui answari wote kwasasa wamekuwa vibaraka wa makafiri na mayahudi tukiangalia saudia misiri united imerate nk wote ni vibaraka wa mayahudi na makafiri
@omaryramadhani6664
@omaryramadhani6664 3 ай бұрын
Nyie kuwalaani maswahaba ndiyo Sawa eti, Allaah awalaani mashia mara elfu na zaidi
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 3 ай бұрын
@@omaryramadhani6664 tatizo nyie mnalishwa matango poli ugonvi wa shia na Irani nyie kamwe hauwahusu wale ugonvi wao sio wa kidini ila saudia alivo mshenzi anawaminisha watu ilimladi tu waichukie iran yenye mashia na wakati ugonvi wao ni WA ushawishi wa kisiasa mashariki ya kati sasa saudia kwasababu amefeli na amebaki kuwa kibaraka wa makafiri anawamisha watu et mashia ni makafiri na watu msio na akili kama nyie mnaingia maxima
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 3 ай бұрын
@@omaryramadhani6664 narudia Tena saudia kafeli amebaki TU kuwa kibaraka wa mayahudi na makafiri ugonvi wa saudia na Irani msiuingize kwenye dini
@azizaj776
@azizaj776 Жыл бұрын
Muongo wewe , Mwenyezi Mungu Mtukufu Akulaani wewe leo Duniani na Kesho Akhera na Motoni muwe makazi yako ya KUDUMU - AMEEN 🤲🤲🤲 Muongo mkubwa mfitinishaji wewe HUUJUI USHIA HATA CHEMBELE
@alidyaya4512
@alidyaya4512 Жыл бұрын
Ingia youtube search uone ukwel
@mohamedirwambo5193
@mohamedirwambo5193 Жыл бұрын
mashia acheni unafiki munawatukana maswahaba
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Sio ufitinishwaji nyie makafiri mnapinga Mungu, Mungu ameridhia maswahaba na wao walitoa mali zao na uhai wao hadi wewe leo ukaitwa muislamu ikisha ukaingie wewe peponi kabla ya swahaba, mnawajua swahaba nyie walikuwa wanapenda kufa kuliko kuishi kwa ajili ya uislamu, wewe kubwa lipi ulolifanyia uislamu hata uwatusi maswahaba..mtume hapigani vita kama hawapo maswahaba wewe hata kwenye mawaidha huendi, chungeni sana na hadaa ya pumzi
@hassanally4960
@hassanally4960 Жыл бұрын
Tunajua na ww ni shia kwaiyo laana za Allah ziwe juu yako
@iddisalimu5028
@iddisalimu5028 Жыл бұрын
Ushia ni ukafiri enzi za mtume kulikuwa ushia
@AkhyAnwar
@AkhyAnwar 3 ай бұрын
Shekh wewe unajua hao akina hassan,hussen lakin mbona unatuhumu shia kuwalilia je kwann nyinyi hamuwaliliii si jukumu la shia its for all Muslims don't lie to us
@HashimBilemile
@HashimBilemile 3 ай бұрын
Ni haramu maomborezooo
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 2 ай бұрын
Tutalia mpka lini tutamlilia nani tumuache nani
@AkhyAnwar
@AkhyAnwar 2 ай бұрын
@@omarsuleiman9064 kasome tena ndugu
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Жыл бұрын
Wake za mtume walihitilafiana na mtume, wake za mtume kugombana na mtume ni tabia nzuri? Hasha, ni tabia mbaya, kwahiyo ni wake wabaya, na kwa kuwa mke mbaya ni kwa mume mbaya, basi hata mtume ni mbaya kwa tafsiri ya aya hiyo. Mtume alifumaniwa na mkewe kazini na house girl tena kwenye kitanda cha mkewe. Je, tabia ya kuzini ni nzuri? Hasha, ni tabia mbaya, kwahiyo na mtume ni mume mbaya kwa wake wabaya kwa tafsiri ya aya hiyo.
