No video

MSIGWA ATANGAZA VITA na MBOWE - LEMA - LISSU - "WAPINZANI WASIPATE KITI HATA KIMOJA - NINA SABABU"..

  Рет қаралды 35,364

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MSIGWA ATANGAZA VITA na MBOWE - LEMA - LISSU - "WAPINZANI WASIPATE KITI HATA KIMOJA - NINA SABABU"..
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 538
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@juliasmtundu442
@juliasmtundu442 Ай бұрын
Yuda msalt yupo wapi WA yesu
@user-qn8pb9er6c
@user-qn8pb9er6c Ай бұрын
Nyoka hajawahi kutema maji ni sumu tu. 😂
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y Ай бұрын
tatizo chama ulichokimbilia umeruka mkojo umekanyanga mavi
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s Ай бұрын
Unaogopesha watu kuusu kuitwa mchungaji kwani umegeuka laana katika kanisa
@chezariboy
@chezariboy Ай бұрын
Kweli, nilaana kuitwa mchungaji
@maryhando227
@maryhando227 Ай бұрын
Msingwa jamani mwogope Mungu.
@francisjohanes3027
@francisjohanes3027 Ай бұрын
Kuna waati nikiona viongizi wa dini kama hawa napata mashaka hata kwa mahubiri yao Mungu nisaidie nibaki kwenye imani yangu,
@ephrahimkivuyo4275
@ephrahimkivuyo4275 Ай бұрын
Mna uhakika kuwa uyu ni mchungaji au mchungwaji 😅
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Ай бұрын
Mungu akulaani wew povu kibao hamna kitu apo nakuaidi nyota yako umesha zima kitambo saana
@user-ql3xm7ix4r
@user-ql3xm7ix4r Ай бұрын
Umeingia kwenye kumi na 8 za lisu
@sautiyawanyonge2511
@sautiyawanyonge2511 Ай бұрын
Msigwa anahitaji msaada sana hayuko sawa kiakili
@user-xd1jj8cg2c
@user-xd1jj8cg2c Ай бұрын
Historia inaeleza kuwa ukoo huu ni hatari kwenye usaliti. Kabla wajerumani hawajajua Mkwawa watampataje, kuna mtu ambaye ni ukoo huu wa Msigwa alimsaliti Mkwawa na aliwaelekeza wapite njia ipi ili wampate Mkwawa. Huu ni ukoo hatari sana.
@davidchambulila6318
@davidchambulila6318 Ай бұрын
Msigwa ni mtu wa njombe sio Iringa , wahehe hatuna ukoo unaoitwa msigwa
@GaradiGaradi-zq1wf
@GaradiGaradi-zq1wf Ай бұрын
Amekosa kanda ya nyasa
@HinohiatHidoCo
@HinohiatHidoCo Ай бұрын
​@@davidchambulila6318lakini ndio ana asili ya kusaliti hasa njaa inapopamba moto.
@FredrickKinyaha
@FredrickKinyaha Ай бұрын
Yuda
@danielkanso
@danielkanso Ай бұрын
Baada ya kushindwa uwenyekiti kanda za juu kusini mhhh njaa nenda huko
@anthonylusuva6039
@anthonylusuva6039 Ай бұрын
Njaaa wanakuchangia leo😅😅😅😅
@user-cf4cs9qp1k
@user-cf4cs9qp1k Ай бұрын
Yeeee!! Hege ipa msaliti mkubwa!!
@user-rj2kt5qg5y
@user-rj2kt5qg5y Ай бұрын
Acha kupotosha
@mapendomeela7166
@mapendomeela7166 Ай бұрын
Mungu utusaidie huyu ndie msigwa ninae mjua tena mchungaji yuda msaliti
@user-pf2qk8fz9o
@user-pf2qk8fz9o Ай бұрын
Kweli siku ya mwisho tutachomwa vibaya saaana 😂😂
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Ай бұрын
Huyu Msigwa anayekula matapishi yake atakuwa kuni aungue kwanza aliitukana sana CCM kuwa wana akili ndogo sasa yeye nadhani atakuwa na akili isiyoonekana kwa macho mpaka utumie darubini
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya Ай бұрын
Huna tofauti na mtoto mdogo. Ni aibu Kwa kweli.
@yesayaambayuu2240
@yesayaambayuu2240 Ай бұрын
Mungu hawapende watu wa kauli mbili.
@josephk90
@josephk90 Ай бұрын
Msigwa anaongea naona aibu mimi😢
@pendobruno111
@pendobruno111 Ай бұрын
Hata Mungu siku moja utamsaliti
@BlessMwangosi-mz8dw
@BlessMwangosi-mz8dw Ай бұрын
Njaambaya😢😢😢
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Ай бұрын
Njaa mbaya Sana
@allenmoshi5125
@allenmoshi5125 Ай бұрын
Umemuelewa huyu jamaa kweli chizi 😂😂😂😂
@charlessolomon5928
@charlessolomon5928 Ай бұрын
Unatia huruma wew siochungaji mchungaji gani anae kimbia kondoo pumbavu
@maryhando227
@maryhando227 Ай бұрын
Huyo Mungu amsaidie amrudishie ufahamu.
@PaulLeo-em5dh
@PaulLeo-em5dh Ай бұрын
Ata kama umekuja ccm watu awatakupenda uliwahi kumtukana magufuli mwehu namba moja wew
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo Ай бұрын
Kitu nilicho kuja kukigundua hapa kwetu tz. Hakuna upizani niwaganga njaa tu mmh aise. Mwana siasa wa upinzani akikwambia usiku mwema toka njee uangalia niusiku au ni mchana,
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Acha uzushi, upinzani ni suala la kimaumbil, likichochewa na ñguvu ya akili ya ufahamu, utambuzi, utashi na uamuzi wa kuchagua kupenda (kutenda) au (kukataa (kupinga). Upunzani ulikuwepo tangu Mungu alivyomuumba binadamu na kumpa uhuru utashi wa maamuzi. Upinzani si suala la CHAMA fulani bali ni hulka ya binadamu!
@jaanjaan111
@jaanjaan111 Ай бұрын
Hata katika imani kenge huingia katika msafara
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 Ай бұрын
Kumbuka maneno ya MAKONDA Aliwahi kusema hakuna upinzani Bali Kuna watoa taarifa 😂😂😂😂
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Kwani we unamwamini msigwa tu au unayako Kumbuka yuda eskaliote nae alimuasi YESU kristo akaanza kunadi Pesa ..ndicho nnachokiona ni msigwa
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Ай бұрын
Hapana sio hivyo ni baazi tu ndg yangu sio wote na hata ccm ndo kubovu kabisa ndg yangu
@user-pk9yr4go8p
@user-pk9yr4go8p Ай бұрын
Njambayasana imezalilishamsigwa
@waweruwaweru3303
@waweruwaweru3303 Ай бұрын
Mchungaji wa maslahi ya tumbo. Msaliti wa maendeleo ya wananchi. Tamaa mbaya Msigwa. Ogopa Mungu
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s Ай бұрын
Ameanza kutunzwa kwa kumtukana mbowe kesho atatunzwa kwa kumtukana yesu uyu ni mtumwa wa pesa
@user-io6yj9fs2h
@user-io6yj9fs2h Ай бұрын
Wapumbafu ndo wanaweza kukuelewa wewe umepelekwa tumbo lako wewe njaa mbaya juzi tu ulikuwa siginda ulizungumza nini wewe wapuuzi kweli watakueelewa
@mathiasombella7516
@mathiasombella7516 Ай бұрын
Ivi izo hela si mngechangia vtuo vya yatima!!
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay Ай бұрын
Hatari sana..huyu jamaa si alikuwa yeye na chadema damu damu! Njaa mbaya sana!
@lelomushikimboka9938
@lelomushikimboka9938 Ай бұрын
mbona kama analialia, nasikitika tu kwamba amekuwa kiongozi wa miaka 20 kumbe na yeye alipewa hakushinda kwa haki.. Kuna shida mahali watanzania kuhusu UADILIFU. Kuna contradictions nyingi sana katika hotuba yake. Tuseme hakutosheka miaka aliyopewa kuwa kiongozi sasa imemuuma kupewa Sugu na hasira za mwenye kukosa kusema hata ambayo hayakuwepo. Akitulia tutamsikiliza na kumwelewa ila kwa sasa ana hasira sana anachoongea kinakosa mantiki. DON'T JUDGE OTHERS WHILE YOU HAVE SOME PERSONAL ISSUES. Tujifunze kuchambua ukweli na kuutenganisha na ushabiki.
