No video

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware Collins Jomaisi Khalisia akamatwa

  Рет қаралды 294,634

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Ай бұрын

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya watu tisa ambao miili yao ilipatikana katika eneo la Kware huko Mukuru kwa Njenga,amekiri kuwauwa watu 42. mshukiwa huyo Collins Jomaisi Khalisia mwenye umri wa miaka 33 alikamatwa na maafisa wa upelelezi wa jinai katika mtaa wa Kayole hapa jijini Nairobi.

Пікірлер: 1 200
@muziki79
@muziki79 Ай бұрын
Poor boy was bribed by DCI to take the blame to cool down the anger...bribery and coercing is a crime...all these DCI's should be arrested by themselves and charged in court 😅
@floameyo6358
@floameyo6358 Ай бұрын
That’s true
@Kissbaby267
@Kissbaby267 Ай бұрын
💯
@kayesacliff900
@kayesacliff900 Ай бұрын
he is the culprit bwanaa the evidences is there!
@mzeemombasa.3456
@mzeemombasa.3456 Ай бұрын
Can you accept such a bribe and bare such a heavy cross??????
@mercyajah7915
@mercyajah7915 Ай бұрын
​@@mzeemombasa.3456people do anything for money,ofcourse he's promised money and freedom and even being taken out of the country
@wanjiru-w8r
@wanjiru-w8r Ай бұрын
we are not in early 90s we are not our parents!!!! the truth will be out!!! Watch this!!!
@baloz8974
@baloz8974 Ай бұрын
Naamini hvyo pia mimi wanajaribu kupoteza fahamu zetu tuamini urongo wao
@wamaithachege4316
@wamaithachege4316 Ай бұрын
​@@baloz8974😂😂😂Kenya my country
@qrankmw.
@qrankmw. Ай бұрын
ehh...i could have agreed if they named farah maalim...
@impartial_idea2497
@impartial_idea2497 Ай бұрын
What did your parents do you fool other than build this country
@georgegithuma1997
@georgegithuma1997 Ай бұрын
Viva!!✊🏽
@JosephNganga-kw4xb
@JosephNganga-kw4xb Ай бұрын
I disagree with this 100%
@margaretwanjiru6143
@margaretwanjiru6143 Ай бұрын
Si upeane mchukiwa basi
@petersonnyoro459
@petersonnyoro459 Ай бұрын
Exactly or he is the one doing the shit
@anneeriksson2079
@anneeriksson2079 Ай бұрын
You must know the killer then
@michaelkamauirungu2460
@michaelkamauirungu2460 Ай бұрын
i disagree 100,%
@maxtarus6828
@maxtarus6828 Ай бұрын
Ata yule wa Donald trump hakai😂😂
@agnesmusungu5274
@agnesmusungu5274 Ай бұрын
Nani mwingne anapitia comments kama mimi
@nelsonkiiru7252
@nelsonkiiru7252 Ай бұрын
Niko hapa!
@estherwanjiru4954
@estherwanjiru4954 Ай бұрын
Nko hapa
@justusnjuru9787
@justusnjuru9787 Ай бұрын
nko hapa lkn niuongo mtupu
@irinewamalwa6752
@irinewamalwa6752 Ай бұрын
Aky tumechoka
@maureenjames458
@maureenjames458 Ай бұрын
Since the maadamano stated I don't trust the gorvement of Kenya at all 💯🙌
@lucymwai7645
@lucymwai7645 Ай бұрын
Okay, According to me mbona ni wanawake tupu hakuna mwanaume ata moja? Nikirundi nyuma kidogo nakumbuka yule Mukisii alikua anakunyua damu ya wanawake na kuwaua.
@qrankmw.
@qrankmw. Ай бұрын
ehh..huyo dci ni ..utracrepidarian....
@Sharon_537
@Sharon_537 Ай бұрын
Kuna wanaume ​@@lucymwai7645
@maggienganga1046
@maggienganga1046 Ай бұрын
Exactly uyo jamaa ni innocent
@geoffreymuriithi1279
@geoffreymuriithi1279 Ай бұрын
Peana mshukiwa basi
@dennisgathuku6656
@dennisgathuku6656 Ай бұрын
I say again,SHAME on all TV stations in Kenya..this guys are also being manipulated by the government.
@aviosilona316
@aviosilona316 Ай бұрын
Uongo mara mia this guy is innocent no wonder sipendi kufuatilia story za serikali juu ni Uongo tuu eti from 2022 to 2024 mnajisikiza kweli😢
@zipporahkirigwy6783
@zipporahkirigwy6783 Ай бұрын
True, meaning this massacre was done in the year 2022 🙄 I wonder what he's saying. This not true, was he alone doing all this rubbish. We want the whole truth.
