No video

🚨Majibu ya Yanga kuhusu Uongozi kuondolewa,Mzee Magoma Ajibu waliyoyazungumza.

  Рет қаралды 5,049

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

#football #yangatv #youtube #alikamwe #yangafc #yangasc #ahmedally #simba #simbatanzania #simbaislive

Пікірлер: 33
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Ай бұрын
MAGOMA IZI ZE NIU YANGA PREZIDAA
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Ай бұрын
huyo ndiye JUMA MAGOMA Bwana!
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Kayakanyaga😂😂😂😂😂
@eliateacher3241
@eliateacher3241 Ай бұрын
Watu wanachukulia poa lakini hii kitu iko vibaya sana kwa yangaa
@user-hy2qw6gi3e
@user-hy2qw6gi3e Ай бұрын
Hakuna lolote hapo na ubaya utawarudia hao wajinga na makolo wanaowatuma
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe Ай бұрын
Kumbe wazonlangu pale yanga lipo ukiwa na umri wa miaka 70 hustahili kugombea uongozi
@minazsaid2470
@minazsaid2470 Ай бұрын
Sasa kwani kma umewashitaki wazamini kwann usiwapelekee hiyo nakala unakaa nayo ili iweje
@tezuramziray8700
@tezuramziray8700 Ай бұрын
Yanga huu ujinga umeletwa kuwatoa kwenye line. Uzuri timu iko AVIC. Waandishi wa habari wapenzi wa mchumba wetu wanaongea sana wewe wacha wajikoroge safari hii
@albabaly8297
@albabaly8297 Ай бұрын
Magoma oweeee Magoma safiiiiiii 😂😂😂😂😂😂
@minazsaid2470
@minazsaid2470 Ай бұрын
Magoma hupewi uongozi katu na wala pesa hatukupi
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Shida ya kutoenda shule,mzee magoma atacheza ngoma😂😂😂hata maelezo yake hayana mshiko! Naanza kujiuliza huyu hakimu ni nani ? TUTAWAPIGA NJE YA UWANJA NA NDANI YA UWANJA fro CAMBRIDGE mji wa wasomi UK
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Ай бұрын
Waandishi nanyi uwezo wenu ni mdogo sana ktk kuuliza maswali ya msingi ---- yako maswali ya msingi ambayo mlipaswa kumuuliza.
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe Ай бұрын
Hivi huyo hakimu kwanza alipass vizuri masomo ya sheria? Anapokeaje hoja ya kuilalamika klabu na watu ambao wenyewe wanakiribkuwa si wanachama zaidi ya miaka 4 sasa
@ABDALLAHMWATANDA
@ABDALLAHMWATANDA Ай бұрын
ACHENI USHABIKII ...MAHAKAMA HAIJIBIWI KWA PRESS NENDENI MAHAKAMANI
@nuruabdallahmed9495
@nuruabdallahmed9495 Ай бұрын
Msomali hataki kukaa na kuongea na Mwamba Magoma ndio maana Issue ikapelekwa mahakamani. Kitu gani hamwelewi nyinyi wachakondoo?
@user-hy2qw6gi3e
@user-hy2qw6gi3e Ай бұрын
Msomali babaako
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Hakimu naye ana shida kwann alisikiliza upande mmoja ,hadi kufoji huyu mzee shetani kabisa
@MohamedMoto-x2i
@MohamedMoto-x2i Ай бұрын
Magoma iyo njaa
@user-vb6zv8ov8v
@user-vb6zv8ov8v Ай бұрын
Magoma,nakushauri utoe wasio mapema kwa wanao
@CotaManywele-vg9ti
@CotaManywele-vg9ti Ай бұрын
Hakimu nae mpambavu na nimshenzi ivi anatujuwa vizuri wana yanga au anatusikia tu, huyo mzee ni mbwa tena mpambavu kabisa nja nja zake asije leta mtafaruku, huyo hakimu nae ni mpambavu ssna
@user-hy2qw6gi3e
@user-hy2qw6gi3e Ай бұрын
Huyo mzee mbwa koko tu na ni mjinga asiyejitambua, acha aendelee kutumwa atajua hajui
@AlexKanuya-fs2vr
@AlexKanuya-fs2vr Ай бұрын
Mimi mwanayanga Iła huyo mzee yupo sahihi kabisa anachosema yeye!! Maana raisi anakuwaje anafanya kila kitu yeye mwenyewe kama sio utapeli wanataka kufanya wanayanga tuweni makin sana na yanga mzee yupo sahihi uwakika
@user-hy2qw6gi3e
@user-hy2qw6gi3e Ай бұрын
We mwenyewe akili huna na hujitambui, wanachama wote mtawapeleka ukumbi gani waenee? Vitu vidogo hata kufikiri hamuwezi shenzi
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
Kanuya maana ake .... Unaijua ?? 😂😂😂 , kolo ubwela 🤣
@ChrisKanjara
@ChrisKanjara Ай бұрын
Ni atar xan
@deusjoseph8554
@deusjoseph8554 Ай бұрын
Hyo katumwa mjinga ,tutamtafta tumunyoshe anatka kutuhalibia timu yetu
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Ай бұрын
Elfu2 na ishirini na 10
@user-hy2qw6gi3e
@user-hy2qw6gi3e Ай бұрын
Haikuhusu
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
Ndo kwanza uisikie Leo ?? 😂😂😂😂
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Ай бұрын
@@user-hy2qw6gi3e nn
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Ай бұрын
Mahakama si wametoa hukumu
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Kwani mahakama haipingwi? Kakwambia nani? Mahakama iko kutafsiri sheria! Wakiitafsiri sheria vibaya,wanaoungwa!
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Ай бұрын
Aibu kwa mahakama, haiwezekan taasis kubwa Kama yanga ishtakiwa kimyakimya hamna hata coverage ya vyombo vya habar.... Hapa TAKUKURU wahusike
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 7 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 15 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 48 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН