MTOTO BARAKA KUPELEKWA CHINA AMKOSHA NAIBU WAZIRI KWA UWEZO WAKE MKUBWA SHANGWE LAIBUKA

  Рет қаралды 17,114

JAMBO TV

JAMBO TV

2 ай бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZfaq: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 45
@miriummbisse2278
@miriummbisse2278 Ай бұрын
Ongera mwanangu mungu akutunze uje utuongoze tzania
@Zai-vh7jd
@Zai-vh7jd Ай бұрын
Mtoto baraka amekariri ipasavyo. Hongera zake. Kinachosikitisha hakuna mikakati ya kuendeleza hawa watoto wenye vipaji vya kukariri waweze kuwa wabunifu na wagunduzi wa mambo mbalimbali. Tumeshawasikia watoto wengi kama baraka. Lakini sasa wako wapi? Mfano yule bingo wa Hisabati kule morogoro. Aliishia wapi? Waje waliotengeheza magari, ndege na katapila wako wapi? Tanzania sasa ianzishe Silicon Valley yake kuendeleza, kukuza na kutumia hawa wenye vipaji wafanye maajabu ya kugundua vitu bikubwa zaidi vyenye faida kwao na nchi yetu. Big up Prof. Baraka.
@konatatufilm
@konatatufilm Ай бұрын
Baba na mama wa balaka hakika walitulia sana kumtengeneza baraka mwenyezi mungu amulinde
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akuepushe na hasadi mtoto mzuri,amiin amiin amiin
@user-dh2zb2dm1v
@user-dh2zb2dm1v Ай бұрын
Safi Sana Mungu amtunze mtoto uyu
@AbdallahShekhan-qx3kp
@AbdallahShekhan-qx3kp 2 ай бұрын
Big up mjukuu wangu Baraka halafu wakubwa wazima wasio na aibu wanasema Mama Samia hajafanya kitu huyu ni Professior kweli.
@mabiolojinamakemia9143
@mabiolojinamakemia9143 Ай бұрын
China mnawapelekea hicho kipaji....inamaana sie hatuna matumizi nae?
@user-ty1tp8ly8q
@user-ty1tp8ly8q Ай бұрын
😂😂😂
@fallymetoo191
@fallymetoo191 Ай бұрын
Bismillah mashallah 🙏🏼
@menelus911mene5
@menelus911mene5 Ай бұрын
Jsmaniee hongera kwa mzazi ❤
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 ай бұрын
Mimi nakubwa wangu sijui chochote nipo tu hata kujieleza siwezi 😂😂 hongera sana Baraka. Mungu akulinde
@user-gy3dv3tq8d
@user-gy3dv3tq8d 2 ай бұрын
Upo kama mimi😅
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 Ай бұрын
Mimi pia
@mabiolojinamakemia9143
@mabiolojinamakemia9143 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@allymazrui9744
@allymazrui9744 15 күн бұрын
😂😂😂😂Ila ww
@Kidd11168
@Kidd11168 2 ай бұрын
Big up!!!!!!! Kwa huyu mtoto. Mbele yake kuna mwanga mkubwa.
@mohddelo
@mohddelo 2 ай бұрын
Mtoto noma mashaalha
@user-rh5yn3bc1o
@user-rh5yn3bc1o 2 ай бұрын
Afate nn China? Angeletwa kwangu nimfundishe.....why China???? Tuache utumwa. Mpeni professor Kabudi huyo mtoto amfundishe kiswahili na amfanye kuwa professor halisi.
@EliauMtishbi-os5ky
@EliauMtishbi-os5ky 2 ай бұрын
Akasome china
@georgepeter2055
@georgepeter2055 2 ай бұрын
Kabudi amfundishe nini… kuwa kigeu geu au…. Fatilia historia ya kabudi babu
@mabiolojinamakemia9143
@mabiolojinamakemia9143 Ай бұрын
Export 🤣🤣🤣🤣
@user-rh5yn3bc1o
@user-rh5yn3bc1o Ай бұрын
@@georgepeter2055 sio kigeugeu ni mfumo wa jamii ulivyo........hata wew ukipata nafas hiyo.....utakuwa kigeugeu tu
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf Ай бұрын
Mashallh
@Kidd11168
@Kidd11168 2 ай бұрын
Kweli hakika, kazi inaendelea ipasavyo.
@aishajuma7813
@aishajuma7813 2 ай бұрын
Mashallaah🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@stevenobunde9345
@stevenobunde9345 2 ай бұрын
Huyo prof. kwanini asipewe wizara aongoze?
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
MashaAllahMajinayanaumba
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 2 ай бұрын
Mbona mnatumia nguvu kubwa kwani kunanini ,hakika kibaya chajitembeza watanzania wasasa sio wakupangwa na maneno wanajua hivyo tusipoteze mda
@JulaybibiBabah
@JulaybibiBabah Ай бұрын
Mama Samia Sulhu Hassan Nibonge la RAIS wa Heshima
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Ай бұрын
Magufuli kazaliwa upya mzee wa takwimu
@SelnaKawana
@SelnaKawana Ай бұрын
Hongelamwanangu..uwezowako
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
Mawaziri mwengine maongezi kama hayo ndio lazima Atizame mwenye makalatasi 😂😂😂
@alexvenas2699
@alexvenas2699 2 ай бұрын
😢
@JudithDaniel-sw4og
@JudithDaniel-sw4og Ай бұрын
Mimi naitwa professional j yan sijuh kitu
@sudymgeni701
@sudymgeni701 2 ай бұрын
Icho kichwa Cha sungu sungu.hatari
@dominickrukokelwa1284
@dominickrukokelwa1284 2 ай бұрын
Ngonjera like. Hapo Tanzanite imelindwa na kuokolewa kiasi gani??
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 Ай бұрын
Wawooooo❤❤❤
@hassanisamuya
@hassanisamuya 19 күн бұрын
kwendeni zenu uko
@Franknicholaus246
@Franknicholaus246 Ай бұрын
Anasoma mahali au anagea tu kutok kichwan
@MohamefMullah
@MohamefMullah Ай бұрын
Wewe unaebeza kipaji chake wewe hata ukaririshwe miezi 6 huwezi acheni hasad muombeeni duwaa
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 ай бұрын
SASA HUYO SI MTOTO AMEKARIRISHWA TU.
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si Ай бұрын
Hakuna MTU anayejua bila kukaririshwa ! Hata wewe umekaririshwa kuita baba,mama , kuvaa kunya kula, nk au wewe ulijua bila kufundishwa ? Mimi nilikaririshwa kuwaambia watu kama wewe " mjinga wewe
@3leggedbird222
@3leggedbird222 Ай бұрын
Ni kweli
@mabiolojinamakemia9143
@mabiolojinamakemia9143 Ай бұрын
The kid is capable...than many adults.... genius
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 12 МЛН
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
MUIGIZAJI TAUSI NA PACHA WAKE WAKIIMBA KANISANI
7:28
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 1,4 МЛН
Läkemedelsjätten backar - trots stark rapport
25:00
EFN Ekonomikanalen
Рет қаралды 2,7 М.