@jawyhi9090
@jawyhi9090 Ай бұрын
Kabisa
@martins.k3359
@martins.k3359 Ай бұрын
Kaka sungura story .
@emmam4576
@emmam4576 Ай бұрын
They think we are fools
@emmam4576
@emmam4576 Ай бұрын
You think they bribe? They threaten tu. Yani kenyan police are a joke 😷. Ati machete and simcards. IDs wameokota kule Odeon😂
@kevinyadah1562
@kevinyadah1562 Ай бұрын
We want forensic investigations..hawa si wa kuaminika
@daveondiekaaron2204
@daveondiekaaron2204 Ай бұрын
YES
@Xxys8kg
@Xxys8kg Ай бұрын
It's the same government that will conduct the investigation
@leonardseur3717
@leonardseur3717 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Jaba is real, but thank God 30million Kenyans are well informed and we can't be manipulated 😂😂😂
@djfreddy2548
@djfreddy2548 Ай бұрын
Tulipita 30 million sai tuko 50 million plus
@TTK_world
@TTK_world Ай бұрын
We Won't Accept This Lie's Amelipwa Ajifanye Niyeye Nani Ajui Ruto Ruto Must Go
@mayaspanic221
@mayaspanic221 Ай бұрын
Ati ndio tukose kuandamana kesho
@anthonyonuti8473
@anthonyonuti8473 Ай бұрын
Hajalipwa, amefinywa viproper.... Utapata yeye ni wanted wa makosa zengine, lakini hii sasa amekua avenue, kujaribu kutuliza Tuesday Maandamano. Bottom line remains status quo, if you know you know..... Vivaa !!!!!
@user-jy7ne3iw7y
@user-jy7ne3iw7y Ай бұрын
Eeeih nyinyi watu ... Kwahivyo
@TTK_world
@TTK_world Ай бұрын
@@anthonyonuti8473 🤣🤣🤣by the way 🤣🤣🤣
@brendawafula6592
@brendawafula6592 Ай бұрын
Aya leta ule police aliua REX sasa
@ToxicAfricanKing
@ToxicAfricanKing Ай бұрын
😂
@EstherMuthoni-xn5kb
@EstherMuthoni-xn5kb Ай бұрын
One thing you need to know is that Rex was most wanted
@brendawafula6592
@brendawafula6592 Ай бұрын
@@EstherMuthoni-xn5kb wanted by who and who are you to him madam JUDGE
@daveondiekaaron2204
@daveondiekaaron2204 Ай бұрын
Correct ❤️💯
@joycewaithera6340
@joycewaithera6340 Ай бұрын
Kwa Nini colour za pantie hizio zingine hamjasema
@kevinkamau9007
@kevinkamau9007 Ай бұрын
A rotten government. The free Education Kibaki gave is bearing fruits Kenyans are enlightened.
@Monnie-Glory
@Monnie-Glory Ай бұрын
Even the Alpha generation should be given free education. No Kenyan should ever be enslaved through lack of adequate education.
@mfululizowak9899
@mfululizowak9899 Ай бұрын
​That's what we are fighting for...a government like Kibaki's or better...@@Monnie-Glory
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 Ай бұрын
True
@yusrihamid827
@yusrihamid827 Ай бұрын
Ukifwatilia hyo jamaa utapata wamemtoa kwa hosii ya machizi wakasema wamtumie kutuliza pressure ya wananchi😂😂
@judithbulima5209
@judithbulima5209 Ай бұрын
Very true
@vitalisjuma4451
@vitalisjuma4451 Ай бұрын
Kweli kabisaa
@aliallan492
@aliallan492 Ай бұрын
True kabisa
@user-ft7sl4fr4q
@user-ft7sl4fr4q Ай бұрын
Unaeza ua watu tiza na ukose kujulikana immediately kweli😊😊
@alphonceokoth6381
@alphonceokoth6381 Ай бұрын
True
@samuelndegwamburu3273
@samuelndegwamburu3273 Ай бұрын
Klub inafunguliwa asubuhi na polisi wako,mimi sio shabiki but kunakuanga na mpira asubuhi?
@billOudia
@billOudia Ай бұрын
Copa america ilichezwa saa ngapi?
@maxmakobi2549
@maxmakobi2549 Ай бұрын
Copa america imechezwa early morning acha kuwa msenge
@aliallan492
@aliallan492 Ай бұрын
​@@maxmakobi2549so tuseme yy ni shabiki sugu wa ball😂😂
@stevekiplagat9914
@stevekiplagat9914 Ай бұрын
Asubuhi huanza saa ngapi😂
@janaleokesho8374
@janaleokesho8374 Ай бұрын
Niliwatch ball masaa ya asubuhi copa finale
@sarahcorak7683
@sarahcorak7683 Ай бұрын
Aki seriously!!! Yani you expect Kenyans to buy this story😳 ....where was DCI when people were reporting their missing loved ones 😢 May the women rest in peace.
