MKASA MAUZINDE BABA AFUNGUKA YA MOYONI MWANANGU PIA NI SHOGA INANIUMA SANA NISAIDIENI.

  Рет қаралды 33,567

HABARI JAMII DIGITAL

HABARI JAMII DIGITAL

2 ай бұрын

MKASA MAUZINDE BABA AFUNGUKA YA MOYONI MWANANGU PIA NI SHOGA INANIUMA SANA NISAIDIENI.

Пікірлер: 170
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 ай бұрын
Nanimkafika chuo sasa.mauzinde we.mzee.umenunuliwa eheee mauzinde mzanzbar ww mmakonde.sijui msambaa alafu hata ujapatia kuact ujui hata umri wa mwanao hizi media hiz mshofeli
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Kapangwa huyu msambaa
@YussufPandu-es7ou
@YussufPandu-es7ou 2 ай бұрын
Sasa huyu si babaake mauzinde ,,,,nyinyi media watu wa ajabu
@teedullah5708
@teedullah5708 2 ай бұрын
Kweli c bbke huyu
@user-ow9cj2mv8b
@user-ow9cj2mv8b Ай бұрын
Sikilizeni vizuri huyu ni msambaa ila ameulizwa kunamtu amekawa masikio znz ndio akajibu auuuuuuu
@mwanaharusmohd3732
@mwanaharusmohd3732 Ай бұрын
Mzee wa kisambaa umekosa kazi Nini, muongo mkubwa we Mzee, katafute kazi
@jacklinefussy5227
@jacklinefussy5227 2 ай бұрын
Mungu alinde kizaz changu pia amsaidie uyo kijana😢
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 Ай бұрын
sio tamaa ya pesa ni trained behaviour inayofanywa na wazungu kwa siri tunatakiwa amka tupinge ushoga kwa nguvu zetu zote vinginevyo si mda tuanaangamia
@user-iy3fx7cl1j
@user-iy3fx7cl1j 2 күн бұрын
Hizi media za kibongo hazina habar za maana, utaskia diamond kajamba, sjui wema sepetu kaoga, alikiba kahara, yani mnashindwa kuwa hoji Wananchi wenye matatizo, kazi kubwa kutafuta viewers na pesa ya youtube
@officialfadhilomar5249
@officialfadhilomar5249 2 ай бұрын
😂😂😂mbona baba km msambaa Wanangu huyu baba mmemtengeneza.....bila D mbili huez elewa
@stanastana3199
@stanastana3199 Ай бұрын
😂😂😂 ausio baba wa mchongo
@sajdahsalum267
@sajdahsalum267 Ай бұрын
Aweeeeee😂 sio kwel
@sajdahsalum267
@sajdahsalum267 Ай бұрын
Ni kweli ni msambaaa😂😂😂😂
@user-tb3hi9he5f
@user-tb3hi9he5f Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@RiamiAli-dv5cl
@RiamiAli-dv5cl 2 ай бұрын
Bila D huwezi kuelwa kw baba wa mau 😂😂😂😂😂
@MsJabalkiss
@MsJabalkiss Ай бұрын
Hichi sio kiswahili cha kwetu zanzibar huyu wa mchongo wala mavazi hayo hatuvai kama jinga😂😂😂
@NahirSaid-wj6ux
@NahirSaid-wj6ux 2 ай бұрын
Muongo sie baba mauzinde anao ndugu, halafu baba yake ni shekh.
@nassorali1034
@nassorali1034 Ай бұрын
Inshaalla Allah atakujaalia uwe namtto msenge kumanina zenu siunaomba basi utapata subiri kidogo tu Ila sio tusotaka Allah atunusuru kuwa na watto km hao
@user-mk8ph8qc9k
@user-mk8ph8qc9k 2 ай бұрын
Uyo sio baba ake mauzinde
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 2 ай бұрын
Ni kweli huyu si baba mauzinde hana lafudhi hata moja ya kinzanibar na mau mara ya mwisho kasema ana 30 na mau ana sister zake
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt Ай бұрын
Yuko kama mzaramo au mmakonde sio babake 😅😅😅😅😂😂😂
@jasmintanga2474
@jasmintanga2474 Ай бұрын
Mwanzo na mwisho leo kuangalia habari jamii hua hamjui tu kama mnajiharibia wenyew media zenu hivi leo ukituma uongo kama huu mtu akaona kabisa kwamba mnaongopa ili tu watu waangalie unafikiri siku nyingine mtu akiiona hii media ataangalia tena hata km habar za ukweli? Acheni tamaa postin vitu halisia kama rizki mtapata tu
@R10_Rajab
@R10_Rajab Ай бұрын
Hizo ndio Media za Tanganyika wakipewa pesa kidogo tu wanamchafua mtu yaani habari za maana hawana wao ni Ungese tu..
