MPENZI WA BEKA FLAVOUR AGOMA KUBADILI DINI MPAKA NDOA "MAMA YANGU HAPENDI UISLAMU"

  Рет қаралды 16,723

Wasafi Media

Wasafi Media

7 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 82
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 3 күн бұрын
Beka umeokota dodo chini ya mpera,unamwanamke mzur na mwenye akili sana mashallah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 күн бұрын
Allah akuvushe salama happy wangu najua hapo unayopitia katika hali hii
@khadijasaleh898
@khadijasaleh898 5 күн бұрын
Beka una mwanamke mzuri sana hongera💕
@miniee_134
@miniee_134 5 сағат бұрын
Ila ndo amuoe sasa
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 4 күн бұрын
Kuzini tu tu muogopeni Mungu jamani na moto wakw😭
@hellenalex9541
@hellenalex9541 5 күн бұрын
My favorite couple 🥰
@GladnessSamson-xk2ii
@GladnessSamson-xk2ii 15 сағат бұрын
Hii couple naipenda mnooo❤
@elizabethbigilwa6822
@elizabethbigilwa6822 2 күн бұрын
Wewe bi. Dada Mungu mmoja mtangazi Acha mambo yako
@rajah9328
@rajah9328 4 күн бұрын
Ukwel vile mnavyopendna watu wengi wanapenda couple yenu 100%. Beka wacha bangi zako Ndoa muhimu sana Dini zote
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 5 күн бұрын
Muoe tu mtoto happy karembooooo❤❤❤❤❤
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 күн бұрын
Beka unazingua😢😢😢 sana mwanamke amejitoa kwa lolote lakini unapuuzia
@RuwaidaBakar
@RuwaidaBakar 3 күн бұрын
Mundesley dini huyo dada uislam ndiyo dini yahaki
@Rachel-94tz
@Rachel-94tz 5 күн бұрын
Happy,usimwache Mungu kwaajil ya kituzbali acha kitu kwaajil ya Mungu,IMAN NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU,SHIKILIA IMAN AKO,,maan hata mbinguni hutoenda na mmeo,Bali nafsi Ako na IMAN AKO ndo itakuponya
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 3 күн бұрын
Weww uislam ndio dini ya haki izo dini nyengine zoote haramuu
@Rachel-94tz
@Rachel-94tz 3 күн бұрын
@@nahlahassan-fd6le Masha Allah,,ko ukiwa muislam tu pepo yako!??
@Mtoto-ig5vw
@Mtoto-ig5vw 2 күн бұрын
@@nahlahassan-fd6le😂😂😂
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 5 күн бұрын
Nawapenda
@Kabwela776
@Kabwela776 4 күн бұрын
Mkuu kuwa na akiba ya maneno hawajui wewe wanawake wa kitanzania wanawake wengi wanyenyekevu sana wakati wa uchumba ila ukimuowa wengi uwa wanabadilika kabisa
@user-ih6ng6sf6o
@user-ih6ng6sf6o 2 күн бұрын
❤❤❤
@MwanaidiSephu
@MwanaidiSephu 5 күн бұрын
Nice😊
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 5 күн бұрын
Mhm hapo mtihani.wakaka oeni wadada wa dini yenu .mpate kumjua mungu.wakristo ni wakristo,na waislam waislam.sasa mnachnganya dini afu kumbqdilshq mtu dini ataka mafunzo hasa apate kuingia miguu yte.sasa beka dini ya kislaqm imekukalia kushoto utaweza kumfundsha kweli happy.na happy kanaelekea kana khofu ya mungu.
@DM.2200
@DM.2200 5 күн бұрын
Umeongea kweli aisee au wafungr ya bomani ili kuondoa utata kila mtu kwake ila shida tena itakuja kwa watoto😢
@miniee_134
@miniee_134 5 сағат бұрын
Kweli kabisaa 💯💯💯happy ataishia kupenda zaidi dini yake ya kikristo kwasababu beka mwenyewe dini ya kiislamu kashasema hapendi vitu hivyo,, Astaghfirullah, Allah awafungulie wote wawili mioyo Yao na waikubali na kuuipenda dini ya kiislamu.
