MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU, ANA SANIFU MAJENGO, ANAHUDUMIA FAMILIA "NATAMANI KUWA ENGINEER"

  Рет қаралды 388,979

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

#millardayoUPDATES#AyoTV

Пікірлер: 753
@tjvuri4475
@tjvuri4475 4 жыл бұрын
Kama unaamini huyu dogo ni engeneer wa dunia nzima gonga like twende sawa
@lavianaalbert9038
@lavianaalbert9038 4 жыл бұрын
Waoooooh!!!!mungu mwema sana
@zainabmrisho5716
@zainabmrisho5716 4 жыл бұрын
ok
@joanithajohn7068
@joanithajohn7068 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema kwa kweli
@bettymassanja881
@bettymassanja881 4 жыл бұрын
Nashauri huyo mtoto apelekwe COSTECH, kama kweli kodi zetu hupelekwa kwao ili VIPAJI MAALUM VIIVE NA VIVUME DUNIANI KOTE.
@dottnatta310
@dottnatta310 4 жыл бұрын
Nitakutafuta Said mtt wangu nije nikuungishe. Allah akuzidishie kipaji chako InshaaAllah
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu amsaidie ktk kuendeleza kipaji,huyu atakua engineer wa majengo.Atakuja kusaidia wazazi wake.
@markhenry6176
@markhenry6176 4 жыл бұрын
Yeeeees
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Ameen
@ernestmtuya7941
@ernestmtuya7941 4 жыл бұрын
Serikali imwangalie kwa jicho la tofauti ni hazina wa Taifa letu
@victoriaantony9503
@victoriaantony9503 4 жыл бұрын
Mungu amsaidie afike mbali zaid
@raghadiddarous7103
@raghadiddarous7103 Жыл бұрын
Inshallah 🙏
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana kijana, Allah akusimamie katika kazi zako na akupe hitaji la moyo wako, uwe engineer wa kimataifa 🙏
@sellah4603
@sellah4603 4 жыл бұрын
Kama unakubali uyu n Engginee pure gonga like 🤙
@muhemezimshumbusi8838
@muhemezimshumbusi8838 4 жыл бұрын
Ongera sana dogo
@mariammangu1669
@mariammangu1669 4 жыл бұрын
Saf sana
@mwanalikhamis9875
@mwanalikhamis9875 4 жыл бұрын
mungu akubarik baba
@abuuayoub1497
@abuuayoub1497 4 жыл бұрын
daah allah akujaalie kheri mdogo wangu usikate tamaa kwenye rehma za allah kwani allah ndio mwenye plan juu yako upo vizuri sanaa big up. ila usisahau ibada kwani ni muhimu nalo hilo .ALLAH BLESS YOU
@aminakipukasimbababalaouto6310
@aminakipukasimbababalaouto6310 3 жыл бұрын
Mungu hakufanyie wepesi Kwa kila jambo ktk malengo yako Amina
@nassirkhatibjuma6625
@nassirkhatibjuma6625 3 жыл бұрын
Munguamjaaliekilalaheri
@jacquelinosmond221
@jacquelinosmond221 4 жыл бұрын
Tz hivi vitu huwa vinaishia kwenye enterview, lakini nchi zilizoendelea huyu wangeshamwamisha shule na kumpeleka shule maalum
@mgenikilindo5793
@mgenikilindo5793 4 жыл бұрын
Upo sahihi sana
@MWALIMUMBUNIFU89
@MWALIMUMBUNIFU89 4 жыл бұрын
Kweli
@allyhamis8838
@allyhamis8838 4 жыл бұрын
Jacquelin Osmond kabisa ,ttzo tz tunaonaga kua hakuna mainjinia nchin kwetu tunawaona wazungu kama ndo kila kitu, nyambafuuuuu
@barakasuleiman1571
@barakasuleiman1571 4 жыл бұрын
Kbccccccc ndugu ila kibongobongo,,yanaishia apoapo
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 жыл бұрын
Tanzania bado saana
@nurustephan7873
@nurustephan7873 4 жыл бұрын
In psychology we say a gifted person have multiple skills and all skills have equal result ,keep it up mdg angu ,I like yooooooo.