@fatmahassan7467
@fatmahassan7467 16 күн бұрын
Jamani yeye hajasema baba yake mauzinde, yeye mtoto wake ni mwengne, sema waandishi ndo wameandka kuvuta watu
@SaadiyaMohammad-og5bg
@SaadiyaMohammad-og5bg Ай бұрын
Baba zidisha maombia mungu atamuongoza usikatea tamaa mungu nimkubwa kweli yaumaa
@salummussa1139
@salummussa1139 2 ай бұрын
Umefanana nae mwanao lakini nyote ni mapapai
@pataniabdallah9578
@pataniabdallah9578 2 ай бұрын
Mzee msambaaa wa mtae😂😂😂😂😂
@hollymore4904
@hollymore4904 2 ай бұрын
😂😂😂mzee anaongea aibu anaona yeye anataman kujicheka uwongo wake
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 ай бұрын
Huyo baba mwenyewe naona km hao anaowasema😂😂😂
@saidaakili105
@saidaakili105 25 күн бұрын
Ndy😂
@salahhddindasuvic6447
@salahhddindasuvic6447 2 ай бұрын
Dah
@lizzybrownlizzy6094
@lizzybrownlizzy6094 Ай бұрын
we mtangazaji kuma sana, mm ni jirani wa babake mau zinde anaishi kianga unguja
@hatimmohamed4299
@hatimmohamed4299 Ай бұрын
Kweli bwege sana huyu, sie baba yake huyu, halafu mauzinde hajazaliwa peke yake kwao, wacheni kutafuta viewers. Habari Jamii waongo
@yunushaji5327
@yunushaji5327 Ай бұрын
Kweli yupo Kianga. Alikuwa anauza hapo sokoni Kwa Haji- Tumbo. Babake Mi class mate wangu. Anaitwa Hussein Abdalla. Na Babu yake alikuwa anakaanga Samaki.
@husseinshenkawa7484
@husseinshenkawa7484 Ай бұрын
Ácha uongo babu mauzinde Anakaa raha leo
@jenipherelias4838
@jenipherelias4838 2 ай бұрын
Acha uongo mzee sio mwanao njaa itakuua
@salhkasmm558
@salhkasmm558 Ай бұрын
Yy anasemea mwanawe sio mauzinde
@kilungumsabaha3891
@kilungumsabaha3891 2 ай бұрын
Liongo hili libaba😂
@pataniabdallah9578
@pataniabdallah9578 2 ай бұрын
Mgosi iweee💃💃💃😂😂😂😂
@SalhasaidMsellem
@SalhasaidMsellem 2 ай бұрын
KAMA MWANAO BONA UNACHEKA CHEKA MITIHANI TU HII Y M.MUNGU ATUHIFADHIE WATT WETU
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 2 ай бұрын
Shemahonge wee msambaa bwana matamshi mkaza mwana
@fundibombazanzbar5717
@fundibombazanzbar5717 Ай бұрын
Hhhh
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 2 ай бұрын
Acheni upumbavu nyinyi kumbe nyinyi.midia wapuuzu kuputiliza hutu sio baba wala jamaa wa mauzinde na mau wapo watatu kwao baba mmoja mama mmoja au zaid
@HABARIJAMIIDIGITAL
@HABARIJAMIIDIGITAL 2 ай бұрын
Sasa wewe aliyekuambia huyo ni baba wa mauzinde nani,tatizo hujasikiliza interview mpka mwisho unaanza kulalamika
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l Ай бұрын
Mtanganyika kashiba mihogo
@user-ib8vo3qb4c
@user-ib8vo3qb4c Ай бұрын
Baba wa mchongo hata umri WA mtoto wake haujui vizuri heti ana miaka kama ishirinatano thelathini hivi na hata UCHUNGU Hana ana chekacheka mmmmm njaa kali
@KhalidAli-nk5qh
@KhalidAli-nk5qh 2 ай бұрын
Huyu muongo mzandik
@KhamisMnemale
@KhamisMnemale Ай бұрын
Ila hizi kiki nyengine hovyoo kabisa Mau Zinde si mpemba mbona huyu kama mnyasa🤣
@maxneemanngunda4911
@maxneemanngunda4911 2 ай бұрын
Nilkuaga nime subscribe hii media lkn naomba niwablock, mana kila siku habar za kisengesenge ndo mnaona vya maana
@MTANGACOMEDYTZ
@MTANGACOMEDYTZ 2 ай бұрын
We nae acha usenge wako hapa kama unataka taharifa za vifo si uende tbc huko
@MwantumuJuma-sp5rk
