Nakumpenda sana mtumishi wetu yesu akulinde milele ámen
@airenkeneth9604 Жыл бұрын
Irene Keneth namwombaa mungu kupitia madhabahu ya inuka uangaze anitie nguvu kwenye masomo yangu na nipate alama a mitihani yangu yote Amina naamin mungu ataendaa
@sadickwalker27954 жыл бұрын
God bles you man of God.
@graceelias9314 жыл бұрын
Ni furaha tele ndani ya Yesu nimechek😀😀😀😀 sana asante Yesu
@jenipherchristopher51113 жыл бұрын
Hata Mimi mhuu yaani bac tu
@penelopestanley70213 жыл бұрын
Mungu ambariki huyu mume ana upendo wa ajabu sana
@millionairejeffreysunofbez37664 жыл бұрын
Hakuna asiyejua nguvu na mamlaka ya YESU, wengine ubishi tu, imani zao zinawabana tatizo
@sadickwalker27954 жыл бұрын
100%.
@jenipherchristopher51113 жыл бұрын
Hahahahaha waambieee
@shabamuhidin6343 жыл бұрын
hehe,umewai kuskia mkojo ukitoka mfululizo,tunaujua mchezo huu ila tunamuogopa mungu,hii acting inafanywa south africa sana na akina bushiri na alph lukau,bado mtaona acting nyingi tu watu wapige hela wende mbele
@frankjoely33133 жыл бұрын
@@shabamuhidin634 usije ukajaribu kwenda kweny hayo maombi na hiyo mikutano ya injili ukatanguliza dharau zako.utakuja kupigwa na nguvu ya ajabu hautokaa usahau katika maisha yako yote kwa utakachakipata.
@frankjoely33133 жыл бұрын
@@shabamuhidin634 Kama huamini uwe unaenda tu.mwisho utakuja kukipata unachokitafuta😂😂
@bibip9181 Жыл бұрын
Siku ya shuhuda huyu mama akiutoa nilimuona Mungu wa mahali hapa kwa nguvu by 🔥
@tukimjila66733 жыл бұрын
Amin amina hakika anaebisha na asie amini Kwa yesu anaweza huyo kweli ni shetani, ashukuliwe yesu anaetumia watoto wake kutenda miujiza
@jamilaezekiel61743 жыл бұрын
Kweli mungu afanye barikiwa mtumishi wa mungu
@sabinaboas67604 жыл бұрын
Thank you 🙏 Doctor Jesus
@saphinesyyohana71392 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu mwamposa nguvu za mungu zinafanya kazi kupitia mtumishi wako.
@mariahankison68832 жыл бұрын
Najiunganisha na madhabahu ya inuka uangaze mungu anifungue kiuchumi na badiliko la maisha yangu Asante inaamini nitafunguliwa
@levilathabainomugisha Жыл бұрын
Mungu wetu Ni mwema Sana, tunamuona kupitia mteule wake, Ameeen.