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 4 жыл бұрын
Nimempenda huyu mtoto daah,ukimwangalia usoni Ana utulivu flani hivi na akili kama zote,siku moja nitakuja kukusapoti mwanangu🙏🙏
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 4 жыл бұрын
Ana akili sanaaa,utulivu 💯
@didakibo6452
@didakibo6452 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@tumainnkone2413
@tumainnkone2413 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@ndahuraamoti4079
@ndahuraamoti4079 4 жыл бұрын
Mimi ni Engeneer class one hapa DRC tunampataje huyo kijana ili kuweza kumuendeleza
@peninaancon1256
@peninaancon1256 4 жыл бұрын
+255716103028
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 4 жыл бұрын
Jamani msaidiee pls
@kondekamemenya3672
@kondekamemenya3672 4 жыл бұрын
Kuna namba ya mzazi mcheki ewani
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 4 жыл бұрын
Msaidie inshaallah Mungu atakulipa
@mrholela7906
@mrholela7906 4 жыл бұрын
Nyie mliotoa Namba muwe serious
@salamakombo3257
@salamakombo3257 4 жыл бұрын
Mash Allah Allah amjalie spate mzamini mpelekeni kw bakhresa uyu injinia wa badae Tanzania 🇹🇿
@joharlijuma9445
@joharlijuma9445 4 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi mdogo wangu utumize ndoto yako
@abuumaryam1628
@abuumaryam1628 4 жыл бұрын
Yupo wapi huyu dogo nimpe CERTIFICATE YAKE kashafuzu huyu ENGENEERING
@rehemamahmud855
@rehemamahmud855 4 жыл бұрын
Sio engineer n architect
@herbertludwig7315
@herbertludwig7315 4 жыл бұрын
Hivi ndo vipaji vinavyotakiwa kuendelezwa wapo wapi viongozi wetu,huyu mtoto apelekwe vipaji maalum
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 3 жыл бұрын
Mungu amsimamie ,MashaAllh
@inspirationmessages8420
@inspirationmessages8420 4 жыл бұрын
Watu tuna roho mbaya roho za husda Sasa kwa kipaji km hiki unaanzaje kubonyeza dislike?? 🏃🏃🏃
@amazing_grace5392
@amazing_grace5392 4 жыл бұрын
Umeona eh😃
@manofgodbabazero9237
@manofgodbabazero9237 4 жыл бұрын
Jumanne Mayunga hao niwageni KZfaq
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 4 жыл бұрын
Itakuwa matumizi ya vidole hawajui 😁😁😁
@ramlatomary2536
@ramlatomary2536 4 жыл бұрын
Hii ni namna watu wenye chuki hawaangalii. Vya kuvichukia hata mitume ilipoteuliwa na mungu pale ilipozaliwa kuna maadui walijitokeza na kutengeneza chuki halii hii haiwezi kufanya ALIYE dislike kupunguza uwezo wa saidi mungu amuongoze zaidi hawa ndio mainjinia halisi
@mpokianyitike7800
@mpokianyitike7800 4 жыл бұрын
Si wanga hao
@aishanassor8130
@aishanassor8130 4 жыл бұрын
Masha Allah jmn ana kipajii kzr sna Allah amuezeshe kufikia malengo yake, In sha Allah hii iwafikie yoyte ataeweza kumsaidia ktk kuimarisha kipaji chake kihali na kimali.
@lailahasan2200
@lailahasan2200 4 жыл бұрын
Mashaallah,, jazakallah khaira Mungu akutangulie..
@dasilvajacmwax7436
@dasilvajacmwax7436 4 жыл бұрын
Bidhiinallah
@hawahamis5184
@hawahamis5184 4 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi sana mdog wangu na akulinde na wenye husda, you're genius kwa kwel
@mnllyboy_tz9107
@mnllyboy_tz9107 4 жыл бұрын
Nimependa kipaji cha huyu mtoto mungu amsaidie nataman nimsaidie kutimiza ndoto zake
@sofiasofia7557
@sofiasofia7557 4 жыл бұрын
Msaidie kakaangu kama una uwezo allah atakulipa in shaa allah
@lidaroseepimack7710
@lidaroseepimack7710 4 жыл бұрын
Safi sana huyu dogo
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 жыл бұрын
Msaidie jamani
@asantekwahuuwimbozubeda873
@asantekwahuuwimbozubeda873 4 жыл бұрын
Mashallah huyu mtt yupo vizuri mwenyezi mungu amlinde na husda za walimwengu ameen
@mahamoudomar5492
@mahamoudomar5492 4 жыл бұрын
huyu mtoto mungemficha sura ili WASIJEMUHUSUDU ALLAH AMLINDE AAMIN
@josephatmgoboleni8767
@josephatmgoboleni8767 4 жыл бұрын
Wazo nzuri ila atuamini sana ushirikina katika mungu tuache mawazo potofu broo
@nimrodsigulu2053
@nimrodsigulu2053 4 жыл бұрын
Acha mawazo ya kichawi...
