MKE WA MWIJAKU AFUNGUKA MAISHA YA NDOA/MENINA NI MDOGO WANGU/TULIJENGA TUKAACHA

  Рет қаралды 56,951

ZamaradiTV

ZamaradiTV

7 ай бұрын

Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZfaq channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Пікірлер: 96
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 7 ай бұрын
Mwijaku unamke...Hongera Kaka...anajua kujibu unajua kujieleza Dada...shikilia hapo hapo...❤
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 7 ай бұрын
Yaan Tz jifanye taila ili utoboe🎉❤yaan mwijaku kuna wa2 huwa wanampa maokoto kama chizi kumbe wengne anawazdi mafanikio duh😂❤❤hongera sana washakusema sana leo umetufunga mdomo 🤐🤐Allah awabariki katika ndoa yenu na kazi zenu🤲🤲🙏🙏
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 7 ай бұрын
Kabisa yaan 😅😅😅suprise kubwa mno
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 7 ай бұрын
Mashallah mabrouq mwijaku😅❤🎉Una mke mzur, mstaarabu
@hamisiomari7624
@hamisiomari7624 7 ай бұрын
Mwandishi upo vizur sana kwenye kaz yako hongera kk
@omanmct135
@omanmct135 7 ай бұрын
Mashalllah❤❤❤❤
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 7 ай бұрын
Mashallah dada mpole wewe mhhh hongera sana
@user-el8gu5bs3u
@user-el8gu5bs3u 7 ай бұрын
Swalehe unacontent nzuri sana ya kuhoji congratulations broo🎉❤
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 7 ай бұрын
Nimekupenda dada mpole pia unajielewa hongera xana Mungu azidi kuitunza ndoa yako
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 7 ай бұрын
Hongera dada beauty with brain ❤❤❤ strong woman
@julianapeason6254
@julianapeason6254 6 ай бұрын
Not only beauty with brain huyo ni CPA(T), iyo inaitwa weka mbali na watoto, na ni mchaga
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 7 ай бұрын
Huyu mtangazaji sijui anataka jibu gani wanapendana kikweli sio zuchu huyo
@user-dz5jc6pp8e
@user-dz5jc6pp8e 7 ай бұрын
Sauti km Aisha mashauzi
@rajabukude-pi6mf
@rajabukude-pi6mf 7 ай бұрын
NICE 👍
@user-ih4rt6cw3p
@user-ih4rt6cw3p 7 ай бұрын
Dada hakika unajielewa sana Sina mengi hongera sana
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 7 ай бұрын
Natamani siku Mathias ahojiwe
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 7 ай бұрын
🔥🤝
@user-cd8ge8mx7p
@user-cd8ge8mx7p 7 ай бұрын
❤❤mke wa mwijaku
@husseinjongo7588
@husseinjongo7588 7 ай бұрын
Ana akili sana💪
@zoab2699
@zoab2699 7 ай бұрын
Mashallah dada mstarabu si kama dada zetu hawaa
@mwajumakitoro8582
@mwajumakitoro8582 7 ай бұрын
Ongezeni watoto mpo poa sana hàdi raha
@user-yp5wq9ow5o
@user-yp5wq9ow5o 7 ай бұрын
hongereni sn kwel uvumilivu unsitajika kwenye maixhs
@TheSalma1999
@TheSalma1999 7 ай бұрын
Natamani huyu dada angekuwa rafiki yangu tufanye wote mambo ya maendeleo nimemu admire mno I wish angekuwa rafiki yangu hongereni sana hapa kazi tu
@salmamussa8240
@salmamussa8240 7 ай бұрын
Niwe mim rafik yako wajina
@Zainab_salat
@Zainab_salat 7 ай бұрын
Urafiki unakuja na kuondoka siku hizi hakuna. Urafiki wa ukweli wengi ni wanafki. Siri zako unakaa nayo mwenyewe na mungu
@HalimaJuma-de5gc
@HalimaJuma-de5gc 7 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@user-wy4fv9vd7w
@user-wy4fv9vd7w 7 ай бұрын
wewe ni mwamke wa kipekee hongera dada
@shabanmakata7329
@shabanmakata7329 5 ай бұрын
Mwijaku amepata mke muelewa xana mungu amibariki inshallah
@user-wf2ni5yl1h
@user-wf2ni5yl1h 6 ай бұрын
Nipenda alivyosema sitaki mtu amuelezee mume wangu nimeenda sana kwann mtu amuelezee mume wangu
@RandB_Channel
@RandB_Channel 7 ай бұрын
Mwijakuw si basi umuzalishe mkewo starehe hazina mwisho
@faridadumasalhathoseni
@faridadumasalhathoseni 6 ай бұрын
Mke anae na mwijaku anaakiri sana
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 7 ай бұрын
Kajibu vizur kwenye swari la menina kajibu vizur sana
