Leoo namimi nimekuwa watano naitaji like 10 tuu ili hii song ifikee mbali zaidi
@criminalminds77233 ай бұрын
Go get a job please
@user-np3md5ox2k3 ай бұрын
Ngoma kali
@masumbukomoussa9773 ай бұрын
Huyu Sasa ndiye Msodoki tuliyekua tunamisi kabisa!!Happy come back Msodoki Young fire 🔥🔥🔥
@LeeMchanaji3 ай бұрын
"Boss hana neno ila wapambe ndo wana nguvu." Kama umeielewa deep sana hii line, gota like mwamba❤❤
@Sslchoppa3 ай бұрын
Kama una amin young killer ana beba top râper award gonga like apa😊🎉🎉❤❤
@luiskambangula26283 ай бұрын
Deeemmmm, 🔥🔥🔥
@mylekaka46303 ай бұрын
A kenyan🇰🇪🇰🇪here salutes this dude..
@lacostemshairi3 ай бұрын
Am a Rapper from kenya And now this is wat we call rap From the Audio to the visuals Big up Tz
@chagudaniel80373 ай бұрын
Rapper in Tanzanian🇹🇿 gonga like kama unakumbali young killer
@johnmsheriman30793 ай бұрын
Draw hawapati God is great Kila wakati next level sio level za chini wala za kati just play your part. Hahahaha your the first and only Msukuma mjanjaa on 🔥🔥🔥🔥🔥 like zangu jaman
@barakapetro17903 ай бұрын
Unafiki tuache huyu bro anajuwa sema alisema ameangwa na a Sato kwo musimchukulie powa ❤❤❤❤
@muhammedkhamis25663 ай бұрын
"Ukihisi njaa kisela kula story halafu shushia na maji"🤓💯🙌🔥🔥🔥
@jmlaytv69613 ай бұрын
Yule Favourite rapper wa rapper umpendae he is back on it 🔥🔥😊
@soldier-px8vw3 ай бұрын
"moyo una Amani karume yan masoul is free Sitback relax,..open eyez and see" King of verses in Tanzania ndan ya beat ngum✊🏾✊🏾
@ommie_nyzer3 ай бұрын
Mwenye njaa hana choice Kila kitu atasema ndio .. ndio ndio ndio 😁🔥👊🏾🏁
@JamalOthuman-ko5nl3 ай бұрын
Msodokiii nisie ogeaa dodoki hata waje na Gun hawachomoki watoto wengi wanaforce tufanane ila mimi natoa Hits song usku wamananeeeeeeeeeeeee🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🇹🇿🕦🧠
@clezbyoscar20453 ай бұрын
Ngoma iyi nitaisubiri kwahali na uvumba lazima niwe wakwanza kuisikiliza Oya tujuane Basi Mimi naisubiri nikiwa Lusaka Zambia 🇿🇲🇿🇲
Oiiiiiiiiiii sasa mkono unailamba vp wakati umekula kwa macho mwite Erick msodoki whoooooza mtu wa maana kabisa
@mathiaspeter70243 ай бұрын
“Mikono unailamba vipi wakati umekula kwa macho!”…Killer💯
@user-bn4nv7ph8y3 ай бұрын
Chaajaaaabuuuuuuu zaidiiiiiiii muhuni anatoa song af leo sk yake ya kuzaliwa ndo maana ya 13
@MuhammadBuyah-on6nm3 ай бұрын
Msukuma mjanja 🔥🔥🔥. Nakubali msee from+254🇰🇪
@AgreyHilmary3 ай бұрын
Great come back msodokii aliye fany ulale ndy kafany uamkee 😂😂
@RAMSEYDJJJ3 ай бұрын
Léo umeuwa brother 🔥🔥🔥🔥 Tia like kama unamkumbali msodoki
@charlesnazoro3 ай бұрын
Tz tuna young mmoja wengine wote takataka. No one like msodokiii!🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@saidinjengo3 ай бұрын
Jamani na mimi naombeni like leo cjawai kupata ata like moja kwl msodoki the son
@stonestz88153 ай бұрын
Mspdokii
@silva_mahareyz9883 ай бұрын
Skupingi kaka kaz nzur (Salamu kutoka kwa mdogoake na *silabi*
@selemanabasy25323 ай бұрын
Kila Boss ana Boss wake 🔥
@user-bn4nv7ph8y3 ай бұрын
🎉🎉🎉awe live tumpee hongelaa ake af leo live kirumba stadium kuchek pambaaa akiwa na shem letu mzunguu
@priscusgodwin3 ай бұрын
Happy birthday broo.🎉🎂🎂 (Wote waliocomment wakwanza hawajui ni birthday yake leo, Nipeni LIKES zangu😂😂)
@festojuvenalis16563 ай бұрын
#Msukumamjanja😂❤ndio leo kazaliwa aiseè wasukuma to the top🎉😂😮
@allenmushema58443 ай бұрын
Konde aje ajifunze kizungu hapa🙌🏾
@chibo6663 ай бұрын
Jana umesema inatoka sasita leo tena naona itatoka sa5...hii ngoma tumeisubili kwa hamu sana fanya kuiachia sa5 bax
@Paplick93 ай бұрын
Young muuaji umebakiza mwenyewe kwenye kizazi Cha ma young
@onestartz3 ай бұрын
BOSS hana neno lakini wapambe wana nguvu😂🔥🔥🔥
@yessemjeshi82143 ай бұрын
Kila boss na boss wake ila ushindi lazma🎉
@Josamjosam83 ай бұрын
Erick msodooooookii bro we hauna mpinzan mwanza mwanza❤❤❤
@emmanuelnzaligo62623 ай бұрын
Bonge la ngoma!!!!Msodogi hatar sana.
