Mungu akubariki mchungaji kwa mafundisho mazuri ya kujenga ndoa za waliowengi.
@duboisclaude18815 жыл бұрын
Asante baba,mimi ni OLIVIER Mboko kutoka Africa niko USA, Florida tampa, maubili yako ananifaliji baba,nakupenda
@miriamasubwa15524 жыл бұрын
Waa good preach pastor,so sad and painful to me,Rest in peace
@samalmbise88875 жыл бұрын
Asante baba kwa elimu Mungu akubariki sana. Nmejifunza
@phanuelamas62476 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi Mungu akuinue had viwango vingine utukufu hata utukufu
@tumsimekwigizile97435 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi kwa Masomo ninayoyapata
@emmymapunda48876 жыл бұрын
Ahsante sana Mwalimu uko vizuri, nimejifunza, sanaaa,mungu mwema azidi kukubariki.
@johnsonmeleji83245 жыл бұрын
Nabarikiwa mtumish
@ndukumdachi83356 жыл бұрын
Very good teachings God bless you pastor
@bethlameck53295 жыл бұрын
mafundisho mazuri saaana,mwenye sikio na asikie
@fettyfetty60915 жыл бұрын
Barikiwa pasta , uko muazi sana hadi raha
@nyanzalakaporo42196 жыл бұрын
kweli kabisa Mwl , usafi kwa mwanamke ni jambo nzuri na lamuimu sana.
@bonavethapaulo6455 жыл бұрын
jaman masomo yako mazur mwalimu barikiwa
@rashidmatawalo39713 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema ulikuwa unamafundisho sanaa
@neemamangesho69865 жыл бұрын
Ahsante baba nakupendaga buree unatoa ukweli
@belindajulius46215 жыл бұрын
Ahsante kwa fundisho yko mazuri sana
@tvzengo20554 жыл бұрын
Safi sana kwenye mdomu umenena mchungaji
@benjaminmkango97735 жыл бұрын
Barikiwa sana pastor Mitimingi somo linabariki
@jacksondioniz34525 жыл бұрын
Barikiwa sana mwalimu maana unatujenga
@neemalucas45824 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani baba
@mungholomakalanga89585 жыл бұрын
Lazima umwanamke wangu uheshimiwe mno
@joycejumaa71815 жыл бұрын
Uwo niukweli napenda Sana mafundisho yako barikiwa
@charlesblazio35565 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@vailetmchaki19215 жыл бұрын
maneno kuntu kabisa mtumishi, kweli sijui tunaishi kwa mazoea
@luciasimaoantonio55313 жыл бұрын
Asante sana kakutupa masomo hayo mazuri
@mr.sangaellies51104 жыл бұрын
Amen baba
@lilianomlia88514 жыл бұрын
Be blessed the man of God
@amanimazengo49685 жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana kwa masomo yako mazuri
@carolynebuyas38416 жыл бұрын
asante sana kwa mafundisho yako mungu akubariki
@tabithakalani54705 жыл бұрын
hahaa ,,,,I like this one,,watching today from Kuwait city.6dec 2018 be blessed Pastor
@vitukoissa52845 жыл бұрын
Aisee yaan mtumishi nakukubali dunia nzma
@mathamalila31115 жыл бұрын
Ahsante pastor
@angelkyando19425 жыл бұрын
Sahihi kabisa mtumishi barikiwa sana
@simonlupatu88975 жыл бұрын
Ubarikiwe baba Mch
@ellumziray29526 жыл бұрын
Ni kweli kabisa pastor umesema kweli ubarikiwe
@annies.mollel87665 жыл бұрын
Barikiiwa sana
@patrickmusyoka73534 жыл бұрын
Ukweli kabisa barikiwa sana
@angelherman54645 жыл бұрын
Ahsante baba
@julytito38916 жыл бұрын
Nakukubali sana pastor barikiwe
@anasiadaud74586 жыл бұрын
Uko vizur baba
@jennlafilin22516 жыл бұрын
Hahaaaa big up Paster, I realy enjoy listening to your tutorial you so funny as well, God bless you more keep it up.
