Рет қаралды 1,903
"Mtakatifu Petro msimamizi wa Parokia yetu" karibu kutazama na kusikiliza nyimbo hii iliyo tungwa na Mwl. Bernad Mapalala na kuimbwa na Kwaya ya Mt. Cecilia kutoka oysterbay. Karibu kusubscribe ili uweze kupata nyimbo nzuri zenye maadii ya kikatoliki na pia karibu kushare kwa wengine ili tuweze kumtangaza kristo kwa pamoja.