@MwantumuJuma-sp5rk Ай бұрын
Mungu amuepushie huy kijana
@user-no7vx6vk4j
@user-no7vx6vk4j 2 ай бұрын
Acheni ujinga huo Musichafue Media kwa habari za uongo.....vijana wa bongo acheni kuigiza ujinga
@salhkasmm558
@salhkasmm558 Ай бұрын
Hamjamfahamu huyu baba anataka ushauri wamwanawe yupo kama mau.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Lisemwalo lipo hamjasikia mwkiembe uchunguz,wk,hd kapeleka Bungeni,n hk shuleni,huyo Mzee anaongea kweli,
@davidbandajr3444
@davidbandajr3444 2 ай бұрын
Yesu Ndiye awezae kutuokoa
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 2 ай бұрын
tunangojea
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 2 ай бұрын
​@@MohamedIbrahim-bn1gz wee endelea kumngojea mtume YESU hakuhusu 😏😏😏
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 2 ай бұрын
Hali ni mbaya huko Makabisani ogopa sana
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 2 ай бұрын
@@BrunoNamanga kwani kaongelea habali zaka nisa au YESU
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 2 ай бұрын
😂😂😂😂yan huyo baba daa nishida
@MwigaAdam
@MwigaAdam Ай бұрын
Si baba wa Mauzinde sie kabisa huyu ni mtu kutoka bara matamshi tu
@fatmamuhammed9713
@fatmamuhammed9713 2 ай бұрын
Msaada omba kwa ALLAH mjinga ww
@aminasoud7797
@aminasoud7797 2 ай бұрын
Acheni uongo sio baba ake
@salmakibwana3367
@salmakibwana3367 Ай бұрын
Sio mwanao mauzinde acha kutafuta kiki 😂😂😂
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Hakuna ki2 km hicho,mxaxi mchongo,anakusaidia kwa kukuvua suruali,wewe mwenyewe umekaa kisengesenge.
@kamalbashir5127
@kamalbashir5127 2 ай бұрын
Acheni huu ujinga'mnawafundisha nn watoto? Huyu mzee si mzanzibar 'mau ni mzanzibar. Acheni fakes news
@christinashaban7262
@christinashaban7262 25 күн бұрын
Zee jinga na anaekuhoji pia jinga kubwa
@mbaroukally8655
@mbaroukally8655 2 ай бұрын
Huyo so baake,si ni mtwana mmemuokota wapi
@moseskillagane160
@moseskillagane160 2 ай бұрын
Kwanini mnaleta masihala kwenye hii taaruma nyie acheni kuchezea taaruma za watu
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Ай бұрын
Kwanza mtuzima haitwi muonga sna kitendo cha kusema ana mtoto moja tu ni uwongo mkubwa haon hata aibu ukimuangalia macho tu unaona huyu mzee sie😂😂😂😂
@user-yc6ri5jz9r
@user-yc6ri5jz9r Ай бұрын
Its pain
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 17 күн бұрын
Wala hainogi anaweza akawa baba yk sio hoja wamakonde Zanzibar wamejaa mpk kuzaa huko huko wamezaa mbona mpk wamekuwa wenyeji na wamachinga
@HamidakomboKombo-xs2ju
@HamidakomboKombo-xs2ju 21 күн бұрын
Kwanza huyo mauzinde babaake kasema amefariki sasa wewe uetokea wapi tena? Na mauzinde kashawahi kuoa kamuacha wewe baba tuambie ukweli,karibuni tu alikua anagombea urithi wa babaake. Mpaka akafukuzwa na dadazake ndani ya nyumba.kah ww baba
@duskodalla7117
@duskodalla7117 17 күн бұрын
Sio baba yake mauzinde
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 2 ай бұрын
Kijana Wako anataka matibabu
@HaroubAbdallah
@HaroubAbdallah 2 ай бұрын
Hahaha, huu mtihani kwanini sasa anafanya ivi nayeye mtu mzima
@mawlodafarida
@mawlodafarida Ай бұрын
😂😂😂😂😂huy bba wamchngo
@MetodiDominiko
@MetodiDominiko Ай бұрын