@licious4633
@licious4633 Ай бұрын
Ngotha za pink na hand bag za pink ndio tujue ni wanawake😂😂😂
@erickjuma7643
@erickjuma7643 Ай бұрын
They have fabricated the story
@floameyo6358
@floameyo6358 Ай бұрын
No, this guy is being sacrificed
@jeremiahotuto6250
@jeremiahotuto6250 Ай бұрын
How sure are you,?
@agripinamuhavi5669
@agripinamuhavi5669 Ай бұрын
Exactly
@Prince-rb3su
@Prince-rb3su Ай бұрын
Scape goat
@naizcomics
@naizcomics Ай бұрын
Maybe he was already a convict, he was taken out to be arrested
@MAINA_THETHERE_1704
@MAINA_THETHERE_1704 Ай бұрын
​@@naizcomics🤣🤣🤣🤣Taken out and arrested again🤣🤣🤣
@bbd359
@bbd359 Ай бұрын
Lying😢 If someone else stole the phone Sold it out.?? I don't bealive DCI
@ruthkithome764
@ruthkithome764 Ай бұрын
Do you understand what's forensic analysis of mobile phones
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 Ай бұрын
Kitu yako ikiibiwa itasaidika na police abstract.
@emilysawayi5787
@emilysawayi5787 Ай бұрын
Never buy second hand phone however cheap
@kanyikimani4342
@kanyikimani4342 Ай бұрын
Bob Marley said. "You can fool some People sometimes but you can't fool all the People all the time"
@EstherKubwa
@EstherKubwa Ай бұрын
Let me tell you mkae mkijua kuna sirikari ingine juuu yenu nayo hio sirikari nia mbinguni naiko tayari kufichuwa siri zote katika ulimwengu huu wawanadamu☝️
@vumbisnap
@vumbisnap Ай бұрын
Sisi tuko serious hapa bwana wacha mchezo
@africanson7349
@africanson7349 Ай бұрын
​@@vumbisnapyenye amenena ni kweli kabisa kaka
@CharlesMoreHappy
@CharlesMoreHappy Ай бұрын
Kwani jamaa hangewahi patikana htra siku moja akienda kutupa mwili ..wacheni kupima wakenya akili
@SallySerin
@SallySerin Ай бұрын
Na hawezi beba peke na alipita vipi hapo kwa mapolice bila kushukiwa for that long
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Ай бұрын
Mungu yuko lkn mwajifanya nyinyi waerevu sio kwendeni zenu
@beatriceminja2148
@beatriceminja2148 Ай бұрын
Hii government inaona watu akili hatuna .. hiyo ni uongo
@walenisi9278
@walenisi9278 Ай бұрын
Yaani yeye pekee alikuwa akibeba pekee?
@symonwanjohi3294
@symonwanjohi3294 Ай бұрын
@@CharlesMoreHappy Bona onyancha pai hakupatina
@Rockbalozi
@Rockbalozi Ай бұрын
Huu ni urongo, ufanye uhalifu halfu evidence unaweka kwa nyumba, huyo amepewa pesa ili uchunguzi uishe,, mbona watu wenye cheo kwa serikali., wakipotezwa. Uchunguzi unamaliza mwaka mzima, lakini huyu siku za kuhesabu tu.
@uwesusaid5334
@uwesusaid5334 Ай бұрын
Huo ni Uongo aise mtu mmoja anaweza Uwa Watu 42 😂😂 Kutoka Tanzania 🇹🇿 tunawapata Citizen
@unknownchannel494
@unknownchannel494 Ай бұрын
Huenda ako ma Team
@mzeemombasa.3456
@mzeemombasa.3456 Ай бұрын
@@uwesusaid5334 Kuna mmoja aliuwa mia, yeye alikuwa anawauwa anakunywa damu na kutupa miili. Google Onyancha today he is a born again.
@anneeriksson2079
@anneeriksson2079 Ай бұрын
Didn't you hear that it's in a span of several years..
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 Ай бұрын
Anaweza. Ma serial killer
@geoffreymuriithi1279
@geoffreymuriithi1279 Ай бұрын
Tupe mshukiwa basi
@erickmuma696
@erickmuma696 Ай бұрын
The way the DCI handling the evidence it’s a clear lie 😂😂😂😂😂😂😂
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 Ай бұрын
Alianza kuua watu 2022 na mili bado inatoka damu fresh?DCI ogopeni MUNGU
@estherkariuki1586
@estherkariuki1586 Ай бұрын
I do not believe yhe story...this is just undercover.
