MITIMINGI # 129 SUMU YA KUMMALIZA MWANAUME AKUPENDE MAISHA YAKO YOTE

  Рет қаралды 212,068

MITIMINGI ONLINE TV

MITIMINGI ONLINE TV

6 жыл бұрын

Usiku wa Dr. Ester akifundwa na kungwi. Mchungaji na Mwalimu Mitimingi P.
Kwa sababu ya maadili Somo hili ni kipande kifupi kilichokatwa, endapo utahitaji somo zima kwa wanandoa au wanaotarajia kuingia kwenye ndoa, wasiliana nasi sasa kwa 0713183939

Пікірлер: 145
@ibrahimtobbz9518
@ibrahimtobbz9518 6 жыл бұрын
Nikweli kabisa, mm ninamatatizo makubwasana na mpenziwangu aijawahi pita siku atujagombana ani adi nakondaa... Asante sana na Mungu akubariki
@iconboysamwel9213
@iconboysamwel9213 4 жыл бұрын
Wanawake mmejitahid kulalamika sana,, tuieni nondo ziingie ndani ya vichwa vyenu.
@emmanueltwaha1489
@emmanueltwaha1489 6 жыл бұрын
Aisee nimeipenda mno, mtumishi upo vizuri Mungu aendelee kukutumia zaidi na zaidi ili kuponya ndoa. Ubarikiwe na BWANA.
@suzanamisungwi7230
@suzanamisungwi7230 6 жыл бұрын
mabarikiwa sana mtumishi na mafundisho yako yanayotukumbusha wajibu wetu ili tuwe na amani katika maisha yetu.
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 жыл бұрын
Kwa maishani ya sasa hata uwe na msneni mazuri veepe akiamua kutoka atatoka tu na ma changu DOA kwa taarifa yako wanatumia na dawa za kiswahili sio maneno matupu
@ericgeofrey7388
@ericgeofrey7388 6 жыл бұрын
dah We jamaa unanfundsha vtu vingi sana vya Msingi aisee mungu akubarki sna
@esthersimon6513
@esthersimon6513 6 жыл бұрын
Baba barkiwa sana somo lako limenigusa sana maana linanihusu sana asante kwa somo zuri naenda kupona sasa
@asmakaronge3676
@asmakaronge3676 6 жыл бұрын
jaman barikiwa sana Baba mchungaji, najifunza mie
@godfreymuntagu7660
@godfreymuntagu7660 6 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwa mafundiisho mazuri kwa kanisa has a nyakati za sasa,
@sectorfmctnyar6113
@sectorfmctnyar6113 6 жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor. Tunashukuru kwa mafundisho yako
@jeniphermyinga3083
@jeniphermyinga3083 6 жыл бұрын
Wapo wanaume wengine hata wanyenyekewe bado wakorofi,pia heshima nikwa wote si kwa mwanamke pekee,wapo wanawake niwatulivu wanawaheshimu waume zao lakini bado wanawatesa wake zao bila kujali.
@esterjonathan7476
@esterjonathan7476 6 жыл бұрын
ahsantee xnaa mchungaji kwa mafundisho mazur
@janembugi425
@janembugi425 5 жыл бұрын
Amen mtumishi, barikiwa.
@fikirilusapi7917
@fikirilusapi7917 3 жыл бұрын
Vizulii sanaaaaaaaa bay fikiri lusapi
@emilydavidmdoe3552
@emilydavidmdoe3552 5 жыл бұрын
mtumishi hivi wanaume wenzio unawafahamu,akiwa ameokoka kwelikweli sawa.hizi nyumba Mungu anajua tu
@swalhazira8533
@swalhazira8533 Жыл бұрын
Kabisaa hawo watakatifu ndio wabaya kabisaa anakuchits live
@doforlovetv7391
@doforlovetv7391 6 жыл бұрын
una kitu cha cha tofauti Mungu akubariki na akupe mafunuo ndani ya karama yako
@adrianashyko2781
@adrianashyko2781 6 жыл бұрын
inabidi nirudie mara kwa mara.....♡♡♡♡good lesson
@theonlyonebeautiful3726
@theonlyonebeautiful3726 6 жыл бұрын
Kwani ndoa ni mwanamke tu mimi hii sikubaliani nalo ndoa ni pande mbili na sio moja
@anithachuwa2277
@anithachuwa2277 5 жыл бұрын
Kwel na wanaume nao wanampungfu yao
@fadhiliidafa1442
@fadhiliidafa1442 6 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.....
