MTOTO ASIMULIA ALIVYOONA MAMA YAKE Akiuawa KINYAMA; "NILIMUONA MAMA ANAKIMBIA HUKU AKIPIGA YOWE”

  Рет қаралды 230,381

Global TV Online

2 жыл бұрын

MTOTO ASIMULIA ALIVYOONA MAMA YAKE Akiuawa KINYAMA; "NILIMUONA MAMA ANAKIMBIA HUKU AKIPIGA YOWE”
Mapya yameibuka kuhusu tukio la mauaji ya kikatili lililotokea katika Mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki, Kinyerezi jijini Dar es Salaam baada ya watu wenye silaha, kumvamia Roby Chacha au maarufu kama Joyce akiwa na mumewe na kumpiga risasi zilizoyakatisha maisha yake.
Mtoto wa marehemu, Neema Geofrey Raymond, ambaye alishuhudia kwa karibu tukio la mauaji ya mama yake, amezungumza na waandishi wetu, Anna Mbawala na Issa Mnally na hapa anasimulia kwa kina kuhusu tukio hilo lililotokea Jumanne ya Septemba 14, 2021 majira ya saa moja jioni.....ENDELEA
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: kzfaq.info/sun/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: kzfaq.info/sun/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 275
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 2 жыл бұрын
Pole sana mwanangu kwa kumpoteza mama yako mpendwa hakika moyo wako umejeruhiwa umejawa na huzuni kubwa sana umeachwa yatima Mungu awe tulizo la huzuni yako na pia aendelee kukutia nguvu ktk kipindi hiki cha majonzi yako...R.I.P
@batonymwinuka6950
@batonymwinuka6950 2 жыл бұрын
8i
@aminarajabu5827
@aminarajabu5827 2 жыл бұрын
Yaani! Tumemtupa mungu.
@ashaathuman1472
@ashaathuman1472 2 жыл бұрын
Pole sana Mdogo angu Mungu awe faraja yako
@djnangaxtwo2975
@djnangaxtwo2975 2 жыл бұрын
KAMA UMEUMIZWA NA HII LIKE 😭😭😧😩
@saudambinga3832
@saudambinga3832 2 жыл бұрын
Imaumiza jmn, damu ya marehemu itawasumbua Sana hao walizurumu haki na uhai wake🇴🇲
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Pole Sana Mwanangu aMwenyezimungu akutie nguvu Pole sana!
@lall2037
@lall2037 2 жыл бұрын
Poleni hao waliojenga kiwanja cha marehemu joyce ndio waliofanya mauaji hayo wakamatwe
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
huyo huyo maana waliambiwa wabomoe nyumba japokuwa dhana ni mbaya watakuwa ni hao
@marryfelician1426
@marryfelician1426 2 жыл бұрын
Kabisa aisee tabia mbaya sana ardhi tu mnamtoa mwenzenu roho
@gloryabraham4618
@gloryabraham4618 2 жыл бұрын
Jmn binadam binadam hii n dunia tunapita jmn pole San mtt mzr Mungu atakulnda amen.
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu poleni sana ndugu na jamaa.. Allah awaadhibu wote walio mdhulumu nafsi yake
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
Ameen😭😭😭😭😭🤗🤗
@fatumamuya2139
@fatumamuya2139 2 жыл бұрын
Amiiin
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 2 жыл бұрын
Pole Sana mdogo wangu.. Wamemkatisha mama ako uhai unaumia mno.. Poleni Sana familia
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Pole sana NEEMA na familia kwa ujumla
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 2 жыл бұрын
She real need to see psychologists....my deepest condolences to her and her family for their loss..at the same time I don't real think if t was the perfect time to do interviews with her she still very young to take the pain..the more she talk about her mother the more it's hurt her
@hamisimohamedhamisi3241
@hamisimohamedhamisi3241 2 жыл бұрын
Daah inauma san
@faridasaid2716
@faridasaid2716 2 жыл бұрын
Pole Neema dah inauma sana mdogo wng mungu akutie nguvu
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 2 жыл бұрын
Serikali iingilie kati hili swala tafadhali wahusika wakamatwe na kufungwa na mtoto alindwe na Mali ya marehemu mama yake😭😭😭pole Binti yangu Mungu atakutetea endelea kuomba sana
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 2 жыл бұрын
Daah Polen Sana Wanafamilia Na Mtoto Pole Sana, Hapo wanao husika ni wagonvi wake wa Kiwanja
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 2 жыл бұрын
Pole sana mdogo Wang mungu atakusimamiya
@floramlowe7078
@floramlowe7078 2 жыл бұрын
Inauma sana unamuua mwenzio kisa ardhi kwanini tunajisaha kwamba sisi niwapitaji tu duniani.