@NtoraRollsheet
@NtoraRollsheet Ай бұрын
Msigwa kuwa na Akiba ya maneno, Kumbuka siasa haina Adui wa kusumu wala Rafiki wa kudumu.😂😂😂
@barakaemmanuel8871
@barakaemmanuel8871 Ай бұрын
Kwanza anapaswa kujua asingefika hapo bila Chadema
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j Ай бұрын
Hakuna hakiba itakoacha msigwa msema kweli...
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Muhimu aseme ukweli.
@twahamaulid
@twahamaulid Ай бұрын
CHAMA cha MAPINDUZI huwa kinashinda kwa kukubalika kwake na sio nyinyi WAPINZANI akina MSIGWA na wenzako mnaokuja CCM na kutaka kuyuaminisha kwamba mumekuja kwaajili ya kukiletea ushindi Chama cha MAPINDUZI. Nazichukiaga sana Kauli zenu nyinyi WAPINZANI.
@AyubuMwambola-j3k
@AyubuMwambola-j3k Ай бұрын
Unatokwa na mapovu,hauna hata haya ulaaniwe msigwa wewe siyo mchungaji, mungu akulaani
@pendaelmollel1847
@pendaelmollel1847 Ай бұрын
Njaa mbaya sana
@DenisonTheonest-yj3mk
@DenisonTheonest-yj3mk Ай бұрын
Msigwa wewe Malaya unatabia za kimalaya
@DenisonTheonest-yj3mk
@DenisonTheonest-yj3mk Ай бұрын
Huna tofauti na yuda
@dietrichoswald34
@dietrichoswald34 Ай бұрын
Msigwa wewe ni msaliti wa demokrasia Tanzania. Umetumia haki yako ya kikatiba kuondoka Chadema na kujiunga na ccm. Huna moral right ya kukashfu chama kilichokujenga hadi kufika hapo ulipo. Ni ukosefu wa utu na ustaarabu kukashifu waliokusaidia kufika hapo. Wakati ulipoamua kuondoka unatoa picha ya wewe umeondoka kwa sababu umeshindwa uchaguzi. Hayo yote ni hadithi. Ungepata uenyekiti wa kanda ya nyasa ungekuwa bado chadema. Wewe unatafuta kula. Ona unachofanyiwa ! Eti I'm humbled! Shame on you. I used to respect you. But not now. Umehongwa na sasa unabwabwaja. Kutumia imani chadema ilikuwa nayo kwako ukajua madhaifu yake, usaliti ni mbegu umepanda. You are taking it too personal. Unamchukia mbowe kiasi ungetamani afe kesho. Unaweza kuwa mwanasiasa bila chuki Rais wetu Mama Samia ni mfano wa siasa bila chuki na mihemuko. Sasa ni mwenyekiti wako, jifunze siasa bila chuki kama zako.
@ev.augustinehizza6584
@ev.augustinehizza6584 Ай бұрын
Mhe Msigwa unajidanganya huwezi kitu,chadema ni taasisi sio kikundi Cha wahuni kama chama ulichoingia
@muhammedkaku9972
@muhammedkaku9972 Ай бұрын
Lbd kwa asiye jua msigwa pesa ya ccm ameanza kuila tangu kwa marehemu magufuri tena alitaka kuhama kipindi hicho na siyo msigwa tu kuna mtu maalufu anatoka chadema muda siyo mrefu
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 Ай бұрын
Mtaje
@user-yl8ze2xy5z
@user-yl8ze2xy5z Ай бұрын
Lema muda si mrefu anàhamia CCM🤣
@user-rt8lv3jj8l
@user-rt8lv3jj8l Ай бұрын
msigwa mwogope Mungu mchungaji.kuwa na akiba ya maneno
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 Ай бұрын
Njaaa mbaya sana
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 Ай бұрын
Wewe ongelea sera za chama cha ccm na si kubwabwaja maneno yasiyo na maana. Hatakisemaje Chadema haifi bora ukafunga domo bro.