@rhodahnyambu5847
@rhodahnyambu5847 5 жыл бұрын
I have learn something and richly blessed
@zuberinyenzi1982
@zuberinyenzi1982 6 жыл бұрын
Daa safi sana nimejifuza kitu kutoka kwako kila unaloliongea ni kweli kabisa
@alexandermtambala9039
@alexandermtambala9039 6 жыл бұрын
Asante sana imeningusa ubarikiwe.
@roseindekhwa5167
@roseindekhwa5167 5 жыл бұрын
Asante baba mafundisho safi sana
@saramwinuka3989
@saramwinuka3989 6 жыл бұрын
Asante baba kwa somo
@missagatha1756
@missagatha1756 6 жыл бұрын
Ahsante mchungaji nimejifunza kitu
@elizabethmwandu9899
@elizabethmwandu9899 5 жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu hakika ninakuelewa sana mafundisho yako.
@lucksonmtafya1415
@lucksonmtafya1415 5 жыл бұрын
asante mtumishi wamngu
@davidmuthoni624
@davidmuthoni624 2 жыл бұрын
Thanks 👍 God bless thanks 🙏 Amen amen amen thanks 👍
@happynchimbi6043
@happynchimbi6043 6 жыл бұрын
nabarikiwa sana na mafundisho yako
@mrsmusasaganda4369
@mrsmusasaganda4369 6 жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu
@kisolaboniphace2123
@kisolaboniphace2123 6 жыл бұрын
barikiw sana mtumishi
@irinendubi5813
@irinendubi5813 6 жыл бұрын
That is good bro
@sagulesalehe6393
@sagulesalehe6393 6 жыл бұрын
Vizuri kaka tupo pamoja
@neselaurence7350
@neselaurence7350 6 жыл бұрын
nimebarikiwa sana
@meck_billions
@meck_billions 6 жыл бұрын
gud lesson
@kimaniwachamba5409
@kimaniwachamba5409 6 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@childofgodthroughjesuschri3326
@childofgodthroughjesuschri3326 6 жыл бұрын
Mambo mazuri ila ni kwanini siku zote ni mwanaume mwanaume......na je wanaume wao watufanyeje sisi au sisi ni viburudisho vyao
@deborabalama2656
@deborabalama2656 6 жыл бұрын
asante mtumishi ila Mimi yote nilifanya lakini hivohivo tuliachana ubarikiwe pia kwa mafundisho yako.
@innosensiaprosper8059
@innosensiaprosper8059 5 жыл бұрын
Mmmh napita
@sostenesswai778
@sostenesswai778 6 жыл бұрын
Napenda san mahubri yko
@rehemamaganga8303
@rehemamaganga8303 6 жыл бұрын
safiiii
@neemajelemiah766
@neemajelemiah766 6 жыл бұрын
AMEN... Nmejifunza
@ekisaviourhokororo6598
@ekisaviourhokororo6598 2 жыл бұрын
Duuui ni kweli
@hellenjohn8586
@hellenjohn8586 Жыл бұрын
Kwel baba
@jennlafilin2251
@jennlafilin2251 6 жыл бұрын
Upo sahihi mtumish
@solomonedward3379
@solomonedward3379 4 жыл бұрын
Kweli siboeki hata kama sijaenda kanisani nasikiliza najifunza nanarikiwa sana kwakweli
@ebbykerubo95
@ebbykerubo95 4 жыл бұрын
Somo zuri nimebarikiwa
@necodeirakoze8911
@necodeirakoze8911 9 ай бұрын
Ubalikiwe mchungaji
@hildadaniel4892
@hildadaniel4892 6 жыл бұрын
nimekusoma baba ubarikiwe
@solomonfaithbless5940
@solomonfaithbless5940 6 жыл бұрын
cet grand homme c'est un grand seminariste entouquant. felicitation! congolese man
@rehemabaraka9895
@rehemabaraka9895 6 жыл бұрын
Kwani ndoa inabebwa na mwanamke tu mchungaji wafundishe na wanaume pia jinsi ya kuishi na sisi
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Wote wamebeba ndoa, Pia wanaume wana mambo yao ambayo wanapaswa kuyajua. Wanaume wengi ndio wamewasababishia wanawake wapate stress na Bp. Fuatilia masomo utavipata vipande vyao. Baarikiwa sana.