@jovinathaphilipo1134
@jovinathaphilipo1134 2 жыл бұрын
Hapo sasa kana kwamba hao walioua wao wataenda na kila kitu kaburini kumbe hata wao wanaviacha🤷🤷
@user-hl2rt4hk3v
@user-hl2rt4hk3v 2 жыл бұрын
Naumwa mimi,mwenyezi mungu mpe huyu mtoto kustahimili huu uchungu na upweke
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Hii Dunia inapoelekea tuombe huruma ya Mungu tu,kwel unamuua mwenzio kwa haki yke mwenyewe dah,Mungu simama nao Hao watu
@mohamedkuembelea7725
@mohamedkuembelea7725 2 жыл бұрын
Kamata ao polis mtoto kaongea vizuri sana duh kuna watu na viatu
@mohamedkuembelea7725
@mohamedkuembelea7725 2 жыл бұрын
Serekari mfanye kazi yenu kwa uweredi kabisa
@elianasomrema7530
@elianasomrema7530 2 жыл бұрын
Kweli inauma unamwua mwenzako kwaajili ya nin jamani unamfanya mwanae kuwa yatima hakika mwenyenzi mungu hatamwacha mtoto huyu atasimama juu ya hili kwa damu waliyomwaga hata hawatalala katika ardhi hiyo MUNGU SIMAMA KATIKA HILI
@iamPaul254
@iamPaul254 2 жыл бұрын
Pole sana... Justice should prevail 😭
@mwajumakweli6774
@mwajumakweli6774 2 жыл бұрын
Mtoto munge mficha sula kwa usalama wake 😭😭😭😭😭
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Hao waotajwa wako wanaishi nao jirani wanamfahamu wamejenga ndani ya huo uwanja wao uliolewa mgogoro
@mwajumakweli6774
@mwajumakweli6774 2 жыл бұрын
@@mdzainb3722 😭😭😭
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 2 жыл бұрын
Ata mm nimewaza ivo wanamueka kwenye matatizo
@dicksonkilupa6881
@dicksonkilupa6881 2 жыл бұрын
HATA WAMFICHE IKIWA WANATAKA WATAFANIKIWA LAKINI KWA JINA LA YESU NAWAKOSESHA AMANI HADI WATAKAPOTUBIA DHAMBI YAO NA KUMRUDISHIA HAKI MWENYE STAHILI YAKE.
@avitydamian1994
@avitydamian1994 2 жыл бұрын
Tutamkumbuka sana magufuri
@slivestaramos375
@slivestaramos375 2 жыл бұрын
Pole sana dad angu kwa kumpoteza mama.
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 2 жыл бұрын
Hapo hata wakirogwa hao wauaji mungu atapitisha tuu sio kwa unyamaa huoo kaaaaah....
@aproniapontion4595
@aproniapontion4595 2 жыл бұрын
Pole sana Mungu awatie nguvu
@keffajacob8952
@keffajacob8952 2 жыл бұрын
Eee Mwenyezi Mungu..wewe ndiye uijuwayo kesho yakila mja wako...Matendo ya viumbe dhaifu na madharimu kama hawa.MUNGU...UWE UNAYAZUWIA!😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏⛪⛪⛪😭😭
@rehemamawega1461
@rehemamawega1461 Жыл бұрын
Pole mwanangu muachie Mungu wote yametukuta msiba hauzoeleki
@hdggu6792
@hdggu6792 2 жыл бұрын
Ugovi wa ardhi ni mbaya sana
@esteralan5241
@esteralan5241 2 жыл бұрын
Ndio mbaya Sana naogopa yaan ukitaka kununua kiwanja sijui umakin sijui kumshirikisha mung tu naona maana waeza ingia kwenye matatizo makubwa
@mwajumashauri9674
@mwajumashauri9674 2 жыл бұрын
Dah mbona mauaji mengi skuizi..tumekosa hofu yamungu kwakweli..turudi kwa muumba wetu..
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
Yani asaavi ni mauwaji mawauji mhmh hatari,
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 жыл бұрын
R. I. P pole sn mwanangu
@sweetluc2660
@sweetluc2660 2 жыл бұрын
Pole Mwanangu Mungu akutie Nguvu kwa kweli na akupe falaja
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 2 жыл бұрын
Tanzania sasa ni uwanja wa mapambano
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Yaani acha tuu sasa ni risasi kuuana nje nje hakuna wa kumuogopa. Jamani serikali ya Samia ndo imeondokaga na baba Magu?
@janembalinga7074
@janembalinga7074 2 жыл бұрын
Asee huyu mtoto anahitaji saikolojist inaumiza sana😭😭😭😭
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Sana sana anatia huruma Sana! Ee Mungu ututetee na watoto wetu!
@tumainyusuph431
@tumainyusuph431 2 жыл бұрын
Na anaonesha hayuko sawa
@mariammwamaso3984
@mariammwamaso3984 2 жыл бұрын
Duh!! Inaumiza sn. Nawaza hawa Wauwaji hawa Cjui ni Binadam Kweli au?? 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@vinaah3437
@vinaah3437 2 жыл бұрын
Mama ni roho hingne kabsa me mama angu kafariki Ninamiaka10 lkn ad Leo BDO huwa namlilia mama angu nahisi kama kafa leo hakika ninaupendo sana na mama, pole mdgo angu pole sana😭😭
@kassimukipingu5343
@kassimukipingu5343 2 жыл бұрын
Kamanda saizo yupo nje ya office magufuli kafariki na matukio yanafufuka
@mmasymerry1233
@mmasymerry1233 2 жыл бұрын
Hakika ingekuwa nienzizile ZA babayetu hayumtu asingesubut
@bintymohammedy5759
@bintymohammedy5759 2 жыл бұрын
Pisi Kali yupo bize sana
@jovinathaphilipo1134
@jovinathaphilipo1134 2 жыл бұрын
Ndo maana hamna alipata hasira kama hyo👆😭😭
@jovinathaphilipo1134
@jovinathaphilipo1134 2 жыл бұрын
Hamza
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 2 жыл бұрын
@@bintymohammedy5759 sasa rais kazi yake ni upolisi au acheni ufala kwan haya matukio hayakuwa mwanzo ?muhimu ni kuwa washyghulikiwe kwa nuda ambao polisi watamaliza uchunguzi wao
@susanraphael5894
@susanraphael5894 2 жыл бұрын
Damu ya Joyce inalia juu ya ardhi hiyo ole wake aliyefanya tukio hilo the same na kaini alipomuua nduguye habili
@minzacholo8428
@minzacholo8428 2 жыл бұрын
Pole
@florafaustine4637
@florafaustine4637 2 жыл бұрын
Hakika Mungu ni Mungu wa haki.Damu ya mtu itawalilia mpk mwisho
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 жыл бұрын
Maskini pole mtoto mzuri, Mungu akutetee na akutunze 😭😭😭 jamani watu wabaya ona sasa mtoto mdogo kabaki yatima 😭😭 inauma sana kwa kweli.
@rinatar8051
@rinatar8051 2 жыл бұрын
Pole Sana mwanangu Mungu akupe faraja na wewe ni mtt Wa pekee inauma sana
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 2 жыл бұрын
Walio tajwa na mtoto waliokuwa na mgogoro wakamatwe tu polis wanangoja nini
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Walisha kamatwa
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 жыл бұрын
Mungu wangu tusaidie sisi wanawake.
@khadijazayumba8473
@khadijazayumba8473 2 жыл бұрын
Pole mwanangu, roho imeniuma sana nimelia jamani kwanini watu hawana huruma kwanini
@baysuraoman7910
@baysuraoman7910 2 жыл бұрын
Pole mdogo wangu
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 жыл бұрын
Maskn eti nilale nae apo chini maskn pole mtoto mzr Emungu wangu wasaidie hi familia jmn
@eliethkwesigabo1990
@eliethkwesigabo1990 2 жыл бұрын
😭😭
@immanuelmwaipopo1605
@immanuelmwaipopo1605 2 жыл бұрын
Mungu mpole sana kuna wakati mtu unaweza kufikiria husipate jibu
@khadijahilal3016
@khadijahilal3016 2 жыл бұрын
Kweli kabisa ndo mana ana sifa zote sio kwakumdhulumu nafsi yake 😢ila siku ya kiama ipo mungu atamlipia
@immanuelmwaipopo1605
@immanuelmwaipopo1605 2 жыл бұрын
@@khadijahilal3016 hili tukio limeniumiza sana kiasi kwamba kiama naona kama kipo mbali sababu tu ya kiwanja unamkatili binadamu mwenzio uhai wake bila sababu mtoto wa watu anapoteza mzazi wake😭😭😭
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 2 жыл бұрын
sio mpole ki hivyo lmanuel Mungu n mkali sana ila anakusanya data tu cku hasira zake zikiwaka hakuna atakaeweza kusimama tuogope sana
@immanuelmwaipopo1605
@immanuelmwaipopo1605 2 жыл бұрын
@@mariamswedi1140 kwa matukio kama haya hakika siku hiyo kitawaka
@florangido202
@florangido202 2 жыл бұрын
Yaani hapo hakuna Kuridhiana kama ni Hukumu Itekelezwe Nyumba Ivunjwe tu!!
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 2 жыл бұрын
😭😭😭
@awhaalih6905
@awhaalih6905 2 жыл бұрын
Inauma sana jamani tuwe nauma kumua mtu kwa ajili ya mahali yake mungu akulaze mahali pema robi mbele wewe nyuma sisi
@kulwaseif6156
@kulwaseif6156 2 жыл бұрын
Pole mumy Mungu awe nae tu jmn bado mdg
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 2 жыл бұрын
Pole mdogo wangu mungu akupe faraja kubwa cku zote.
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 жыл бұрын
😭😭😭😭daaa inalillah waina illah rajioun
@leahmora8019
@leahmora8019 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 pole sana
@firdausgreen1886
@firdausgreen1886 2 жыл бұрын
Mama Mama Mama Mama....... pole sana Dada
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 2 жыл бұрын
Watu wanaomilik mali zazurma watakufa vifo vibaya mmnoo malipo hapahapa duniani akher kwenda hisabu nanyny mnao tumwa kuuwaa mtakuf viifo vibaya saaana Mungu atamiadhib duniani kabla ya umati wenu
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 2 жыл бұрын
Kweli kuna kitu hapa sio bureee
@tipad6698
@tipad6698 2 жыл бұрын
Duuuuh polen Sana aisee
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Wangekubaliana akamnunulia joyce
@zurfashafii9531
@zurfashafii9531 2 жыл бұрын
Pole binti yangu wamekupa pigo kubwa sana
@winidominick8014
@winidominick8014 2 жыл бұрын
Pole sana nehema mungu akutie nguvu pamoja na familia
@latifaalsh5421
@latifaalsh5421 2 жыл бұрын
😭😭😭Subhanaallah
@gililwise
@gililwise 2 жыл бұрын
Kama vile kaini alivyomuua habili Mungu akamlaani ndivyo Mungu atakavyowalaani wote.waliomuua Joyce.hawataishi kamwe nao watakufa tu na vizazi vyao.
@rehemamlowe5104
@rehemamlowe5104 2 жыл бұрын
Anaye uwa kwa upanga atakufa kwa upanga,wauwaji wao wanajificha mungu anawaona,
@rejinabwire1072
@rejinabwire1072 2 жыл бұрын
Damu ya Joyce isipotee Bure selekali ichunguze juu ya kifo Cha Joyce Mungu hailaze roho ya marem mahali pema pepon Ameeeen
@linetnekesa8019
@linetnekesa8019 2 жыл бұрын
Pole mtoto verypainflul story 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@pameladanie781
@pameladanie781 2 жыл бұрын
polen sana naumia mnooo
@janethkessy7146
@janethkessy7146 2 жыл бұрын
Mungu yupo walicho kipanda no mbegu watavuna
@luluwhite3818
@luluwhite3818 2 жыл бұрын
😭😭😭😭mtoto anahuzunisha huyu jamani
@latifaalsh5421
@latifaalsh5421 2 жыл бұрын
Inalillah waina lillah rajiuni pumzika kwa Aman mommy 😭😭😭
@johnlaizer3839
@johnlaizer3839 2 жыл бұрын
Pole Sana mdogo wangu
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 2 жыл бұрын
Daah mungu tupiganie waja wako
@iddimaka6705
@iddimaka6705 2 жыл бұрын
Aisee jaman tusifanyiane unyama kwenye hii dunia tupendane sote niwapitaji
@umlubnaalisali9366
@umlubnaalisali9366 2 жыл бұрын
Subuhanalla 😭😭😭
@rachelmuhehe2593
@rachelmuhehe2593 2 жыл бұрын
Hakuna mlinzi wa dunia, watakufa na kukiacha hicho kiwanja na hata wakifa hawatazikwa hapo kamwe😭😭
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 жыл бұрын
Uyatima wakukosa mama mgumu sana,Pole mwanangu
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 2 жыл бұрын
Pole sana mwanangu,inauma sana kwakweli
@dariamtari8153
@dariamtari8153 2 жыл бұрын
Poleni sana familia ya marehemu....Mungu atawaponya vidonda vyenu
@rosemwanisawa3914
@rosemwanisawa3914 2 жыл бұрын
Mmmm inatisha Sana poleni
@sylviermuhonjah8411
@sylviermuhonjah8411 2 жыл бұрын
Machungu kumeza,,pole sana dadah
@kasimrajabu2068
@kasimrajabu2068 2 жыл бұрын
Pole sana
@shufaahassan3122
@shufaahassan3122 2 жыл бұрын
Pole sana mungu awape nguv
@ramadhanimbulu6716
@ramadhanimbulu6716 2 жыл бұрын
Kamanda pokea simu kuna tukio huku!!
