MSUKUMA Aibua BALAA JIPYA! Amlipua RC WAKE - "NAKUTUMIA SALAMU, JIMBONI KWANGU SITAKI MCHEZO"

  Рет қаралды 90,575

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MSUKUMA Aibua BALAA JIPYA! Amlipua RC WAKE - "NAKUTUMIA SALAMU, JIMBONI KWANGU SITAKI MCHEZO"
MBUNGE wa Geita Vijijini, Mhe. Joseph Kasheku (Msukuma), ameeleza kukasirishwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Geita, Injinia Robert Gabriel, kuzindua hospitali iliyopo jimboni kwa Mbunge Msukuma bila kumpa taarifa wala kumualika..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 195
@prospermushi6168
@prospermushi6168 3 жыл бұрын
well said msukuma. chapa kazi, huyo mkuu wa mkoa amekosa adabu na maadili.
@maxmilianpetro968
@maxmilianpetro968 3 жыл бұрын
Msukuma Mungu akulinde Sana! Wew ni mzarendo 1
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 3 жыл бұрын
Salaam ziwafikie hao wote watumiwao salaam kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo lao. Msukuma
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 жыл бұрын
Sio Jambo zuri kuacha kumuhusisha mwenye Jimbo kwenye swala la maendeleo ndani ya jimbo
@zakayodionis7748
@zakayodionis7748 3 жыл бұрын
Mumeanza siyo
@mako331
@mako331 3 жыл бұрын
Ni Sawa Msukuma lakini usiwe na chuki binafsi, wewe sio mkuu kuliko mkuu wa Mkoa, wewe ndio utafute kujua ratiba yake usitumie nafasi yako vibaya sasa, mkurugenzi kafukuzwa sasa unaanza tena kumchokoza mkuu wa Mkoa tulia kidogo
@gracemushi9932
@gracemushi9932 3 жыл бұрын
Nakukubali msukumaaaaa,ur so conscious.
@rukiamike4440
@rukiamike4440 3 жыл бұрын
Afe beki au afe kipa haaaahaaaaa nipe tano!🙏💪💪
@abdallahiddy6333
@abdallahiddy6333 3 жыл бұрын
👊👊👊
@mauthamani
@mauthamani 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anajielewa,na wabunge wengine wangekua hivi Tz ingekua mbali sana.
@ngilini9509
@ngilini9509 3 жыл бұрын
Kakukosea sana msukuma.
@phillipandrew6260
@phillipandrew6260 3 жыл бұрын
Safiiii
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Mh Msukuma leo Mh Rais JPM amelifanyia kazi. Kwa kumtimua huyu Mkurugenzi na kuagiza achunguzwe pia Mh Jafo amepewa onyo.
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 3 жыл бұрын
Kwann jafo
@ooredooooredoo7426
@ooredooooredoo7426 3 жыл бұрын
huyu ndo msukuma bwana safi kabisa big up
@mwaisanyonyoma416
@mwaisanyonyoma416 3 жыл бұрын
Msukuma aseee huwa hapendi kudharaulika uyu mtu kha😂😂😂
@gracethomas683
@gracethomas683 3 жыл бұрын
Yaaani😅
@melkiorndemera8241
@melkiorndemera8241 3 жыл бұрын
mtata sana, ukifatilia utakuta alipishana na ulaji,
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 жыл бұрын
@@melkiorndemera8241 huenda
@fadhilplatnumz6209
@fadhilplatnumz6209 3 жыл бұрын
Jamaa kazaliwa siomuoga kama mimi' Veemaa sana Mkuu Msukuma saruutii sana
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 3 жыл бұрын
Amekosea kama hajakualika"!
@tabiafataki8917
@tabiafataki8917 3 жыл бұрын
Upo sahihi Mbunge Umeanza kunenepa Msukuma
@teslanewton8339
@teslanewton8339 3 жыл бұрын
King kama King!!!¡!!!
@msingida33
@msingida33 3 жыл бұрын
wabunge wote wakiwa na msimamo kama wako kweli tz itakuwa juu
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Pole sana Msukuma. Hawa watu wana ajenda yao. Hawatafanikiwa. Hauna haja ya kuogopa. Ukweli unahakia ukweli tu.Tuko na wewe.