@jastinesamboto4674
@jastinesamboto4674 6 жыл бұрын
rehema baraka wanawake ndo injini na ndo wenye nyumba, ndo watunzaji wa waume zao, ukishaona pointi inayogusa sana ujue ndo yenyewe
@josephloy158
@josephloy158 6 жыл бұрын
Rehema ukweli ni kwamba mwanamke ndio mwenye uwezo Wa kuboa au kujenga nyumba,
@rehemabaraka9895
@rehemabaraka9895 6 жыл бұрын
Amina mtumishi nimefuatilia nimeviona ubarikiwe sana kwa mafundisho yako
@rehemabaraka9895
@rehemabaraka9895 6 жыл бұрын
Jastine Sambwet wanawake ndo injini lkn ukumbuke gari hata ikiwa na injini nzuri kiasi gani itategemea na dereva wa hiyo gari anaiendesha vp maana gari bila dereva mzuri hata injini si kitu kwake
@inyasigregory6872
@inyasigregory6872 4 жыл бұрын
Hahahahahahahahahahahahaha Daaaaah...!!! Utakula ugangari hiyo ni noma sana
@estherchamhene212
@estherchamhene212 6 жыл бұрын
Kabisa kabisa
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Ni kweli mtumishi hayo yapo
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 6 жыл бұрын
thanks alot
@mrs.eileenvahaye8669
@mrs.eileenvahaye8669 6 жыл бұрын
Nimebarikiwa sawa na somo nzuriiii
@marthacharles9637
@marthacharles9637 6 жыл бұрын
eileen harun jaman mungu ambalik mwalimu somo zuli sana
@costanciamwita9513
@costanciamwita9513 6 жыл бұрын
hii inaitwa akili za kuambiwa changanya na xako.wanaume wa siku hizi akili zao wanazijua wenyewe
@perpetuakimicho2886
@perpetuakimicho2886 6 жыл бұрын
Good
@paulodesmoni6226
@paulodesmoni6226 6 жыл бұрын
Good lesson
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Amen
@stephanomwakyobe4675
@stephanomwakyobe4675 5 жыл бұрын
amina
@user-nm1je5pt4u
@user-nm1je5pt4u 5 жыл бұрын
Wanaume hawapendeki bwana kama nishindikana ata ufanye nn hataona
@selestinfrancis5904
@selestinfrancis5904 Жыл бұрын
Kweli mtumishi
@evajohn458
@evajohn458 6 жыл бұрын
amin
@davidmuthoni624
@davidmuthoni624 2 жыл бұрын
Chapa Job
@rizikibiringanine4242
@rizikibiringanine4242 6 жыл бұрын
amen
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 6 жыл бұрын
Mchungaji mbona wanawake tuuu!!!!?!????Ina maana wanaume kwenye ndoa wanasubiri tu atakalotenda mke?
@LuganoMwatala
@LuganoMwatala 6 ай бұрын
Yani
@nirmaladavid8861
@nirmaladavid8861 6 жыл бұрын
Paster wao waume pia wape mafundisho sababu wewe utamweshimu lakini yeye akuomyesha dharau haswa akiwa amekuzalisha watoto ndo anukuona wewe mtumba wape vidonge vyao pia
@moneymaker7572
@moneymaker7572 3 жыл бұрын
Tupo kwenye kitchen party ni wanawake tu
@dusabemireille1558
@dusabemireille1558 6 жыл бұрын
😂😂😂😂cameraman eee .....🙈🙈🙈🙈🙈
@olivergidion9090
@olivergidion9090 6 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi huwa naelewa sana mafundisho yako
@nsekanabondyamukama2993
@nsekanabondyamukama2993 6 жыл бұрын
Kwel hakuna mkate Mgumu mbele ya chai, tena n chai ya rangi c ya maziwa
@ShajuaKikoti
@ShajuaKikoti Ай бұрын
Kweliii!
@mercyjumba9935
@mercyjumba9935 6 жыл бұрын
Ukweli kabisa
@leonardkandonga1721
@leonardkandonga1721 5 жыл бұрын
À santé dans kwaushauli
@gaudenceharerimana7743
@gaudenceharerimana7743 2 жыл бұрын
Muchungaji Niko naswali samahani Mimi niliishi na Bwana wangu myaka 15 .kisha akaanza michepuko .nilikuwa nafanya maombi ndani ya nyumba yangu .kilasiku naota ndoto nikaona Mme wangu.ako anapatia pesa .wingine mwana mke .nikamuuliza Mme wangu nimekuotea ndoto mbaya nikamuelezea ndoto zangu akazikataa .kisha nikaendelea ndoto mbaya kumuhusu kila siku anakataa Kisha Imefika mda Bwana akaumwa .akaanza kuniomba musamaha nakukubali zire ndoto nakunionyesha wana ake wengi arikuwa anachepuka nao. Nilimuuliza sababu alinijibu eti nikwasababu ameniona niko mpole siongei sipige kelele eti akaona hata achepuke sitaongea .. Saahii tumeachana mwisho akawa mwenda wazimu analazw sipitalini zawagonjwa wendawazimu .Mungu amempiga . From Amerika
@user-vm6gk8pr6q
@user-vm6gk8pr6q Жыл бұрын
Pole xana my dear jaman 😢
@karembobaya9473
@karembobaya9473 6 жыл бұрын
Umesema vzuri sana mtumishi Wa Mungu...ila mbona wanaume nao hawafundishwi haya pia wao wajue wanachokihtaji wanawake?
