Рет қаралды 147,127
Hiyo jana Jumapili haikuwa siku ya kawaida kwa mtangazaji wa runinga ya Citizen Hussein Mohammed.Jana ndio siku aliyoasi ukapera na kufunga ndoa katika harusi iliyofana.miongoni mwa waliohudhuria harusi hiyo ni wanahabari wa nje na ndani ya kituo cha habari cha Royal Media.