@mwandisimfukwe1661
@mwandisimfukwe1661 3 жыл бұрын
Asanteee babaaaaa
@danielnaila8705
@danielnaila8705 3 жыл бұрын
Safi sana king..tutaelewana tuu
@papafikiri
@papafikiri 3 жыл бұрын
Jina Mheshimiwa unatakiwa uitwe na watu sio ujiite hiyo ndio protocol.
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 3 жыл бұрын
Sio vzr bora katuma salam zake.
@peterdaniel6308
@peterdaniel6308 3 жыл бұрын
Tayari Mkurugenzi ameliwa kichwa!😂😂
@furahamwajeka7463
@furahamwajeka7463 3 жыл бұрын
Uko sawa msukuma mungu akurinde Truth preveils
@akimmbwego797
@akimmbwego797 3 жыл бұрын
Et unafungua kituo hakuna Dr hata mmoja......hiii natumai imesikika Big up MH MSUKUMA
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Kulalamika tu kwenda huko umemchongea mkurugenz wawa tu ameachishwa kazi shenz wew
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 3 жыл бұрын
Tujuze basi je yaliyolalamikiwa ni kweli je kununua gari lamillion mia 4 ni sawa hata kwenye akili yake aliona sawa hata pesa itoke kwenye mfuko wowote ule je anahaki ukiangalia maisha ua wanageita Luna vitu chungu mzima vinahitaji pesa
@gladysalbinus7646
@gladysalbinus7646 3 жыл бұрын
Wewe ndio Hauna hakili Wana Hauna uzarendo kabsa kachongea nini kwa mkurugenzi
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 3 жыл бұрын
Huyu Msukuma amekuja na moto mkali 2020/2025 aaniandaa sasa HOGERA SANA MSUKUMA
@jeremiamwakilimaji8284
@jeremiamwakilimaji8284 3 жыл бұрын
Safi Sana mh Msukuma usikopeshe wape .
@ferezaisaack9836
@ferezaisaack9836 3 жыл бұрын
Pesa yamfuko wajimbo sio yakwako msukuma niya serikali
@kabefiramadhani7610
@kabefiramadhani7610 3 жыл бұрын
Sio pesa ya mfuko wa jombo pesa zake binafsi za biashara zake
@christophernjoolay3337
@christophernjoolay3337 3 жыл бұрын
Safi kaka, asikuzime sifa achukue yeye! Sema Big No!
@georgeluena8658
@georgeluena8658 3 жыл бұрын
Msukuma uko vizuri
@daudirajabu6798
@daudirajabu6798 3 жыл бұрын
Musukuma umetisha sana nawengine waige
@nicksonpius6128
@nicksonpius6128 3 жыл бұрын
Msukuma safii
@joelphirikanyama4761
@joelphirikanyama4761 3 жыл бұрын
Ya Lema na Gambo
@frankzacharia4526
@frankzacharia4526 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 жыл бұрын
@@frankzacharia4526 yetu macho
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 3 жыл бұрын
Gambo alifeli sana ktk lile
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 3 жыл бұрын
Dah! Hii imeniuma sana
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 3 жыл бұрын
Tanzania kwanza always 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤
@ngilini9509
@ngilini9509 3 жыл бұрын
Pambana bwana wanataka kukudharaulisha kwawapiga kura wako uonekane hunaishu.
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
King msukuma nakukubali Sana
@dilludillu2747
@dilludillu2747 3 жыл бұрын
King Musukuma
@mohamedmwikongi8533
@mohamedmwikongi8533 3 жыл бұрын
Chezea sharubu na si kumchezea msukuma na sema tena chezea sharubu si msukuma utajuta Mkuu wa mkoa pokea salaam zako
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 3 жыл бұрын
CCM Bara kinaongozwa kwa majungu Heko sana Hussein Mwinyi kwa kujitahidi kuwaunganisha Wa Zanzibar. Wacha Bara wawindane kama Simba na Ngiri.
@mwidinijuma8214
@mwidinijuma8214 3 жыл бұрын
Uko sawa
@benardlenard3589
@benardlenard3589 3 жыл бұрын
Hawa jamaa nafikiri wanakudharau Kwa kuwa huna elimu maana juzi.umekalamika vet iliyonunuliwa milion 400 bila wewe kujua leo tenant hao
@dottobruno5368
@dottobruno5368 3 жыл бұрын
Elimu ipi unayoitaka
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 3 жыл бұрын
Kazi kaz king
@saadyusuph5136
@saadyusuph5136 3 жыл бұрын
Safi king uko sawa
@aminatabakari2741
@aminatabakari2741 3 жыл бұрын
Sawasawa!!!