@mgimbaboniphace3 ай бұрын
Unajua mzee hakuna rapa kama ww bongo
@NeghaBoy3 ай бұрын
Yan watajua hawajui mwili wa sungura ila mapafu ni chui.
@Bms_jMs3 ай бұрын
Jamani hata like mbili basi 😂😂😂😂
@Deadskytz3 ай бұрын
This generation never get old 🔥🔥
@Fortuneflavour3 ай бұрын
Much love from kenya Boss. Confirmed by Fortune Music ❤❤
@DirectorDavid-gx1sb3 ай бұрын
Ii ni bonge la ngoma ✅✅✅✅
@sheddmusic473 ай бұрын
YOUNG KILLER GANG MWAGA MA ❤❤❤ HAPA ❤❤❤❤❤❤❤
@sheddmusic473 ай бұрын
MSUKUMA MJANJAAA😂😂😊
@Branhampeople7773 ай бұрын
Ipo siku mtanielewa kwanini nasemaga Young killer ni best rapper dunia nzima. "... Juu ya map ya dunia namba maja Basi mwambieni Roma arudi nyumbani kumenoga..."
@OgessaTV3 ай бұрын
Kuna rapars Young but ukizungumzia rapar bora killer ni mmoja @msodoki young killer
@chapternine3 ай бұрын
Msodoki on fire nakubali sanaa 💯💯
@rachyboy2703 ай бұрын
Nakubali kaka 🔥🔥🔥Sana2 wasukuma naomba like zangu
@Kangogoofficial3 ай бұрын
The first Kenyan to comment 0:39
@Nabeeldola3 ай бұрын
Namuona bro angu Tuma apo One love from Uk to tz❤❤
@chibo6663 ай бұрын
hivi unafanya kazi ili ule au ule ndo ufanye kazi🚀🚀🚀🚀🚀killllleeeeeeeeer
@JayBeats2553 ай бұрын
Kama una 6 kaa pembeni wenye 7 wasababishe 🔥
@RichWise6713 ай бұрын
Mwenye killer zake 🔥🔥🔥🔥
@touches4lifeonlinetv463 ай бұрын
Jamaa anajua tuache utani🇺🇬🇿🇦
@tonylaizer3386Ай бұрын
Sio kila young NI killer ..msodoki... God is good kila Wakati 🔥🔥🔥🔥🔥
@stephenkianga66433 ай бұрын
Michano mwanzo mwisho yaani kama ujasikia chores nipi like za 254
@azimioalbertongellangella89703 ай бұрын
Young ni mmoja tu hapa Tz. Ambae ni Young Killer
@Devilinintungwawc2vkАй бұрын
Japo nilicherewa this rock is Young killer, if you agree with him, click like here, there are many
@user-wz5cl1kz7j2 ай бұрын
Mistari iko pw ila biti imepoa.biti limekaa kimakumaku sijalipenda
@user-mr1gs2oe7e2 ай бұрын
Kakuambia ukiona anachofanya ni easy fanya wewe ko pga bit unaloltaka ww yy kalitaka hlo
@eneswaggy18353 ай бұрын
Hii ndio hip hop Sasa , tunayo sikiliza wanaume, uyo munae mshindanisha nae , wana msikiliza wadada tu,
@YusuphMatiku3 ай бұрын
Young killer mi nakukubali sana kak naitwa YOUNG six6 RAPPER MBISH ila iiih ngoma umeuwa niweke basi kwenye lebo ya SINAGA SWAGGA Broo najuwa kuimba
@Suleiman993 ай бұрын
Ebana Ww n ww tu young killer the one and only Msukuma mjanja.