@daveondiekaaron2204
@daveondiekaaron2204 Ай бұрын
Absolutely
@dickensojiambo275
@dickensojiambo275 Ай бұрын
Jamaa mwenyewe anakaa mkulima wa nyanya hii ni uongo government can do anything
@BMboss108
@BMboss108 Ай бұрын
😂😂😂😂
@naibraolwaga1269
@naibraolwaga1269 Ай бұрын
True
@sophieopiyo4906
@sophieopiyo4906 Ай бұрын
😂😂😂
@marykinuthia6067
@marykinuthia6067 Ай бұрын
😂😂😂😅😅😮 a secondary school boy.
@AnastaciaMuikia
@AnastaciaMuikia Ай бұрын
Kweli
@perezokeyo4083
@perezokeyo4083 Ай бұрын
No..I refuse to be lied to...how did they find him very fast, if people who killed msando , Jacob juma and the rest have never been found, how fast...uongo bana
@hellenamwoma8455
@hellenamwoma8455 Ай бұрын
Nilikua nataka kubelieve hii story lakini nikakumbuka hii ni kenya😮
@lenah449
@lenah449 Ай бұрын
Same here😂
@emorutnicholas1893
@emorutnicholas1893 Ай бұрын
Uongo reloaded, Wakenya hatupangwi na huo UONGO, Serikali kupitia Polisi wahuni ndo wahusika ya mauaji
@SailezKingBee
@SailezKingBee Ай бұрын
Hii ni uongo sana maumbwa government mnajaribu kututumia Sisi Kufisha police wenu walikata watu wakatupa God washing you Mlaaniwe😢😢
@MaryAkowe
@MaryAkowe Ай бұрын
😂😂Afro Cinema continues shortly
@4custaywithme
@4custaywithme Ай бұрын
AERIAL YANGU HAISHIKI
@tracya2509
@tracya2509 Ай бұрын
😂😂😂 Umesema tuko episode gani???
@adamjaama7086
@adamjaama7086 Ай бұрын
Tuko episode 10@tracya😂😂😂😂
@ElizabethNthena
@ElizabethNthena Ай бұрын
Twist left kidoogo😂😂​@@4custaywithme
@4custaywithme
@4custaywithme Ай бұрын
@@ElizabethNthena NIMETWIST IKO POA asante
@catherinethou
@catherinethou Ай бұрын
Hii government iende ifanye kazi na senior Dave mwenye anafanya kazi more than Dci wa government
@erico1991
@erico1991 Ай бұрын
Niliambiwa nikiwa mdogo serikali inamanisha "sirikali",,the problem ni watu wamegrow sasa siri sio siri tena
@josephmwangi6727
@josephmwangi6727 Ай бұрын
What a conclusive investigation, just in a few hours, hongera DCI😅😅
@gman3245
@gman3245 Ай бұрын
He was arrested just within 1day how fast?? This guy he's Was fixed 😊😊 100% doubt
@orlandoreagan6443
@orlandoreagan6443 Ай бұрын
If this man is sick,did they take him to confirm that he's not in his right senses before arrest,did the parents of the late wife report the didsapearance of their daughter or relative
@princeofaragon728
@princeofaragon728 Ай бұрын
They captured him while watching Europe finals and arrested him in the morning,what a story!!!
@mauriceomolo4604
@mauriceomolo4604 Ай бұрын
He was watching football with them and they left him to go and sleep before they pounced on him in his house and arrested him in morning. Woiwoi- children of liar are shrewd liars too.😁😅😅😅😅😅😅😅
@marymusanga2199
@marymusanga2199 Ай бұрын
Very interesting indeed
@princeofaragon728
@princeofaragon728 Ай бұрын
@@mauriceomolo4604 Surely😂
@qrankmw.
@qrankmw. Ай бұрын
eh.kanja.bungei.amin all must go..why are wananchi doing their job going into the quarry as they stand pretty far away reading statements.?.and we pay them using same wananchi's tax money.?..useless !
@Serah_Dixon
@Serah_Dixon Ай бұрын
Huyu anatoa wapi hard drive na laptop. Angekua ameuza😢danganya toto jinga
@JanetWachiye-lg4vt
@JanetWachiye-lg4vt Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@janekimango1189
@janekimango1189 Ай бұрын
Pole sana to this guy He knows nothing about!
@JoshuaShole-wl2zm
@JoshuaShole-wl2zm Ай бұрын
Apa ni karata police wanajua hao DCI ndio wanauwa
@valentinembwika2321
@valentinembwika2321 Ай бұрын
Waache kuekelea uyu jamaa
@MaryAkowe
@MaryAkowe Ай бұрын
😂😂hahaha .hizi evidence ni safi sana.
@faithomollo9721
@faithomollo9721 Ай бұрын
How comes the tools are very clean without any dent
@AfriKan-Nazi
@AfriKan-Nazi Ай бұрын
Mnalipana ngapi ndio pia mimi mn mniaccuse
@marykinuthia6067
@marykinuthia6067 Ай бұрын
😂😂😂😅😅😮
@adamjaama7086
@adamjaama7086 Ай бұрын
Wanapeana 100k uko tayari @kenya 😂😂😂😂
@AfriKan-Nazi
@AfriKan-Nazi Ай бұрын
@@adamjaama7086 nilithani mtatenga kama mirrion kwa kila mwili mnaniekelea
@ruthkerubo4386
@ruthkerubo4386 Ай бұрын
😂😂
@ring-tone278
@ring-tone278 Ай бұрын
Kenyans". Bodies have reached 20. He asked pray for him. Very dirty work. What is the difference between Ruto and Mackenzie?!? Someone.
@patriciamuenimulwa1808
@patriciamuenimulwa1808 Ай бұрын
Everything is now ruto 😅. Sometimes its good to use common sense.
@LlinscoTradingEmpire
@LlinscoTradingEmpire Ай бұрын
If he murdered his wife,, did she not have relatives who were looking for her,.. koz if they were looking for her they would have suspected him long time ago, where are the police reports showing of missing persons.. they should stop beating around the bush.,,
@babypoliceentertainment7142
@babypoliceentertainment7142 Ай бұрын
Hii story ni uongo sio yeye aliuwa
@CollinsChembeni
@CollinsChembeni Ай бұрын
My question too..... This guys are trying to brain wash us thinking we are fools
@Watt-er8or
@Watt-er8or Ай бұрын
@@babypoliceentertainment7142 Nani aliua bibi yake?
@LlinscoTradingEmpire
@LlinscoTradingEmpire Ай бұрын
@@Watt-er8or wanasema huyu jamaa ndo alimuua
@LlinscoTradingEmpire
@LlinscoTradingEmpire Ай бұрын
@@CollinsChembeni Exactly
@prot6liv981
@prot6liv981 Ай бұрын
His first victim was his wife yet noone in her family reported her missing and then he went on a killing spree... doing all that work and somehow he got away with it all...kweli I have seen this movie its called Dexter
@kenjames8940
@kenjames8940 Ай бұрын
Mbona hamuku-track hio simu wakati mwenye simu alipotea...we are not fools
@richardmutiku2260
@richardmutiku2260 Ай бұрын
Hapa uongo ndio mingi. Watu wakwao watuambie kwanza aliua bibi aje na akapotea aje. Majirani pia watupee story mtu Kumi na within 2 weeks na karibu na mahali ya kutupa na hakuna fununu.😮
@jtwinsshow
@jtwinsshow Ай бұрын
The government so poor at custing😂😂
@cookingwithNamisi
@cookingwithNamisi Ай бұрын
True, this is afro cinema. Aje sasa ? Mungu shuka huku Kenya tukuone
@EverylineMongarora
@EverylineMongarora Ай бұрын
Hii n kulipwa amelipwa wa2aje kutupepa kujiunga plz ruto must go hii ni kazi ya Ruto ndo watu wasijue n serikali hawa wameuliwa juu ya upinzani wa serikali bado hii serikal haitakuwa na amani kama ruto hatajiondoa 😢😢😢😢😢
@masterdismas
@masterdismas Ай бұрын
That,s just tricks
@HannahNjaramba
@HannahNjaramba Ай бұрын
Mwache ujinga kuekelea mtu aliua
@bernardkariuki2615
@bernardkariuki2615 Ай бұрын
Ama wewe ndiye uliuwa uko na hasira mingi hivi,that is a confession.
@HannahNjaramba
@HannahNjaramba Ай бұрын
@@bernardkariuki2615 eeeeh ni mm
@bernardkariuki2615
@bernardkariuki2615 Ай бұрын
@@HannahNjaramba I wish ungepatana na huyo muuzaji akufuck nyuma na akuweke kwa gunia fala hii
@filexingutia3620
@filexingutia3620 Ай бұрын
Mind you we are not fools. DCI wameweka masimu , sila na tarakilishi kwa nyumba ya mtu na kisema kwamba yeye muuaji. We shall not entertain such lies here in 🇰🇪. These are Pure lies and jokes of the century. Try those jokes elsewhere kesho tunaanguka nayo💪🙌
@erickjuma7643
@erickjuma7643 Ай бұрын
The courage this gvt has is immense. How do you oie this boldly?