@pamelasabugo3710 Жыл бұрын
Amen nataka mwanangu samweli akumbuke kurudi nyumba leo
@jescamustapha51153 жыл бұрын
Yes niponyee na Mimi pia nakuamini Sana yes wangu Emungu wangu umenitowa mbali Sana pia umenitendea mengi na Amina na tatizo la tumbo language likaletee matunda amina
@zubedarichard32383 жыл бұрын
Mimi ni binti wa Arusha nina miaka 22 wazaz wangu wananitegemea Nina vipele sehemu za Siri miaka 2 sasa ila kwa imani ya maombi haya nitapona
@gracejoseph64673 жыл бұрын
Kuna dawa ipo ukilamba vinaisha
@gracejoshua36183 жыл бұрын
@@gracejoseph6467 dawa gani hiyo
@sabinaboas67604 жыл бұрын
Hallelujah praise the Lord
@pamelasabugo3710 Жыл бұрын
Ameni nataka kaka yangu osabi aache kunywa pombe kwa jina la yesu amen
@bensonmoris4633 ай бұрын
mwamposa jaman hongera kaz ya mungu umeifanya
@robatmollel6926 Жыл бұрын
Naamini maombi ya madhabahu ya inuka uangaze 2tapata mtoto mungu tenda miujiza!!!!:
@airenkeneth9604 Жыл бұрын
e namwoma mungu anitie nguvu na anipe uwezo nifauru mitihani yangu nipate a zotee
@tukimjila66733 жыл бұрын
Yaani wanaobisha natamani hataniwape moto wangu hata kidogo aonje na aone neema ya yesu ilivyokubwa kwetu amina
@robatmollel6926 Жыл бұрын
Ameeee
@sabinaboas67604 жыл бұрын
Amen 🙏 thank you 🙏 Doctor Jesus
@shainiportal4 жыл бұрын
Hakika Yesu yu hai hata sasa anatenda 🇹🇿
@mariethapeter60993 жыл бұрын
Amen
@jenstalamaseni70662 жыл бұрын
Naomba munngu naomba aniponye kupitia mazabau yako baba amen
@sabinaboas67603 жыл бұрын
Praise God Hallelujah
@zaxmwakafwaga3122 Жыл бұрын
Ameeeeeeeen 👏👏👏👏
@kabonwakandoro13 Жыл бұрын
Haleluya haleluyah
@sadickwalker27954 жыл бұрын
Anaebisha ni wivu2.
@nyendorashidy90493 жыл бұрын
yesu ni mwema wakati wote anaokowa wakati wote ameni
@Zainab-gs4mz3 жыл бұрын
Mungu n mwaminifu
@user-is6yf8hg7z3 ай бұрын
Amemi mtumishi
@jojokweka19024 жыл бұрын
Ameeen
@sabinaboas67604 жыл бұрын
God is good all the time
@estermeshack6103 жыл бұрын
Ameen
@jeressjohn91053 жыл бұрын
Naamini Mtume Asante kwa upendo wako kwa watu wako
@sabinaboas67604 жыл бұрын
Yesu ni jibu la matatizo yetu
@Linah.richard.982 жыл бұрын
Asante yesu mtenda miujiza
@monicaalanus45704 жыл бұрын
Amen
@arafasaidi27233 ай бұрын
Napokea. Maombi. Mungu. A ione. Anifungue
@dayfrozadeo40823 жыл бұрын
Mungu anaweza🙏
@glorympefu89622 жыл бұрын
Mungu endelea kuwa naasiii
@RamaSaidi-yd7yw Жыл бұрын
Mungu asanteee
@NgomwaACNTV2 жыл бұрын
Kweli mungu tumuache aitue mungu
@nineusekyamuhayi39782 жыл бұрын
🙏🙏🙏 yesu nimu kubwa sana
@sabinaboas67603 жыл бұрын
God is Great
@edithamosha41093 жыл бұрын
i connect
@DotoKimura-pj7cn8 ай бұрын
Amina post
@piusmarco64902 жыл бұрын
Natamani kupona tumbo ,mgongo na kichwa
@piusmarco64902 жыл бұрын
Natamani niombewe nipone kwa jina la yesu
@emmycharles84633 жыл бұрын
Naamin hata mm nitaponywa magonjwa yangu
@lilyabel23204 жыл бұрын
Yesu kristo ni Mungu mponyaji. Tuamini tu hakika
@priscajonas19783 жыл бұрын
Yesu Bwana wa Daudi niponye na mm
@upendolukio38163 жыл бұрын
Pls naomba no ya mtumishi
@adammjomba71123 жыл бұрын
Ameni mtumishi wa Mungu
@rehemagunda39684 жыл бұрын
Ameeee
@shangwekamando25994 жыл бұрын
Amina
@NgomwaACNTV2 жыл бұрын
mungu kubwa
@elizabethaloyce75164 жыл бұрын
Yesu anaponya
@shukrananold3790 Жыл бұрын
AMEN
@dianashaban73584 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@sabinaboas21323 жыл бұрын
Amen Amen
@winniejohnjohnsule26362 жыл бұрын
Amina amina
@stellamsagath36212 жыл бұрын
hakika mungu ni mwema kwa wote wanaoamin
@asiaally22424 жыл бұрын
Yesu in mwema
@florahjustine78912 жыл бұрын
Mungu Ni mwema kwa kweli
@sabinaboas67604 жыл бұрын
Kabisa Yesu yuko hapo
@hussensamora67192 жыл бұрын
samahn jamn naomba mniombee nimefanyiwa opperesheni tarehe 10 mwezi 9 2021 na. Mamb mengine
@saumusaidi10423 жыл бұрын
Kweli mungu ana weza
@boscosapali41103 жыл бұрын
Baba mwamposa naomba uniombee niweze kupata mchumba
@adammjomba71123 жыл бұрын
Yesu ni njia acheni ubishi tusifanye shingo ngumu Yesu anaweza nani mpole na hataki hata sent wewe ni kuamini na kumkiri tu ndio gharama zake..
