zamani nilidhani trump ni mtu mbaya bt kusema kweli after watching a lot of his past videos when he was interviewed,this man is a peace loving man nd a good man may Allah give him hidaya
Hallelujah God is good BWANA YESU MTETEZI WA TRUM...YAN MUNGU AKIAMUA KUKUPA UKUU ANAINUA CHOCHOTE CHA KUKUPAISHA , WAMEPIGA SIKIO WANEPOTEZA POINT NDO WASHA MUINUA JAMAA
@NdovuDentalClinic_Ай бұрын
Huyu ndo Raisi sasa , sio hao wamama wa NATO na njama zao 😂😂
@IbniAbbas-yz3ktАй бұрын
Trump kuwa hai ni Mpango mzuri wa Mungu hapa Duniani
@gosbertireneus5558Ай бұрын
wazo lako hili nimelielewa vyema
@martinisadru9899Ай бұрын
Ni kweli kabisa
@filskischannel9737Ай бұрын
His the next president of USA no doubt
@Amirmgunya-pt2zmАй бұрын
Ataibadiri dunia kwa kuamua dunia iingie vitani au vita vyote vinavyo piganwa kuvisitisha tutaona yatakayo jiri
@lovenessvisent9408Ай бұрын
Jamaa akitabasamu kama analia yani 😂😂
@dullahmmebela5624Ай бұрын
😂😂😂😂 we kiboko!!!😅
@lovenessvisent9408Ай бұрын
@@dullahmmebela5624 we huoni
@samirmswahiliАй бұрын
Sky noma sana kwenye kipaza saut
@nghoshajohn2398Ай бұрын
Kazi yenu kujadili ya us yakwenu sasa😢😢
@AliKaroyoАй бұрын
Naisi Trump Anachembe Chembe Za Kitanzania Maana Uyuu Mzee Ana heka heka Sana Uyuu 😂😂😂😂
@sonnyr1899Ай бұрын
Ikiwa tzn itakuwa ni Magufuli maana huyu jama hapangiwi anafanya kile anacho hisi ni sahihi.
@ukweli255Ай бұрын
Ila JPM ALILINDWA NA SHERIA MBOVU HAKUWAHI KUSHITAKIWA TRUMP YEYE ANAMASHITAKA 91 HADI SASA@@sonnyr1899
@joycehaule9717Ай бұрын
Magu too
@hanifa9153Ай бұрын
😂😂😂
@faustinebahenobi3412Ай бұрын
Mbaguzi
@gaagwasaugustino2584Ай бұрын
Kila lakheri Donald Trump, Mungu akupe kibali tena uwe Rais wa Marekani katika kipindi kijacho tena,ushinde urais tena! Mungu awe pamoja na wewe katika kila hatua yako.
@user-ez9vi4pf3gАй бұрын
Dunia ina mambo mengi sana nathani mungu akituangalia viumbe vyake mda mwengine ana enjoy
@WakizazikipyaBololeАй бұрын
Wa kwanza jama nipe like zangu❤❤❤
@amotvtz1302Ай бұрын
Jamaa anamkwar
@worldhappiness1181Ай бұрын
No way, he emerge more stronger than ever.
@eagleeyes4449Ай бұрын
Ningekuwa usa angekula kula kura yangu, jamaa nalikubali sana
@user-jo5ig8ww1bАй бұрын
Hope atamaliza vita 😢jamani
@youngyayoo2805Ай бұрын
Triumph is winning
@thabitngangila8562Ай бұрын
Sky umetisha kwa makala hii
@abroadconnectededucationlt5435Ай бұрын
my icon
@deniccgabriel6153Ай бұрын
Cctutaishia kuangalia siasa za wenzetu kama story wakati yakwetu yanatushinda😅😅
@boyfromtansania7788Ай бұрын
Umelazimishwa kuangalia
@user-vf3wt3sb1hАй бұрын
Yaani tunavyoshabikia utadhani tunajua atakachokifanya atakapokuw rais. Bila kujua kwamba wamarekani wote sera zao nizile zile.
@linnerphilip4260Ай бұрын
Mi ningeacha 😂😂 siasa asee sio kwa kunusurika
@SostenesMabala-tt8ptАй бұрын
Afirca tutaelewa tu
@godfreyfrugence4176Ай бұрын
Huyu Jamaa akingia madarakan ukraine hawana chao tena
@josephgalandu128Ай бұрын
baba huyu ana mungu
@user-lq4cm4rq6zАй бұрын
Mungu ampe ushindi wakishindo
@ndayikezaoscar3467Ай бұрын
SIASA MBAYA SANA.
@YunusAliHassanАй бұрын
Sijaona kumpa mkono huyu Black man au sijaangalia vizuri
@kingsniper9769Ай бұрын
Watakumalizia
@user-qk4lx4hg7gАй бұрын
Ila na trump nae kashazeeka Ila ndo hivyo tuu ndo kadhasmua 😂
@user-pd5hl9di2qАй бұрын
Mungu kakuchagua tayari
@SostenesMabala-tt8ptАй бұрын
Sio leo toka shamburio lake
@user-pt4ft7ow1sАй бұрын
❤❤love
@deejeydaevАй бұрын
Mwamba iyo
@Official83640Ай бұрын
Mm mnanichanganya mkisema jaribio la kumuua kwahy hawakutaka kumuua walikuwa mazoezini ama mie ndy la 7 B
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Ilitakiwa wasemeje?
@RaphaelSiwaleАй бұрын
Tupo pamoja
@Official83640Ай бұрын
@@rumdeesonsoa1811 We pia km mm tu tulia upate majibu mm nimeuliza na ww unaniuliza nikujibu nn
@mustafakimalio9129Ай бұрын
Ni jaribio kwa sababu hawakufanikiwa kumuua,,@@Official83640
ule mwind vipi aliyeonekana kupewa nafasi ya umakamu wa uraisi
@listerwami6825Ай бұрын
Ujanja tu huo, mzungu hamkosagi MTU yaani apige sikio
@sonnyr1899Ай бұрын
Akili za kichawi kabisa
@user-ni2kv3yf6eАй бұрын
Mungu na mzungu nani zaidii we unaon kbs mtu muombaj alaf unaongelea mzungu
@aminasittusaid3830Ай бұрын
Huko ni kumpa binadamu uwezo usio wake. Mwenye uwezo wa kutokosa kitu chochote atakacho ni Mwenyezi Mungu peke yake.
@josephlorri431Ай бұрын
Unawaza uchawi tu.. mlenga shabaha hakuwa huru kufanya huo uhalifu,alitetemeka.. ni tukio baya sana.
@machachehardware5975Ай бұрын
Alivaa bullet proof yambavu haikumdhulu
@damsonwilson5202Ай бұрын
Huyu ndie Rais Ajaye Kwa Sasa
@patrickmunishi2277Ай бұрын
MSICHOKIJUA KUUSU TRUMP HUYU BWANA NI MYAHUDI HALISI NA YUPO MAREKANI KWA KUSUDI LA MUNGU,NA LAZIMA LITATIMIA
@HusnaHussen-qj7reАй бұрын
First one❤
@samuelurio1519Ай бұрын
🔥🔥🔥
@SuleAmber-lw2txАй бұрын
Trump ana mbwembwe sana
@piterasifa3757Ай бұрын
Tajiri huyo
@hazygardmericho9571Ай бұрын
mamae moto wasonga mlulu
@babag7138Ай бұрын
Yuwi agwe rece du moto wowamala
@ibrahimkihulya8934Ай бұрын
We're 6t P😊 3:28 😊l😊
@d-manb-free3478Ай бұрын
Fight Fight Fight 😂😂😂
@user-sj3wf5vz7lАй бұрын
Trump tunamtaka USA. Maana alituambia africa hamna akili na ukweli africa hatuna akili
@babuumaeda7671Ай бұрын
😂😂 Waijue RISASI ilivyo maana hata wao wanaagiza tu Uwa huyu 😢😢 lwo kwai aliwahi agiza kuua kwa Drone IRAN 😢leo kwake imemkosa kiduchuuuu😅😅😅
@mussaisaacАй бұрын
Mzee bado yuko fiti.
@YunusAliHassanАй бұрын
Sijaona kumpa huyu Black man mkono au sijaangalia vizuri
@user-oz8mc7mz7zАй бұрын
Amnyime kweli bimaana mna gubu
@zclassicfashionz1573Ай бұрын
Kila ndoto yenye amani utimia
@brunoh_bxАй бұрын
Jamaa tayal ameshapita huyu😂😂
@ShekhMufyd-mn9znАй бұрын
Mungu anamakusudio yake kumuweka hai hiki kiumbe
@DeadskytzАй бұрын
The Simpsons
@SostenesMabala-tt8ptАй бұрын
Naamini tundu lissu nilais tanganyika
@peacemuzaliwa2563Ай бұрын
Jembe limerudi kibabe 😂😂 gonga 👍
@SalumJuma-iz2gjАй бұрын
Baiden na trampo wote sio wamaana kwetu afrika ila trampo nimshenz zaid akiwa rais mara ile alisema afrika ni kama mikundutu maranyengine alisema afrika inahitaji kutawaliwa tena pia alizifungia nchi za kiislam kuigia afrika ata kipindi cha makufuli Tanzania pia alipiga marufuku trampo tuombe mingu uyu jamaa asiwe rais
@WilbertChambilo-yl1kcАй бұрын
Mwamba huyo hapo sasa, Israel, nchi za magharibi ziweweseka coz ni rafiki na Trump na ni adui na mashoga
@patriciatumain172Ай бұрын
Welcome again trump
@ramadhanisalum3898Ай бұрын
Kuna siku alipita mtaani kwetu frolida jamaa mtu Poa sana kuliko umuonavyo uso wake
@geofreymilinga2965Ай бұрын
Kaimu raisi kaongea mbaka mwili umesisimuka
@Gulfnas1Ай бұрын
Biden kazi anayo
@user-ec7us6vf6wАй бұрын
Tyar Trump ni Raic
@mweyoms5548Ай бұрын
Democrat wamepata doa la hatari sana nyakati hizi hata kama hawajahusika
@jasirimjasirimedia7940Ай бұрын
President Trump's
@drbendentist8687Ай бұрын
Biden akishinda GEN Z wanaingia mtaani 😂😂
@LastdayJesu4153Ай бұрын
Rais mpya wa usa😅
@d-manb-free3478Ай бұрын
Israel na Ukraine hawamtaki😂
@sonnyr1899Ай бұрын
Pale fitna dhidi yako inapobadilika na kuwa baraka ndio hii
@DangotemagairoАй бұрын
😭😭😭 Donald Trump
@innocentfortunatus725Ай бұрын
Trump ni mwamba wa USA 🇺🇸
@SaudaZigabaАй бұрын
😂
@josepheriah5977Ай бұрын
Putin kausika na shambuliz
@husseinmdwangi8966Ай бұрын
Dah sky bana na ww una mikwala sana eti pambanapambana!mara jambo la kuonekana kwa Trump hailikua rasm kwenye ratiba ya mkutano huo ingawa lilitarajiwa na wengi duh!!
@SostenesMabala-tt8ptАй бұрын
Kunamijinga inasemaga mmwatu wanalindwa. Pumbavu mlinzi nimungu tu kudadadeck
@muttae2Ай бұрын
Hii risasi iligusa kidogo sikio wakati imepigwa kwa upande😂 daah. Hapa tumepigwa.
@theonestrenatus954Ай бұрын
No this was serious brother,
@anthonyassenga236527 күн бұрын
TRUMPMANIA USA kzfaq.info/get/bejne/atuAkpilldecpZ8.html