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 5 күн бұрын
DAKIKA YA 9 NDO UKATHIBITISHA KUWA UNACHOKIFANYA NI HARAMU😊
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 5 күн бұрын
Ushungi na nguo mikono kaoshi😂 yan waz😢 Ila ushungi umekupendezaa
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 5 күн бұрын
Huyo mwanamke hafai inamaana mama yake ni adui wa dini yetu ya kislaam kwa mie akae na mwanaye tu huyo mtoto wake
@Shuu.A
@Shuu.A 4 күн бұрын
Huyu mwanamme kwani unamuona mzima hana lolote
@clustermqsir9840
@clustermqsir9840 4 күн бұрын
Wewe ndio adui wa hiyo dini
@Naju645
@Naju645 5 күн бұрын
Mwanaume anaonekana mjanjamjanja huyu atamzalisha paka watoto5 naasimuoe uislam haina Pete hiyo Pete zuga tu
@jacquelinekennedy5740
@jacquelinekennedy5740 5 күн бұрын
Presenter wakike try to be proffesional in just a good way .. kuna vitu unaongea they don’t have to be said there kama hapo kweny kubadili dini
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 5 күн бұрын
Bs ukiona ivo ata beka haswa Li
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 5 күн бұрын
😂 happy jamani hembu kua na msimamo kwenye dini unatuchanganya 😮
@Mimy_keys
@Mimy_keys 3 күн бұрын
Eti Nimebadilisha Dini Ila bado nna ka Ulokoke mana sijawahi kwenda maskini 🥹 Kama Pete imechukua myaka 10 Ndoa jee!!! Mpaka aniowe lililililiiiiiii 😂😂😂😅😅😅
@HazinaElisha
@HazinaElisha 2 күн бұрын
Akitaka aache kuhama na limimba lakee hilo
@Mtoto-ig5vw
@Mtoto-ig5vw 2 күн бұрын
Waowane kiislam alaf after apo kila mtu abaki kwenye dini yake basi 😊
@shakila3982
@shakila3982 Күн бұрын
Atakuwa ameenda kinyume, Mwenyezi Mungu hafanyiwi njaja
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 сағат бұрын
Allah hachezewi
@Kabwela776
@Kabwela776 4 күн бұрын
Naona huyu mwanamke anataka ndoa tu Na awe na uhakika na watoto wake watatunzwa Na apate mtelemko mjini ila huyu fala mwanaume inaonekana amependeza zaidi , mwanamke ni mrangi, mnyaturu, mwiraqw, mchaga au makabila ya tanga au mpare?
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 4 күн бұрын
Ss mtapambana upate ndoa mbona mnazaa watoto mama anaangalia tu kuwa na msimamo.
@Kabwela776
@Kabwela776 4 күн бұрын
Huyo mwanamke ni kabila gani ?
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 5 күн бұрын
Subuhanna allha😢😢
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 сағат бұрын
Mtihani mkubwa sn wa2 hawajielewi unazaa njee ya ndoa tena kwa makusudi
@sarastephano3409
@sarastephano3409 Күн бұрын
Huyu dada nampenda anamisimamo
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn Күн бұрын
Angekuwa na Msimamo angebeba mimba nyingine apo wote awajielewi wamekutana pipa na mfuniko 😏
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 сағат бұрын
Msimamo gani alokuonesha ukavutiwa nao
@Kabwela776
@Kabwela776 4 күн бұрын
Huyo mwanamke ni kabila gani ? Mwanamke anaweza kuliwa na wala usijue mkuu kuwa Na akiba ya maneno na mwanamke wa kitanzania kutaka kuolewa na wewe haimaanishi anakupenda mara ameona yuko mkono salama kiuchumi 😅
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 күн бұрын
Acha kutoa vipete nenda kwao katoe mahari tangaza ndoa usiri usiri na watoto ndo wanakuja ao
@marthasonia5005
@marthasonia5005 2 күн бұрын
👍👌
@mpalazotz7753
@mpalazotz7753 5 күн бұрын
Mtihan huo
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 5 күн бұрын
Happy wala usijilaumu kuwa haujawahi kuenda mkitini wala kuswali uka jiona ww sio muislam kuna watu wamezaliwa waislam na hawapajui msikitini. Beka kama ulimbadilisha mtt wawatu dini inabidi umfundishe na umuelekeze
@lenniefei6710
@lenniefei6710 5 күн бұрын
Kweli ila swala ndio nguzo ya Imani, na wala sio tu kuenda msikitini pekee
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 5 күн бұрын
Waiwane ila kilamtuue abakiye ku dini yake
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 сағат бұрын
Yani huyu mwanamke hajielewi kabisa ukiona mwanamke au mwanaume anabadilisha dini kwasababu ya mapenzi bc ujue wana mapungufu ya akili wote wawili m2 habadilidhi dini kwasababu ya mapenzi anabadilisha kwasababu ya kuamini dini alokua sio sahihi na kuamua kwenda dini nyengine
@DM.2200
@DM.2200 5 күн бұрын
Fungeni ndoa ya bomani kiishe kila mtu abaki na dini yake coz wanaweza funga ndoa kiislam na dada akabaki kwenda church itakua haina maana ya kubadilisha din
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 3 күн бұрын
Waislamu hatuna ndoa ya bomani ni uzinzi tu kama ni bomani ni Bora waendelee kazini hivyohivyo na uzinifu wao. Wasihadae walimwengu bure.