@fahyma46
@fahyma46 7 ай бұрын
W❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@Official83640
@Official83640 7 ай бұрын
Hivi huyu c ndy alikuwa miss Shinyanga alizaa na Elli Kingu Mbunge au sio huyu?
@badifundi6089
@badifundi6089 7 ай бұрын
Alizaa na babangu uyu
@Official83640
@Official83640 7 ай бұрын
@@badifundi6089 Baba yupi?
@user-vj7fx4bh2t
@user-vj7fx4bh2t 7 ай бұрын
Mtangazaji Hajui kuongea
@Zainab_salat
@Zainab_salat 7 ай бұрын
Anajua kuongea kwani yy ni mtoto
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 7 ай бұрын
Umewakomesha mashabiki sasa ndo nini tulikuwa tunakuonea huruma kumbe unaenjoi umetukomesha mama
@ummahmed3354
@ummahmed3354 7 ай бұрын
Allah awape ndoa imara na yenye mafanikio...
@Zainab_salat
@Zainab_salat 7 ай бұрын
Ameen
@daimondelfina5689
@daimondelfina5689 6 ай бұрын
Kwa mfano mimi ndo Mama yake huyu binti,siku yamshinde afu aje kwangu kuniulizia mama mama nishauri😏yaani unajitapa kwenye mitandao hakuna anaweza documents kuhusu mume wangu NOT EVEN MY PARENTS 😳😳😳 siku akina na shida zake za ulimwengu wa ndoa unamkumbusha tu,I HAVE NOTHING TO SAY,or simply NO COMMENT😂😂😂
@user-qn2hq1nb2b
@user-qn2hq1nb2b 6 ай бұрын
Hivi wamezaa mtoto?
@IshaManugwa
@IshaManugwa 7 ай бұрын
Swalehe zamu ya maisha yko
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg 7 ай бұрын
😂😂nani ata muhoji
@WemaOmary-of6to
@WemaOmary-of6to 6 ай бұрын
Atamuhoji mzeee wa ngengaa😂😂😂😂😂
@Jamila-cz5ge
@Jamila-cz5ge 7 ай бұрын
Hiyo cio ndoa mlinyonga kisha mkachinja mwaishi kimada tu.
@Lu-zw9we
@Lu-zw9we 7 ай бұрын
Huyo mwijaku mbona mke wake katoboa ulimi kama malaya .
@mamodelmam
@mamodelmam 7 ай бұрын
Kila mtu na starehe zake na ww heee! Kama mumewe ndo kampeleka kutobolewa
@badifundi6089
@badifundi6089 7 ай бұрын
Mpaka mtu anafanya kitu na yuko kwenye ndoa hio sio Shida ya waja tena ata atoboe kisigino maadam mumewe amependa ww shida iko API..ndo maana mwana FA alisema usihuku sio Kazi yako we ni mwenzangu na mm na Una dhambi kama mm😂😂
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 7 ай бұрын
Ni urembo wa mwanmke kwa mme wake
@ummuadam2423
@ummuadam2423 7 ай бұрын
Na mtoto ni mmoja, miaka 9 na 5 ndoa😮
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 7 ай бұрын
Wazae na wengine wafike wannnne
@user-qn2hq1nb2b
@user-qn2hq1nb2b 6 ай бұрын
Hujaelewa jumla wana miaka14 kwhy ni hak kuw na mtoto wa miaka 9
@KibiduGeorge-kv2mr
@KibiduGeorge-kv2mr 7 ай бұрын
btts
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 7 ай бұрын
Daaaaaa UVUMILIVU unao dada miaka 9 kwenye mausiano ndoa miaka5 unastahiri maua yako
@fatmamansour676
@fatmamansour676 7 ай бұрын
Ndoa subra tu mmi uchumba miaka 5 ndoa naingia miaka 12 na mtto Wa mwanzo jana kaingia miaka 11 tena nimeishiwa mbali na mume miaka 7 sahv Ndo tupo pamoja ni miaka 4
@sophsoph4740
@sophsoph4740 7 ай бұрын
​@fatmamansouru676 umeishi na mmeo miak 7 mbali ulikua wap
@Kabwela776
@Kabwela776 7 ай бұрын
Mara nyingi mke anayesamehe usaliti wa mume wake ujue na yeye mke ana tabia za usaliti kwenye ndoa yake.
@HhhTt-vl9ct
@HhhTt-vl9ct 7 ай бұрын
Sio kweli hayo ni maoni yko
@Kabwela776
@Kabwela776 7 ай бұрын
@@HhhTt-vl9ct ndio Iko hivyo ukiwa msaliti utaweza kusamehe ule uchafu wa Mwijaku wa video za porno na hukute mume wa huyo menina alikuwa anamfira mke wa mwinjaku kwa hiyo wote watu wa kuchepuka
@Zainab_salat
@Zainab_salat 7 ай бұрын
​@@Kabwela776ninacheka translate to English 😂😂😂😂Kiswahili kwa English unacheka
@user-vj7fx4bh2t
@user-vj7fx4bh2t 7 ай бұрын
Mtangazaji huyu hajuagi Kuhoji
@HhhTt-vl9ct
@HhhTt-vl9ct 7 ай бұрын
Ingekuwa wewe ungehoji maswali gani?
@user-zi3lo4yp4x
@user-zi3lo4yp4x 7 ай бұрын
Mumeo. Achae mdomo🎉
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 6 ай бұрын