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Duuh siku za mwisho zina chelewa
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
Hao aliosema IGP Sirro ndio kama hivi, si Hamza peke yake mtoto asiofaa kuzaliwa. Poleni wafiwa.
@JanethTimothy-xc3gh
@JanethTimothy-xc3gh 3 ай бұрын
Mauaji yamezidi sana Tz mungu atulinde tu
@shedrackmwaipopo9427
@shedrackmwaipopo9427 2 жыл бұрын
Poleni sana
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Mungu atawahukumu
@joycemabariki9303
@joycemabariki9303 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu zangu
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 жыл бұрын
SubhanAllah
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭pole mtoto mzuri
@Ashleypinky153
@Ashleypinky153 2 жыл бұрын
Magofuli angekua hai haki ingetendeka. 💔😭😭😭😭💔💔💔💔💔. Poleni sanaaas
@nadiafahad3926
@nadiafahad3926 2 жыл бұрын
Pole sana mwanangu umeniliza wallah
@zeyzey5439
@zeyzey5439 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 mungu tz yetu jmn pole mtoto na wote
@mukrimsuleiman6926
@mukrimsuleiman6926 2 жыл бұрын
pole mdg wangu mungu atakupa nguvu
@sabrenazeroo6921
@sabrenazeroo6921 2 жыл бұрын
Pole sana dadangu😭😭😭
@paulcosmas7941
@paulcosmas7941 2 жыл бұрын
Mungu baba ona haya machozi kwa kweli inauma
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 2 жыл бұрын
NAISHAURI FAMILIA IACHANE NA HUYO MTUHUMIWA ATAWAMALIZA
@gracenyongole322
@gracenyongole322 2 жыл бұрын
Jaman duuh inaumiza Sana,,,Poolen Sana Wana familia
@kanukanute2722
@kanukanute2722 2 жыл бұрын
police tz inatakiw kuanza uchunguzi kw hao wahusika alio washitak apo Mahakaman. pia mahakama y2 tukufu inatkiw ijifunze k2 kutokana na k3si kama hzi
@reginamollel3289
@reginamollel3289 2 жыл бұрын
Da polen sana
@waziriomar1414
@waziriomar1414 2 жыл бұрын
Ooh God bless huyu bint dah yaani 😭😭😭
@santosclassic9935
@santosclassic9935 2 жыл бұрын
Dah binadamu tumekuwa wanyama Sana 😥😥😥
@salamanauthartanzania6301
@salamanauthartanzania6301 2 жыл бұрын
Bora hata wanyama ndugu yamgu binadamu tumezidi hata shetani mwenyewe anatushangaa sana
@santosclassic9935
@santosclassic9935 2 жыл бұрын
😭😭😭 MUNGU TUJIE SSIS TULIO WAKO
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
Ndugu unaambiwa bora mnyama kuliko binaadamu
@santosclassic9935
@santosclassic9935 2 жыл бұрын
Acha kabisa
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
R.i.p Joyce!
@jamilaezekiel6174
@jamilaezekiel6174 2 жыл бұрын
Binadam sisi wabaya sana
@marypacshal2115
@marypacshal2115 2 жыл бұрын
Mungu wewe ndo hakim
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 жыл бұрын
poleni sana wafelewa
@kenysichimata5256
@kenysichimata5256 2 жыл бұрын
pole mdg wangu
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 34 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,4 МЛН