No video

🚨Alieishitaki Yanga Magoma akifunguka Vingi,Aweka Ukweli wa kesi ilivyo.

  Рет қаралды 17,826

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

#football #alikamwe #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #ahmedally #simba #simbaislive #simbatanzania

Пікірлер: 133
@magobocrissvance1187
@magobocrissvance1187 Ай бұрын
Aliye toa hukumu n shabiki wa simba
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Ай бұрын
Hakika
@Listarmwandenuka-fq8jm
@Listarmwandenuka-fq8jm Ай бұрын
Kumbe waongo haooo mwacheni Raisi wetu
@maxmia100
@maxmia100 Ай бұрын
Huyo mzee kichaa
@anathshabani2952
@anathshabani2952 Ай бұрын
Basi hata bungeni tungeenda wananchi wote
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Anaishi miaka ya 1930s.. kwa sasa yanga na simba imeenea nchi nzima. Ukumbi gani utatosha kubeba wanachama moja moja nchi nzima
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga Ай бұрын
Duh sasa wanachama tuko wengi iv kweli tutakuwa tunakuja wote mkutanoni au mimi cjaelewa
@user-kw1dl2rr1l
@user-kw1dl2rr1l Ай бұрын
Kesi rufaa yanga wanashinda alafu huyu mzee akamatwe mara moja,
@drallan6879
@drallan6879 Ай бұрын
We mzee huoni unaitendea club ndivyo sivyo?au mnatumiwa kuibomoa club?
@user-dl1mg2qf4n
@user-dl1mg2qf4n Ай бұрын
Taasisi yoyote huwa na wawakilishi wao kwenye matukio tofauti tofauti,, na hawaendi kinyume na maagizo ya taasisi, Huyu mzee ni mkorofi sana,,
@frayy5595
@frayy5595 Ай бұрын
Sawaa mwenye taasis yako😅
@amosimussa3360
@amosimussa3360 Ай бұрын
Mzee tulia kama wanachama waliwaamini hao watano wakawakilishe maana yake wanauhakika nao .na ukisema wanachama wote waingie kwenye mkutano mnakaa wap na ndo maana walichagua watu watano kwenda kuwakilisha acha maneno
@user-hx1po7qx5j
@user-hx1po7qx5j Ай бұрын
Daaah afya ya akili 😂
@MohamedMoto-x2i
@MohamedMoto-x2i Ай бұрын
Uyo mzee ajitambui. Kama ninjaa aje shamba tulime atakula. Nasio kuchanganya mafaiili
@eustadiusbahanzi
@eustadiusbahanzi Ай бұрын
Huyu Mzee katumwa sasa ngoja tuoneee wew Mzee umechka maisha
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga Ай бұрын
Yani kwa kweli sa unataka wanachama tuje wote kweli mzee wamweke miongoni mwa hao watano baaaaaaaaasi
@ChanganyaJaphetjr
@ChanganyaJaphetjr Ай бұрын
hakuna kee hapo😮😮😅❤
@mazengojohn2090
@mazengojohn2090 Ай бұрын
Hao wazee wafungiwe na club wasijiusishe na yanga yetu
@fadhilkhamis8971
@fadhilkhamis8971 Ай бұрын
Dah! Anyway ngoja nikae kimya tu
@ABDALLAHMWATANDA
@ABDALLAHMWATANDA Ай бұрын
HILI JAMBO LINGEKUWA UPANDE WA SIMBA , KINA KITENGE, JOB NA NASRI WANGEBANA PUA.....huwezi kuishitaki taasisi HALAFU mkuu WA TAASISI awe NJE ya team....JOB USIULIZE KWA KUBANA PUA....MAHAKAMA HAIJADILIWI
@HusseinKoja-ww7gi
@HusseinKoja-ww7gi Ай бұрын
Huyo anaugomvi kwenye tawi
@McKajiwe-kh3bd
@McKajiwe-kh3bd Ай бұрын
Huyu hana tofauti na Feisal,Eti Eng aondoke!!??,ni kichaa tu ndio atamwelewa.
@izackkitomo6825
@izackkitomo6825 Ай бұрын
Uyu mzeee anaelimu gani Kwanzaa
@georgepewa9624
@georgepewa9624 Ай бұрын
Huyu ni wakufungiwa milele
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga Ай бұрын
Sa mbona mkali iv
@EsterMbilo
@EsterMbilo Ай бұрын
Mzee unapaswa uchapwe viboko
@amosleonard7359
@amosleonard7359 Ай бұрын
Bangi kabisa
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
MAGOMA KAMA HURIDHIKI NENDA SIMBA
@ABDALLAHMWATANDA
@ABDALLAHMWATANDA Ай бұрын
ENG ALISEMA NILEETENIII HUYU AWE MAKAMO.WANGU..
