Big up ...Chief Kiumbe Allah akuzidishie moyo huo huo wa Imani In shaa Allah.
@nikodemuschacha10 жыл бұрын
Cjaielewa hii interview.....cjaelewa y chief alikuja apo..hajajibu maswali kabisa n salama subrn mtu amalize kujibu mckurupuke kuuliza
@ishakuatabu10 жыл бұрын
Mahojiano Mazuri Sana :-) Mola Awabariki nyote na Chifu advice Nzuri Sana Sana Mwisho, Shukran Sana
@babangidambonimpa4646 жыл бұрын
bien cette interview est hyper canon je vous kiffe Salama
@loner_wolf5 ай бұрын
Dar huyo Suleyman.Kumcha ni kaka yangu , kama unamjua bro Seleman kweli ww mwana lake zone . Kumcha ni hatari sana , alikuwa anatudanganya tutakuwa maninja tunampukuchulia mahindi 😅😅😅😅😅
@FahadAbubakari4 ай бұрын
Kumcha sensei mtu mbaya
@mohdyussah8256 жыл бұрын
Salama umenichekesha sana chief asikutishe sio Hahahaha Chief unajibu vizuri sana
@Jessiefrank8725 жыл бұрын
Haaaa chief kiumbe! Nakujua team ya mtem zumbeee
@k-lama212010 жыл бұрын
The big boss ryt thea
@fadhilirajabu440010 жыл бұрын
wema nakukubali sana yaani one day tutaonana my frnd love u
@mamapanya9807 Жыл бұрын
Mpka mesa unga unaujua😅😅😅😅🤣🤣😂😂 mustache unga
@sallygoldwawatu43726 жыл бұрын
Big up my kihumbe Mohamed
@babyskk42110 жыл бұрын
mbona hajajibu kaupataje utajiri wake,salama umeuliza swali hajajibu mkadakia muwe munaheshimu nakusubiri mtu ajibu mnaona sasa hatujajua kapataje utajiri wake
@rabsonchisumo66403 жыл бұрын
Salama kamuelewa
@colds97210 жыл бұрын
Nice one
@aysherkabby593710 жыл бұрын
wee John uwe unawacha mtu anajibu swali ndio umuulize tena swali
@thabithamis891810 жыл бұрын
NIMEPENDA HAPO CHIEF ULIPOMWAMBIA SALAMA HATA WEE ULIKUA UNAFANYA!!!!!