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 4 жыл бұрын
Kabisa na vile huko kuna wachawi wakuiba nyota za watu
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 4 жыл бұрын
Kwani kumficha sura kuna saidia nini? Tambua kua haliwi la mwanaadamu ila kwa kupenda mwenyewe muumba
@romanambelle6356
@romanambelle6356 4 жыл бұрын
Unaamini ushirikina hadi basi. Sasa wamfiche sura ataonekana vipi ili asaidiwe. Muamini Mungu pekee mweza wa yote.
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 4 жыл бұрын
Huyu ni engeneer wa mzuri sana mashaallah saidi
@sakinat2527
@sakinat2527 4 жыл бұрын
Masha Allah
@kuruthumabdallah4395
@kuruthumabdallah4395 4 жыл бұрын
Nidhamu, Juhudi na Uthubutu vimetengeneza jambo kubwa ktk maisha yako. Kizuri kinajulikana hta ktk mazungumzo tu Allah amekuruzuku Hekma basi mmfanye awe wa kwanza ktk maisha yako utafika uendako. Nimejikuta machozi yananitoka haki ktk umri wako kuwa mtulivu hata kimaongezi hili nalo ni jambo jema sana kwako Barikiwa zaidi mtoto mzuri😘😘
@florandayishimiye4993
@florandayishimiye4993 4 жыл бұрын
Africa got talent 😍
@lifewithpaul1
@lifewithpaul1 4 жыл бұрын
Baba anatia huruma waweza lia hongera yake maisha aliyonayo sio kosa lake kikubwa anamsimamia mwanae afikie ndoto zake HE IS A LOVING DADY.
@abdallahali2215
@abdallahali2215 4 жыл бұрын
nimetokea kumpenda huyu kijana kwa kazi yake na imani yake thabiti..mtu aniunge naye jmn,mm nipo kenya...i like this boy
@lightnessngatale4287
@lightnessngatale4287 4 жыл бұрын
Akimaliza form four anafaa kwenda Dar es salaam Institute of Technology (DIT)
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 4 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Duuuh Dogo noma sanaaa anakpaj cha aina yake 🙏🙏 🙏
@Binti1801
@Binti1801 4 жыл бұрын
You deserve allthe support, am behind you na ntafanya ntakacho weza kuku support! God bless the fruits of your hands abundantly son! Mungu ata provide na utafikia ndoto zako! Keep it up🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️❤️❤️
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Haposawa dogo umevunja record hio sio mchezo mungu akufungulie njia upate promotion ya halia juu ufikie malengo yako insha'Allah Khair Allahubariq
@sulaimanafrican8134
@sulaimanafrican8134 4 жыл бұрын
Mashaallah😍
@shuuufadhil1349
@shuuufadhil1349 4 жыл бұрын
Ameeen
@brandonkisinga8184
@brandonkisinga8184 4 жыл бұрын
Mungu akusaidie mdogo angu na hiyo ndo njia sahihi ambayo mungu kakuchaguria,simama katika hilo mungu yu pamoja nawe
@angelmkunda9765
@angelmkunda9765 2 жыл бұрын
Vizur sana, isiishie mtandaoni, itakuwa vema Kama mtafnya jambo apelekwe akasome engineer, Tanzania tunapata watu Mungu anatupatia
@muhtarimtinginda6642
@muhtarimtinginda6642 4 жыл бұрын
huyo mtoto yuko vizuri sana
@danielmbalwa9307
@danielmbalwa9307 4 жыл бұрын
Huyuu dogoo apelekweee Technical school kama Ifunda,Iyunga na Moshi ilii awezee kuendelezaa kipajii chakee
@kondokibugula6551
@kondokibugula6551 4 жыл бұрын
Pale ifunda, wamuweke Milambo J3. Atafanikiwa
@therezalukungwa3189
@therezalukungwa3189 4 жыл бұрын
Nmemkubali huyu dogo kama unakubali gonga like twende sawa
@jengatech_tanzania
@jengatech_tanzania 4 жыл бұрын
Huyo mtoto anajitahidi sana, inabidi apatiwe fursa ya kusoma Techical school mf moshi tech, Musoma Tech, ili aweze kusomea architectural drafting, anaweza kuja kuwa Architect mzuri au mtaalamu wa kutengeneza model, it's a big deal especially ukishapata skills za kumsharpen awe na ile workmanship safi.
@adefunmioluwadamilola605
@adefunmioluwadamilola605 4 жыл бұрын
Mashallah dogo yuko vizuri mungu mbariki mpitishe njia sahihi
@frankmbexu7706
@frankmbexu7706 4 жыл бұрын
Tanzania u have great young talents.plz plz give them a support.
@hashimjuma1217
@hashimjuma1217 4 жыл бұрын
Safi sana Saidi mashaallah mungu akuengezee kipaji chaji chko akufiche na husda za walimwengu amin
@mwinyisarbok2261
@mwinyisarbok2261 4 жыл бұрын
Huyu dogo Architect wa ukweli,
@musakhamis6906
@musakhamis6906 4 жыл бұрын
Upo Vzuri mdogo wangu jitaidi upate mtu akuelekeze utumie n'a vipimo itakuwa vzuri zaidi ningekuwa karibu ningekuelekeza uko vzuri sana kwa umli wako jitaidi
@allec2905
@allec2905 4 жыл бұрын
Wow what a gifted young kid! He deserves support future & upcoming architect or civil engineer!
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 4 жыл бұрын
Dogo kaweza kubadiri changamoto kuwa fursa
@fetysaidsaid708
@fetysaidsaid708 4 жыл бұрын
Imetoka kwa baba iki kipaji ila wanasema vyakurithi vina zidi hii kwa Saidi imezidi mungu akusimamie kipaji chako dogo 🙏
@am12ghh37
@am12ghh37 4 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah mungu atakubarikiya kwe maisha yako said hio ni barka kwa mola wako🙏🥰😘
@erickzephania1030
@erickzephania1030 4 жыл бұрын
Tz watu wanapoteza muda kwa pierre na Dr. Shika dogo kma uyuuu wanampotezea
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 жыл бұрын
Umeonaa
@mariezhungu5224
@mariezhungu5224 4 жыл бұрын
Exactly
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@methiwmigeto7929
@methiwmigeto7929 4 жыл бұрын
He need just courage and improvement,this is great,
@paskalistanley668
@paskalistanley668 4 жыл бұрын
Dogo ana kipaji kubwa san mungu amsaidie
@zuwenawazir1101
@zuwenawazir1101 4 жыл бұрын
Mashallah hasbunallahu animal wakini Jicho baya lisikuwone inshallah mungu yupo mawe
@hellenlovembe8007
@hellenlovembe8007 4 жыл бұрын
So great! God works in such ways
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Allah akulinde,akufanyie wepesi inshallah,, kila rakheri baba angu
@Da-cr6ow
@Da-cr6ow 4 жыл бұрын
Masha Allah mungu ni mkubwa atakufanyia wepesi na pia atakuwezesha
@homebest9258
@homebest9258 4 жыл бұрын
Hiyo ni kazi ya serekali ya Tanzania kumusaidiya huyu great future engineer. Africa is blessed as nothing would have been invented in the whole world without African people Knowledge
@claireomari112
@claireomari112 3 жыл бұрын
these is really talented.....hope umeenda far boy...God bless u to accomplish your talent
@professormpakistanimweusi5766
@professormpakistanimweusi5766 4 жыл бұрын
Huyu Dogo Allah amnyanyue na ampe Rizki za halali na nyepesi kutokana na mkono wake, he is a Good Arttectcher . Wazungu wanaelewa umuhimu sana wa hawa watu,kama kuna watu Duniani wanapiga hela ni watu waliosomea kipaji cha kuchora Ramani, ata uku Arabuni watu hawa wanapewa kipa umbele sana
@skwamiujiza379
@skwamiujiza379 4 жыл бұрын
Daah dogo kanitoa machoz sana kwanz 1 ni mdg pi 2l anajua kuongea vzr sana tatu 3 ana akili sana ANAISH MAISHA AMBAYO NIMEPITIA YA kuisaidia familia kipind mdg BIG mdg angu mwenyez mungu akuongoz ukuze kipaji chako uendeleze jahaz la familia.....
