AHMED ALLY APIGIWA SIMU NA WAZIRI MKUU/ALLY KAMWE AINGILIA/"MHESHIMIWA TUMIA JINA LA ALLY KAMWE"

  Рет қаралды 162,087

Mpenja TV

Mpenja TV

Жыл бұрын

JAMBO LA NCHI Ni zoezi la Uchangiaji Tiketi kwaajili ya kuipa Sapoti Timu ya Taifa Ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye Mechi ya Marudiano ya Kufuzu Afcon dhidi ya Uganda Siku ya Jumanne Saa 1:00 Kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Cliford Ndimbo Ofisa Habari wa TFF,amewakutanisha Maofisa wengine kutoka Simba Sc Ahmed Ally,Yanga Sc Ally Kamwe na Azam Fc Hasheem Ibwe ili kuendesha Harambee hiyo kwenye Mkutano na Wanahabari uliofanyika Leo Dar es salaam.
Jumla ya Ticket 10500 zimekusanywa kwenye Hatua ya Awali,Zoezi ilo likiwa ni endelevu Mpaka kufikia siku ya Mechi.

Пікірлер: 118
@user-dz1me6mt9e
@user-dz1me6mt9e 10 ай бұрын
Mpira uliharibiwa na manara ona hawa vijana wanafnya kazi kwa weredi mkubwa presconference za kuvutia wanatufundisha mpira ni urafiki wenye utani wa kujenga nmefurahi sana sana hawa vijana ni wanafaa kuigwa❤❤
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Ukifanya kazi na brand kubwa utakuwa mkubwa tu na utajulikana na utakuwa karibu na wakubwa pia, hongera ahmed ally kwa kuichagua simba kuwa ndio klabu yako ya kuisemea
@akwinobenarddy
@akwinobenarddy Жыл бұрын
Simba na Yanga tumepata wasemaji wa mpira hii ndo napenda bravo Ahmed bravo Ally kamwe🎉
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 Жыл бұрын
Kuhusu manara vip
@noahkajinga7599
@noahkajinga7599 Жыл бұрын
Tumepata semaji la Caf Bravo Hamed Ally
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Daaaaah aiseeee nimefurahi SN Hawa. Vijana AA HIZI ALLY KAMWE NA AHMED
@Elizabeth-fu3ze
@Elizabeth-fu3ze Жыл бұрын
Hongereni sana mmenifulahisha sana leo usimba na yanga pembeni,4000, kupitia kwa Ahmed,🤗💕
@mweyoms5548
@mweyoms5548 Жыл бұрын
Naam!! Soka sio uadui.Soka hujenga umoja na mshikamano.Kongole kwa Hashim Ibwe,Ahmed Ally na Ally Kamwe.Kinachopendeza zaidi wote watatu ni matunda ya AZAM MEDIA
@rizikijustin4747
@rizikijustin4747 Жыл бұрын
Haya ndy mambo tunayataka kwenye mpira wetu siyo waropokaji mpira umepata wasemaji
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 Жыл бұрын
Hongereni sana sana sana wasemaji wetu wa club zetu mmetisha mme vibe hii ni kwa mara ya kwanza kusupport hivi 👏 lkn Ahmed Ally ndio umpigie waziri mkuu kweli 😂 na mguu ukaweka juu eti ukimaanisha kazi umemaliza 🤣 sawa bhaana umeshinda 😂🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@kennethnyahoza1806
@kennethnyahoza1806 Жыл бұрын
Hongereni sana Wasemaji wa timu zetu Simba, Yanga na Azam kazi nzuri sana. Matumaini yetu makubwa tutapata ushindi kwenye mchezo huo wa tarehe 28/03/2023 Bip Up pia TFF
@user-me2mu2ub7y
@user-me2mu2ub7y Жыл бұрын
Uhakika tumepata wasemaji kweli syo masiala wa ndo wasemaji Sasa utani mwingi d safi sana Aise siyo kina hajiz manala lopopot utani hajui ila sifatu ndomaana wakamufungua asijishilikishe na mpila miaka miwali na faini mana hajielewi
@thomaskulwa425
@thomaskulwa425 Жыл бұрын