@ibunjumuatv9502
@ibunjumuatv9502 Жыл бұрын
Wewe MKIRISTO hivyo maneno yako hayazingatiwi
@hasheemcarrick3141
@hasheemcarrick3141 Жыл бұрын
Mpuuz ww! acha kumtusi mtume
@sammotv6920
@sammotv6920 Жыл бұрын
@@ibunjumuatv9502 jibu la busara sana
@omaryomary876
@omaryomary876 Жыл бұрын
Acha upogolo. Hayo unayosena Yako kitabu gani? Usizungumze usilo na ujuzi nalo utajiangamiza
@arafatali2796
@arafatali2796 Жыл бұрын
Wew hebu kuwa na adabu msipende kujiridhishakwa tafsiri mlivyiekewa nyiny nenden kwa masheh muulizie vizur dah astaghfurullah
@ramygichero1016
@ramygichero1016 7 ай бұрын
unaongea kama una mavi kichwani toa ushahidi wa maneno yako
@faridfrefre35
@faridfrefre35 4 ай бұрын
Mashia ni makafiri
@omaryramadhani6664
@omaryramadhani6664 3 ай бұрын
Wewe unamavi na mkojo kabisaa akilini nwako
@hemedsaidi9388
@hemedsaidi9388 12 күн бұрын
Huna elimu kenge wewe
@footballonetv255
@footballonetv255 Жыл бұрын
Kuhusu mashia hamtawaeza maana ndio waislamu waliobakia ambao fitina haiwakuti
@faridfrefre35
@faridfrefre35 4 ай бұрын
Mashia ni makafiri
@omaryramadhani6664
@omaryramadhani6664 3 ай бұрын
Hata ibilisi pia atabaki kama mtakavyo baki nyinyi majusi
@AhmedAslam-ip8mu
@AhmedAslam-ip8mu 14 күн бұрын
@@faridfrefre35toa ushahidi mbn makka wanaruhusiwa kuhuji na asiekua muislm hua hatakiw kuingia
@mousableus
@mousableus 10 ай бұрын
ALLAH akusamehe ujinga wakko umekufanya unajipa cewu ça kulani WA islam Allah anawumba we we unalani viumbe hivyo we we hujajuwa islam Shia hitakutukana hujuwi islam ikiwa hujajuwa islam ulishajuwa we ni nani
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
Kama hujui kiswahili so uache kuandika ukajifunze kwanza?
@faridfrefre35
@faridfrefre35 4 ай бұрын
Mashia ni makafiri
@omaryramadhani6664
@omaryramadhani6664 3 ай бұрын
Umeumia kulaaniwa mashia lakini nyinyi mnawalaani maswahaba mnaona Sawa? Allaah awalaani mashia.
@HashimBilemile
@HashimBilemile 3 ай бұрын
Weee acha ujingaaa
@AdamBasanza
@AdamBasanza 2 ай бұрын
Mashia nimakafiri ndio Wala hakuna anaeweza kupinga napia mungu awalaani kwakutaka kuupotosha umma.
@kanobayirelambert8400
@kanobayirelambert8400 Жыл бұрын
Kwa nini ma boss wenu wawape visa yakwenda hijja? Shekh cheni propaganda zenu Sisi twataka Amani
@muhammadmochenje1409
@muhammadmochenje1409 Жыл бұрын
Ikiwa sayyiduna Abubakar na Sayyiduna Umar na sayyiduna Uthman sisi ahl sunnah kwetu ni maswahaba wenye hadhi kubwa na tunawheshimu sasa akitokea jitu likianza kuwatukana kwa jamii ambayo Ahlu sunnah wal jamaa ndio wengi huyu ndiye asiyetaka Amani kwa jamii kwa sababu haiwezekani humu mwetu ulete ulimi mrefu kuwatukana maswahaba alafu wawachwe tu hivi hivi.
@arafatali2796
@arafatali2796 Жыл бұрын
Kwaio unvyotk watu wasende huja au hebu kuwen bc na adabu
@faridfrefre35
@faridfrefre35 4 ай бұрын
Mashia ni makafiri
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 2 ай бұрын
MASHEKHE WA KISUNI ELIMU NDOGO SANA
@AdamBasanza
@AdamBasanza 2 ай бұрын
Kama mtumwenye elimu kubwa niyule awatukanae maswahaba nibora kua jaahiri maana atasema asichokijua ila mashia wanasema wanachokijua nahuku wakijua kua Wana kosea nahawamuogopi mungu.inshalhah mungu awalaani ndio
@sanganyamsanu8009
@sanganyamsanu8009 14 күн бұрын
Mashia kiukweli sio watu hata wa kuwaomba hata maji.
MASHEIKH WA BAKWATA WANAWASAPOTI MASHIA TANZANIA sheikh Mohammed Issa
43:46
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 98 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 27 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 45 МЛН
MASHIA SIO WENZETU WAISLAMU WAFAHAMU ||SHEIKH NURDIN KISHKI
15:19
IBUN JUMUA TV
Рет қаралды 10 М.
TABLIGH TUSOMENI KWANZA NDO TUTOKE KUTANGAZA QURANI   SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA
2:57
Masjid Riyadhwa - Kwa Mnyimaki
Рет қаралды 6 М.
USHIA ulianzishwa na HUYU na ULIANZIA HAPA
5:49
Miraj Khan
Рет қаралды 13 М.
HISABU YA SIKU YA QIYAMA  -  SHEIKH HASSAN AHMED
34:29
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 29 М.
KWANINI MASHIA HAWASWALI TARAWEHE
9:06
Asadiqmedia
Рет қаралды 17 М.
MSIMAMO WETU NIKUA MASHIA SIYO WAISLAMU
27:46
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 27 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 98 МЛН