@zamamuuhamisi6654
@zamamuuhamisi6654 3 жыл бұрын
Jmn dogo anakipaji chake aendelezwe kwa kazi yake nzuri wenye vipaji wapo huku mitaan jmn wainuliwe vipaji vyao mpk rahaa
@ellysilwani9287
@ellysilwani9287 4 жыл бұрын
Hongera sana Said,Mungu ni mwema utafika mbali sana!Mungu ni mwema,Barikiwa!
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 4 жыл бұрын
Mtoto Mungu akubariki usonge mbele sana jamani msaidieni huyu dogo wenye uwezo huo, sio kipaji cha kukipotezea kabisaaa! Engineer mdogo kabla ya vyeti
@pilijuma2913
@pilijuma2913 4 жыл бұрын
Daaaaaah.. nimejikuta machozi yamentoka kwa furaha Mungu akuongoze jamani
@mohachibu0017
@mohachibu0017 4 жыл бұрын
Mashallah Allah azidi kukupa kipaji ndoto itimie kua interior designer all the best dogo😍😍🙏🏼
@hemedmasoud9306
@hemedmasoud9306 4 жыл бұрын
Allah.akiamua kukupa anakupa bila kipangamiz uyo dogo kapewa kipaj chake kuna wengine wamepewa kipaji cha din unakuta MTU ajui ata arifu lakin anaiman Kali yakujitolea.
@khamismussa416
@khamismussa416 4 жыл бұрын
Daaaah ningekua na uwezo ningemsaidia ila sina uwezo
@canivatz1997
@canivatz1997 4 жыл бұрын
😂😂😂toa hichohicho kidogo
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 4 жыл бұрын
Asant kwa ukalimu wako Mungu wetu ni Mwema atamfanyia wepesi
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Daaa jamani kweli Kijana ana kipaji sana Mungu azifanikishe ndoto zako ili uweze kukamilisha ndoto zako.
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 жыл бұрын
Huyu mtoto ni genius kabisa yaani hata anavyoongea tu ni hatari sana Ana akili sana.
@khadijamwalimu6763
@khadijamwalimu6763 4 жыл бұрын
Ningeomba amabae anahitaji kumsaidia huyu mtoto nibora awasiliane tu na hii channel ya ayo tv ili apelekwe hadi kwao kuliko kuwasiliana na watu kwenye mtandao mana sai watajitokeza watu wengi kujifanya wanamjua kumbe ni matapeli
@rukiafaraj1400
@rukiafaraj1400 4 жыл бұрын
MaashaAllah, Allah amjaalie akue ndoto zake zitimie..Allah amkinge na husda
@ireneassey3685
@ireneassey3685 4 жыл бұрын
Mama usitoe mimbaaaa ooh mungu akileta mtoto .... uwenda akawa engineer...
@kbjuomaly8466
@kbjuomaly8466 4 жыл бұрын
Mashaallah big up San mdgo wng mungu akufanikishe zaid ...... Ila dah hao dislike c ndio wachawi wenyewe
@RomwardWM
@RomwardWM 4 жыл бұрын
Hongera sana 😊😊😊🤔 dogo una kipaji kizuri kikubwa soma kwa bidii hata mimi ni IT sijaingia darasani lkn ninauwezo mkubwa , nimesoma mengi sana Relation Unique , Python, Programing, n.k ila nimesoma online mpaka sasa ni genius ... Huwa nikiamua jambo sishindwi kikubwa vitendea kazi na kuwaza sana
@agnessahia415
@agnessahia415 4 жыл бұрын
Hongera natamani kufika huko Ila nakata tamaa kabisa
@RomwardWM
@RomwardWM 4 жыл бұрын
@@agnessahia415 jifunze lugha kuhusu mengine utayaelewa vema wala haina shida .. Ila kukosea lazima ... Mie niliwahi weka system passowrd kwa laptop kuitoa nilitumia wiki 😂😂😂 maana solutions zake siyo za mchezo mchezo , ila nikajifunza mpaka hapo laptop ikija na password za BIOS ni elfu 50K na kama ni password za window huwa nafanya kwa elfu 20K 😊😊 ... Computer inahitaji uwe na mawazo yakufikirika.