Wemuongo
@rahmarashid1670
@rahmarashid1670 Ай бұрын
We mzee huoni vibaya kusema uwongo
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Ай бұрын
Hizi media nyingne za kisenge sana baba mtu anaonge kinyamwezi huyo shoga anaedai mwanawe ni mzanzibar .achani kutumalizia bando zetu uwongo2 huyu mzee amepangwa
@mengikiguruwe6750
@mengikiguruwe6750 Ай бұрын
Huyu baba mwenyewe anaonekana mhusika mkuu wa kuharibika kwa kijana
@adievega1933
@adievega1933 Ай бұрын
Huyu sio bab wa kutunga kweli
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 ай бұрын
Mau ni MVP wa mashoga wa TZ
@AshfaynaAli
@AshfaynaAli Ай бұрын
Haach Tena uyo ashanogewa
@GfgGgg-sc2uy
@GfgGgg-sc2uy 2 ай бұрын
wewe Babu muongo huyu simwanao mtangazaji wewe mpuuzi mauzinde Hana mama huyu Babu ana cheke😂😂😂
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
MZEE SUBILI MATUSI YA NGUONI NA KUPANGWA KUPEWA PESA KIDOGO UTAJUTA MATUSI UTAKAYOPOKEA 😂😂😂
@user-wc3yh9ct3z
@user-wc3yh9ct3z 2 ай бұрын
Sema nn ww mzee mm nakujua muuza kahawa tabata msimbazi wa huna mtoto acha njaa huu ni uongo
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 ай бұрын
Huyo mauzinde kafika chuo 😂
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@ibrahimmagere5545
@ibrahimmagere5545 2 ай бұрын
Huyu si baba ni wajinga wachache tu wanaopangwa
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 2 ай бұрын
Subiri yakukute tuulize sisi haya mambouyasikie tu
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 2 ай бұрын
Nilizika mwanangu sintosahau miaka 27
@prezgal8869
@prezgal8869 2 ай бұрын
​@@BrunoNamangaalipatwa na nini?
@user-ds6me1eh7n
@user-ds6me1eh7n Ай бұрын
Unataka kufirwa tu na wewe kumanina😂😂
@khadijasaid4983
@khadijasaid4983 Ай бұрын
Huyu sio baba yake mau wapuuzi nyie
@adamjonasi8078
@adamjonasi8078 2 ай бұрын
Sijui mnapata faida gani kuleta content za uongo, tutaanza kuwaripoti sasa
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Ай бұрын
Sie baba ake mauzinde ovyoooo
@LatifaTwaha-nm3tg
@LatifaTwaha-nm3tg Ай бұрын
Mshmba sanaaaaa hata kuvaaa hajui
@HamidakomboKombo-xs2ju
@HamidakomboKombo-xs2ju 21 күн бұрын
Mm nataka akuchambe wewe mzee mpaka ukome.juzi alikua na dua ya babaake. Hanaelimu kubwa mauzinde, tena umuache mama wa watu, siomkeo.
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 ай бұрын
Hakuna mzazi mwenye akili timamu awezae kufanya huu ujinga kwa waandishi wa habari la sivyo nayeye anapakuliwa
@ZuberSalum-mq4jy
@ZuberSalum-mq4jy 2 ай бұрын
Wasenge wachen ujinga tunapotezana msaada akamfile mwenyewe au fila neni nyie wawili ili mjue nn kinampoteza
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o Ай бұрын
Kama umegundua ni BABA WA MCHONGO .WEKA LIKE TWENDE SAWA📌
@muhammadjuma8457
@muhammadjuma8457 2 ай бұрын
IYO TV YENU HAINA MAANA ATA KIDO YA KUFUNGIWA KABISA KUANZIA LEO TV SIIKUBALI TENA
@tatoo0098
@tatoo0098 2 ай бұрын
Huyu sio babaake mau bwana 😢niwaongo 😮
@USACAUDIOVISUALMATERIALS
@USACAUDIOVISUALMATERIALS Ай бұрын
MAUZINDE NA MSAMBAA WAPI NA WAPI? HAMJUI HATA KUDANGANYA. HALAFU MZEE ANAONGEA HAWEZI HATA KUIGIZA HUZUNI😂😂😂😂😂
@stonetown578
@stonetown578 2 ай бұрын
Mpumbavu wa maisha njaa itakuuwa.