@solemba595
@solemba595 3 жыл бұрын
Itifaki inasemaje kufungua kituo cha afya? Viongozi gan wanahitajika?
@omarymgale5019
@omarymgale5019 3 жыл бұрын
Nomaa
@lansonmlehele7248
@lansonmlehele7248 3 жыл бұрын
Safi kaka msukuma waambie ukweli
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Tusichengane chengane hapa msukuma 🤣🤣🤣🤣
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 3 жыл бұрын
Dawa yausngizi😁🤣😂
@pendoluoga2023
@pendoluoga2023 3 жыл бұрын
Wazungu bwana
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
Msukuma yupo vizuri sanaaa
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
KUNA kitu hapo! wabunge wooooote igeni toka kwa huyu jamaa
@wilsonkimaro6375
@wilsonkimaro6375 3 жыл бұрын
Njoo ugombee huku kwetu Kama huko kwenu hawakuheshimu
@umulithokyarema6491
@umulithokyarema6491 3 жыл бұрын
Sahihi, huyo RC kwa hilo amechemka. Amekununia maana inawezekana ambulance ya 400,000,000/= ina baraka zake. Ndio shida ya sisi wabongo
@michaelmrema5233
@michaelmrema5233 3 жыл бұрын
Musukuma noomaa
@doubledoubleg7212
@doubledoubleg7212 3 жыл бұрын
Huyu naye yupo kama kilema maana kila siku kulalamika upuuzi
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 3 жыл бұрын
Jembe nakukubali Sana Msukuma
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 жыл бұрын
Nakukubali Sana wewe unaweza
@delsonandrew9330
@delsonandrew9330 3 жыл бұрын
Huyu jamaa namupenda anaongea point
@kmotivation1130
@kmotivation1130 3 жыл бұрын
Jamaa anaakili sana
@chidybwax8080
@chidybwax8080 3 жыл бұрын
safi king msukuma
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 3 жыл бұрын
Ni sahihi kabisa!!!
@simonchristian6319
@simonchristian6319 3 жыл бұрын
Hilo ndo tatizo la kukosa adui wa kumshambulia, mtakulana wenyewe Kwa wenyewe
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Huo sio uadui hiyo ni kuambiana na kuijenga Tanzania ya wote.
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
@@simonchristian6319 inategemea walikuwa wakitetea ukweli ama wakitetea masilai yao. Kwa mufano Tundu Lissu kwa kelele alizokuwa akipiga kwa madini na kujifanya anawapigania wachimba migodi wadogo wadogo! Huo ulikuwa muchezo wa kuigiza na kujijengea umaarufu na kupokea misaada kama mutetezi wa haki, bila ya wananchi wengi kuelewa, huyu alikuwa mutetezi mkubwa wa makampuni makubwa yaliyokuwa yakiwatesa Watanzania. Na alikuwa akitaka hali hiyo iendelee ili aendelee kupokea fedha kwa usanii huo. Rais Magufuli kaja kubadili yote, akakulupuka kama samaki aliyetolewa kwenye maji. Akalia na kubabaikan tutashitashitakuwa na kutowa vitisho vingi badala ya kumuunga mkono Rais Magufuli. Hapo ndipo Watanzania walijuwa Tundu Lissu anakula huku na kule. Kuthibitisha zaidi akaingia na wakili wake wa kizungu kwa vitisho, wakili ambaye hata kutamuka jina na nchi ilikuwa ni shida, pia ni mwanachama wa makampuni makubwa yanayodhulumu nchi za Kiafrika kupitia mikataba mibovu. Bob Amsterdam, jambazi linalotumia haki za binadamu na demokrasia kushinda kesi zake. Afrika na watu wake imeanza kuamuka kuona kuwa kati yetu kuna wasaliti kama Tundu Lissu. TUSIKUBALI KUDANGANYWA
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
@@simonchristian6319 sisemi nani kaingia kwenye mikataba nasema makampuni haya yako Afrika nzima na yakipata viongozi dhahifu wenye kuogopa vitisho basi wanaweka mikono juu. Chadema sio Tundu Lissu , yeye ni mwanachama tu. Na Sasa kakimbia na chama bado kimebaki. Tofautisha kati ya chama na vitendo vya watu binafsi ambao ni wanachama tu.
