MPAMBANO MKALI RAIS TEC,MKURUGENZI KURUGENZI YA MAWASILIANO TEC NA MAPADRI

  Рет қаралды 24,637

MbeyaArch Talent Tv

MbeyaArch Talent Tv

2 жыл бұрын

NI KATIKA NGONJERA YA KUIMARISHA IMANI ILIYOFANYIKA KATIKA KONGAMANO LA MASISTA VIJANA MLOWO,JIMBO KUU LA MBEYA

Пікірлер: 19
@costantinojohn2739
@costantinojohn2739 28 күн бұрын
Nimeipenda baba zangu mpo vizuri sana kwenye utunzi wa mashairi
@devothamichael636
@devothamichael636 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana nyumbani kumenoga nimeipenda hiyo
@devothamichael636
@devothamichael636 2 жыл бұрын
Mumetuongezea siku za kuishi mmbarikiwe sana baba zetu
@devothamichael636
@devothamichael636 2 жыл бұрын
Kwetu pazuri sana nimemwona Mungu kwa sitaili hii tunaitaji neema za Mungu
@levinasilayo8671
@levinasilayo8671 2 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana,
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Vidonge vya imani honereni
@justardmutarrmwa4452
@justardmutarrmwa4452 2 жыл бұрын
Wakuu wetu mbarikiwe sana
@josephineombati1465
@josephineombati1465 2 жыл бұрын
Amina
@devothamichael636
@devothamichael636 2 жыл бұрын
Tunakuombea usiondoke baba atakayevumilia mpaka mwisho ataona utulufu wa Mungu
@devothamichael636
@devothamichael636 2 жыл бұрын
Nikweli baba lazima mvumilie mtavishwa taji siku moja
@furahambughi4977
@furahambughi4977 2 жыл бұрын
Safi sana
@mbeyaarchtalenttv
@mbeyaarchtalenttv 2 жыл бұрын
Amina Mheshimiwa Mbughi tuendelee kuhamasishana kusubscribe katika mtandao ili waendelee kupata mafundisho Kanisa,Ujumbe mbalimbali kutoka kwa Mababa,vyama vya kitume,Watawa na maagizo,elimu ama masuala mbalimbali ya maendeleo ya kiimani na kijamii
@devothamichael636
@devothamichael636 2 жыл бұрын
Aliwaita basi mmjengee uaminifu kwa sababu aliwapenda upeo
@chidjosh6056
@chidjosh6056 2 жыл бұрын
Hakuna dini tanzania tena, tumebaki na viongizi wanafiki,hawana faida yeyote kwa taifa
@justardmutarrmwa4452
@justardmutarrmwa4452 2 жыл бұрын
Ulikoenda ndugu sio njia yako!
@franciskalistus6987
@franciskalistus6987 2 жыл бұрын
Chid Josh kwani kuna tatizo gani hapo na viongozi wa dini?. Mbona sioni tatizo?. Au chuki zako tu binafsi, mbona watu wote wanaona ipo vizuri sana. Peke yako ndiyo unakasoro ktk kutafsiri mambo. Muda wote lawama tu!. Tumia vizuri mtandao!@.
@edwardpastory812
@edwardpastory812 2 жыл бұрын
Samahan, huyu padre anayefanana na Rais Hussein Mwinyi anaitwa nan?
@geofreyjosephat8031
@geofreyjosephat8031 2 жыл бұрын
Fr. Chesco ndiye Katibu mkuu msaidizi wa TEC
@rosemarybigori4767
@rosemarybigori4767 2 жыл бұрын
Chesco msaga naibu katibu mkuu tec
MAPOKEZI  YA  CARDINAL  PENGO  MKULWE  JIMBO JIMBO KUU  KATOLIKI LA MBEYA
7:49
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 18 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 41 МЛН
HIJA YA VIJANA JIMBO KUU LA MBEYA
13:12
MbeyaArch Talent Tv
Рет қаралды 656
TAZAMA  MAPOKEZI  YA CARDINAL PENGO  JIMBONI MBEYA
2:54
MbeyaArch Talent Tv
Рет қаралды 951
KWA NINI KUWAOMBEA MAREHEMU?
32:08
The Servant Media
Рет қаралды 21 М.