@mitimingionlinetv98966 жыл бұрын
Amen Jenn, Glory Be to God. Where are you from? Blessed
@acquelinapissa29685 жыл бұрын
Ni kweli mafanikio ya mume yanatokana na mke je kama hashauriki akipata pesa zote anahonga nje na mwanaume ukimfatilia anakuwa mbogo imean hashauriki kwa namna yoyote hapo mwanamke anatakiwa kufanya nini kama cyo kubomoa tu
@mariawanna95856 жыл бұрын
unabariki watu,ubarikiwe Pastor, (these video zatembea sana watsap inform of audio clips)
@chrispasssinkala88475 жыл бұрын
asanteeeeee
@davidsindoma94034 жыл бұрын
Ahsante
@judithcherono25955 жыл бұрын
Awesome pastor mafunzo tamu be blessed
@collethamuro89005 жыл бұрын
Uko vizur baba wambie wanawake ili tukuelewe vizuri pastor uko vizur ubarikiwe
@user-sk2xr7yv3h6 жыл бұрын
Asant Sana kwa mafunzo mazuli
@hkm21876 жыл бұрын
yaani unavyoongea hata vitabu vya dini ya Kiislam hivyo hivyo..Hakika napenda kukusikiza...Unaongea vizuri sanaa
Mtumishi naomba ushauri tafadhar kna bint ananpenda sanaa tna miaka 6 lakin mm wakat mwingne moyo wang unakuwa kama hauridhik nae na ana sifa zote za mke mwema ambazo umewah kfundisha je,,atanfaa kuwa mke wang kwa vigezo hivyooo!?
@mwasitiiddy108915 күн бұрын
@@mitimingionlinetv9896natak kitabu
@user-bb1gi2jh8x5 ай бұрын
very bad I didn't know that he is dead may his soul continue to rest in peace😢😢😢😢😢
@joywaithera6754 жыл бұрын
Kweli kabisa
@shukuruantipas87125 жыл бұрын
Kweli kiongozi
@deusmauka96265 жыл бұрын
100%.
@davidbenny51546 жыл бұрын
Mahubir mazur
@acquelinapissa29685 жыл бұрын
Ahahaha mbavu zangu mie
@umkalthaminvestment90075 жыл бұрын
Mafunzo mazuri kwa wenye kuzingatia.
@anamichal23455 жыл бұрын
Wigi kama brush la chachandu
@magnifiquentkrtmna3205 жыл бұрын
😀😂nierekeze iyoparfiumi yinunuwe
@user-sk2xr7yv3h6 жыл бұрын
Kweli baba usafi ni walazima mwanamke mazingira
@seraphinechibwana73615 жыл бұрын
Harufu mbaya inaenda mtamboni, duh!!!.
@magnifiquentkrtmna3205 жыл бұрын
😂😂😂🤣nashukuru sans ira mi nikonatuvidondo kuurimi unadawa awala
@josephjustine81884 жыл бұрын
😎😎😎
@drkaswalala6 жыл бұрын
Hata Kama hali ni ngumu kias gani mke lazima awe msafi aondoe kile kwamba nimeolewa kwa hy cna jipya! U are lost
@jescajulius80233 жыл бұрын
Wew mume ndio unachangia mwanamke kuwa msafi au mchafu
@davidbenny51546 жыл бұрын
Mchungaji nimekukubali
@trophainamagogwa99913 жыл бұрын
Alishajiondokea
@robimgesi33915 жыл бұрын
Hicho kitabu nitakipataje Niko dodoma
@kadarahbeshop54035 жыл бұрын
Hiko kitabu inapatikana wapi?
@rhinaregina58066 жыл бұрын
Hahaha mwenaume nihatari 😂😂😂
@elizabethjoseph95923 жыл бұрын
Nimekukubali nimepata mbegu mpya
@chidiboy58155 жыл бұрын
Huyu jamaa hjuwi ktu
@albertchuma43134 жыл бұрын
Kwaiyo wewe unajua nini? at least Mwenzako ni doctor wewe unakipi kwenye cv yako?
@marryjames17844 жыл бұрын
Mmh binadam jaman ww unajua nn?
@jescajulius80236 жыл бұрын
mbn wanaume hawaogi jmb
@trophainamagogwa99913 жыл бұрын
Yeye ndiye anayependa
@jescajulius80233 жыл бұрын
He! Ko ata akiwa mchafu? Na mdomo anuke ni sawa t?
@hellenjonson92475 жыл бұрын
Haaaa haaaaaaaaaaaaa
@matildalukumai65205 жыл бұрын
Uko vizuri peter ubarikiwe
@joeljoseph11245 жыл бұрын
Kazi yako njema Rev peter mitimingi ni maombi yangu kwa mungu akuinue zaidi unawafungua mama zetu,Dada zetu na wake zetu lengo kuu ni kuboresha ndoa barikiwa baba