@robertmatabalo5454
@robertmatabalo5454 Ай бұрын
Huyu amepoteza sifa kuwa mwanachama wa Yanga. Aondolewe
@user-rj3cd2lh8w
@user-rj3cd2lh8w Ай бұрын
Matumizi mabaya ya mahakama
@VumiliaSabu
@VumiliaSabu Ай бұрын
Akapimwe akili uyo
@user-xt3rn8js7t
@user-xt3rn8js7t Ай бұрын
Magoma nenda simba hatukutaki ww tunamtaka injinia toka huko
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Ай бұрын
Gsm huyuko kwenye bordy na wala hajawahi kuwa kwenye bordy.
@user-ym7rd4yn4l
@user-ym7rd4yn4l Ай бұрын
Naomba namba yahuyo mzee
@anathshabani2952
@anathshabani2952 Ай бұрын
Hao wanaowakilisha siwamebeba maoni na mawazo ya wanachama wanaowaongoza????
@KiloMkundawantu
@KiloMkundawantu Ай бұрын
Mzee Acha upuuz tuachie timu yetu
@HappyClogShoes-hp9ho
@HappyClogShoes-hp9ho Ай бұрын
Kudaako mzee😅😅😅😅😅
@user-kz6pb9ii6k
@user-kz6pb9ii6k Ай бұрын
Wew mzee nakuombea ufe
@frayy5595
@frayy5595 Ай бұрын
kufaa we kwanzaa😂
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Ай бұрын
Ba​@@frayy5595baby Babu yako huyo
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd Ай бұрын
Yan anataka mkutano uhudhuriwe na watu woote Tanzania anaakili kweli huyu,,,anaongelea katiba ya nwaka 78 ambayo Tz ilikua na watu million 10 Sasahv kuna watu million 60 alafu unataka mkutano aje kila mtu si huo mkutano utafanyika Lupaso sasa
@duniayetujamiiyetu6623
@duniayetujamiiyetu6623 Ай бұрын
Ni haki as long as ni mwanachama
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd Ай бұрын
😊😊😊😊😊kwahiyo huyu mzee anataka uongozi sio!!!!!😅😅😅😅kwanza ana elimu gani huyu!??
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 Ай бұрын
Huyu mzee afutwe uanachama kabisa kama wanavyo fanya ccm mtu mgomvi kwenye taasisi kubwa ambaye ni mnafiki shubamit hatakiwi hata kwenye jumuia ya watu wstulivu.afutweeee uanachama hatumtaki kabisa zee hili,
@ShadrakNdalu
@ShadrakNdalu Ай бұрын
Huyo ametumwa huyo
@emanuelshirima9236
@emanuelshirima9236 Ай бұрын
Huyu Mzee Ni wale WA wanaitwaga bushlowyer😂
@ChanganyaJaphetjr
@ChanganyaJaphetjr Ай бұрын
hakuna kes hapo 😂
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 Ай бұрын
ANAMAHUDHI HUYOOO
@amosingailo-xb6lf
@amosingailo-xb6lf Ай бұрын
Huyu mzee apewe tim tuone😂😂😂
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Ай бұрын
Mzee yuko sahihi kwenye sheria .ameona kuna upigaj mkubwa yanga .takukuru muone swala hili
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
UPIGAJI WA BABA YAKO?
@user-hy2qw6gi3e
@user-hy2qw6gi3e Ай бұрын
Waambie wafuatilie upiga wa kolo mwenzenu mo anayewaibia kila siku jibwa wewe
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Ай бұрын
@@user-ce3tx7mr8v wa mama yako
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Ай бұрын
@@user-hy2qw6gi3e makasiriko ya nn sheria imefata mkondo wake .nategemea msaada wa viongoz kulituliza.achen dhulma
@christinaalexander1213
@christinaalexander1213 Ай бұрын
Kwa hiyo ulitaka wote 100 waende mkutano mkuu
@clauschaula2050
@clauschaula2050 Ай бұрын
Magoma acha siasa kwenye soka.
@user-vb6zv8ov8v
@user-vb6zv8ov8v Ай бұрын
Huyu mzee na aliyetoa hukumu ya kesi hiyo hewa ni miongoni mwa Watanzania wachache waliosomea sheria lkn hawajui hata kidogo kutafsiriwa sheria wanatoa maamuzi kwa kuangalia mazingira na vifungu vya sheria.
