MKASA WA KUTISHA KUHUSU MTOTO ANAETOA MOTO MWILINI MWAKE HUKO PEMBA ”MPAKA MSIKITINI"

  Рет қаралды 321,982

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

3 жыл бұрын

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
cc: Maryam Busara
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 709
@bijumafundi1737
@bijumafundi1737 3 жыл бұрын
Hakuna kubwa kwa Allah Na Mithihani tumeumbiwa sisi wanadamu QURAN Ndio DAWA!! Inshallah!! Poleni
@biramsakh9212
@biramsakh9212 3 жыл бұрын
Ni matatizo tena Makubwa maskini wee Allah awaondolee Ya Rabbi amin amin
@mwanamisakulembwa1147
@mwanamisakulembwa1147 3 жыл бұрын
Namuomba Allah akufanyie wepesi kwenye uzito huo..minkulu hasidin..minkulu Sahirin ..minkulu ainin Ameen yarabil alameen.
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 3 жыл бұрын
Huyo Mlevi Allah amuongeze Inshallah manake imani yake ni nnzuri kuliko hao wasio kuwa walevi walio mfungua kwenye banda la makuti ili moto uwake afe kabisa, ubainaadamu kazi
@mudigames5479
@mudigames5479 3 жыл бұрын
Pengine ni Neema iyo Mungu amemtunuku na Anataka kuionesha Nguvu zake kupitia kwake Ila Tu inatakiwa ishuhulikiwe kuwekwa Katika utaratibu wake..SUPER POWER HUMAN ARE REAL..Sio Spiderman or Superman peke yao, insha'Allah atasaidia 🙏
@benitamusembi9278
@benitamusembi9278 3 жыл бұрын
Wooiih najua imaniyenu nitofauti na yetu sisi wakrhisto, lakini ninasho jua Mungu nimoja, Mungu ulie mbinguni msaindie Mtoto huyu anateseka, Hana makosa ni shetani na hashindwe katika njina la Yesu krhistu amen amen amen kilakitu kitakua sawa, nimetokea Kenya
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 3 жыл бұрын
Hakuna mtu Anayewaka moto, Mpelekeni kwenye Maombi, Mapepo hayo sio Moto.
@asfarsham9037
@asfarsham9037 3 жыл бұрын
Nchi yangu maskeen.kila siku majanga.Ndugu zanguni kwa pamoja tumrudieni Allah tumuombe msamaha.
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 3 жыл бұрын
Kila pahali wekeni ayatulkusiyu kwenye nyumba yako. Ikisha yachukue maji uyasome umpe anywe au msomee ruqia nzuri sana itaondoka ni hasad hizo.
@biramsakh9212
@biramsakh9212 3 жыл бұрын
Uhasid hee loo Hasbiallah waniimat lwakiyl Allah awaondoshee mtihan huo
@user-md1os3ye2g
@user-md1os3ye2g
Polesana yupo mmojatu anayeweza kumponya naye ni Yesu kristu. Mwana wa Mungu aliehai. Mpeleke kwenye kanisala Efatha Zanzibar. Naye atakutanana Mungu huko atamponya Amen
@mohamadmaulidngava1510
@mohamadmaulidngava1510 3 жыл бұрын
Poleni sana.Mungu yupo kila lenye mwanzo halikosi mwisho.
@amenaallahawazidishieumrin6235
@amenaallahawazidishieumrin6235 3 жыл бұрын
Ishallah ALLAH atakusaidi mola hatupi mja wake cha msingi usitoke kwenye I'm an yako ukaenda kwa kumshirikisha mola dua na visomo vya ruqya
@happyamos5258
@happyamos5258 2 жыл бұрын
Ni Yesu tu anaweza kumponya kutoka hayo makini na mapepo. Mpelekeni katika kanisa linaloamini wokovu ataombewa na kufunguliwa Kwa Jina la Yesu.
@sharifachepchirchir8863
@sharifachepchirchir8863 2 жыл бұрын
Yaa Allah 🙏 nakuomba wafanyie wepesi familia hii.🇰🇪 😭😭
@fatmaabdalla8543
@fatmaabdalla8543 3 жыл бұрын
Mshitakie Mwenyezi Mungu yy pekee ndie alie na uwezo. Mbele ya Mungu hakuna lisiloshindikana. Pole sana Dada Allah ndie muweza wa yote
@fatmaabdalla8543
@fatmaabdalla8543 3 жыл бұрын
Kilio chako Allah kashakisikia na imani yangu inanambia yatakwisha hayo, pole sana
@hawa-luumiwrty3144
@hawa-luumiwrty3144 3 жыл бұрын
SUBUHANALLAH🙏, MWENYEZI MUNGU AMSAIDIYE
@alisalum7036
@alisalum7036 3 жыл бұрын
Una sifa za kua mama Bora Allah akuzidshie mama na awafanyie wepes
@yusrakhamis9109
@yusrakhamis9109 3 жыл бұрын
SUBHANALLAH 😔😔😔Imeniuma sanaa ..... nawaza jee ingekua ni upnde wangu hiki kituu YAA RABBI WASAIDIE WAJAWAKOO 😭😭😭😭😭😭😭,Natamani ningekua nawez kumsaidia😪
HUEZI AMINI KILICHOMKUTA KIJANA ALIEPOTEA BAHARINI MASAA 98
28:06
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 607 М.
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 16 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 91 МЛН
MTAA WAVAMIWA NA WAHUNI "WAKILIPIZA KISASI" CHA RAIS WAO
9:59
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 95 М.
ALIEKUA KWENYE MAPENZI NA JINNI,AHADITHIA MWANZO MWISHO
26:03
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 1,2 МЛН
#BINTI MDOGO NA MAAJABU MAKUBWA ZANZIBAR
7:10
IsleBlogTv
Рет қаралды 2,5 М.
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 16 МЛН