Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi apumuzike kwa amani amina
@patrickmkambilwa99323 жыл бұрын
Baba tunamuweka mtumishi wako mkapa mikononi mwako umupokee Kamavile ulivyo mpokea mwana wako wakati alipo kata roho yake akasema Baba mikononi mwako naiweka roho yangu pia tunakuomba mikononi mwako umupokee mtumishi wako uyu apumuzike kwa amani amina
@shamimushittindi14183 жыл бұрын
Mungu ampe pumziko la milele
@judithmoraaiisoe82193 жыл бұрын
Mungu uilaze roho ya mkapa mahari pema wewe ndio uliomleta na umemuchukua Rip😭😭😭😭
@michaeljohn63813 жыл бұрын
Pumzika kwa aman
@paschaldamian45973 жыл бұрын
Apumzike kwa amani
@amosmoses78003 жыл бұрын
Mimi ni MLUTHERI na wala sitetereki wala kuhofia kitu. Lakini tunavyoendeshwa na hii serikali chafu ya kiBaguzi ya ccm ni UONEVU mkubwa wa haki za raia. Serikali ya ccm ya KIKATOLIKI ndio iliochukua Utawala baada tu ya uhuru ( uhuru wa bendera ) hadi ivi sasa ccm ya KIKATOLIKI wanaendelea kutawala inchi.