Jeri muro na manara walileta uadui🙆 na Hawa wasasa wameleta utani😋 hongeleni sana vijana wenzangu🙏🤝📌🔨
@alisenipeter4307
@alisenipeter4307 Жыл бұрын
Tatizo shule Ahmed na aliy kamwe ni wasomi
@serekachacha-zg2vp
@serekachacha-zg2vp Жыл бұрын
Semaji la migoli mingi mingi semaji la caf mimi niwaombe wanasimba wenzangu tumuunge mkono semaji letu wachezaji viongozi na bechi la ufundi kwa ujumla wake kwa hakika tutafika mbali kwa umoja wetu
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Mama katoa ahadi waziri mkuu mfuate kwa mawaziri muanze na waziri wa michezo pia ahamed usisahau spiker wa bunge ni Simba yule
@kingsulyemani2559
@kingsulyemani2559 Жыл бұрын
hawa wasemaji wa simba na yanga ni watu wa michezo sana kazi wanaiweza
@shabanirajabu251
@shabanirajabu251 Жыл бұрын
Na hapo tumefany kumshtukiza mwenyekiti 😅😅tungempanga mngefurah😅😅
@championtv255
@championtv255 Жыл бұрын
Napenda sana hali hii nchini kwangu.mpira sio vita jamani
@laurentbabu153
@laurentbabu153 Жыл бұрын
Semaji la CAF umetisha
@MathiasMatteo-tl8xn
@MathiasMatteo-tl8xn Жыл бұрын
Nimecheka sana ally kamwe balaaa
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
Hawa ndio wasemaji sasa angekuwepo Ashura cheupe kingenuka jamaa mshari sana uropokaji kwa sasa wangeondonga hapo wamejazana vifua hongereni sana uongozi wa timu zote kwa kuchagua wasemaji wenye kujielewa
@Football-ze9du
@Football-ze9du Жыл бұрын
Good improvement ya football ad wasemaj wanakaa pamoja
@apostlejacksonkalinga5191
@apostlejacksonkalinga5191 Жыл бұрын
Naomba Muunganiko huu, muwe nao hata kwa ngazi ya clab hususan vinapo kuja vilabu tuka nje ya nchi ni vizuri kama uzalendo utakuwa mbele kuliko usimba na uyanga.
@drogbalodrigue9550
@drogbalodrigue9550 Жыл бұрын
Kiukweli kama mimi nashukuru sana kutokana mwenye kiti wa simba ❤
@abelmussa5061
@abelmussa5061 Жыл бұрын
Huu ndiyo Mpira tunaoutaka Tanzania Nchi yenye Amani furaha iliyoje kuwa na Wasemaji mahiri kama hawa big Up kwenu vijana🤣😂😂💪💪💪
@ibrahimmsula201
@ibrahimmsula201 Жыл бұрын
I like this, hongereni sana Azam Kwa upendo mlioujenga Kwa hao vijana,wanaongeza hamasa na kuvunja uadui, nimefurahi walivyofanya na wanavyotaniana
@sniper93999
@sniper93999 Жыл бұрын
AZAM TV hapa ilizaa sana
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 Жыл бұрын
Ally Kamwe bhana,ninamkubali sana.Ibwe na Ahmed Ally pia ni wasemaji wazuri.Hongereni vijana kwa kulisogeza mbele soka la Bongo.
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 Жыл бұрын
Syo soka la bongo soka la tanzania wew bwege nini
@alexjohn-ff6kb
@alexjohn-ff6kb Жыл бұрын
Matunda ya Azam hao wote nawakubali sana
@elishamatulanya5539
@elishamatulanya5539 Жыл бұрын
mmetisha sana wasemaji wetu
@zakiaabubakar7446
@zakiaabubakar7446 Жыл бұрын
Well done Keep it up
@ramadhanimtatifikolo7735
@ramadhanimtatifikolo7735 Жыл бұрын
Safi sana wasemaji sio manala alikua kaziyake kugombanisha watu,
@pastormartinshija374
@pastormartinshija374 8 ай бұрын
Hili jambo zuri sana liendelee tafadhali! Pia ni vema liwe linafanyika kwa ngazi ya vilabu!
