Dada Sina umeupiga mwingi sana na sisi tunaofatilia uku kwenye you tube tumebarikiwaa na tumepokea watoto na barakaa
@evaristkiiza1938 Жыл бұрын
huyu ni hazina ya Tz na Dunia yote Gift from to God
@ruthryoba3695 Жыл бұрын
Ubarikiwe na Bwana Mtumishi kwa mafundisho mazuri sana
@user-ok4cx1zi1l6 ай бұрын
I have highly profited from these preachings , MIGHT GOD BLESS YOU PASTOR.
@evaristkiiza1938 Жыл бұрын
Dada Dina hii kitchen party gala ya mwaka huu 2023 yan umeweza na Mungu wa mbinguni kwel amekuongoza kiroho kwa kumwalika pastor Antony yan gala party hii imedamshi kulko zote uzowah kuzfanya na Mungu akuongoze kufanya jambo km la mwaka huu be blessed sister
@ndinahnsaji8294 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na mafundisho ya Mch. kupitia K'G . Tina...hakika Mungu azd kukubariki
@rodgersmwenda62046 ай бұрын
Your preaching and teachings are so deep and powerful, and blessed one, God bless you
@evaristkiiza1938 Жыл бұрын
Daaah watu mmeinjoy sana siku io na pastor tony
@teblatebla7739 Жыл бұрын
The preaching was heavy indeed 😊 Blessings
@elysefuraha12848 ай бұрын
Asante saana pastor kapola unatusahidiaa kbsss
@favourfranciss2111 Жыл бұрын
Such a powerful message 🙌.
@sophiamasawe4309 Жыл бұрын
Tumepata somo endelevu atukuzwe yesu kristo uliye hai 👏 Amiiina 👏👏👏
@cleopatracohen5767 Жыл бұрын
God bless you more Pastor Tony
@lovenessabraham74168 ай бұрын
Amen mtumishi asanteee kwa mafundisho mazuri 🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@frankrobertkomba2318 Жыл бұрын
Life is spiritual,hongera dina kwa kachumbali hii sijaona bure life is spiritual
@janejacob3828 Жыл бұрын
God bless you Pastor Tony
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
Kwa.mara ya kwanza naiona nimevutiwa sana kuchanganya neno la mungu imeleta amani na faraja
@deusmoris3036 Жыл бұрын
Huyu kijana ana neno la Mungu
@jordanasadjah8451 Жыл бұрын
Wooooooow!!!Am blessed
@loyceyahya26228 ай бұрын
Such a powerful message
@cleopatracohen5767 Жыл бұрын
Amen hii ni reality kabisa, gods bless you
@saurasoso1543 Жыл бұрын
Awa ndo wachungaji tunaowaelewa❤❤,,, ila wale wengine hamna kitu.
@edwirjefrancis8156 Жыл бұрын
You made it, Dina
@edinalihedule7609 Жыл бұрын
Dady 🙏🙏🙏🙏Mungu akutunze wewe ni zawadi kwa kizazj cha sasa na kijacho 🙏🙏🙏🙏
@trillhappybeautypoint98746 ай бұрын
Asante pastor Tony👏👏👏
@jentrixotuchi61978 ай бұрын
Amen and Amen 🙏🙏🙏
@eliethaudax9360 Жыл бұрын
Be blessed Pastore
@balekefasbalele8262 Жыл бұрын
Probably, God is using you
@helvetasswiss4638 Жыл бұрын
Powerful message pastor i'm real blessed💪💪
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana
@YunisJeremiah-yf7cy11 ай бұрын
Sawa mtumishi wa mungu
@davanasluluanord Жыл бұрын
Mungu amsaidie mama mchungaji mavaz yake ,lakini pia muonekano aumpi Mungu utukufu tukubali asili zetu
@gracios1324 Жыл бұрын
Mungu ndivyo alivyokwambia?
@davanasluluanord Жыл бұрын
@@gracios1324 dada Mungu anataka watu wake wakubali asili Ile aliowaumbia ndivyo inavyo wapasa watumishi wa Mungu ,Bible inasema Wala msifwatishe namna ya dunia ,ni ushauri tu naomba Roho mtakatifu aseme nae
@leticiachunga9118 Жыл бұрын
@@davanasluluanord mmmmh! Ningekufahamu wewe na familia yako ningekupa jibu zuri Sana, kwa Leo acha niishie hapa
@davanasluluanord Жыл бұрын
@@leticiachunga9118 amen
@susanarabiel9717 Жыл бұрын
Amina
@Neema-wy4mh9 ай бұрын
Amen. 🎉❤
@upendoagustino75927 ай бұрын
Hii umehubiri kweli kweli MUNGU akutie nguvu
@oscanyakunga Жыл бұрын
Amen
@FelisterOnderi10 ай бұрын
Amen 🙏
@delicekeylla4933 Жыл бұрын
Amennnnn
@vangoodtv737123 күн бұрын
Unajua na unqjua ten
@JacklinePatrick-mo3dg6 ай бұрын
Ameeen
@dicksonjonas17996 ай бұрын
Ameen
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Neno limetubariki Mtumishi, tunaomba Wachungaji mngeweka msisitizo kwenye suala la unyanyasaji wakijinsia Kasi ya Wanawake kuuawa imekua juu sana, malezi ya watoto yamedorora, kina Baba wamekimbia majukumu yao ya ulezi, watoto wa kiume wanakosa roli modo za wababa mngeweka msisitizo wa kuongea majanga haya tunayopambana nayo, hayo ya michepuko na kichwa cha nyumba hayana maana tena
@agapemasanga3010 Жыл бұрын
Uliongozwa na Mungu dada sio bure.
@habibakhamis4701 Жыл бұрын
Pastor namwelewaga sana huyu Kwanza ananitoa mawazo hata kama na hasira nakuta nacheka
@King_wa_kimbototo4 ай бұрын
Gating the point
@catherinejustine5302 Жыл бұрын
Tunashukuru sana
@neemamrombo5916 Жыл бұрын
Jumamos ujataja kwanini😢
@NehemiahGikunju10 ай бұрын
❤❤
@catherineantonia8948 Жыл бұрын
Mtumishi mi mi ninabisharaya pombe je inakibali mbele za mungu
@truthch1642 Жыл бұрын
Kama ni biashara inayowasogeza watu mbali na Mungu then... Sio nzuri.. muombe tu Mungu aingilie kati nayy atakuongoza Nini cha kujishughulisha nacho🥰
@jacqueisaac8155 Жыл бұрын
Maandiko yanasema atatuletea utajiri toka watu wa mataifa. Watu wa mataifa ni ambao hawajaokoka wengi ndio hao wateja. Hata yesu alifanya muujiza kwy ile harusi kana pombe ikatosha wageni. So sion shida.