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Barikiwa sana, pia wanaume wana vipande vyao Karembo. Fuatilia utqvipqtq. barikiwa sana sana
@evangilangwa3218
@evangilangwa3218 6 жыл бұрын
Karembo Baya
@awadhhassan5353
@awadhhassan5353 4 жыл бұрын
Rest In Peace bro From kenya
@charlottemanga
@charlottemanga 6 жыл бұрын
Asante sana Kweli umeni bariki
@christinen8291
@christinen8291 6 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.nitapata wapi namba yenu! Ijapokuwa NDOA yangu hayipo tena.lakini unasema ukweli kabisa!
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Amina, wasiliana nasi kwa Number 0713183939
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Amina Christine Nizigama. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia Number 0713183939
@cars9969
@cars9969 6 жыл бұрын
Christine Nizigama you will be okay
@sakinashemahonge7692
@sakinashemahonge7692 6 жыл бұрын
ASANTE sana
@barazasila4051
@barazasila4051 6 жыл бұрын
Great message mutumishi, God bless you so much.
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Amen Glory be To God. Be Blessed
@margarethsolomon693
@margarethsolomon693 6 жыл бұрын
Hakuna kitu, ukimbembeleza na akajua unampenda atakufanyia visaaaaa. Ataona unajigonga kwake kana kwamba wewe huna mbele wala nyuma. Bora niwe strong woman, niishi mwenyewe.Hawanaga zuri wanaume mtu asikudanganye, mapenzi mazuri ni mwaka mmoja wa pili sufuri, visa vitupu linaanza michepuko. Ila ukivumilia aende michepuko mtaishi tu.
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 жыл бұрын
Margareth Solomon kweli kabisa
@jacklineachieng1131
@jacklineachieng1131 4 жыл бұрын
Kwani hawa wanaume ni nini? kilakitu wanafanyiwa, jimtu mzima jifanyie vitu peke yako. Am a strong human being i can do it
@musarichard2934
@musarichard2934 4 жыл бұрын
Hi Magreth
@TheresiaMsunga-bs2wk
@TheresiaMsunga-bs2wk Жыл бұрын
Mnapunguzaga mapenzi ndo maana mnaachwa
@mjombamalaki2025
@mjombamalaki2025 5 жыл бұрын
Wanawake. Wanamacho lakini hawaoni
@sarayrobert4785
@sarayrobert4785 2 жыл бұрын
🙏🏽🙏🏽
@gaudenceharerimana7743
@gaudenceharerimana7743 2 жыл бұрын
Hapa kwetu pini niza sula yako
@Salimalnabhani
@Salimalnabhani 6 жыл бұрын
Wakachepuke tu ukimwi wawasalimu
@nirmaladavid8861
@nirmaladavid8861 6 жыл бұрын
Ambao hawajaolewa plz hakikisha unamahali unategemea pakutoa mapato yako ndo ufikirie kuolewa lakini usitegemee mume sababu mume anakupenda ukiwa huna watoto lakini ukizaa upendo unaanza kupungua
@modesterjoseph9504
@modesterjoseph9504 6 жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@NS-ru1yf
@NS-ru1yf 3 жыл бұрын
Very true dear
@julianakissanga7142
@julianakissanga7142 6 жыл бұрын
jamani naomba kuuliza hii video naipataje jamani kwenye whatsp
@khalfanijuma1615
@khalfanijuma1615 5 жыл бұрын
Download tube mate Google video zote za KZfaq utazipata kupitia hiyo.
@meryjuma4017
@meryjuma4017 6 жыл бұрын
Amina,haya Masomo nimazuri,mbali Na Utube tunayapata wapi?
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Mbali na KZfaq unaweza kuyapata kwa kuwasiliana nasi 0713183939 Jinsi ya kuyapata. VHM. Karibu sana
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Wasiliana nasi kupitia 0713183939. Au ofisi zetu zipo mwenge Dsm opposite mama Ngoma hospital
@wakilongokahugusi6528
@wakilongokahugusi6528 6 жыл бұрын
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu,,,Wanawake wamefundishwa la kutosha.Tunasubiri somo letu sisi mwanaume...Usituamini saana wanaume nasi twahitaji kukokotwa masikio.