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Kiufupi ally kamwe amelowa
@gastonfuraha
@gastonfuraha Жыл бұрын
Hahahaha hawa jamaa wehu sana Ila kicheko cha ally kamwe cha kikuda
@massoudaly5154
@massoudaly5154 Жыл бұрын
Nimefrah sana hii ndo tunaipenda sana ktk soka nyny mashujaaa wasemaji wetu watatu nawapenda sanaaaaaaaa
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Umekuja na silaha nzito kaka kudadadeki🤣🤣🤣🤣🤣
@jumafundi3133
@jumafundi3133 Жыл бұрын
Hongereni nyote wakuu wa simba,yanga,azam .pia komed kwawingi😅😅😅
@francemumba5323
@francemumba5323 Жыл бұрын
Eti nahapo tumemshitukiza daah
@farlykunga8599
@farlykunga8599 Жыл бұрын
Ally kamwe ni comedian san an!!!🤣🤣🤣🤣
@Elizabeth-fu3ze
@Elizabeth-fu3ze Жыл бұрын
Great moment's 🙏
@mengijose17
@mengijose17 Жыл бұрын
Nimecheka huo mguu hapo mezani siyo powa
@Ndalolusulo-yt2ol
@Ndalolusulo-yt2ol Жыл бұрын
Safi sana wote hapo mezani
@diwanikatayankonko2671
@diwanikatayankonko2671 Жыл бұрын
Ahmed alicheza faulo mwanzo...alipiga mwenyewe ahmed
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
Ali kamwe ndo kanogesha press 🔋
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
PM wetu ni simba fan,anajulikana
@segeospatialtechnology7482
@segeospatialtechnology7482 Жыл бұрын
Namungooo😂😂
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
@@segeospatialtechnology7482 ni mlezi wa namungo, anayo mapenzi na simba toka ujana wake
@mwajumaseifu216
@mwajumaseifu216 8 ай бұрын
​@@segeospatialtechnology7482Namungo na Simba hipi ya kwanza kuzaliwa
@adamlyanda9450
@adamlyanda9450 Жыл бұрын
So funny...mmetisha sana
@francemumba5323
@francemumba5323 Жыл бұрын
Muheshimiwa kupitia kupga kwa ahmedi imetia nguvu kwake
@SalumMballa-tu8lk
@SalumMballa-tu8lk Жыл бұрын
Thank you
@dannyjacob4618
@dannyjacob4618 Жыл бұрын
Yeah,I appreciate
@yakobontigwambukwa
@yakobontigwambukwa Жыл бұрын
Ali kamwe anakalibia levo ya ahmed ko akazane😃😂
@patrickimran2645
@patrickimran2645 Жыл бұрын
Naskia wivu kabisa Tanzania muko mbeleee kwaani nchi zingine za Eac usingizini tuuu
@oscarniyoguahima1781
@oscarniyoguahima1781 Жыл бұрын
Warifika wapi?
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
We unatokea nchi gani kaka?
@salimliemba3458
@salimliemba3458 Жыл бұрын
Shiikamoo Ahmed Aly
@sanityonline4512
@sanityonline4512 Жыл бұрын
Ahmed anapigia majalia apo 😂😂
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Жыл бұрын
Mbona niwatu wasimba tu wanao changia hatujasikia mmewapigia watu wa azam na yanga nyinyi nikuwapigia wasimba tu
@mariamchiga846
@mariamchiga846 Жыл бұрын
Kama ndo mm Ahmed Ally ningempiga kwel kbao
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 Жыл бұрын
ahmed ndiye aliyempigia majaliwa rudia tena uangalie
@jafarsalum6891
@jafarsalum6891 Жыл бұрын
Ni kweli
@livinuskamugisha5296
@livinuskamugisha5296 Жыл бұрын
Huu ndo upendo unaotakiwa kwetu watanzania.
@francemumba5323
@francemumba5323 Жыл бұрын
Simba mfumo wake mgumu sana yanga hers akisema imeisha
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Tulia mwana utopolo
@doktmtanga7303
@doktmtanga7303 Жыл бұрын
Kasimu majaliwa nimnyama piwa na nikocha na nimtu wasoka anaujuwa mpila
@zainabmikidad791
@zainabmikidad791 Жыл бұрын
Ila Ahmed jamani mpole
@erickjohnglobal1536
@erickjohnglobal1536 4 күн бұрын
🔥💎
@Elizabeth-fu3ze
@Elizabeth-fu3ze Жыл бұрын
🤣🤣mpigie amedi ali kamwe vp tulia semaji la kafu lazima lipigiwe kwanza si mkubwa 🤣💕🤗
@ifraimifraimuhusen282
@ifraimifraimuhusen282 Жыл бұрын
Good moments
@welsonleonad1743
@welsonleonad1743 Жыл бұрын
😂😂😂 wajua kabsa kuchekesha
@Chombezaflava
@Chombezaflava Жыл бұрын
SILAHA NZITO 😅😅😅
@mohamedsuleiman5356
@mohamedsuleiman5356 Жыл бұрын
Kuna io sehem ally anateta na ibwe tangu babra aondoke
@FaridiMohamed-ou9eq
@FaridiMohamed-ou9eq Жыл бұрын
Hapa angekuwepo kenge mmoja ivi angejifanya msemaji peke yake
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Yule Loooooooooooooser!!!