@rehemashibola52663 жыл бұрын
Kabisaa
@sabinaboas67604 жыл бұрын
My my my my my
@pamelasabugo3710 Жыл бұрын
Ameni nataka nipate pesa za marejesho ya kikundi
@maijajumbe18363 жыл бұрын
Naamini Leo nimepona kwa Nina la yesu
@shabamuhidin6343 жыл бұрын
hha,si anapuzia mic jamani uyu?
@leahkabura42713 жыл бұрын
Yesu ni BWANA
@ndereyimanaconstance20452 жыл бұрын
🙏🙏🙏✋
@janethnelson24673 жыл бұрын
Amn
@sabinaboas21323 жыл бұрын
Thank you Jesus for healing us
@kinginno34124 жыл бұрын
Yuko YESU kwelikweli
@edgarjohn3653 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeena
@samuellacecille7173 жыл бұрын
Naamini Mungu atanitendea miujiza nitapata Mtoto
@asiaamanzi86213 жыл бұрын
Amiina
@aishakibwana45232 жыл бұрын
Amen
@NasraSadick10 ай бұрын
Kupitia comment hii nifunguliw kuon siku zangu nakupata pacha ke na me
@emmaleanna8184 Жыл бұрын
nawasalimia naomba namba ya mchungaji
@branicemunyanya833 жыл бұрын
How can I reach this church am a kenyans
@leahkabura42713 жыл бұрын
Just come in Dar es salaam. It is free of charge. Karibu
@mageroanna52482 жыл бұрын
amina
@nancyjohn67233 жыл бұрын
Naamin kupitia mtumishi wako mwamposa ntafungulia vifungo vilivyo fungwa
@nashamohamed1223 жыл бұрын
Mambo vp
@marwalzzy59834 жыл бұрын
A men
@rabiawaziri25252 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙆♂️🙏🙏🙏🙏
@mwanasaidi5092 Жыл бұрын
Mungu wa mwamposa anaponya Naamini NAMI napokea uponyaji kwa jna la yesu kristo
@sabinaboas21323 жыл бұрын
The devil is a liar
@msambaashedapher58803 жыл бұрын
Munaokota machizi mitaan ukafili mtupu
@marthaabraham2983 жыл бұрын
Toka pepo
@fabzanzibar97183 жыл бұрын
Na. ww kaokote ulete
@jenipherchristopher51113 жыл бұрын
@@fabzanzibar9718 ndio nawewe kalete chizi wako weee vipi kafiri mwenyewe
@batulimohamed60884 жыл бұрын
Ameen
@wijopowertv32614 жыл бұрын
Amen
@francismfinanga25884 жыл бұрын
Amen
@praisemsuya72283 жыл бұрын
Ameen
@aminamlangida95194 жыл бұрын
Ameen
@rehemamgaya2624 жыл бұрын
Amen
@sialyimo6403 Жыл бұрын
Amen
@furahamsuya23283 жыл бұрын
Mungu anaweza
@batulimohamed60884 жыл бұрын
Ameen
@minnaally88323 жыл бұрын
Amen
@zainabumkanitenda56664 жыл бұрын
Ameen
@leahfuti22493 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeena mwapasa mungu akupe maisha marefu usizeeke ili uje usaindie na watoto wetu
@piusmarco64902 жыл бұрын
Ninaamini sana mungua ataniponya naomba uniombee mtumishi wa mungu jamani