@RomwardWM
@RomwardWM 4 жыл бұрын
@EXTRA PLUS hii hapa 0677991687
@brendakimaro3747
@brendakimaro3747 4 жыл бұрын
Hapa waziri wa Elimu anahusika..lakini naamini asipoliona hili muheshimiwa raisi ataliona(raisi wa wanyonge) Shule zinazoendana nae zipo, asaidiwe aende...na anavyojieleza inaonekana ni mtoto mwenye nidhamu na kujitambua..Mungu azidi kumbariki..
@sophiaalpha5269
@sophiaalpha5269 4 жыл бұрын
Congratulation young man
@kuruthumabdallah4395
@kuruthumabdallah4395 4 жыл бұрын
Ni kweli yn anajitambua hadi raha💕💕
@rutyfunisacapastar6088
@rutyfunisacapastar6088 4 жыл бұрын
Nimetokea tuu kumpenda huyu mtoto nakipaji chake mwenyezi mungu akuongoze kilanjia uweze kufika.mbali.nakipaji chako jmani serikali angalie vipaji vya watoto wahali ya chibi na wawezeshwe hata wafadhili wa mfazilikila nwenyekipaji jamni.mtoto anaweza huyu jamn
@fettybaby8203
@fettybaby8203 4 жыл бұрын
Namuona mbali sana mashaallah mungu amueke tuje tuone kipaji chake kikizidi kukua
@hassanramadhan8978
@hassanramadhan8978 4 жыл бұрын
Ma shaa Allah mungu akubariki mwanangu kwa kipaji/kazi ya mikono yako
@ladyyes4394
@ladyyes4394 4 жыл бұрын
Allah hakujaliye kila la kheri .mwanangu. uko rika na mwanangu wapili .hapatikana vipi njamani . sijafika tanzania lkn nitafika nije kumuona live huyu mtoto .number ya simu njamani.
@subranadja4052
@subranadja4052 4 жыл бұрын
People who dislike this vidéo are heartless.
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 4 жыл бұрын
I think they dislike it accidentally.. Let's blame no one...!
@janenjenga5639
@janenjenga5639 4 жыл бұрын
Enemies of progress
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Bwana mdogo mimi artist pia nafahamu anachokifanya hicho anachokifanya kinaweza kumpeleka hapatapo hata kwakulipa hada ya shule mwenyewe aisee
@mwambarockmwambarock739
@mwambarockmwambarock739 4 жыл бұрын
Daaa hii noma Sana jiniaz wa bongo mwenyezi mngu atamjalia atafanikiwa .🙏🙏✍️✍️✍️
@evasaimon6764
@evasaimon6764 4 жыл бұрын
Mashalllah!
@youngteo7154
@youngteo7154 3 жыл бұрын
Mdogo wetu upo juu sana duh mungu atakusaidia nakukbal sana nikija dar nitakutafuta mm nataka nyumba moja
@joachimkafanabo2050
@joachimkafanabo2050 4 жыл бұрын
Franklin speaking the truth is that he is a good great thinker and also he has a good mind of creativity
@ATIBZ
@ATIBZ 4 ай бұрын
Honger San mdgo Wang mwenyez mungu akulinde na maduwi ktka kuendleza kipach chako
@wilsonmaboto16
@wilsonmaboto16 4 жыл бұрын
Hakika uyo dogo yupo vizuri sana Mungu amsandie afikie malengo yake
@godblesscharles9023
@godblesscharles9023 4 жыл бұрын
Hiyo gholofa nmeitamani kuijeng ramani nzuri sana kijana
@fettydavid901
@fettydavid901 3 жыл бұрын
Big up xna mdgo angu .......I wsh nkusupport plzz tupta namba za wazazi
@aludomakori4230
@aludomakori4230 4 жыл бұрын
Mungu akubariki!!jmn engineer Magufuli naomba umsaidie ,na MUNGU akubariki
@teddylameck21
@teddylameck21 3 жыл бұрын
Mungu mlinde mtoto uyuu kuna watu wanapata chanc za kusoma alafu wakifika shule wanazuga pambana mdogo wangu
@najmaomari8127
@najmaomari8127 4 жыл бұрын
M.mungu akuajalie uweze kufanikishe ndoto zako bbaa
@halimabakari4174
@halimabakari4174 4 жыл бұрын
Allah akuongoze mdogo wngu umalize masomo uendeleze kipaji chako uje usaidie familia yko inshaallah
@mirajiabdallah7131
@mirajiabdallah7131 4 жыл бұрын
very talented
@mtatiromgeka7270
@mtatiromgeka7270 4 жыл бұрын
Kikubwa mungu awe nawe kwa faida ya badae. Ila nimuombe mungu funga macho ya watu wabaya kwa huyu dogo kwa jina la yesu...
