mashaallah....hii ndo maana halisi ya mchezo ni kutoa ujumbe mashaallah Allah atakulipa kila la kheriii mchezo mzuri baada ya ule wa SHAHADA leo unatupa TAARIKU SWALAAAH ..... UNAHITAJI PONGEZI KUBWA WALLAJ
@Amyomy-od5ry2 ай бұрын
Allah mwingi warehema mwenye kurehem, movie yenye mafunzo Masha-Allah ❤❤❤ Allah awazdishie🤲
@AncyMerci-un2nu3 ай бұрын
Somo nzuri huu mshezo mzuri Sana umetufunza mengi asante Sana,haija lisi dini nifunzo kwetu sote hata kwa Sisi wa kristo
@magnibrondi31523 ай бұрын
Jamani iyi movie inavyo niliza daah tumukumbuke Mungu
@kijukuuhalic27572 ай бұрын
Allahu Akbar kama watu hawa wapo basi tumuombe Allah awaongoze ktk njia ya kheri na awasamehe kwani hawajui wakitendalo
@KhadijaMohamedyabadlahabdala3 ай бұрын
Allah akbar hakika tumejufunza san allah bless you me and musilim and family ❤❤❤❤
@fatumajuma74822 ай бұрын
Assalamualaikum warahamatullahi wabarakatu subhana Allah
@passiasndereyimana23933 ай бұрын
Allan akupee mwisho mwema unaetuletea movie kaka hizi za dini😢❤
@AsebaleylaDavid3 ай бұрын
Ahsante dj 🎉🎉🎉🎉
@CizaFrancine-3 ай бұрын
Movie nzuri sana yenye mafunzo munoo asanteni sana na muzidi kutuletea zingine ❤🇧🇮
@mzurzamzam18772 ай бұрын
❤❤
@surusuru19943 ай бұрын
Kiukwli❤inafuza nimelia paka bas❤
@zenajaha32222 ай бұрын
Mashalah mko vizur Allah awalipe kwa mafunzo yenu
@MariamAsani-pd9kbАй бұрын
Mashallah allah
@user-jz8db3ng7w3 ай бұрын
❤ Amina
@user-li1uz5ot3o3 ай бұрын
Amina
@user-kj7hh7cc6q3 ай бұрын
Naomba.laik.inao.fuata
@Ifraxbeauty-xv6ie2 ай бұрын
Subra ni muhimu Sana Kwa mwenye Iman na ni chungu zaidi ya shubili 😢
@user-uy7on6hv2j2 ай бұрын
Eheee
@fammamourchy21643 ай бұрын
Masha Allah tabaraka Allah Sala ni lazima Nawapeeni big up Movies ina mafundisho
@othmanndayishimiye55733 ай бұрын
Muvie kama hizi muhimu sana
@mwanaidabeid87203 ай бұрын
Maashaa Allah 🥰🥰
@user-lt1tk7oi9p2 ай бұрын
Mashallah tabaraka Allah hakika inamafuzo mazur♥️💖