@user-xt3rn8js7t
@user-xt3rn8js7t Ай бұрын
We mzee umechoka maisha
@JOELCHIGUNDA
@JOELCHIGUNDA Ай бұрын
Sasa kama katiba imeshasajiliwa yeye ninani huyo mzee Ndo maana Eng.a nasema wala mihogo acheni kukorofisha maji yaliyotulia
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 Ай бұрын
HUYU PUMBA KWELIKWELI
@kelvinngogo1819
@kelvinngogo1819 Ай бұрын
Huyu mzee hana hoja kabisa😂 njaa tu aweke namba ya simu tumchangie
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg Ай бұрын
mzee kichaaa huyo siyo bureee
@RichardRomanuss
@RichardRomanuss Ай бұрын
Tatizo la kuwapa nafasi wazee wa miaka ya 50 uko wawe na mamlaka kweny club
@ndarohitra1495
@ndarohitra1495 Ай бұрын
Pumbavu sana mzee machakacha huyu anataka nn kwani? Njaa hizi bhana acha kabisa na hapa keshakuwa kupe
@SalimuRamadhani-nl7bp
@SalimuRamadhani-nl7bp Ай бұрын
Huyo mzee messenger tu
@ashrafumbawala
@ashrafumbawala Ай бұрын
Chama kaenda kuleta mgogolo 😂😂😂😂
@aliissa8781
@aliissa8781 Ай бұрын
Moira haukosi fitina ila haya yote yanakuja kutoka a na brand ya Simba kushuka na hawajui vp itapanda. Kwa hiyo lazima kuwe na propaganda kama hizi.
@user-zh5tp2yq6f
@user-zh5tp2yq6f Ай бұрын
Asa kama team inafanya vzur mnataka nin Tena nyie wazee mbona mnazeeka vibaya ivi
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Ай бұрын
Yaani huyu mzee kichaa so wanachama wote twende kwenye mkutano
@luqmanomary3558
@luqmanomary3558 Ай бұрын
Msimtusi huyu mzee anaongea kisheria sio kiushabiki mumuelwe maswali yake na maelezo yake mnvunjia heshim bure
@narcissusmakenge4710
@narcissusmakenge4710 Ай бұрын
Huyu mzee kachoka. Bunge la Jamuhuri linawakilisha wananchi kutunga sheria na kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi, hii haiwafanyi watanzania waliobaki kutokuwa wananchi. Vyama kama ccm vinafanya maamuzi kupitia mkutano mkuu kwa uwakilishi wa wajumbe kwa niamba ya wanachama wengine, pia hii haiwafanyi wanachama wengine kutokuwa wana CCM. Akitaka agombee uongozi wa tawi ili aende mkutano mkuu.😂😂😂
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Ай бұрын
Hata taking hana wala card hai mchawi tuu huyo wa timu yetu
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
KAMA HUJAWAHI KUITUMIA KATIBA KAA KIMYA
@Prosperkaluta
@Prosperkaluta Ай бұрын
Kwa hiyo huyu mzee anahitaji wanachama wakiwa nilionu moja basi wooooote wawe wanashirikishwa kwenye vikao eti daaaaaaaaaaaaah...!
@EsterMbilo
@EsterMbilo Ай бұрын
Mzee unajtaka Nini mchawi mkubwa
@ezrayohana3541
@ezrayohana3541 Ай бұрын
Mmmmmmmmh hapa shida ni Elimu tu
@user-hy2qw6gi3e
@user-hy2qw6gi3e Ай бұрын
Hili zee jinga kwahiyo tukitaka kuchagua rais wa nchi tuchaguliwe watanzania wote sio? Mbona jimboni tuko watu wengi lakini tunamchagua mwakilishi mmoja? Liende kijijini likalime jibwa hilo. Shenzi kabisa
@HamzaMfunen
@HamzaMfunen Ай бұрын
Huyo magoma bwege.
@amosleonard7359
@amosleonard7359 Ай бұрын
Wewe ndy hatukutaki na wewe siyo bora kuliko yanga tuache na yanga yetu
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Ай бұрын
Huyu mzee akili zake hazina akili na huyo akimu wake sasa huo utakua mkutano au uwanja wa fujo
@enockjoseph3818
@enockjoseph3818 Ай бұрын
Huyo mzee Hajui anachokiongea hapo na sijui kusudi lake nini nymbafu
@HusseinKoja-ww7gi
@HusseinKoja-ww7gi Ай бұрын
Hiyo kesi itatupiliwa mbali
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga Ай бұрын
Wee Mzee kuma nyoko nyoko zako
@jumamakonya2665
@jumamakonya2665 Ай бұрын
Sisi hatutaki mgogoro ndani ya timu yetu wee mzee tulia sawa....!! Sii uache kulipa sisi tunalipia.... DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
@amosleonard7359
@amosleonard7359 Ай бұрын
Njaa tu inamsumbua huyu mzee
@user-zh5tp2yq6f
@user-zh5tp2yq6f Ай бұрын
Kila TAWI Lina wanachama 100 wakija wote Kila tawi mnapakuwaweka au mzee mkutano uwe unafanyikia kwa mkapa
@fikirininasoro5272
@fikirininasoro5272 Ай бұрын
Wewe mzee acha ujinga utuache na yanga yetu
@SelestineJoseph-ww5gl
@SelestineJoseph-ww5gl Ай бұрын
Afungilie club nyingine uyoo mzee lakini siyoo ya yanga injinia atakuwa raisi apo
@HabibaHassan-y8y
@HabibaHassan-y8y Ай бұрын
Majibu yake ni pumba tupu.