ndio kazi yake😅
@aktwabimuli2511
@aktwabimuli2511 7 ай бұрын
Wadada wa siku hzi mapenzi leo kesho kutwa mnataka ndoa dada alivumilia ndani ya miaka 9
@khadijerabdallah8703
@khadijerabdallah8703 7 ай бұрын
Ni bahati tu Maan Ata mim nilivumilia miaka 9 Mwaka Huu ingekuw wa 10 Lakin Mwaka 2023 Tena mwishoni kabisa Ameniacha bila Sababu ya Aina yoyote Tulianza mahusiano nikiwa na Miaka 18 Anakuja kuniacha na Miaka 26
@gracepatric4371
@gracepatric4371 7 ай бұрын
Duuu pole mahi
@aktwabimuli2511
@aktwabimuli2511 7 ай бұрын
​@@khadijerabdallah8703pole sana kwahiyo hauna mchumba 😂😂😂
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 7 ай бұрын
Kweli ni bahati mana mi sijakaa kwenye mahusiano na mume wangu kaja kwetu kaniowa na tupo mwaka wa 28 na km tumeowana jana life is good ..alhamdulillah fresh tu​@@khadijerabdallah8703
@user-fo2on5rg6t
@user-fo2on5rg6t 7 ай бұрын
Miaka yote hyo lihusianoo​@@khadijerabdallah8703
@user-zi7vp7wy1v
@user-zi7vp7wy1v 6 ай бұрын
Manywele funika
@RandB_Channel
@RandB_Channel 7 ай бұрын
Hawezi sema kama ililetaga shida ju sanajuwa anatiya mazifu ya ndoa yake inje?? Hakuna mwanaume anaweza kutoka inje ya ndoa tena vitoke kwa mitandao eti visivuruge kichwa wala nyumba yako .
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 7 ай бұрын
Sasa miaka 9 mulikua mnazini haoni aibu
@josephlorri431
@josephlorri431 7 ай бұрын
Wewe unazini mwaka wa ngapi ... acheni kuhukumu maisha ya watu
@fatmamansour676
@fatmamansour676 7 ай бұрын
Sio rafiki wote ni kuzini mi nimekaa uchumba miaka 5 yye yupo mbali na mie na mpk sahv kwa ndoa. Nina 11 naingia 12
@mouldykomba1852
@mouldykomba1852 7 ай бұрын
Utafikiri ww umekamilika
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 7 ай бұрын
Wameshatubu kwa Allah na Allah ni mwingi wa kusamehe tofauti na binadamu🙏🙏🙏
@abdiabdi-ec9ib
@abdiabdi-ec9ib 7 ай бұрын
Mwijaku limepata mke dar hongera zao
@ashaali7154
@ashaali7154 7 ай бұрын
Miaka 9 ya kuzini miaka5 ya ndoa.
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 7 ай бұрын
Kwaiyo wewe ulitakaje kwa mfano😮
@sophsoph4740
@sophsoph4740 7 ай бұрын
Wee mwenyewe humezini mpk umezaliwa
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 7 ай бұрын
Subhanallah, yarabbi salama
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 7 ай бұрын
Wameshatubu kwa Allah na Allah ni mwingi wa kusamehe tofauti na binadamu 🙏🙏🙏
@salmakassim402
@salmakassim402 7 ай бұрын
Dada alikuwa mbaya huyu uwiiiii pesa sabuni halafu chembamba mno asa iv Mashaallah
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 7 ай бұрын
Wewe je mzuri toa picha yako Tuione na wewe tukujaji
@mwitaagness455
@mwitaagness455 7 ай бұрын
Huoni haya, ringia nyota dada, wewe mzuri ebu tuambie sasa hivi upo wapi ndugu.
@HalimaSalym-jl2ui
@HalimaSalym-jl2ui 7 ай бұрын
Mwanamke wa KIISLAM nywele ni haram kuonekana. Mali isiwatie KIBURI kila mmoja atakwenda kaburini peke yake
@badifundi6089
@badifundi6089 7 ай бұрын
Ndio maana upo hapa wahukumu kila mtu na life yake ww kaa Ivo Ivo bila dhambi tuone utaenda wapi😂
@mwajumakitoro8582
@mwajumakitoro8582 7 ай бұрын
Ongezeni watoto mpo poa sana hàdi raha
UHUSIANO WA MWIJAKU NA MENINA, NI KWELI UNATIKISA NDOA YA MWIJAKU?
11:23
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 110 МЛН
🔴LIVE: SPORTS COURT NDANI YA WASAFI FM 06-08-2024
Wasafi Media
Рет қаралды 178
KIKAO CHA WAJAWAZITO WITH GLADNESS KIFALUKA - EPISODE 5
31:53
ZamaradiTV
Рет қаралды 4,5 М.
Waka Waka 💦💃😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 19 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
0:12
Jojo Sim
Рет қаралды 21 МЛН
как пройти скулбоя за 36 секунд?
0:22
Holy Baam
Рет қаралды 1 МЛН
il caldo fa brutti scherzi #dog #fight #punch
0:18
Cronache della Campania
Рет қаралды 25 МЛН