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 4 жыл бұрын
Wow!hongera mjukuu 🤩 you 're genius 👍Allah atakufanikishia Kazan buti!Mashaallah
@aishanassor8130
@aishanassor8130 4 жыл бұрын
Kwel anasoma kwa bidii masha Allah hta kitabu kikifkia hali hio unajua kimesomwa 👌😂 kuna wngne mpka wanamaliza mwaka kitabu kipyaaaa km kinatona dukani sasa 🤣🤣🤣
@canivatz1997
@canivatz1997 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣✔️
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 4 жыл бұрын
aisha nassor mimi ni mmoja wao, vitabu vyangu vipya kabisa😜😜😜
@keyakeya8911
@keyakeya8911 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Mm nilikua naenda Dasani nasinzia ila saivi maisha yamenikaba mpaka natamani niludi shule 😁
@Mohabmts
@Mohabmts 4 жыл бұрын
@@keyakeya8911 😂😂😂
@judithwirth2256
@judithwirth2256 4 жыл бұрын
Excellent! Stick on it Boy.One day your dreams will come true. Keep it up.
@aminahamadi4017
@aminahamadi4017 3 жыл бұрын
masha allah dogo upo vzr alla akuzidishie na akulinde na hasad za walimwengj...
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
Tanzania wana dhamini walevi kuliko watoto wenye vipaji kama huyu aje andeleshe nchini, kama hajawahiwa mapema, huaribika kua mteja baadae au bangi nyingi Allah amlinde
@frankbeatus9194
@frankbeatus9194 4 жыл бұрын
Jah bless you dogo
@khadijasaid5461
@khadijasaid5461 4 жыл бұрын
Wow wow wow pia ana MZAZI mzuri mno maana anamsupport sana watoto tuwakuze vipaji vyao
@sadaturuku4003
@sadaturuku4003 3 жыл бұрын
MashaAllah, MashaAllah Allah yupo atakusaidia
@dr.alexmagufwa9131
@dr.alexmagufwa9131 Жыл бұрын
Pongezi nyingi sana kwake., Mwenyezi Mungu amtimizie malengo yake
@neemamahusho6193
@neemamahusho6193 4 жыл бұрын
jmn Mungu akusaidie kipaj Chako kikue
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 4 жыл бұрын
Utazani nyumba ya ukweli dah
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 жыл бұрын
Jamani Mungu azidi kumtunza na kumbariki
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 4 жыл бұрын
Akiwa Mkubwa Aendeleze Kipaji chake cha Egenear Awe Ana Wachagulia Watu Desgn zake..Mungu Atakusaidia Mdogo wangu
@coletashirima2193
@coletashirima2193 3 жыл бұрын
Kwanza anajua kujibu vizuri ...Mungu akuze kipaji chake ,Amen
@florachalz7322
@florachalz7322 4 жыл бұрын
Daaah!great engeneer
@abdulrabihassan3734
@abdulrabihassan3734 4 жыл бұрын
Mungu amzidishie iko kipaji mpka utu uzima wake inshaallah
Mtoto mwenye Kipaji cha Ajabu Omari kutoka Kenya aendelea kuwatikisa Masheikh wa Afrika Mashariki
16:29
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 15 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 11 МЛН
Ijue familia ya Rais Samia Suluhu -mume, watoto na historia yake
13:38
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 945 М.
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 12 М.
KIPOLO CHA BABA
8:02
Joti TV
Рет қаралды 253 М.
UTACHEKA JOTI NA WATOTO WAKE MAPACHA AKITAKA ACHEZE WIMBO WA HARMONIZE UNO.
13:28
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 15 МЛН