@damaricenawire5760
@damaricenawire5760 Ай бұрын
My question is walijua aje Ni yeye muweche kutupima bangi
@mayaspanic221
@mayaspanic221 Ай бұрын
I'm also wondering
@JamesWaithaka-np8uj
@JamesWaithaka-np8uj Ай бұрын
Alikua na tenje ya mmoja was marehemu.
@damaricenawire5760
@damaricenawire5760 Ай бұрын
@@JamesWaithaka-np8uj ooh hata kama Ni Ivo kumaanisha hayuko pekee yake wako Wengi Na wako Na leader wao
@KelvinWamwea
@KelvinWamwea Ай бұрын
We're not fools period. 😁😁😁😁
@gtdetan
@gtdetan Ай бұрын
"Sagrifisial lamb" Who is the Boda guy that supposedly blew the whistle? What serial killer tells a total stranger to help him dump a body in a quarry that is under serious public scrutiny for the gruesome discoveries inside? He claimed to have killed his wife in 2022, kwani nobody missed her? What book has her missing persons OB number registered in it?
@daprince7545
@daprince7545 Ай бұрын
Mna cover hio story, since 2022 mpaka saii DCI ndio wamempata mshukiwa. Jst playing with kenyan's brain. Apa tumechezwa 💯
@kadilamore802
@kadilamore802 Ай бұрын
😅😅 😂everything pink😂 i don't know why nacheka
@lynnewaskasiaka
@lynnewaskasiaka Ай бұрын
Hata wewe unafaa ku resign.uongo!!¡
@lucymwai7645
@lucymwai7645 Ай бұрын
This is very very sad, Oh my God Almighty hi ni maneno gani jameni. 😢😢😢. From 2022 up to this time Familia ya Bibi yake hawajawai chuku huyo Kijana?
@gladysglado7074
@gladysglado7074 Ай бұрын
Uongo Mungu will show up everything Kenyans😊
@rogersmutua
@rogersmutua Ай бұрын
We don't have a country here
@KathiniMulwa
@KathiniMulwa Ай бұрын
Hakuna mtu anajua huyu jamaa na bibi yake mwenye aliua atuelezee aky me nimechanganyikiwa
@AnkoLolo-mv5bk
@AnkoLolo-mv5bk Ай бұрын
Bibi aliye jufa atatoaje ushuhuda nikikuuliza?
@rootsblakwafula3474
@rootsblakwafula3474 Ай бұрын
Elewa swali. Mwenzako ameuliza swali genuine kabisa​@@AnkoLolo-mv5bk
@joykhayega6974
@joykhayega6974 Ай бұрын
​@@AnkoLolo-mv5bkmbna hakuna hata mtu mmoja anayemjua kwan alikua a anaishi space??
@chrispinesimiyu
@chrispinesimiyu Ай бұрын
Kwani hata majirani hawamjui au hawajawai muona?
@KathiniMulwa
@KathiniMulwa Ай бұрын
Hahahaha sasa gotha za pink zinatuhusu na nini na tunataka kujua how and why wanawake wanauliwa hivo watuonyeshe vedio akiogea basi kama vyenye mastan wanjala aliogea ai
@user-yo6dy7kp2m
@user-yo6dy7kp2m Ай бұрын
Wacha kutubeba wanaa...watu walio tupwa bags zao zaonyesha zililetwa kwa ukaribu zaidi na kufanana kware iko near by police huyo mtu alileta vipi mili hiyo mtu mmoja bila police kujua nambona watu wahapo karibu awajapoteza watu wao kwani yeye alikuwa anaenda uwa watu wapi na kiwasafirisha vip juu sifamilia za county ya Nairobi wa hapo karibu serikali iwache kuziba ukweli kwa kumtumia huyo kijana DCI must go mumeanza kudanganya wakenya
@taifakali1981
@taifakali1981 Ай бұрын
Thanks our dci ihis new cult
@aminarama1633
@aminarama1633 Ай бұрын
SubhanaAllah, lakini yeye pekee hawezi lazima awe na wenzake
@emilywangui
@emilywangui Ай бұрын
Wakenya mnajifanya mnajua ,I hope mnakubuka 2011 ile story ya onyancha ule mkisii alikuwa anakula wamama naivasha...alikula more than 100 ladies na hii mnasema ni uongo
@EngineerTractor-df2jh
@EngineerTractor-df2jh Ай бұрын
Tell them brother very sad
@aviosilona316
@aviosilona316 Ай бұрын
Tunakataa juu ya hapo 2022 hadi leo kwani tuko nchi gani😢
@user-yd1vh7xn5g
@user-yd1vh7xn5g Ай бұрын
Malaya wewe . Basi Jomaisi angekupata wewe na akukate vipande vipande ndio ujue wakenya sio wajinga.