@lwitikomusa1712
@lwitikomusa1712 Ай бұрын
Ufai Mzee 😱
@charlesmbise2344
@charlesmbise2344 Ай бұрын
Huyu msigwa hana msimamo njaa nyingine kwanini anaisema chadema wakati alikuwa huko ,anatakiwa atoe hoja zake za kuijenga CCM siyo kukisema chama alicho toka nitaishangaa CCM kumpa huyu uongozi
@JosephIbrahimu
@JosephIbrahimu Ай бұрын
Usaliti mbaya we msigwa labda mwendawazim ndo atakuelewa
@lwitikomusa1712
@lwitikomusa1712 Ай бұрын
Arf ata awakushobokei niashara tu kuw ccm pia awakupendi IRA sasa wafanyeje 😊
@YeseMoses-l4v
@YeseMoses-l4v Ай бұрын
Daah Nenge Mbaya sana
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 Ай бұрын
alahu Akbar duniahi inamajabu mungu ivi haogopwikabisa namajitu mikubwa kamahi jaman dahh hunimsiba mkubwa wataifa na Jami kwaujimla
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Maraya wewe muchungaji wa ccm
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl Ай бұрын
Pesa Ya Hongo Bwana.. Msigwa Usinye Kwenye Pango Kabla Mvua Haijaisha.
@hopefully7090
@hopefully7090 Ай бұрын
Nchi yangu ongelea ugumu wa maisha ya watu chadema hawajawahi kuongoza nchi kwanini miaka ya sitini ya uhuru watoto wanasoma wamekaa chini,bima za afya watu hawazimudu
@barnabasmsagamasi611
@barnabasmsagamasi611 Ай бұрын
Wewe msigwa sema ukweli, ungechaguliwa term hii tena kuwa mwenyekiti wa kanda ya nanda za juu ungekwenda kujiunga na CCM? Ni kwasababu ya uchu wa madaraka. Nani aliyewaua hao kama soyo wanachama wa hicho ulichojiunga.
@chezariboy
@chezariboy Ай бұрын
Ukweli asingeenda fisiemu endapo angechaguliwa.. Muongo mkuu.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Kwa kweli Msigwa ni mnafiki mkubwa sana. Kwani ulikuwa huko kama kiongozi. Wewe msigwa wewe ni mchungaji gani anayeshindwa kuwa kama kiongozi mchungaji. Fanya kama mchungaji.
@George-jz3jg
@George-jz3jg Ай бұрын
Unapomsifia samia hapo unaharibu maana 90% ya watz hawamtaki ila kwakuwa unatafta uongozi endelea kumsifia
@zakeoleonard440
@zakeoleonard440 Ай бұрын
Tanzania hakuna upinzani wote ni waganga njaa tu
@samuelmakara1475
@samuelmakara1475 Ай бұрын
Wewe unaganga nini?
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 Ай бұрын
Jamaa atakufa vibaya huyu 😢 . Karma itamtafuna tuu Usaliri wa yuda ..
@muttae2
@muttae2 Ай бұрын
Usimuamini mtu katika maisha yako. Suspect everything Trust No Body🎉
@mxfsedtirz
@mxfsedtirz Ай бұрын
Kama wewe sio zuzu ulikuwa unagombea ili ufanye nini? *Unaaibisha kizazi daima! *Njaa kali iliyoingia kichwani itakutoa roho tu haikuachi! *Ona jinsi unavyodhalilika kwa kuchangiwa pesa hadharani kama yatima! Wewe ni mchungaji au.mchungi laghai!? *,Kula matapishi yako kama mbwa.
@ojmang6505
@ojmang6505 Ай бұрын
Umefeli vibaya msigwa hata aibu huoni una laana ya mungu ni heri ungekaa kimya kuliko kukejeli chama kilichokupa umaarufu muogope mungu sijutii kuhsma kwako
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 Ай бұрын
Chama kilichompa umaarufu kikigeuka kuwa Mali mtu unaacha unafiki na kukisema ipasavyo ili kujenga vyama imara vya siasa kama CCM ili kuwepo ushindani na nchi ipate maendeleo! Hongera sana Kuna hili na endelea kuelimisha watu ili vyama viendeshwe kitaasisi!
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Ай бұрын
Yuko anapewa pesa kajisahau kasema sisi wapinzani 😂😂
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk Ай бұрын
Umejiunga kuhakikisha Mnaiba kama ulivyokua unalalamika kwamba Ccm niwezi.
@lwitikomusa1712
@lwitikomusa1712 Ай бұрын
Ungestaf siasa umuhubir kristo tu acha. Tamaaa
@emanuelurio-ok8yl
@emanuelurio-ok8yl Ай бұрын
Sasa Msigwa unatakiwa kuiongoza CCM uwekezaji uende sambamba na kuimarika kwa sailing dhidi ya dola . Mishahara,maisha ireflect uwekezaj
@jeremiahmagau8623
@jeremiahmagau8623 Ай бұрын
Integrity unaizungumzia CCM hahaha.
@khamiskulasha
@khamiskulasha Ай бұрын
Maneno ya Msigwa. Niyakijinga sana anatafuta frusa na huruma kutoka kwa Mh Rais Samia. Ampe uku wa Wilaya nk Ninampá pole sana.
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl Ай бұрын
Msaliti wa watanzania
@user-js7lr8vr9i
@user-js7lr8vr9i Ай бұрын
Duh kweli Kuna watu na wachungaji😂
@AyubuMwambola-j3k
@AyubuMwambola-j3k Ай бұрын
Mungu amekulaani huji kufanikiwa
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Ай бұрын
Kama naweza kufanya Kama msigwa anavyo fanya hata kufirwa Sinto ona aibu , Kama nikiwa na sura mbili Kama msigwa hata kufirwa ni sawa tu,
@FurahaJeremiah-kd5ht
@FurahaJeremiah-kd5ht Ай бұрын
Sio kweli
@mlyamalitv1789
@mlyamalitv1789 Ай бұрын
Mimi huwa siamini watu wa namna hii
@meckyphilipo9177
@meckyphilipo9177 Ай бұрын
Ww ni sawa na mwanamke........,
@chezariboy
@chezariboy Ай бұрын
Huyu jamaa huyu kesha kufa kiroho kabisaaa ni aibu moyoni mwake.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Ай бұрын
Bro hubiri sera
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Mwache ajibu hoja na mikutano ya CHADEMA inamsema yeye haihubiri sera.
@jellyyatta7597
@jellyyatta7597 Ай бұрын
Uyu mwambaa asipo angalia atakosa Kila kitu ccm syo wajinga akili nyingi San hawa chama Cha mapinduzi msingwa tunza maneno mkuu
@anoldfute117
@anoldfute117 Ай бұрын
ccm wakikuchukua huwez kukosa kitengo, jaribu kutathimini wote waliobebwa wana vyeo kama sio kwenye chama basi unapewa ukuu wa wilaya au ukuu wa mkoa,,,, walikwepo akina Joshua Nassari, lijualikali, Silinde,prof mkumbo, ngafulila n.k wapo kibao ndugu huwez kukosa kazi ccm
@lwitikomusa1712
@lwitikomusa1712 Ай бұрын
Izo changamoto urzozikuta ww kama mchungaji urifanyann , daaa njambaya sana🤣🤣
@bisamwansakanile7219
@bisamwansakanile7219 Ай бұрын
Wewe Peter Msigwa unaongea nini kama wewe ulikuwa kiongozi ndani ya chadema kwa muda wa miaka 10 je uliyaishi uliyokuwa unayasema? Umevuruga chama na kutengeneza makundi ndani ya chadema asante kwa kuhamia ccm mtupokee huo mzigo, Msigwa umejaa visasi
@lwezaurawilliam4498
@lwezaurawilliam4498 Ай бұрын
Don't believe Msigwa he is sent to investigate psycological what he speaks do come from heart,he is on special mission.