@Punda284
@Punda284 6 жыл бұрын
Uko sawa mchungaji,ni rahisi zaidi kunuelezea mwanaume kwakua wewe ni mmoja wapo, kama ni upande wa mwanamke mwanamke naye aeleze atazungunza Kwa ufanisi zaidi.
@fideamgonja379
@fideamgonja379 5 жыл бұрын
bora yako unalijua hilo bro make kuna wengine wanajiona wao ni perfect
@evalinesimonievaline1663
@evalinesimonievaline1663 6 жыл бұрын
Nimejifunza kitu
@stanslausnziku2725
@stanslausnziku2725 6 жыл бұрын
Evaline Simoni Evaline asante
@raphaelkwilasa9680
@raphaelkwilasa9680 5 жыл бұрын
Amina
@Salimalnabhani
@Salimalnabhani 6 жыл бұрын
Na kuroga mitimingi ndivyo wanavyofanya wanawake
@leahkamwambi5955
@leahkamwambi5955 6 жыл бұрын
Salimalnabhani 1952 balikiwa mtumishi
@hildakimambo2236
@hildakimambo2236 6 жыл бұрын
kwan ndoa ni ya mwanamke tu?? utamfanyia mwanaume ambaye hajielewi???
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
@@hildakimambo2236 Ni kweli hata umfuatilie namna zote mstari wake ni uleule wa mchepuko kwako yupo na nje anatoka.
@rehemamustafa1914
@rehemamustafa1914 6 жыл бұрын
🙏🙏
@damianlameck522
@damianlameck522 5 жыл бұрын
Nafikiri wengi mnao endelea kulalamika huwa si wafuatiliaji wa hizi semina,kiukweli Pastor mitimingi hajawai kuacha kuwazungumzia wana ume kwaiyo jitaidini kumsikiliza mtapona swala kubwa nikuacha ushindani kati ya mume na mke.
@hawajailo1985
@hawajailo1985 6 жыл бұрын
mbona hamwongelei wanaume. ?? ndoa ni mwanaume na mwanamke.
@rosemaryondeche5789
@rosemaryondeche5789 5 жыл бұрын
Pastor ,,mchungaji anaeza patana na bb yake kimapenxi jimamosi ikielekea jumapili?,,na je! U naeza funga au kuomba ukiwa period?
@gracemoses3062
@gracemoses3062 3 жыл бұрын
Unachanganya uislamu na Ukristo soma bibilia
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 6 жыл бұрын
Nina wasi wasi na huyu mchungaji
@najmaibrahim7947
@najmaibrahim7947 6 жыл бұрын
Wanaume pia wafundishwe, ndoa inabebwa na wotee..
@joachimlema3299
@joachimlema3299 6 жыл бұрын
Hiyo ni sendoff ndo maan anadili na wanawake
@nashipairuben5879
@nashipairuben5879 5 жыл бұрын
Najma Ibrahim
@victoriachesco2833
@victoriachesco2833 6 жыл бұрын
Majanaume ya siku izi hata ulifanyie nn km lihuni lihuni ty me sifati lolote hayo hawana shukurani wanaume
@andreajeremia436
@andreajeremia436 6 жыл бұрын
ukiona mwanaume amefeli,ujue mke ndiye tatizo,Dada unaweza mbadirisha mmeo.
@rizikibiringanine4242
@rizikibiringanine4242 6 жыл бұрын
amen
@leonardkandonga1721
@leonardkandonga1721 5 жыл бұрын
À santé dans kwaushauli
@rizikibiringanine4242
@rizikibiringanine4242 6 жыл бұрын
amen
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 жыл бұрын
Kweli baba asante
MITIMINGI # 130 SUMU 3 ZA KUMUIBA MKE WA MTU WANAUME WA MICHEPUKO WANAZOZITUMIA
17:59
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 18 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 28 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 176 МЛН
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 19 М.
Dr. Chris Mauki: Mke mwenye busara humpa mumewe haya manne (4)
6:44
Zaidi ya fahamu/Uko Mwenyewe (feat. Clara Minja) (Live)
13:28
Henrick Mruma - Topic
Рет қаралды 9 М.
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Virtuous Islam
Рет қаралды 379 М.
MITIMINGI # 140 JE NI SIFA ZIPI ZA MWILI ZA KUZINGATIA UNAPOPATA MCHUMBA?
13:57
WANAUME NI VIUMBE VYA AJABU SANA AKISHAOA ANAKUWA MLEMAVU  "MCH MGOGO
17:20
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 1,1 МЛН
MITIMINGI # 184 SIRI IWAMALIZAYO WANAUME WASIFANIKIWE
24:43
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 496 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 18 МЛН