MTANZANIA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA PARACHICHI LA TANZANIA LILIVYOINGIA SOKO LA ULAYA

  Рет қаралды 6,434

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Пікірлер: 15
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 3 жыл бұрын
Hongera Jackline halafu uko humble sana.wewe ni mtaalamu na moyo wa unyenyekevu.Mungu akusaidie mama
@genovevatarimo3982
@genovevatarimo3982 2 жыл бұрын
MUNGU AMBARIKI HUYU DADA MTOTO...NIMESALI NAE LIFT HIM UP CHURCH ARUSHA
@angeljasson4376
@angeljasson4376 3 жыл бұрын
Ni kwel nimeona parachichi la tanzania huku Dubai nilifurahi sana
@aminatundondege9384
@aminatundondege9384 3 жыл бұрын
Hongereni sana ni habari njema mno!Tanzania tuna bidhaa nzuri za mazao mengi ya chakula,ningeshauri kwa upande wa matunda na mbogamboga, exporters wawe wengi hapa nchini na kuwe na vitengo maalum eneo la bandari,airport,na maeneo yote ya mipaka ya nchi yetu,lengo ni branding ya bidhaa zetu,nina imani uchumi au kipato kwa wakulima kitazidi kuongezeka na hivyo kufanya hamasa kubwa kwa wakulima wengine ambao wao hufanya kilimo cha kujikimu tu.
@jameskileo5292
@jameskileo5292 3 жыл бұрын
huyu dada nampataje
@jameskileo5292
@jameskileo5292 3 жыл бұрын
hajataja namba za simu tuone jinsi gani tutapenya kwenye hiyo biashara
@kennedymboma8268
@kennedymboma8268 3 жыл бұрын
Itakuwa la kyelahuko
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Safi sana ila ninyi wataalamu endeleeni kuwahimiza wakulima ili zao letu litawale soko la dunia. Uwezo huo tunao kama tukitanguliza utu na uzalendo mbele
@tonywilliams8819
@tonywilliams8819 3 жыл бұрын
Contact please!Hiyo ni good news
@vailetaron5717
@vailetaron5717 3 жыл бұрын
Good
@kikombotv9615
@kikombotv9615 3 жыл бұрын
Boss wetu
@saidjuma9782
@saidjuma9782 3 жыл бұрын
Ile Tanzania ya Viwanda Bwana Mashauzi alihaidi iko wapi??
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 3 жыл бұрын
Nahitaji mawasiliano please
@rachelkibaya8537
@rachelkibaya8537 3 жыл бұрын
Oh yeah habanero
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 3 жыл бұрын
Nakua mkulima soon
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 35 МЛН
Ifahamu China: Kilimo cha maparachichi Yunnan
3:17
KBC Channel 1
Рет қаралды 400
SHULE YA SEKONDARI PATANDI MAALUMU YAPATA MSAADA KUTOKA KWA ACHRAF HAKIMI
3:29
Wakulima katika kaunti ya Siaya waanza kuzamia kilimo cha parachichi
3:36
MASANJA: JINSI YA KUPATA MCHELE GRADE 1 MASHINENI (shamba tour)
2:37
MCHONGO WA KILIMO
Рет қаралды 10 М.
Ruto: Nimebuni serikali ya kuunganisha wakenya
5:47
TV47 Kenya
Рет қаралды 8 М.
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН