Karibu kutazama wimbo wa Mchungaji mwema, utunzi wake Gregory Kahamba, kama ulivyoumbwa na KMK MAKUBURI katika Dominika ya 4 ya Pasaka, ambayo pia hutambulika kama Dominika ya Mchungaji mwema.
Пікірлер: 18
@manumbubujiba86103 ай бұрын
Kazi nzuri WAPENDWA wangu
@yohanemtumekwayasanyajuu3 ай бұрын
Huu wimbo wa mtunzi mmoja kijana anaitwa Remigius Kahamba
@wekie373 ай бұрын
Kazi safii
@harounclaude22633 ай бұрын
Wimbo mzuri
@Raph_D3 ай бұрын
Hongera sana Wana KMK mnapendeza sana na nyimbo zenu yazidi kutia mizizi jiji la Nakuru.👏👏
@charleskamau744811 күн бұрын
Alto on fire 🔥
@kebaroticatholicchoir48513 ай бұрын
Ningekuwa karibu ningejiunga nanyi ila basi tu❤
@himerymsigwa96653 ай бұрын
My best song ❤❤❤
@marymimina3 ай бұрын
Hii choir inatisha sana, kazi yenu katika liturjia ni kubwa sana. Hongera sana Mungu azidi kuwapa nguvu na miaka nyingi ya kumtumikia humu duniani❤🎉