@simonchristian6319
@simonchristian6319 3 жыл бұрын
@@gracemima5234 chama kipo:-)
@simonchristian6319
@simonchristian6319 3 жыл бұрын
Mwenyewe hapo unajiona unaijua Siasa, kinachoitesa Africa ni Democrasia, democrasia ndo chimbuko la haya yote
@zariadunia6328
@zariadunia6328 3 жыл бұрын
Tatizo la hiyu mkuu was mkoa was Geita anasifa Sana na tatizo kubwa ni anahisi mkubwa hawezi kumfanyia chochote na inaonyesha Kuna sakata kubwa na msukuma kwakuwa anaibua ishu zao
@nelsonantonio5834
@nelsonantonio5834 3 жыл бұрын
Waaambie imefika hiyooo
@cadhimberec1286
@cadhimberec1286 3 жыл бұрын
Nkweli unayosema lzma utoe onyo ww ni wakilishi wa wanancnhi ww Ndio unaeomba miradi serikalin wao wanatakiwa wasimamie tu lkn ukiwaachia wataeneza sumu kwa wananchi wamuone yy ndiye jembe akivuruga yy anahamishwa ktuo ww wananchi wanakusulubu kwenye sanduku la kura
@petercat7417
@petercat7417 3 жыл бұрын
Kuna mtu hajapewa mgao hapa.
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Nakukubari musukuma
@eliusandrew3762
@eliusandrew3762 3 жыл бұрын
Mtalana wenyewe kwa wenyewe, na hii ni mwanzo tu
@jimmylupondya1452
@jimmylupondya1452 3 жыл бұрын
Acha sifa wewe,,,mwaliko ulipewa ukakata acha kuhadaa watu,,,mkuu wa mkoa humuwezi hata ufanyaje
@saidhuma9171
@saidhuma9171 3 жыл бұрын
Mh msukuma kuwa makini na hao viongozi wanalao jambo, Nakukubali sana
@mankialema6490
@mankialema6490 3 жыл бұрын
Eti kaweka bifu na msukuma Msiyependa ndo bb mwenye nyumba sasa Salaam kakutumia Wape vipande vyao kuna watu wanachaguliwa kuwa viongozi lknwakifikq ofisini na kukalia kile kiti wanapewa madaraka utadhani wanakunywa K Vant
@mkemia_magege5816
@mkemia_magege5816 3 жыл бұрын
Mwambie huyo mkuu wa Mkoa, Anaonekana damu yake na yako hazipatani na hilo ndio tatizo lake, mwambie asije kuaga Mkoa bila kupenda. LAZIMA akushirikishe. Hiyo tabia ikomeshe, maana mwisho wa siku atashundwa hata kukuita kwenye vikao vya RCC na DCC wote wataambukizwa. Mchomee kwa mhe amtumbue muda bado, maana atakuja kukupanda kichwani huyo Mkuu wa Mkoa. Akizidi kukuchanganya zaidi, mlipue kwa Babu yetu ili adhibitiwe ile sawa, huyo.
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 3 жыл бұрын
Wanauzi sana wakuu wa mikoa wakati hata michango hawatoi
@mpokikamwela9117
@mpokikamwela9117 3 жыл бұрын
Nakuelewa msukuma Hawa wazungu ni nani has wa
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 3 жыл бұрын
Yani ameanza kuogopa 2025 sasa hivi hahahaha
@abasilihundu200
@abasilihundu200 3 жыл бұрын
We nawe ni taahira
@darkplatnum9006
@darkplatnum9006 3 жыл бұрын
Kwahilo uko saw ila mkuu wa mkoa Han cham ujue yul ni mtumish wa selikal asie Na chama ila jitahda Zak nimezipenda we ndio mpizan uliopo asant kwa kujitambua
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 3 жыл бұрын
Hiyo pembeni ni gari gani??😎😎😎😎
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Wew mzee acha choko choko sasa panga miradi ya maendeleo wew maana naona unapinga kila kitu
@agathamathias7195
@agathamathias7195 3 жыл бұрын
Uelewa Mdogo Kaa Kimya!