@mzeemombasa.3456
@mzeemombasa.3456 Ай бұрын
​@@aviosilona316 The DCI are correct on this , the only problem we had was that Police were not serious on investigating the reported cases. That's led to the delay of Justice.
@catherinewangari4942
@catherinewangari4942 Ай бұрын
Wageni warundishwe kwao, na ingekuwa ni mkenya inchi ya wenyewe ,ingekuwaje,juuzi university student alipatikana kwa ndooo sisi,
@SusanIrungu-m9i
@SusanIrungu-m9i Ай бұрын
Wakenya aaaaiii tusibebwe namna iyo uongo uongo mtupu aki walai wanataka wakenya watulie na maongo zao wa kwende uko
@Maryawaweru
@Maryawaweru Ай бұрын
Najua huyu jamaa, anaishi kangemi Nairobi, ako na bb na watoto wawili, serikali isiwadanganye my good friends, Collins amelipwa juu hadii number yake tumejaribu imefungwa
@debbievice5886
@debbievice5886 Ай бұрын
Weeeh 😭😭😭
@David-designer
@David-designer Ай бұрын
mambo imechemka. wanasema alishikwa kayole na bado alikua amerentisha nyumba ingine near mukuru🤣🤣
@shoshorossana9033
@shoshorossana9033 Ай бұрын
Atì kì 🤣🤣🤣
@juliakanyoro5964
@juliakanyoro5964 Ай бұрын
Lies lies this guy anechotewa so that the government gets off the hook
@DesertTears
@DesertTears Ай бұрын
Unataka ngapi na wewe ukatoe ushahidi???
@elicamcompany
@elicamcompany Ай бұрын
tuambieni ukweli coz ii nikiswahili 2
@babypoliceentertainment7142
@babypoliceentertainment7142 Ай бұрын
Hii ni cooked story cze walimjua aje??
@rebeccahmudola7040
@rebeccahmudola7040 Ай бұрын
Me watching this the day Collins is clear and that he is not involved. Leaves wondering how you can rot in jail for someone else crime.
@sitcomsfulcrum
@sitcomsfulcrum Ай бұрын
Wameamua kutupima we all know the culprits bwana😂😂😂 siezi amini hii gava
@Unclesam00001
@Unclesam00001 Ай бұрын
Uongo how first...huyu mmelipa before maandamano kesho
@Kenyalove
@Kenyalove Ай бұрын
Let the suspect speek up hatujamsikia akisema kua yeye ndio ameuwa.
@joykhayega6974
@joykhayega6974 Ай бұрын
Ndo nashangaa ,,tunaonyeshwa tu picha ,,kwan picha inaeza ua mtu😮
@marthakamau20
@marthakamau20 Ай бұрын
innocent boy ameoingwa na kulazimishwa akubali hizi ni story za jaba uongo mtupu police wa hio area wanajua Kila kitu Juu hao watu waliuliwa waliuliwa sehemu mbali mbali na kuletwa huko police huwa wanangudua mtu akimbeba bangu Maiti dio walishidwa na kungundua hapa Iko siri fiche
@liliannduku1765
@liliannduku1765 Ай бұрын
Yaani shakahola was first scene second was Airbnb now it's kware aki mungu tuonekanie😭😭😭😭
@GloriaVaati-ls9ql
@GloriaVaati-ls9ql Ай бұрын
Hii sura ngumu hivi..ebu mtuachie huyu jamaa tumkanye....kumanina zake...
@user-bb9hw5vw6h
@user-bb9hw5vw6h Ай бұрын
Is a lie
@wafulak2
@wafulak2 Ай бұрын
Ni uongo this is a game 😂😂😂😂
@GloriaVaati-ls9ql
@GloriaVaati-ls9ql Ай бұрын
@@wafulak2 unasema ni huongo kwani umekuwa DCI....basi enda utupe report za ukweli...shida yenu ni kuingiza siasa wakati ambao haufai....
@GloriaVaati-ls9ql
@GloriaVaati-ls9ql Ай бұрын
@@user-bb9hw5vw6h then go and tell the truth....kila kitu mnasema ni huongo....ebu muache serikali ifanye kazi yake
@DesertTears
@DesertTears Ай бұрын
Haki Afrika,Boniface Mwangi😂😂😂😂😂 Gen z😂😂😂😂 na wapumbavu wengine wote mko wapi???😂😂😂😂
@rosamariewanjiru8659
@rosamariewanjiru8659 Ай бұрын
Tuko hapa senge hii. Mpumbavu sana kama you believe this.