@mvuneboy62873 ай бұрын
Big up Y .K # much respect # I am your fan @mvune boy from burundi
@user-uc7iw5yz8b3 ай бұрын
Nakubal young killer
@holykingmedia-27573 ай бұрын
Mkono unaulamba aje Wakati Umekula kwa Macho 😅😅😅😅💪💪💪🤜💥🤛
@mpembamastika3 ай бұрын
Tunao subiri tu like hapa tafadhali🔥🔥🔥
@youngjames8354Ай бұрын
Mwanza mwanza nyimbo nzuri hip hop
@nakalikyumile32343 ай бұрын
Hawa watu kama young killer ndio tunatakiwa kuwapa sapoti mno,sio hawa,wapiga kelele wanaoimba upuuzi,mpaka wimbo unaisha hakuna cha maana walichoimba,dizasta ashasema "wanaficha ubovu wa mashairi yao kwa uzuri wa flow"
@fiaboy3 ай бұрын
Oyiiiiiiiiiiii wangosha sasa like
@benardkorir44972 ай бұрын
Young killer and young lunya wote level moja chuki ya nini?this guys hatari sana
Young K. Msukuma mjanja 4 life congrats brother...
@jamaliaugustino74083 ай бұрын
Killer Mbaya sana Ila sahv mabit wanayompigia mabovu sana
@ThierryMashauri-ry5sg3 ай бұрын
DRC tunakukubali killer napenda sana hip hop Yako kutoka Beni Kivu ya Congo mindo shabiki namba moja
@user-wb4ou8wk1q3 ай бұрын
Young killer huna mpinzan salam ziende kwa yule ajiitae mbuzi mshamba akitoa nyimbo kelele za jenereta
@wiper923 ай бұрын
Me sikusifiii Sana MSODOKI we ndo unae nifanya ni fnye hip hop lol modo wangu 🚀🚀🚀🚀
@davabackup77673 ай бұрын
Hii ji sawa na mtu kasomewa albadir alafu hajabadilika , 😂😂🔥🔥🔥🔥
@emmanuelnkwabi86103 ай бұрын
Home boy nakukubali sana unachezea maneno vilivyo sio yule mpiga kelele anajiita beberu je ngosha nimuite nani? Dah
@Opea4697_Official2 ай бұрын
Mipangilio mizuri ya maneno ase... Safi sana msofoki
@nickedward61893 ай бұрын
Mistari mikali ndani ya beat gumu sana any way ❤
@MwalimuHashimu-bh1sk3 ай бұрын
Msodokiii nataka kuwa kama we we nixaidie
@Hakuna_matata20033 ай бұрын
katika wasanii ninao wakubari kaka wew namba moja mungu akulinde kaka🙏
@kingfisher1013 ай бұрын
Mzigo nimeucheck naona niwenyewe kabisa
@AfricanSoccer003 ай бұрын
Sema Kaka unajuaa❤❤
@starriseofficial75183 ай бұрын
Sodoki🔥🔥📽
@erickbwai41233 ай бұрын
ndo maana Og alikwambia ngoma zako za ssa hazieleweki. ni kweli kwa sasa style yako haifrahishi
@ObediEzekieli-fr4vl3 ай бұрын
Jaman wa kwanza mm nipen like zangu
@userpm80k2 ай бұрын
Dah unawat wengi sana ambao tunasubili mamb hay Tisha San ❤❤❤
@VicentBlessАй бұрын
tofauti ya killer na lunya ni kama kitambi na mimba killer atabaki juu siku zote kama kengele za kanisa
@ivantompoo34203 ай бұрын
Wa kwanz mm
@KAIYAN_STAR3 ай бұрын
Legezaa mashairi hayo na beat mwanangu Na pisi zikusikilizee
@azaziazawardmwachai10693 ай бұрын
Safi sanaa kali sanaaa umetisha killer💯💥
@ChazyJuma-ur4bi3 ай бұрын
Kila boss anaboss wake🔥🔥🔥 killer msondokiii.... unajua mpaka unakeraaa🔥
@clintonarnold62913 ай бұрын
Mziki wa kizamani sana huu saiv utamsklzisha Nan ??....badilika maana mzka ni pesa now
@khalifasultan26773 ай бұрын
Kila Bidhaa Ina Watumiaji Wake Mzee,Ukiona Hujaelewa Jambo Jua Huusiki NALO! Hata Huu Mziki Unaosema Ni Wa Kizamani Huelewi Sababu Huusiki NAO...Kuna Mstari YoungKiller Anakwambia Humo Kuwa "Usinipangie Cha Kufanya"
@aslandawa57293 ай бұрын
tunajua unajua ila punguza ujuajiiii😂😂😂😂😂.... fanya wew kama unaona kinachofanywa ni rahisiiii
@emmanueljames92153 ай бұрын
Fatilia sebene au mafleva ya zuchu
@ZamdaCarlitos7 күн бұрын
Unajua xana we msodoki the son
@_blueprint3 ай бұрын
braza unajua bhn, hamna haja yakuleta jam jam zama hizi kumwambia killa trap ni bora kuliko hiphop
@prince_wanjiku76063 ай бұрын
I feel like he going to the old days of sinaga swagga 1, 2 and 3....I really miss that version of msodoki....from 254....a day one fan