@prosperjuma905
@prosperjuma905 3 жыл бұрын
Protocally mkuu wa wilaya ndio anatakiwa akupe taarifa. Mkuu mkoa anampa taarifa mkuu wa wilaya. Af mkuu wa wilaya ndio anawaambia viongozi waliopo wilayan kwake
@nkenemalulu1330
@nkenemalulu1330 3 жыл бұрын
Na Hugo Mkurugenzi was Geita usimwache nyuma ajenge maboma ya shule
@hamishselemani7799
@hamishselemani7799 3 жыл бұрын
Yale Yale ya Lema na gambo hahaahaha hospital hizi hizi
@lukandotv8101
@lukandotv8101 3 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 3 жыл бұрын
Du! Yani mkuu wa mkoa unaenda kuzindua hospitali, mbunge wala diwani huwataarifu? Sasa unataka mbunge aonekane mtoro au hafai? Jamani umoja ni nguvu acheni mambo yenu ya kale ndio yametucheleweshea maendeleo hayo.
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
😆😆😆😆😆huyo ndo King buana
@africankidsnegebumamlemale9176
@africankidsnegebumamlemale9176 3 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa kakosea sana
@stanleyfocas8250
@stanleyfocas8250 3 жыл бұрын
King msukuma mbunge mimi nina ndoto ya kuendesha ile gari ya king msukuma
@kilingahamissi6734
@kilingahamissi6734 3 жыл бұрын
Mzalendo wa kweli
@samaboy2592
@samaboy2592 3 жыл бұрын
Nakubali
@salimhamisi990
@salimhamisi990 3 жыл бұрын
Mheshimiwa yuko sawa huo ni ukweli mweupe
@theodoremilenzo9420
@theodoremilenzo9420 3 жыл бұрын
Mbona Lema alipigwa kanzu na yule Mrisho Gambo na hamkusema kitu. Na actually Lema ndiye aliyetafuta na kiwanja na wafadhili wa kuijenga ile hospitali. Usitupigie kelele hapa na uache kutufokea ushirikishwe kila jambo wewe umekuwa nani
@rukiamike4440
@rukiamike4440 3 жыл бұрын
Pita kushoto pita kulia!
@geofreymsofe4543
@geofreymsofe4543 3 жыл бұрын
Hawa watagombana wenyewe kwa wenyewe wapinzani hawapo kazi ipo
@deohank5995
@deohank5995 3 жыл бұрын
Hahaaaa yale yaleeee ya Lema na Gambo.
@elishangomele9937
@elishangomele9937 3 жыл бұрын
Huyu Ndo king sasa
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 3 жыл бұрын
huyu jamaa ni mbunge wa chama gani?
@elishangomele9937
@elishangomele9937 3 жыл бұрын
@@msetikebwasi6895 ccm
@michaelnzunda7347
@michaelnzunda7347 3 жыл бұрын
Hahahahhaha,msukuma bwan...naitajigi kujua uyu jamaa anatumiaga kinywag gan hahahahahahha
@hitv7239
@hitv7239 3 жыл бұрын
Dawa ya usingizii 😁
@prosperjuma905
@prosperjuma905 3 жыл бұрын
Hilo gari hapo lina thamani ya tsh ngap?
@giftmusa6543
@giftmusa6543 3 жыл бұрын
45 milion bill vat
@prosperjuma905
@prosperjuma905 3 жыл бұрын
@@giftmusa6543 used? Au bland new? Yaan 0km?
@philipowyinjones9645
@philipowyinjones9645 3 жыл бұрын
Mmeanza Nyie kwa Nyie
@esthernsami7732
@esthernsami7732 3 жыл бұрын
Huyo RC afukuzwe kazi.Anaona wazungu ndio wa maana.Huyo mzungu anamona mpumbavu kwani Hosptali haina Daktari bado anaifungua. Hii ni kupumbaza wananchi kwa wazungu." ili wapewe urahisi wa kuchimba madini naye apate Rushwa " Ujinga mkubwa"
@davidmwandenuka1712
@davidmwandenuka1712 3 жыл бұрын
Matangazo yenu hayatunufaishi watu wote tupeni ujumbe mahususi
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Geita waanza kampeni maalum kulinda uoto wa asili
3:55
Azam TV
Рет қаралды 1,1 М.
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, ..Julai 31, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 229
"RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA
10:05
WAZIRI BITEKO AMFUTA MACHOZI MCHIMBAJI ALIYEDHULUMIWA MGODI Kwa MIAKA 29..
12:40