Mtoto wa miaka 12 aliuwawa kwa kupigwa risasi

  Рет қаралды 26,353

Citizen TV Kenya

8 күн бұрын

Familia ya Kennedy Onyango Ouma, mtoto mwenye umri wa miaka 12 aliyefariki baada ya kupigwa risasi katika ghasia za maandamano mtaani ongata rongai kaunti ya kajiado sasa inalilia haki .katika maandamano hayo polisi wawili walijeruhiwa na kupokonywa bunduki zao na wandamanaji na baadaye kurejeshewa silaha hizo

Пікірлер: 28
@StephenNguthu-ou6je
@StephenNguthu-ou6je 8 күн бұрын
Mungu aireheemu iyo familia huyo mtoi kifo chake kiliuma wengi nikiwemo pamoja nawazazi wengine
@jennyjano3485
@jennyjano3485 5 күн бұрын
Aki that mother is so heartbroken 💔 beyond repair 😭😭I feel her pain..very very very sad and inhumane.sorry mama Kennedy aki Mungu akuonekanie
@Mataikayo
@Mataikayo 8 күн бұрын
Very sad for sure, you can see the mother is so heartbroken
@rihkaa6289
@rihkaa6289 8 күн бұрын
Ruto promised to protect Kenyans but ended up terrorizing Kenyans
@PhilemonPhilipo
@PhilemonPhilipo 5 күн бұрын
Ruto must go
@julianariziki1629
@julianariziki1629 6 күн бұрын
Ruto kama una roho ya huruma ungefuta kazia Hawa ukaajiri wpya ..how mtoto mdogo Hana hata hatia kitabu ynyewe wanashare ameenda kuomba ili ajisomee alafu ona sasa malengo na bidii zake zimekatishwa gafla bila hata hatia yoyote hajui hata maandamano ninini jameni😢😢😢😢.yote haya sababu yako ruto 😭😭😭😭ruto ona sasa watu wamekufa wengi wasiona hatia si waizi si majambazi kutetea haki zako ona sasa😭😭😭mungu awafariji na kuwapa nguvu jamaa rafiki na familia zote zilizopoteza wapendwa wao 😢
@HellenWabore
@HellenWabore 18 сағат бұрын
How comes president is not aware l heard him yesterday he said it was not true.
@samuelosuma8197
@samuelosuma8197 2 күн бұрын
Naomba huyo askari aliyefanya hicho kitendo Alipe gharama kwa uchungu sana.
@felaluva
@felaluva 8 күн бұрын
8 bullets💔,This didn't have to happen🙏🏽🙏🏽
@tsumachikokopha614
@tsumachikokopha614 3 күн бұрын
Na bado mtalia sana
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 8 күн бұрын
Kweli kabisa raisi na watu wake ndo wakulaumiwa kwa yote ni viburi sanaa
@LucyAnyango-gw2vg
@LucyAnyango-gw2vg 2 күн бұрын
😭😭😭🙏🙏🙏
@juliejapheth6587
@juliejapheth6587 8 күн бұрын
😭😭😭
@LoningoNgotiek
@LoningoNgotiek 5 күн бұрын
Wacheni hii tabia wakenya mtoto pole mama
@ezekielkoske9945
@ezekielkoske9945 4 күн бұрын
Kwani mtoto alikiuo na panya nini na ulikuo unachua iko mandamano uchipangee
@StephenNguthu-ou6je
@StephenNguthu-ou6je 8 күн бұрын
Pls tuhurumianeni sisizote police piia laiya uhai wakilammoja nimuimu kwakila mtu pole kwa Jamie zilizopotezawapendwa wao side zote bili police pia wanainchi its so sad
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t 8 күн бұрын
Very sad this government
@FelixkiokomuasyaMuasya
@FelixkiokomuasyaMuasya 8 күн бұрын
😢😢😢 uyo alimpiga risasi ashikwe
@sheilagg1503
@sheilagg1503 8 күн бұрын
Very sad as a mother i feel her pain 8 bullets kwa mtoi surely.where did humanity go?
@euuee9717
@euuee9717 8 күн бұрын
Sorry mum
@alexmwangi4464
@alexmwangi4464 8 күн бұрын
😮 the officers who shot at him were not seeing him as a child?
@tsumachikokopha614
@tsumachikokopha614 3 күн бұрын
Polisi pia ni binadam
@MusaMgandi
@MusaMgandi 8 күн бұрын
Hakuna kitu wanaeza fanya hata Hao Ipoa
@taifakali1981
@taifakali1981 3 күн бұрын
He was among those stealing
@rihkaa6289
@rihkaa6289 8 күн бұрын
They were killing and cleaning,,mkihesabu ni watu wawili in reality ni watu wengi zaidi,,ask the witnesses,, ruto ametushtuwa mbwana,,hana huruma kabisa
@daudMatias-qw3tz
@daudMatias-qw3tz 5 күн бұрын
Luto hufai kuwa rais kuma nyoko ww
@kagamedimaria4787
@kagamedimaria4787 7 күн бұрын
Ruto must go
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 3,9 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 501 М.
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 67 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 3,9 МЛН