Bambo fikiria jinsi gani utarudi kwa mungu ukafanye mambo mengine😂😂😂
@patricknjau80724 ай бұрын
Mtangoo😂😂...Mimi mkenya nawatizama Kila wakati
@safarichui85513 ай бұрын
Mbeya wakati amekuokoa kunyanduliwa?
@user-so5ke5dq7y4 ай бұрын
Hamna mtto hapo😂😂😂😂
@Juicyvybz2544 ай бұрын
😂😂😂 Wazee hatari😂
@user-ie2sr4fi4k4 ай бұрын
Umeme uckatike😂😂😂😂
@awadhrajabu14034 ай бұрын
Jitahidini Sauti Basi Kama Mmekunywa Gongo Toeni Sauti Mkiwa Mnarekodi
@edwinismail94012 ай бұрын
nyie wazee mbona hamna video mpya?
@Vladmir91124 ай бұрын
😂😂😂😂
@relaxwithcruz18344 ай бұрын
Bambo baharia 😂
@frankvianey24384 ай бұрын
Hahahaaaa
@safarichui85513 ай бұрын
Siku nyingine kabla ya kushuti mjiandae sio mnakulupuka tu, sasa bambo kasema nimeazima feni halafu anasema nimetoka nje joto limezidi, haona anaongea utumbo hapo??? Kama feni umeazima na sasa unasema joto ina maana gani kama sio upumbavu???
@musaamos2431Ай бұрын
Elewa kwanza mbona unakuwa mkali amekwambia joto limezidi umeme ukikatika ko yuko wako fresh tu