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Ай бұрын
Eti mwandishj wa habari hapo utanisaidia vipi??2
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
Sidhani kama ungekuwa mwanao kama ungeweza kuwa hapo dhahir
@Sasasa-bl2qc
@Sasasa-bl2qc Ай бұрын
Lakin na wewe hukuharibu watoto wa wenzio ktk ujana wako, hebu jitafakari,? Kwani malipo ni hapa hapaaaaa
@rastapeace9616
@rastapeace9616 2 ай бұрын
Huyu baba yake wa mchongo na yeye naona Kama shoga mwenzake duuh anataka kiki
@rahmarashid1670
@rahmarashid1670 Ай бұрын
Waongo kabisa huyo sio babaake kabisa jamani mnachuma dhambi
@Shamun-u9r
@Shamun-u9r 26 күн бұрын
Wewe baba auko siliadhi mbona
@keemome158
@keemome158 Ай бұрын
mnatudanganya
@adievega1933
@adievega1933 Ай бұрын
Mbona kama uongo 😂😂😂 kutia aibu kweli anatia ila sio baba wa ukweli
@user-sp2fq5xu6v
@user-sp2fq5xu6v 2 ай бұрын
Yaani usaidiwe na mwandishi
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 ай бұрын
Sio baba mauzinde ana ndugu wengi na dada anayo
@salhkasmm558
@salhkasmm558 Ай бұрын
Mau ni mfano wa mwanawe anaombaushauri Mumbai mumsaidie amfanye nini
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Hiyu sio baba yake mau jomon uongo mtupu
@selinakatega6691
@selinakatega6691 2 ай бұрын
Bado nalijadili hilo koti la mmiliki wa magali Halafu huyu baba nae upinde
@halimamremi5375
@halimamremi5375 Ай бұрын
MBONA KM UNAONGEA HUNA UCHUNGU KM UNACHEKA BALADA YA KULIAA!!😢
@user-me5jv4fq4c
@user-me5jv4fq4c Ай бұрын
Kitu kinacho sababisha ni utandawazi vitu vya kuleta hisia ni vingi na waziwazi watoto wanaona na kuiga
@user-rt7hr4ey2q
@user-rt7hr4ey2q 2 ай бұрын
Acheni uongo nyinyi huyu masi kabisa ungoooo
@stanastana3199
@stanastana3199 Ай бұрын
Baba wa mchongo 😂😂😂
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 Ай бұрын
Mh pesa mbaya mpaka mtu mzima anakuwa msanii kama hivi taii. Koti tajiri msambaaaaa
@healingsschool4630
@healingsschool4630 2 ай бұрын
Anatakiwa delvarence mlete Kanisani Hakuna lisilowezekana
@wanimzur5597
@wanimzur5597 2 ай бұрын
huyu ni mtu mzima lakini kwa kwetu humwita mtu mzima ovyooooo
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 ай бұрын
Chanel za kisenge
@omanoman2044
@omanoman2044 Ай бұрын
Sasa huyu nimzazi kweli am ni punguwan san jinga san wallah huyu ni mtuy wa unguja kweli hata ongea yake ya bara duuh
@wanimzur5597
@wanimzur5597 2 ай бұрын
mtu mzima unasema uongo mchana lohh
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Anatoa siri angemuonya kimya kimya anamtangaza mjinga mkubwa
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 72 МЛН
PROFESA KAPUYA : KULA BATA, WALISEMA NITAIIUZA NCHI, AKUDO IMPACT INARUDI
10:15
The Story Book : Usiyoyajua Kuhusu Jua
26:54
Wasafi Media
Рет қаралды 922 М.
Ali Karume Ccm Wamesahau Mema Yangu
7:56
Anania Junior
Рет қаралды 7 М.
ZANZIBAR ,MKASA WA KUSIKITISA MVUVI ALIYEKUTANA MCHAWI MZITO BAHARINI.
21:36
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 148 М.
🔴#LIVE: JANA NA LEO NDANI YA | WASAFI FM | 4th JUNE 2024
2:31:39
Wasafi Media
Рет қаралды 18 М.
MTANZANIA:UBAGUZI OMANI NIMEFANYISHWA MAPENZI NA VICHAA WATOTO WA BOSS WANGU.
23:51
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 72 МЛН