@mckombe7200
@mckombe7200 Жыл бұрын
Mpira siyoo uwadui tutoee izoo zana ongereni wa semaji wote kazi yenu njema utani usiyoo umiza ongera shirikisho la mpira pia, @mc kombe
@doktmtanga7303
@doktmtanga7303 Жыл бұрын
Hongera Sana
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Жыл бұрын
Naaa naaahapo tumemshtukiza🤣🤣🤣🤣🤣
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu Жыл бұрын
Wabongoi badilikeni hiliniswala la TAIFA u SIMBA na uYANGA wekeni pembeni tupambanie inchikwanza msituletee usimba na yanga kwenye comment.
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Hawa wapo kwa ajili ya uhamasishaji wote wanatetea taifa
@yusufsong7993
@yusufsong7993 Жыл бұрын
Kamwe anasema kaja na slaaa nzito duu
@rewardnjau7220
@rewardnjau7220 Жыл бұрын
kiukweli raha sanaa,
@yusufsong7993
@yusufsong7993 Жыл бұрын
Mbona wa azam wanamtenga
@samwelkakintwa9702
@samwelkakintwa9702 9 ай бұрын
Nimefurai sana na sprained ya semaji la kafu.
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Kaka kaka ameshinda🤣🤣🤣🤣🤣
@charleschao9809
@charleschao9809 Жыл бұрын
Kamwe amekaa kinafki sana 😂
@egbartjosephat-gf4oc
@egbartjosephat-gf4oc Жыл бұрын
Mamb Tanzania Kwa ushind!
@egbartjosephat-gf4oc
@egbartjosephat-gf4oc Жыл бұрын
B
@abdullymaruzuku-uy8rb
@abdullymaruzuku-uy8rb Жыл бұрын
Ali kamwe anajipendekeza
@asrymohd6690
@asrymohd6690 Жыл бұрын
Hiii ndio sokaaa sio kelele
@user-xu4cm5wn6k
@user-xu4cm5wn6k 5 ай бұрын
❤❤
@sekrommbaga6234
@sekrommbaga6234 Жыл бұрын
Watoto utawajua na wakubwa utawajua mwisho wametahayari
@DanielIsaack-mx4fc
@DanielIsaack-mx4fc Жыл бұрын
So funny😂😂😂
@stephennyangi2403
@stephennyangi2403 Жыл бұрын
Hawa majamaaa hapana aisee😂😂😂😂
@charleselasto3067
@charleselasto3067 Жыл бұрын
Kwahiyo uwanjani ni bure
@kibonamalugu
@kibonamalugu 10 ай бұрын
💪💪💪💪
@rickcash701
@rickcash701 Жыл бұрын
Ndo ile mechi tuliokanyangwa
@denis-km9a3ro6k
@denis-km9a3ro6k Жыл бұрын
Yan dah
@albertmullah2377
@albertmullah2377 Жыл бұрын
Yaani SIMBA tulishazoea kuonea onea tu madunduka Loosers haya 😂😂😂😂... THIS IS SIMBAAAA ❤❤❤💪💪💪🦁🦁🦁🦁
@josephmgimwa3141
@josephmgimwa3141 Жыл бұрын
Aly kamwe, 🤣🤣🤣ananifahamu
@bosscomedy1534
@bosscomedy1534 Жыл бұрын
Ali kamwe nipenambayako
@michaelbulyalism3553
@michaelbulyalism3553 Жыл бұрын
@Ahmedally
@erasmsreonard4237
@erasmsreonard4237 Жыл бұрын
Ally 🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 Жыл бұрын
Mbilinge za watani wa jadi katika kuinuaa nchi😂😂😂
@fulgencefortunatus6845
@fulgencefortunatus6845 Жыл бұрын
Na huo uchachari wenu mmeua, wasemaji wa tim kubwa. Kuanzia leo nimeanza kumuelewa ally kamwe.
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr Жыл бұрын
Ali Kamwe🤣🤣🤣🤣🫶🫶🫶
@rehemasaid3083
@rehemasaid3083 Жыл бұрын
8
@marthageorge5043
@marthageorge5043 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@hanceraphael5455
@hanceraphael5455 Жыл бұрын
Huu ndio uzalendo sasa
@sarahjoseph5411
@sarahjoseph5411 Жыл бұрын
alikamwe 🤣🤣🤣 akicheka lazima ucheke
@DanielIsaack-mx4fc
@DanielIsaack-mx4fc Жыл бұрын
So funny😂😂😂
@pauloloningo117
@pauloloningo117 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@nishimwejames83
@nishimwejames83 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 11 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 65 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 53 МЛН
IShowSpeed Plays 'This or That'
0:30
GQ Sports
Рет қаралды 11 МЛН
Скромный парень наказал отморозка!
0:46
БЕЗУМНЫЙ СПОРТ
Рет қаралды 2,5 МЛН
But how??
0:16
OfficialGlobalMilitary
Рет қаралды 5 МЛН