@YussufPandu-es7ou
@YussufPandu-es7ou Ай бұрын
Hii comment zote zinamlaani msigwa ,,,msigwa rudi kwa mungu usaliti ni mbaya umeenda kwenye uovu hii ni hatari
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Ай бұрын
😂😂,,😅
@laupetpet7779
@laupetpet7779 Ай бұрын
Acha ujinga kwahiyo CCM Kuna uhuru?? Kuna haki?? Au unasaka tonge usife
@VitalisMmassi-oh4jb
@VitalisMmassi-oh4jb Ай бұрын
Huyu ndio mchungaji ana ata aibu kweli hela imelaniwa.
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 Ай бұрын
Sasa tunangoja SIKU Moja utasema shetani hoyee kama mchungaji Kwa sasa si unampinga kama mchungaji hatutashangaa kama utamgeukia kwani kama ulikuwa unawapinga ccm Leo wamebadili nini mazuri yakakuvutia kama uko sahihi ungetafuta chama kingene ambayo labda haujui tabia Yao pole
@boaztimoth6044
@boaztimoth6044 Ай бұрын
Kumbe uongozi wa kanda ulihitaji kwa nguvu udumu milele weee
@eliajimmy95
@eliajimmy95 Ай бұрын
Huyu sio mchungaji, ni tapeli kama matapeli wengine
@user-xc5ie8cp7o
@user-xc5ie8cp7o Ай бұрын
Chadema hamta fika nchi ya ahadi kwa sababu manuniko
@deodatusmugalulamugalula
@deodatusmugalulamugalula Ай бұрын
Msingwa kuondoka Chadema ni kama mtu kuchota ndoo ya maji ziwa victoria ukitarajia kina kupungua .Chadema ni jeshi kubwa waliondoka watu wengi maarufu kuliko Msingwa cha ajabu chadema ilizidi imalika shida hapo ni njaa ushauri wangu wampe hata Ukuu wa Wilaya atulie na aweze lipa madeni yake.
@somymoivanlukumay4198
@somymoivanlukumay4198 11 күн бұрын
Nilimsikia wakati moja akisema yeye ni tai kumbe ni kunguru mla misoga😂
@pasiansiay9480
@pasiansiay9480 Ай бұрын
Mchungaji kama mchungaji
@AsifiweChaula-sq8bw
@AsifiweChaula-sq8bw Ай бұрын
Toboa Mzee wapinzani wanadanganya,zaidi ya kuleta utengano Kwa taifa, Wana hubili UPENDO lakini hawaufuti huo UPENDO zaidi ya kusema usiongee na Wana CCM, huo ni ubaguzi,wewe SEMA tu
@user-rs2oi1gg5p
@user-rs2oi1gg5p Ай бұрын
Njaa imekukong'oli umejirusha chubwii Unafanya siasa ya biashara Ila kwa tumbo lako litakuhangaisha sana
@HumphreyNyiti
@HumphreyNyiti Ай бұрын
Jinga sana
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Ай бұрын
Tuwe wakweli hapa Chadema imekula kwao jamaa atawasumbua sana 🤣🤣
@eliastlaghasinaaly-wx4jo
@eliastlaghasinaaly-wx4jo Ай бұрын
Umeshindwa uchaguzi wa kanda ndio unatapatapa Leo, wewe umefanya nini Iringa, hapo umepokea nini kama sio mnafiki.
@saimonmsigwa1093
@saimonmsigwa1093 Ай бұрын
Chadema mjibuni msigwa kwa kumnyang’anya uwenyekiti huyo mkurunzinza acheni porojo huu ndio ukweli
@danielymbangwa3742
@danielymbangwa3742 Ай бұрын
Nakuapriciate Mh MSIGWA wewe ni mtu na nusu nafarijika sana kwa weledi na umakini wako katika uwanja wa siasa hakika wewe ni kioo kwa vijana wa taifa hili katika kujifunza siasa
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z Ай бұрын
Tamaa mbaya msigwa kajidhalilisha
🔴DAKIKA 45 NA MH.TUNDU LISSU, 26 AGOSTI, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,4 М.
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
123 GO! Houseによる偽の舌ドッキリ 😂👅
00:20
123 GO! HOUSE Japanese
Рет қаралды 6 МЛН
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
What's the President NOT saying? New University funding model || The Wicked Edition
10:30
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 1,2 М.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47