@user-yd1vh7xn5g
@user-yd1vh7xn5g Ай бұрын
Huu ni uongo mtupu , serikali ya rais Ruto inahusika katika mauaji haya ya kinyama ila wametafuta njia ya kutuliza wakenya. Huyu jamaa tayari alikuwa mfungwa wa maisha katika gereza moja basi wakamtumia iliwatuchanganye. Gen Z say No to Ruto.Mbona Koome kajiuzulu mapema hivi? Ukweli upo wazi wazi.
@BeatriceMrunde-hu3vs
@BeatriceMrunde-hu3vs Ай бұрын
Uwongo huyo jamaa hajauwa mtu...serikali iseme ukweli...mbona before mandamano watu hawakufa Sahi ndo wanauwawa...msitukoroge serikali inajuwa
@kagamedimaria4787
@kagamedimaria4787 Ай бұрын
Story za jaba na za ujinga
@bishopbensonmututa4246
@bishopbensonmututa4246 Ай бұрын
Shugulikieni corruption na hiyo speed
@ivinesizy1616
@ivinesizy1616 Ай бұрын
This is a lie that i can't buy
@lontetilodungokiok2261
@lontetilodungokiok2261 Ай бұрын
The thing is the almighty father who is in heaven knows everything,let live all for him
@GeorgeKariuki-bb8wn
@GeorgeKariuki-bb8wn Ай бұрын
I used to fear men now am afraid of them...am a lady...am using my cousins phone😢😢😢
@seme8497
@seme8497 Ай бұрын
Tell the DCI we are not foolish, they should not try that with us
@fredrickeshitemi898
@fredrickeshitemi898 Ай бұрын
Kenya kenya ujanja mingi but God ndio anajua final destination 🙏
@user-pf4cx5zf1z
@user-pf4cx5zf1z Ай бұрын
Mbona government wanatubeba ufala,eti washaafanya uchunguzi,,,,walifikisha wapi uchunguzi wa yule dame aliuwawa Airbnb roysambu ...
@user-tk1wy5eg4q
@user-tk1wy5eg4q Ай бұрын
Mnadanganya Watoto wa kibaki..😂wamesoma kama kibaki mwenyewe..they are so smarter
@annomina8942
@annomina8942 Ай бұрын
Since 2022 up to now the DCI didnt know this? To add on that the bodies are still fresh oh God intervene and help our country kenya!
@jamillahmussa3775
@jamillahmussa3775 Ай бұрын
Hii sura ukiangalia kwa undani innocent, huyu amenunuliwa tu ajiseme uongo, ju bado ni kijana mdogo, na ukimtama uso si muaji,, i hunguzwe kiundani watapata ni watu tofauti,
@ValentineMinayo-b5c
@ValentineMinayo-b5c Ай бұрын
He doesn't even look like a killer kuna kitu behind this guys,
@thomsontinega6297
@thomsontinega6297 Ай бұрын
Stop using the poor man to cease the fire!
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s Ай бұрын
Huu ni uwongo mtu kuua watu 9 halafu life yake iwe normal sasa anaua kama for fun au 😢nop hii ni michezo huyo jamaa atashikwa ili wakenya watulie halafu ataachiwa huru trust me.. huyu jamaa ataachiwa huru hapo wanawazuga tu watchng frm 🇹🇿
@FatmamuhammadTumamoha-v2h
@FatmamuhammadTumamoha-v2h Ай бұрын
Wamlete huyo mshukiwa tu mhoji wenyewe...cause it seems hao DCIS na polisi wameanza mchezo!
@LindahRindah
@LindahRindah Ай бұрын
Neno serikali,linamaanisha Siri Kali ,MTU mmoja hawezi is watu 42 bana
@wycliffechwala4233
@wycliffechwala4233 Ай бұрын
This man should resign
CITIZEN NIPASHE - AUGUST 19, 2024
21:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 7 М.
Businessman Jimi Wanjigi arrested after surrendering to DCI
4:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 14 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 12 МЛН
Mfanyabiashara Jimi Wanjigi akamatwa na kuzuiliwa polisi Kamukunji
3:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 17 М.
Wapelelezi wa DCI wamtambua mwanadada anayeaminiwa kuua Eric Maigo
3:58
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 693 М.
Familia ya mshukiwa mkuu wa mauwaji yazungumza
3:27
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 67 М.
Jimi Wanjigi to spend night at Kamukunji Police Station
5:06
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 332
Je, polisi walionaswa wakiwaua waandamanaji watahukumiwa?
2:56
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 27 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 14 МЛН