@augustinemainde
@augustinemainde Ай бұрын
Wavurugaji wako wengi huyu mzee aachiwe Yanga anayotaka na hii iuzwe iitwe tuone Kama ataiendesha eti mzee asituchokoze vijana tumetulia na Tanzania yetu
@EsterMbilo
@EsterMbilo Ай бұрын
Fuuta uanachama huyo
@AlawiissaIssa
@AlawiissaIssa Ай бұрын
mzee endelea kujichosha
@DouglasChuwa-ec7mv
@DouglasChuwa-ec7mv Ай бұрын
Ameishiwa mada njaa imemponza huyo juma
@kateadam8204
@kateadam8204 Ай бұрын
Ndugu yake Mangungu 😂😂😂
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 Ай бұрын
Sasa dhana ya uwakilishi maana yake nini? Wote tunaweza kwenda Bungeni? Lazima mifumo ibadilishwe ili kuendana na wakati. Hiyo kesi tunakata rufaa af utasubiri rufaa yako kwa miaka 50.
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Ай бұрын
Huyu MTU hana hoja ---- kwani mwanachama anakuwa mwanachama pale tu anaposhiriki vikao ? ---- " Nonsense "
@DismasWilliam-cp3qe
@DismasWilliam-cp3qe Ай бұрын
Job wewe mwanasheria mtupu huyu mzee hana anachojua maana anajikanyaga tu kujibu
@wazirimagayuka9681
@wazirimagayuka9681 Ай бұрын
Kuna wanachama wangapi nchi nzima? Anataka wanachama wote washiriki kufanya maamuzi badala ya kuwa na wawakilishi wasiozidi watano. Ndio maana hata sisi wananchi tunawakilishwa na wabunge kila jimbo mbunge mmoja. Yeye mawazo yake angetaka wakati wa vikao vya bunge wananchi wote tuingie bungeni?
@H3s4d
@H3s4d Ай бұрын
Tatizo. Nini? Njaa
@H3s4d
@H3s4d Ай бұрын
Haya ni. Matatizo. Ya. Watu. Wanaoshikwa. Masikio. Na. Watu
@tabumayuhana47
@tabumayuhana47 Ай бұрын
SIMBA WAPO KAZINI HAPO SASA😂😂😂
@amosleonard7359
@amosleonard7359 Ай бұрын
Hatukutaki wewe na urudishe kadi yetu ya uanachama
@user-dl1mg2qf4n
@user-dl1mg2qf4n Ай бұрын
😂 huyu ni mbumbumbu kabisa,, wanachama wote hawawezi kushiriki kwenye vikao ,, bali huwakilishwa na baadhii, wote waendee huo sio mkutano bali ni maandamano
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts Ай бұрын
Uyi mzee akasome kwanza juu huwezi kuchukuwa watu milioni 40 wakauzuliye mkutano
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
KAMA HAO NI WAPENZI HAO WATANO WATACHAGULIWA NA NANI? NA UKUMBI GANI UTATUMIKA KWA WANACHAMA WOTE?
@user-ym7rd4yn4l
@user-ym7rd4yn4l Ай бұрын
Huyo mzee nikichaa mbunge anwakilisha wananchi wangapi kwanini yeye alalamikie watu 95 kwahiyo tawi likiwa nawachama 5000 wote wakahudhurie mkutano huyu nikichaa kabisa
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd Ай бұрын
Huyu mzee mamluki Au ndio wale wapigaji sasahv hakuna hayo mambo yanga aende simba huko sisi hatuna 10% usajili anafanya rais
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
MZEE MAGOMA?HAKI NINI?HAO 95 WANACHAGUA VIONGOZI,WANAPELEKA WAWAKILISHI,WANACHOKIPATA WANARUDISHA KWA WATU 95
@romimwalu
@romimwalu Ай бұрын
Wewe Mzee,WANACHAMA wataweza kushiriki mkutano mmoja?Taasisi zote zinakuwa na uwakilishi
@drallan6879
@drallan6879 Ай бұрын
we mzee pesa za kuendesha club unazo;?mbona unatafuta matatizo?
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 15 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 26 МЛН
Kumekucha MZEE MAGOMA AMUOMBA MSAMAHA RAIS WA YANGA HERSI SAID
12:34