@hanifaa1487
@hanifaa1487 5 күн бұрын
😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
@najmasaid7057
@najmasaid7057 Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wanakuchefua
@Kabwela776
@Kabwela776 4 күн бұрын
Wanawake hawana dini wanabadilisha dini kabisa
@alphredinaalphonce7043
@alphredinaalphonce7043 3 күн бұрын
Imeandikwa wap ndugu
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 күн бұрын
Muone huyu fuvu lake ebu tuheshim kidg jamn 😢
@Kabwela776
@Kabwela776 3 күн бұрын
@@ukhutfatumah1154 hamna dini nyie hamna misimamo kwenye maslahi kokote mnaolewa Na dini mnabadilisha sababu maisha yenu ni watu tegemezi sana bila uwepo wa sisi wanaume nyie si lolote kabisa !
@mariamhassan1723
@mariamhassan1723 3 сағат бұрын
Asa huyu mtangazaji wa kike kavaa nn 😅
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 5 күн бұрын
Mwanamme anaweza kuowa mwanamke wa kikiristo si haram lakini mwanamke hawezi kuolewa na mkiristo.
@clustermqsir9840
@clustermqsir9840 4 күн бұрын
Hehehe...kwahyo mwanamke hana dini??? Haramu iwe haramu tu 😂😂😂😂
@masumbukojames5134
@masumbukojames5134 4 күн бұрын
Ubàguzi wa waziwazi
@ce-08
@ce-08 3 күн бұрын
Hajapenda huyo
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 күн бұрын
Si ubaguzi ila mwanamke atazidiwa nguvu na mwanamme ndo mana uislamu umekataza
@shakila3982
@shakila3982 Күн бұрын
Inakatazwa usitupotoshe, Qur'an inasema msiwaoe wanawake washirikina, Qur'an 2 :221 inasema, WALA MSIWAOE WANAWAKE WASHIRIKINA MPAKA WAAMINI, NA MJAKAZI MUUMINI NI BORA KULIKO MSHIRIKINA HATA AKIKUPENDEZENI, WALA MSIWAOZE MABINTI ZENU KWA WANAUME WASHIRIKINA MPAKA WAAMINI, NA MWANAUME MTUMWA NI BORA KULIKO MSHIRIKINA HATA AKIKUPENDEZENI, HAO WANAITIA KWENYE MOTO, NA .MWENYEZI MUNGU ANAITIA KWENYE PEPO,NA MAGAFIRA KWA IDHINI YAKE, NAE HUZIBAINISHA AYA ZAKE KWA WATU ILI MPATE KUKUMBUKA, Hiyo ni Qur'an bishana, inakataza pande zote mbili kwani atakushawishi umfate,
Kenya on the Brink | A roundtable interview with President William Ruto {Full}
1:53:10
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 6 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 11 МЛН
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 46 МЛН
VIDEO YA BILLNASS NA MKEWE NANDY YASISIMUA MITANDAONI
1:10
Kaka Ken_254
Рет қаралды 22 М.
BARNABA AMTOLEA UVIVU MAMA MKWE/AMEZIDI/NAONGEZA MKE WA PILI
14:59
Dizzim Online
Рет қаралды 44 М.
SHILOLE AKIRI "NITAOLEWA HATA NDOA 30, KWANI KUNA UBAYA?
23:13
Millard Ayo
Рет қаралды 46 М.
HOW DID HE WIN? 😱
0:33
Topper Guild
Рет қаралды 23 МЛН
ПРИДУМАЛ ВЫХОД (@inaciomundoafora - Instagram)
0:21
В ТРЕНДЕ
Рет қаралды 14 МЛН
Эмоции💫 | Тгк: D1ashenka✨
0:22
D1ashenka
Рет қаралды 4,9 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
0:16
LOL
Рет қаралды 12 МЛН
Happy 4th of July 😂
0:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 13 МЛН
BABY Comedy : Gift for baby💔
0:41
BABY Comedy
Рет қаралды 4 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
0:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 10 МЛН